LAST BORN🇹🇿 Profile Banner
LAST BORN🇹🇿 Profile
LAST BORN🇹🇿

@Last_born97

27,719
Followers
8,206
Following
312
Media
21,053
Statuses

@YoungAfricansSc | @manutd | POLITICAL ANIMAL | DON'T TRUST MY SMILE | A WOUNDED BUFFALO | AM NOT LUCKY, AM BLESSED | I LOVE MYSELF | SELECTIVE SOCIAL #WANAZIHQ

Dar es Salaam, Tanzania
Joined July 2016
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
1 month
Mtaacha lini kula huu upuuzi?
Tweet media one
350
59
726
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
2 years
Retweet kwa mzungu like kwa mayele
Tweet media one
Tweet media two
10
374
1K
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
1 year
Achana na burudani kwa wote, naomba sifa nyingine za warangi😅
Tweet media one
99
59
985
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
1 year
Traffic huwa hawana muda wa kuangalia pesa mbovu, hii ya mwisho wanangu sitawafunza kitu😅😅
Tweet media one
43
68
819
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
1 year
👇 👇
Tweet media one
255
28
686
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
11 months
Nitajie sifa moja ya warangi alafu kimbilia pinned post yangu apo wasikuone😅
Tweet media one
60
31
630
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
10 months
Binti wa kirangi aliyetulia ana wanaume saba
Tweet media one
48
30
625
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
1 year
High school ulimaliza wapi ? Mimi IHUNGO BOYS,BUKOBA TANZANIA
Tweet media one
73
38
417
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
2 years
Mwaka Huu siforce chochote, hata nyumbani nagonga mara Moja wasipofungua naondoka
38
49
365
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
1 year
Ni Tanzania tuu ata ukifa haupumziki😆😆
Tweet media one
29
42
351
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
5 months
Za ndaaaaaaaaaaaani kabisa mwamba kamwaga wino mitaa ya jangwani.
Tweet media one
14
14
356
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
1 year
Confirmed 👍 hii ndio jezi namba 6 ya wanachi next season 😁 Kama hutaki me sikulazimishi😅
Tweet media one
15
16
343
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
1 year
Uteam ,Roho mbaya,chuki, ubinafsi,wivu na uwepo wa chawa zinaendelea kutafuna Muziki wa nchi hii🤐🇹🇿 Nna hoja naomba nisikilizwe ✌
Tweet media one
15
36
317
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
6 months
Binti wa kirangi aliyetulia ana wanaume saba
Tweet media one
35
29
306
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
2 years
Huwezi kuta nyasi kwenye barabara ambayo Ipo bize ✍️
31
32
286
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
11 months
Mimi nalala ila kuweni makini na warangi 😫
Tweet media one
16
29
277
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
1 year
Vijana wote mbaki😆👇
Tweet media one
18
41
269
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
2 years
Bila kwikwi, bila hata presha Shemeji analika tatizo lako wenge 🤣😇
21
34
257
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
8 months
Hapo ukijibu tuu sms ya my wako ujue wamekushindisha njaa😂🙌
Tweet media one
31
28
265
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
5 months
Hiki kiwanja hakiitaji mechi za majaribio kupima ubora wake 😉
Tweet media one
28
44
257
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
1 year
Vinaja wote mbaki thread 🤣🤣
Tweet media one
10
25
233
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
1 year
Aliyeimba tuzikwe wote kaimba am single again "kuweni makini na mapenzi washkaji 🙌😁
27
46
224
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
9 months
Nimechoka kujifanya najua, eti wakuu kwanini ndege nyingi zina rangi nyeupe❓🤣😁😬
Tweet media one
58
30
234
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
1 year
Wanafunzi wa UDOM mate yanawatoka wakiona hii😆😆🙌
Tweet media one
26
31
229
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
6 months
Baba anaitwa MATESO,Mama anaitwa TABU,Mtoto apewe jina gani?
136
30
227
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
2 years
Tuwachanganye wanawake mana wanajifanya kila kitu cha mwanaume wanakijua 😁😂
Tweet media one
54
22
200
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
2 years
Kuna muda tunachoka lakini shida zetu ndio zinatufanya tupambane zaidi 😭😭
26
44
204
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
1 year
Kama niliwahi kusema wanawake wote ni Sawa naomba mnisamehe nimekosa mimi,nimekosa sana...😫🙏
Tweet media one
16
12
198
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
1 year
Njaa na msimamo havikai pamoja
Tweet media one
13
29
193
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
1 year
Like👇 Retweet 👇
Tweet media one
7
48
186
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
1 year
Maisha yanaenda kasi sana 🤣🤣🤣
Tweet media one
7
17
198
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
1 year
Kipindi cha nyuma nilikuwa najuaga vidada vyenye matiti madogo ni bikra😅😁
23
24
187
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
2 years
Alaaniwe aliyevipoteza hivi vifursana. Tajiri yetu Bakhresa kama itakupendeza turudishie sokoni hii bidhaa yetu pendwa kabisa 😇
Tweet media one
26
34
189
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
2 years
Mpe Binti Wa Watu Hela Habari Za Niko Tayari Kufa Kwajili Yako Waachie Wanajeshi 🚮🚮😀
22
43
174
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
1 year
Nisingefika apa gereji kwa Bro mchanga ungeisha bila chochote 😆
Tweet media one
10
23
174
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
2 years
Robert Mugabe once said "If you find your women to be good in bed, that's not good news, since she has trained for long time under different coaches"
16
47
169
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
1 year
wanachuo UDOM mida ya lunch 🤣😆😆😭🙌👇👇
Tweet media one
26
21
172
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
1 year
Huwezi kuta nyasi kwenye barabara ambayo ipo bize Elewa tweet 🤭🤭
28
38
171
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
1 year
Wekeni handle zenu niwafollow basi
Tweet media one
88
29
175
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
2 years
sijui ni ushamba wangu tuu, hivi mmeshawahi kumuona mmasai albino.
