Joachim Mabula Profile Banner
Joachim Mabula Profile
Joachim Mabula

@JoachimMabula

355,887
Followers
821
Following
3,373
Media
45,701
Statuses

Founder & CEO @TibaFasta | Advisory Board Member @YouthCNTDs | Former Gender & Sexuality Fellow @UCL | Former Clinical Research Fellow @BarrowNeuro

London, England
Joined May 2009
Don't wanna be here? Send us removal request.
@JoachimMabula
Joachim Mabula
7 years
Children will play with everyone. Until a parent tells them not to.
Tweet media one
126
4K
6K
@JoachimMabula
Joachim Mabula
4 years
Mchungaji Akihitaji Gari Jipya, Tunachanga. Muumini Akikwama, Tunamuombea! 😂
125
209
2K
@JoachimMabula
Joachim Mabula
5 years
Shahada za elimu ulizonazo ni vipande vya karatasi tu. Elimu yako inaonekana kwenye tabia yako na jinsi unavyojiendesha.
75
181
1K
@JoachimMabula
Joachim Mabula
4 years
Nakwambiaga uwache kimbelembele lakini husikii. Sasa nani kakuambia ulipie mtoto wako ada ya mwaka mzima? 😂😂😂
122
84
1K
@JoachimMabula
Joachim Mabula
10 months
Kwenye kutafuta haya matunda wengi tushashuka toka juu kwa mwendo usiofurahisha na kuacha makovu ya maisha! 😁😁😁
Tweet media one
223
95
1K
@JoachimMabula
Joachim Mabula
4 years
Watumiaji wenzangu wa Twitter mnaelewa kwanini tunaendelea kutumia VPN hadi leo? 😂😂😂
118
41
1K
@JoachimMabula
Joachim Mabula
5 years
Maisha ya mtandaoni ni kama fuko la taka yaani unaweza kung'ang'ana kumwelewesha mtu kuhusu kanuni fulani za maisha kwa nguvu zote na haelewi kumbe ni mtoto wa kidato cha pili yuko bwenini ila ana simu janja tu.
115
153
1K
@JoachimMabula
Joachim Mabula
5 years
Nimetoa top yake, akanyamaza. Nimetoa bra, akanyamaza. As I was trying to remove her pant akashout, "Hey jirani! Unamaanisha hio nafasi haitoshi kuanika blanket yako?" Nimerudi na nguo zangu kwa hiyo nikaamua ntazianika kesho. Wewe endelea kuoza akili! 😂😂😂
118
90
1K
@JoachimMabula
Joachim Mabula
3 years
Kuabudu MUNGU sio PART TIME na wala sio SOMETIME usiseme SINA TIME. IBADA inatakiwa FULL TIME tena ON TIME ukiweza piga OVER TIME. KIFO ni ANY TIME.
31
195
1K
@JoachimMabula
Joachim Mabula
4 years
Ukikosa pesa tafuta nguvu, ukikosa na hizo nguvu basi uwe na hata mikwara tu. 😂😂😂
50
82
1K
@JoachimMabula
Joachim Mabula
4 years
Ukiwa mstari wa mbele kusaidia wagonjwa wa korona. Hakuna kitu kinavunja moyo na kuua morali wa kazi kama kutopata posho na vitendea kazi kwa wakati. 😇
54
141
1K
@JoachimMabula
Joachim Mabula
4 years
Kiingereza bhana ...ukiongea kimoyo moyo unasound good tu, toa sauti sasa! 😂😂😂
108
69
1K
@JoachimMabula
Joachim Mabula
4 years
Kampuni la Baiteknolojia toka Israeli limedai limepata dawa ya virusi vya korona inayotibu kwa 100% imetibu watu kadhaa walikuwa mahututi na sasa imepelekwa Marekani kwa majaribio zaidi. #TibaFasta
142
253
1K
@JoachimMabula
Joachim Mabula
5 years
Kukimbilia kuoa ni uoga wa kutongoza na kuhonga! 😂😂😂
108
88
1K
@JoachimMabula
Joachim Mabula
5 years
Ukiaangalia TBC 1 kila kinachoonyeshwa haipiti dakika bila kumshukuru Rais. Na hakuna mwenye mawazo mbadala yaani kila kitu PERFECT tu. Kweli tuko vizuri. Televisheni imekuwa ya chama kabisa sio ya taifa tena.
