lightness wilson Profile
lightness wilson

@LightnessWilson

1,532
Followers
1,866
Following
94
Media
16,419
Statuses

Joined October 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
@LightnessWilson
lightness wilson
3 months
HAPPY BIRTHDAY TO ME 🎂🎉🍻
Tweet media one
91
55
574
@LightnessWilson
lightness wilson
4 months
Kuoa mwanamke mwenye mtoto haikufanyi uonekane mjinga, mjinga ni baba aliyemkimbia mtoto Good morning 🥰🥰😍
88
48
269
@LightnessWilson
lightness wilson
3 months
Inawezekana kweli mimi si mtu bora kwako, ila naamini ipo siku utalisikia jina langu utatabasamu na kusema "alikuwa wa tofaut Sana '😊😊 Good morning 😘😘😍
31
44
142
@LightnessWilson
lightness wilson
5 months
Hata sura nzuri itazeeka na mwili shupavu utachoka lakini roho nzuri itabaki milele Good morning 😘😘😘😍
22
39
135
@LightnessWilson
lightness wilson
3 months
Wakikwambia unakasoro waambie ni kweli kabisa ila usisahau kuwaambia wakuonyeshe ukamilifu wao ili ujifuze kutoka kwao Good morning 😘😍
44
56
129
@LightnessWilson
lightness wilson
2 months
Maumivu mengne kuhusu mapenz ni ile kuachwa na mtu ambaye yeye alikushawishi muwe kwenye mahusiano Good morning 😍😘
45
50
126
@LightnessWilson
lightness wilson
27 days
Kamwe usiruhusu hisia zako za maadili zikuzuie kufanya kilicho sahihi Good morning 😍😘
39
48
119
@LightnessWilson
lightness wilson
2 months
Kujipenda mwenyewe n biashara ya uhakika ambayo haina hasara katika maisha yako. Usiongope kuwekeza Good morning 😘😍
41
46
105
@LightnessWilson
lightness wilson
2 months
Jifunze kuziongoza hisia zako na mihemuko yako, tofaut na hapo tamaa zitakupeleka kwenye shimo la majuto Good morning 🥰🥰😘
35
43
110
@LightnessWilson
lightness wilson
4 months
Kusamehe sio kusahau Bali ni kuwa na kumbukumbu bila kuumia Good morning 😍😘😍
24
45
101
@LightnessWilson
lightness wilson
5 months
Hakuna mtu hatari kama mtu ambaye yuko na maumivu moyoni lkn bado anatabasamu usoni Good morning 😍😍😘
20
33
100
@LightnessWilson
lightness wilson
3 months
Maisha n mafupi Sana so ishi na wanaojali thamani ya uwepo wako na usipoteze mda kwa mtu yeyote asiye na muda na wewe Good morning 😍
28
45
96
@LightnessWilson
lightness wilson
5 months
Mungu akupe nguvu ya kuinuka tena popote pale uliposhuka Good morning my family Twitter 😍😍😍🥰
25
33
93
@LightnessWilson
lightness wilson
4 months
Ukiwa na hekima n rahisi kuyaona yajao Good morning 🥰😘
30
27
88
@LightnessWilson
lightness wilson
2 months
Siku moja utakuwa mahali ambapo siku zote ulitaka kuwa. Usiache kuamini Good morning 😍😘
42
46
92
@LightnessWilson
lightness wilson
2 months
Upendo, amani, furaha ndo vitu vinavyoitajika hapa duniani Good morning 😍🥰
40
40
88
@LightnessWilson
lightness wilson
5 months
N mda wa chai karbun 😋😋😋🤗🤗
Tweet media one
7
11
82
@LightnessWilson
lightness wilson
2 months
Maisha ni kubadilika siyo kukamilika na kila hatua unayo chukua ni ushindi. Endelea kupambana Good morning 😍😍😘
28
34
85
@LightnessWilson
lightness wilson
2 months
Ni heri kuhuzunika pamoja na mtu anaye kupenda kuliko kufurahi pamoja na mtu mnafiki wa maisha yako Good morning 😍🥰
32
40
84
@LightnessWilson
lightness wilson
2 months
