Mwanetu JAKE PUOL alituma dongo kwa MIKE TYSON kang’ata sikio
Mwana n kama anamaanisha akimpiga asije akakimbilia kung’ata sikio tena kama alivyofanyanga kwa HOLYFIELD mwaka 1997 baada ya mambo kua magumu
Sema mazoezi anayoyafanya mzee wetu MIKE TYSON sijui ?
Ataua 😂🙌🏿