16
28
165
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
1 year
Hii nchi mimi nahama yani Waislamu wamefunga, Wakristo wamefunga ila bado asubuhii chapati ni za foleni😫🙌🙌🙌
19
31
165
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
2 years
Last Born ukimpa buku tuu kila anaemsogelea anamuona mwizi😁😁
15
33
167
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
2 years
Kama upo chini ya 10k kama mimi like, retwet kisha weka handle yako tuinuane.
45
35
151
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
8 months
Vijana wote mbaki 👇
Tweet media one
12
33
159
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
8 months
Usitoe kinyeo kulinda mahusiano hamna shule itakufundisha hii📌
Tweet media one
9
21
160
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
1 year
Brother Bernard...🙂 Naomba support yako kwa kuretweet pale pinned post 🙏
Tweet media one
8
18
152
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
2 years
Cku hz elfu kumi ina tabia ya elfu moja😂
16
31
146
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
1 year
Mimi Mkristo ila nimeota nipo msikitini naswali,hii ndoto ina maana gani wakuu🤔❓
21
41
156
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
1 year
Umepanga zako ufanikiwe ndio uoe.. Kumbe Mungu amepanga uoe ndio akupe mafanikio..🤣🤣🤣
Tweet media one
10
34
150
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
1 year
Ukiona mama wa kambo anakupenda we jua mshua Fundi 😅
19
34
151
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
2 years
Hivi ni kweli binadamu wote ni sawa❓
16
32
148
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
1 year
Hizi pisi zinapatikana mkoa gani❓nna jambo langu kabla mwaka haujaisha
Tweet media one
22
28
145
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
2 years
Leteni handle zenu tuzifollow hapa
48
32
146
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
1 year
Tafuta hela songea ni stendi ya superfeo 😅
Tweet media one
8
22
145
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
2 years
Vijana wote Mbaki 👇😀😁
Tweet media one
19
32
145
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
1 year
Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa👇😂
Tweet media one
15
17
146
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
1 year
Huwa unatumia njia zipi kuimarisha mahusiano na mwenza wako? Naomba ushauri wapwa kabla maji hayajamwagika🤣🤣🤣
14
41
150
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
1 year
Ni Tanzania tuu masai akipita njiani tunamuita "Rafiki"
Tweet media one
15
28
142
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
1 year
Wakisema unaringa sana wakumbushe kuna wakati hukuwa binadamu wa kawaida @diamondplatnumz Before. After
Tweet media one
Tweet media two
7
30
145
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
4 months
Hiv wanaume bado mnafanya huu upuuzi🥱
Tweet media one
12
23
147
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
1 year
kibiolojia wanawake wana matamanio kuliko wanaume ila kinachowazuia ni aibu tu bila hivyo wangetubaka njiani 🤣🙌
15
29
141
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
1 year
Karibu ujipatie Asali mbichi ya nyuki wadogo na wakubwa, ambayo haijachanganywa na chochote wala kuchakachuliwa, Ladha tunayoipenda, kufika mpaka ulipo, kwa bei tunayoimudu kila tunapohitaji kwa maelezo kuhusu Asali, matumizi na jinsi ya kuipata tupigie kwa 0766909548. Dsm/Dodoma
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
13
90
143
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
4 years
💚💚💚💚💚💚💚💚💛🖤🖤💛 💚💚💚💚💚💚💚💛🖤🖤💛💙 💚💚💚💚💚💚💛🖤🖤💛💙💙 💚💚💚💚💚💛🖤🖤💛💙💙💙 💚💚💚💚💛🖤🖤💛💙💙💙💙 💚💚💚💛🖤🖤💛💙💙💙💙💙 💚💚💛🖤🖤💛💙💙💙💙💙💙 💚💛🖤🖤💛💙💙💙💙💙💙💙 💛🖤🖤💛💙💙💙💙💙💙💙💙
11
26
127
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
2 years
Twitter wa waswahili Malaya ni Nani na shangingi ni Nani ❓
17
28
134
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
2 years
Mimi najua mtaachana tuu, endeleeni kupeana mate kama mnafanya titration na chemistry mlipata 0% wote 🚮🚮
12
23
137
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
1 year
Sasa unaingia Dodoma 😫🙌👇
Tweet media one
16
13
134
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
1 year
Uzuri wa kuwa na chako ata kama ni kidgo hakinaga masimango✍
Tweet media one
5
31
140
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
1 month
Ukipata nafasi ya kumchanganya pisi ya elfu mbili usiichezee mchanganye haswa😆😆😆