Kuna wale marafiki zetu wale ambao hawachoki kutucheki, kutujukis hali hata kama sisi hatuwatafuti mungu awabariki Sana na awaweke Sana Good morning 🥰😍
32
44
87
@LightnessWilson
lightness wilson
24 days
Usikumbuke maumivu yalipita maishani ila kumbuka Zaid funzo ulilopata Good morning 😍😘
33
36
85
@LightnessWilson
lightness wilson
3 months
Daud alifanikiwa sababu alijua nguvu zake zinatoka kwa bwana, usiangalie ukubwa wa ukuta uliopo mbele Bali mtazame mungu atakusaindia Good morning my family Twitter 😘😘😍
25
37
84
@LightnessWilson
lightness wilson
2 months
Epuka kuwa mwema Sana kwa watu maana sio kila utakayembeba atabebeka wengine wamezoea kutembea Good morning my x family 😘🥰
36
36
84
@LightnessWilson
lightness wilson
2 months
Hakuna dhaifu asiekuwa a faida, usimdharau mtu wala kujiona wewe ndo mkamilifu maisha yanabadilika kwa kasi Sana tuhedhimiane na tupendane Good morning my family Twitter 🥰😍🥰
32
39
84
@LightnessWilson
lightness wilson
3 months
Mambo yakiwa shwari watu wengi hawaonagi umuhimu wa maombi, mambo yakingeuka kidogo huaza kuomba na kufunga, wakat wa unazama siyo wakat wa kujifunza kuongelea Good morning 😘😍
12
32
80
@LightnessWilson
lightness wilson
3 months
Fanya ibadan, tenda Mema, tafuta pesa zako, samehe waliokukwaza, tunza afys yako, ishi maisha yako Good morning 🥰🥰😍
25
29
78
@LightnessWilson
lightness wilson
1 month
Maadaliz ya chakula cha usiku 😋😋😋😜😜
Tweet media one
10
13
78
@LightnessWilson
lightness wilson
4 months
Namuomba Allah atuondoshee shida, dhiki na maradhi atujalie heri Baraka zitawale katika maisha yetu, atujalie upendo, furaha na mashikamano Kati yetu 🙏🙏 Good morning 🥰😍
22
23
77
@LightnessWilson
lightness wilson
2 months
Usiongope, usikate tamaa, usiku wa tabu utapita na Asubuhi itafika hakuna matatizo yanayoisha milele mungu anakuona na atakufikisha salama Good morning 🥰😍😘
34
29
79
@LightnessWilson
lightness wilson
4 months
Ukiwa umepewa pumzi huna haja ya kukataa tamaa kesho yaweza kuwa hadithi nyingne kwako Good morning 🥰🥰😘
27
24
77
@LightnessWilson
lightness wilson
3 months
Hakuna mwanaume anayeweza kuwapa furaha wanawake wawili lazma tu mmoja ateseke Good morning 😍🥰
13
17
75
@LightnessWilson
lightness wilson
3 months
Majaribu yachukulie kama mgeni tu, mgeni akija kwako hata akikaa muda mwisho ataondoka Good morning 😘😍
18
25
76
@LightnessWilson
lightness wilson
5 months
Hakuna aliyeumbwa na roho mbaya au chuki n maisha ndio yanatusumbua na kutupandikiza chuki. Omba sana upewe moyo wa kuridhika ili upunguze choyo a usichukue watu hovyo Good morning 😍😍🥰
18
29
73
@LightnessWilson
lightness wilson
4 months
Hauwez kurund nyuma na kubadilisha yakiyotea mwanzo, Lakin unaweza kuanzia hapo ulipo na kubadilisha yatakayotokea mwisho Good morning my family Twitter 🥰😘😘
25
32
75
@LightnessWilson
lightness wilson
2 months
Usimdharau maisha ya yoyote kwa sababu Kuna wanaoishi kumtengemea. Unayemuona Hana maana kwako Kuna watu wa namuona ndiye wa thamani Zaid kwao. Heshimu uhai kwa asiye kuhusu ujue anawahusu wengne Good morning 😍😘
27
41
74
@LightnessWilson
lightness wilson
1 month
Usimchunguze unayempenda Good morning 😍😍😘
33
41
76
@LightnessWilson
lightness wilson