152
133
1K
@JoachimMabula
Joachim Mabula
5 years
Half naked girls are hot, while well dressed girls are beautiful. Hell is hot, while heaven is beautiful. The choice is yours. 😂😂😂
51
227
1K
@JoachimMabula
Joachim Mabula
5 years
Zamani kidogo, nyumba nzuri zikiwa zinajengwa mtaa mmoja utaambiwa za Ridhiwani, yakipita magari makubwa yanayofanana ya Ridhiwani, ikijengwa hoteli kali ya Ridhiwani yaani kila kitu kizuri cha Ridhiwani. Kweli kila zama na mambo yake! 😂😂😂
170
96
1K
@JoachimMabula
Joachim Mabula
7 years
Ninayo furaha kubwa mke wangu mpendwa kujifungua mtoto wa kiume baada ya uchungu wa muda mrefu. Sifa & utukufu kwa Muumba na wakunga.
217
100
1K
@JoachimMabula
Joachim Mabula
6 years
Mchungaji kaona simu yangu niliyonunua laki 5, akasogea & kuniuliza kwa upole nimenunua bei gani, kwakuwa natoaga sadaka kidogo nikamjibu nimenunua elfu 50. Akanipa laki 1, nikanunue 2, yake & ya mke wake. Sasa ndio namuuliza Mungu kwanini kaamua kuniadhibu mbele ya mchungaji! 😂
135
185
1K
@JoachimMabula
Joachim Mabula
6 years
Heka moja ya matikiti ina uwezo wa kutoa matikiti 10,000 ambapo kila tikiti ukiamua kuuza kwa bei ya haraka ni 2,000 Tshs kwa hiyo ukichukua idadi ya matikiti 10,000 X 2,000 Tshs =20M ukitoa laki 4 za uzalishaji unabakiwa na 19.6M. Kilimo cha kwenye makaratasi rahisi sana. 😂😂😂
Tweet media one
198
141
1K
@JoachimMabula
Joachim Mabula
4 years
Ukitoa noti ya msimbazi baa unaonekana mtu wa maana ila ukitoa noti hiyo kwenye daladala unaonekana msumbufu! 😀😀😀
46
54
1K
@JoachimMabula
Joachim Mabula
4 years
Epuka kuongea Kiingereza mbele za watu ili wakuone msomi, jana jamaa yupo msibani kapokea simu eti "I am at death" 😂😂😂
115
41
1K
@JoachimMabula
Joachim Mabula
3 years
No body cares unless you are beautiful, rich, popular or dead. 😂😂😂
29
138
1K
@JoachimMabula
Joachim Mabula
4 years
Remove age from your plans, it adds unnecessary pressure.
22
190
1K
@JoachimMabula
Joachim Mabula
3 years
Kupata marafiki wazuri ukiwa huna mkwanja nayo ni mafanikio makubwa.
39
116
1K
@JoachimMabula
Joachim Mabula
4 years
Leo ni katikati ya mwaka, tumemaliza siku 183 na zimesalia siku 183. Nakutakia Amani, Furaha na mafanikio ya nusu mwaka.
45
74
1K
@JoachimMabula
Joachim Mabula
4 years
Endelea kulala kama unataka kudumisha urafiki wako na umaskini.
49
113
1K
@JoachimMabula
Joachim Mabula
4 years
Sio sigara tu hata kuwa na mpenzi asiyekupenda kwa dhati ni hatari kwa afya yako. 😂😂😂
46
88
1K
@JoachimMabula
Joachim Mabula
3 years
Stop looking for a partner. Focus on your goals and rebuilding your life. The right person will eventually find their way to you.
33
170
1K
@JoachimMabula
Joachim Mabula
5 years
Ili kuongeza uwezekano wa kupata mtoto wa kiume inapaswa kufanya tendo la ndoa kwa mtindo ambao unaruhusu uume kuingia ndani zaidi (deep penetration) kitu kitakachorahisisha mbegu kufika haraka kwa yai. #ElimikaWikiendi
Tweet media one
142
218
1K
@JoachimMabula
Joachim Mabula
4 years
Usipende Usingizi, Usije Ukaingia Katika Umaskini. Fungua Macho Yako, Ushibe Mkate. -> Methali 20:13
17
126
1K
@JoachimMabula
Joachim Mabula
4 years
Ukiwa umeshiriki ngono bila kinga na mtu na ukafahamu ana VVU kama bado ndani ya masaa 72 unaweza kupata dawa zitakazo kukinga na VVU katika kliniki zinazotoa huduma za afya kwa watu wanaoishi na VVU. #ElimikaWikiendi
Tweet media one
71
191
1K
@JoachimMabula
Joachim Mabula
5 years
Ushawahi kupewa halafu kichwa hakiingii? Yaani helmet zingine ndogo sana kichwa kikubwa hakiingii. We endelea kuoza akili. 😂😂😂
134
56
1K
@JoachimMabula
Joachim Mabula
4 years
Kupata marafiki wa kweli ukiwa huna mkwanja ni mafanikio makubwa mno.