Tweet media one
13
28
142
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
1 year
Mimba ni nini na ujauzito ni nini🤭❓
Tweet media one
18
27
139
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
1 year
Twitter wanasheria hii kesi jamaa amesalumika vipi❓🤔
Tweet media one
8
14
139
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
2 years
Kwaiyo Leo mdaka mishale atadaka mshale wa Fey Toto😃😃🤔
8
23
133
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
1 year
We Salome nishaanza kukutunzia mahali ya mzee wako usizingue sasa😆😆
Tweet media one
10
22
138
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
2 years
Msipojitaabisha kwa faida yenu wenyewe mtataabishwa kwa faida ya wengine. By mwl J.K.Nyerere
10
39
136
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
3 months
👨‍💻 Interviwer: Kwaiyo mdogo angu ulikua unataka tuwe tunakulipa shingapi..? 🙎‍♂️Me: Million nne... 👨‍💻Interviwer: Unaonaje tungeanza na million nane?... 🙎‍♂️Me: Aah! Braza acha utani basi 👨‍💻Interviwer: Utani umeuanza wewe mdogo angu, aya toka nje...
18
43
139
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
1 year
Vijana wote mbaki thread 😆🙌
Tweet media one
19
21
132
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
10 months
1. Dunga Mawe-Kontawa 2.Selemani (Sele)-Mbosso 3. Yahaya -Jide 4. Side Mnyamwezi -Temba 5.Mtoto Idd - Juma Nature 6.Lava Boy-Chegge 7.Mzamiaji-TMk Halisi 8. Mzee wa Busara- Juma Nature Kwenye Hii List Nani Kakushinda Tabia..😅🙌
48
34
138
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
9 months
Hawana muda wa kuangalia pesa mbovu, hii ya mwisho sitawafundisha kila kitu 🙂
Tweet media one
9
38
134
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
1 year
Unaanza mazoezi ya kupunguza tumbo mara mimba hiyooo🤣🤣
20
31
131
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
1 year
Huyo Lecturer achukue namba, attendance,atoe quiz, vipimo vya damu hata achukue na sample za DNA ila siingii class week hii🤣🤣
13
17
132
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
4 months
Chaguo ni lako Jela. Kifo
Tweet media one
24
14
135
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
11 months
Kama wanawake wasingekuwepo sijui wanaume weupe wangetueleza nini sisi black niggaz 😆
11
37
132
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
7 months
We maliza tuu chuo kwanza nina watu wizarani utapata ajira serikalini mapema sana
Tweet media one
22
33
133
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
2 years
Nafollow wote mtakao like,rerweet na reply 🤝
20
29
128
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
2 years
Mpaka text ya mbona kimya inakaliwa Kimya 😀😀
19
16
129
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
8 months
Gigy Money,Gigy Pesa,Gigy maokoto nasikia part 2 ina dk 20 bana🤣
Tweet media one
14
10
129
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
8 months
Last Born nazeeka sasa🙌🙌🙌😭😭🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂 Happy Birthday to ME
Tweet media one
51
57
128
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
8 months
Shemeji hatongozwi kwa msg utaaibika,Mwambie mkiwa wawili hachomoi hamna shule utafindishwa hii😁
6
28
131
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
1 year
Kuna wanawake bado wanasema eti kila Tunachofanya Mwanaume na wao wanaweza EBU FANYENI HIVI👇👇😆😆
Tweet media one
23
39
129
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
1 month
Ukimzoesha Pesa hakikisha unamuoa,usituachie matatizo wengine.
16
34
130
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
1 year
Unaanza Kunyamaziwa Siku Mara Wiki Mara Mwezi Mara Shwaaa 🚮
13
18
128
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
1 year
Shida yao wanadhani future husband ni watu tofauti...✍
Tweet media one
5
12
127
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
6 months
Hizi nafasi za ajira mnazozitangangaza kama mmeshaweka ndugu zenu au mnataka vibunda mtuambie jamani ili sisi watoto wa kimasikini tusio na connection tusijisumbue
10
43
128
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
10 months
Naitwa Irene natokea Dar nimeokoka nampenda Yesu 😭😫👇
Tweet media one
21
33
127
@Last_born97
LAST BORN🇹🇿
1 year
… Aaaah! huyu demu wake nani? (nani) Anipandisha mi dadi (dadi) Antafutia lawama Mwamhieni bwana..😅
Tweet media one
15
27
127