2 months
Usipoteze akili ukiwa kijana hakika utautesa mwili ukiwa mzee Good morning 😍😘
33
36
76
@LightnessWilson
lightness wilson
3 months
Kuna baadhi ya maneno utayasikia kwa watu kuhusu wewe unatakiwa kuyapuuzia na Kuyacha yapite kwa maana Kuna wakat wataongea vibaya ili kukupoteza kwenye njia na kukutia hofu ya kushindwa na kukata tamaa Good morning 😘😍😘😘
20
43
74
@LightnessWilson
lightness wilson
2 months
Sala yako ni kama miale ya moto inaweza ikaharibu Kaz ya shetani Good morning 🥰😍
27
37
69
@LightnessWilson
lightness wilson
2 months
Siku hizi wanaotupenda kwa dhati huwa tunafikili wamekoswa pa kwenda, tukiwapoteza ndipo tunakumbuka thamani yao Good morning 😘😍
31
35
73
@LightnessWilson
lightness wilson
2 months
Kusamehe ni mwanzo wa maisha mapya Good morning 😍😘
29
39
70
@LightnessWilson
lightness wilson
3 months
Ukiona unapata ujue Kuna wakati utakuwa aupati kwahiyo pesa haichezewi Good morning 😍😘
21
23
71
@LightnessWilson
lightness wilson
26 days
Wakishindwa kukuangusha ulipopandishwa na mwenyez mungu watapambana kueneza maneno ya uogo ili mrandi t watu wakuchukie Good morning 😍😘
32
37
71
@LightnessWilson
lightness wilson
1 month
Usikate tamaa mwenyez mungu anaweza kubadili kila kitu katika maisha yako kwa dakika tu Good morning 😘😍😘
28
32
67
@LightnessWilson
lightness wilson
4 months
Moyo ukiwa sehemu sahihi furaha huwa hailazimishwi Good morning my family Twitter 😍😘
30
26
65
@LightnessWilson
lightness wilson
1 month
Kuna watu unaweza kuwafanyia ubaya ukahisi kwamba umewazuia wasiendelee mbele kumbe kadri unavowafanyia mabaya ndio unazid kuwapa nguvu ya kupambana jifunze kuwa tendea watu mema hujui kesho n Nani atakusaindia ukipata tatizo Good morning 😘😍
28
36
68
@LightnessWilson
lightness wilson
5 months
Mungu akuangazie nuru ya mafanikio maishani mwako🙏🙏 Good morning my family Twitter 😍😘
25
29
65
@LightnessWilson
lightness wilson
1 month
Mungu akupe nguvu ya kuinuka tena popote uliposhuka Good morning 😍😘
33
32
66
@LightnessWilson
lightness wilson
3 months
Vitumbua kwa kingeleza vinaitwaje
Tweet media one
19
10
64
@LightnessWilson
lightness wilson
3 months
Siyo kila changamoto inakuja kukuharibia malengo yako nyingne mungu anazileta kukutengenezea njia. Ishi kwa imani Good morning 🥰😍
23
30
65
@LightnessWilson
lightness wilson
2 months
Kuyaacha yasiyo kuhusu ni utajiri Good morning 😍🥰
34
32
64
@LightnessWilson
lightness wilson
2 months
Nakukumbusha tu ya kwamba hakuna aliyewahi kuchukiwa au kufanyiwa dharau pasinakujulikana undani ya maisha yake kabla Good morning 😍😘🥰
24
28
64
@LightnessWilson
lightness wilson
2 months
Kumekucha tena mungu katuamsha salama 🙏🙏🙏
26
35
66
@LightnessWilson
lightness wilson
4 months
Hakuna mwanamke mjinga katika dunia hii, Bali Kuna wanawake wavumilivu tu ila usiombe uvumilivu ufike mwisho utamba poooooooo🤭🤭 Good morning my dear🥰🥰😘
10
19
62
@LightnessWilson
lightness wilson
4 months
Usichoke kumuomba mwenyez mungu ipo siku atajibu maombi yako Good morning 😍😘
20
21
60
@LightnessWilson
lightness wilson
4 months
Usiwe mwepes sana kushangilia anguko la mtu inawezekana yupo darasani ili ainuliwe zaidi Good morning 😍😘😘
15
17
59
@LightnessWilson
lightness wilson
5 months
Baraka za mungu hazina upendeleo kila mtu atapokea kwa wakati Good morning my family Twitter 😍😍😘
16
22
61
@LightnessWilson
lightness wilson
4 months
Kuna siku utaamka na huzuni, pia Kuna siku utaamka na furaha lakini Kuna siku hautaamka kabisa hivyo maisha n Yale Yale usijione mpya katika ulimwengu wa Zamani Good morning 😍😘
12
24
61
@LightnessWilson
lightness wilson
12 days
Usilazimishe kukaa kwenye kiti ingalikuwa hujakunja goti,, maisha ni hatua Good morning 😘😍
19
22
62
@LightnessWilson
lightness wilson
2 months
Wakat ambao unapitia maumivu ya kuumizwa na unayempenda, Kuna huyu usiyempenda au usiyemjua kuwa anakupenda, naye anapitia wakati mgumu akiwaza ni lini atakupata kila anapokuona Good morning my family Twitter 🥰🥰😍
19
25
60
@LightnessWilson
lightness wilson
3 months
Wakati mwingne ukiambiwa ubaya wa mtu tafuta na wema wake, siku zote hakunanga mzinga unao beba nyuki tu, bila asali ndan yake Good morning my family Twitter 😘😍
20
25
58
@LightnessWilson
lightness wilson
3 months
Good morning my family Twitter 😍😘
Tweet media one
26
27
58
@LightnessWilson
lightness wilson
2 months
Ni siku nyingne tena mungu katuamsha salama Good morning 😍😘
27
31
58
@LightnessWilson
lightness wilson
3 months
Nawashukuru wote mlioshiriki kujitakia siku yang ya kuzaliwa endeleen kuwa na upendo, amani na mashikamano mungu awabariki Sana Good morning 😍🥰
21
22
57
@LightnessWilson
lightness wilson
5 months
Dholuba haipo kwaajil ya kumuacha mungu ila ipo kutukumbusha kumwamini mungu Good morning 😍🥰
15
20
57
@LightnessWilson
lightness wilson
2 months
Hakuna lifti kuelekea kwenye mafanikio, lazma upande ngazi hatua kwa hatua Good morning 😍🥰😍
24
24
54
@LightnessWilson
lightness wilson
4 months
Mikono inayosaindia watu huleta Baraka za mungu haraka, kuliko midomo inayosali kila siku Good morning 😍
19
25
56
@LightnessWilson
lightness wilson
2 months
Neno la kwanza Asubuhi inapaswa kuwa,, ASANTE MUNGU Good morning 😍😘
20
28
56
@LightnessWilson
lightness wilson
4 months
Anza na mungu, kaa na mungu maliza na mungu🙏 Good morning 😍😍
19
24
54
@LightnessWilson
lightness wilson
28 days
Ulipo zaliwa tu Kuna watu walichukia, maana Walijua uwepo wako duniani ndio mwanzo wa mafanikio katika familia yenu Good morning 😘😍
17
23
53
@LightnessWilson
lightness wilson
2 months
Good morning everyone 🌄🌄🌄
Tweet media one
33
21
55
@LightnessWilson
lightness wilson
4 months
Japo kuwa sisi sio wakamilifu inavyotakiwa lkn MUNGU hachoki kutupa Baraka zake kila siku yatupasa kumshukuru🙏 Good morning 🥰😍
15
28
50
@LightnessWilson
lightness wilson
2 months
Ukiwa na hekima ni rahisi kuyaona yajayo Good morning my family Twitter 😍🥰
26
30
51
@LightnessWilson
lightness wilson
4 months
Tunasamehe kwa sababu hatua tunazopitia zinaitaji amani zaidi kuliko chuki tunazohifadhi Good morning 😍🥰
18
25
50
@LightnessWilson
lightness wilson
3 months
Maisha n mafupi Sana so ishi na wanaojali thamani ya uwepo wako na usipoteze mda kwa mtu yeyote asiye na muda na wewe Good morning my family Twitter 😍😘
11
23
46
@LightnessWilson
lightness wilson
1 month
Good morning 😍😘
Tweet media one
24
19
49
@LightnessWilson
lightness wilson
1 month
Kumekucha tena n siku nyingine ya kumshukuru mungu 🙏🙏🙏
14
24
46
@LightnessWilson
lightness wilson
1 month
Heri kufa single kuliko kulazimisha kupendwa mahali usipo mpendwa 😩😩
10
13
46
@LightnessWilson
lightness wilson
4 months
Kusamehe siyo kufunika kosa, kusamehe ni kuachilia jambo na kuamua kuaza upya Good morning my family Twitter 😍😘
11
21
44
@LightnessWilson
lightness wilson
2 months
Yahangaikie mahusiano ambao yanakufanya ulale usingiz vizur, ila Yale yanayojunyima usingiz usihangaike nayo usije ukabaki kulaumu mtu Good morning 😍😘😍
21
28
44
@LightnessWilson
lightness wilson
5 months
Jua lako halitashuka tena wala mwenz wako hautajitenga kwa kuwa bwana mwenyewe atakuwa nuru yako ya milele Isaya 60:20 Good morning 😍😘
20
17
45
@LightnessWilson
lightness wilson
5 months
Ukiwa umepewa pumzi huna haja ya kukataa tamaa kesho yaweza kuwa hadithi nyingne kwako Good morning my family Twitter 🥰🥰😍
10
19
43
@LightnessWilson
lightness wilson
1 month
Kumekucha tena siku nyingne ya kumshukuru mungu Good morning 😍😘
Tweet media one
19
17
43
@LightnessWilson
lightness wilson
10 days
Maumivu ni sehemu ya safari ya maisha inaweza kuwa ngumu Sasa lakini kumbuka kwamba kila uchungu unakuza maumivu na Hekima usikate tamaa Good morning 😍😘
20
20
43
@LightnessWilson
lightness wilson
3 months
Good morning 😍🥰
25
27
42
@LightnessWilson
lightness wilson
3 months
N humu tu 🤗🤗
Tweet media one
4
13
41
@LightnessWilson
lightness wilson
5 months
Moyo ukiwa sehemu sahihi furaha huwa hailazimishwi Good morning 😍😍😘
18
10
38
@LightnessWilson
lightness wilson
4 months
Usithubutu kuweka funguo ya furaha yako kwenye mifuko ya watu wengne, utateseka Sana katika haya maisha Good morning 😍🥰🥰
9
17
38
@LightnessWilson
lightness wilson
1 month
Kumekucha tena mungu katuamsha salama 🙏🙏
11
21
39
@LightnessWilson
lightness wilson
1 month
Good morning my family Twitter 😍😘😍😋
Tweet media one
16
21
39
@LightnessWilson
lightness wilson
4 months
Good morning my family Twitter 😍😘
15
16
39
@LightnessWilson
lightness wilson
3 months
Baby nmeshindwa kulala nipo na kuwaza Jibu kama mpenzi wako😂😂
7
10
38
@LightnessWilson
lightness wilson
13 days
N siku nyingine tena mungu katuamsha salama omba bila kuchoka nnaimani ipo siku mungu atajibu maombi yako Good morning 😍😘
18
20
40
@LightnessWilson
lightness wilson
5 months
Maisha n mafupi Sana ishi nawanaojali thaman ya uwepo wako usipoteze mda kwa mtu asiye na mda na wewe Good morning 😍😍😘
15
17
38
@LightnessWilson
lightness wilson
1 month
Good morning my family Twitter 😍😍😘
Tweet media one
21
15
40
@LightnessWilson
lightness wilson
4 months
Sala yako n kama miale ya moto inaweza kuharibu Kaz ya shetan Good morning 🥰🥰😍
16
19
39
@LightnessWilson
lightness wilson
1 year
Sala ni kama pumzi yetu ya upendo kwa mungu hivyo salio kila wakat, maana mwanadamu bila mungu kamwe hawez kuishi Asubuhi njema wapendwa 😍😍😍😘
5
10
38
@LightnessWilson
lightness wilson
1 month
Si kila ukifanya Maamuzi sahihi Lazima uwe na amani Kuna wakat utapatwa na huzuni baada ya uamuzi Good morning 😍😘
15
24
38
@LightnessWilson
lightness wilson
3 months
Good morning 🥰😍
15
16
35