31
111
980
@JoachimMabula
Joachim Mabula
4 years
Umeshawahi kummiss EX wako mpaka unatamani kumpigia simu kumuuliza kama ana chaji ya pini ndogo? 😂😂😂
68
31
989
@JoachimMabula
Joachim Mabula
5 years
Mabinti wa kiafrika, mnapendeza zaidi na hizo nywele na ngozi zenu za asili, msijitie na kututia gharama zisizo na mpango kununua mawigi na vipodozi vya kujichubua. 😂
Tweet media one
58
94
976
@JoachimMabula
Joachim Mabula
6 years
Punyeto inaweza kumsaidia mtu kuondoa mkazo (stress), kuboresha hali (mood), kumsaidia mtu kupata usingizi, huongeza umakini (concentration) na ufanisi katika tendo la ndoa n.k! #ElimikaWikiendi
217
151
967
@JoachimMabula
Joachim Mabula
4 years
Avoid friends that won't mention your name in a room filled with opportunities.
21
239
973
@JoachimMabula
Joachim Mabula
4 years
Mnaona Jinsi Tulivyo Wachache Online na Ndivyo Hivi Hivi Tutakavyo Kuwa Peponi! 😆😆😆
63
39
979
@JoachimMabula
Joachim Mabula
3 years
Umeshawahi kummiss EX wako mpaka unatamani kumpigia simu kumuuliza kama ana chaji ya pini ndogo? 😆😆😆
57
42
970
@JoachimMabula
Joachim Mabula
4 years
Usiache kumwambia mtu hisia zako juu yake maana fursa hupotea fasta na majuto hudumu maisha yako yote.
23
100
955
@JoachimMabula
Joachim Mabula
3 years
If a friendship lasts longer than 7 years, psychologists say it will last a lifetime.
48
88
944
@JoachimMabula
Joachim Mabula
4 years
Guys, close your eyes. Imagine you have a daughter. Imagine she is dating a guy like you. Did you smile? No? Then change. 😂😂😂
52
79
926
@JoachimMabula
Joachim Mabula
6 years
Huyu jamaa anajua Kiingereza cha kuombea maji kaniaomba selfie, kimsingi hajawahi kukutana na mwafrika hata haijui #Afrika . Ana taaluma ya uhandisi, sijui shule ya msingi hawafundishwi Jiografia ama ramani ya dunia. Wakati niko shule ya msingi naijua dunia nzima Kwa Atlas! 😂😂😂
Tweet media one
66
83
923
@JoachimMabula
Joachim Mabula
5 years
Mzazi awe amesoma au hakusoma bado ni muongozo mkubwa kwa maisha yako.
27
131
907
@JoachimMabula
Joachim Mabula
3 years
Atakayefanikisha kurudisha akaunti yangu ya Gmail iliyokuwa hacked 3 hrs ago nampa 100K hapo hapo na zawadi nono baada ya hapo.
67
37
908
@JoachimMabula
Joachim Mabula
3 years
Maumivu ya kufunga ndoa na mtu asiyefaa ni makali kuliko hofu ya kuzeeka bila mwenza wa maisha. Ndoa sio mashindano, tumia muda wa kutosha kusitawisha sifa bora na kuzitafuta kwa umpendae kabla ya kufanya maamuzi mazito. Ni bora kusubiri muda mrefu kuliko kukurupikia asiyekufaa.
61
186
916
@JoachimMabula
Joachim Mabula
5 years
Nilipokuwa mdogo nikiwa Kahama nilitamani sana kwenda Dar es Salaam, nilipokuwa mkubwa nikatamani New York, Mungu si Athumani pote nimefika sasa natamani kwenda "Mbinguni" tu ila sio kufa sasa hivi. 😂😂😂
86
59
905
@JoachimMabula
Joachim Mabula
4 years
The relationship between fish and water makes me believe that betrayal is real when I see water participating in cooking the fish. 😂😂😂
28
123
904
@JoachimMabula
Joachim Mabula
4 years
Wapwa kabla ya kubanjuka kavu kavu siku hizi kuna vipimo vingi mno vya kupima VVU kwa haraka na uhakika, kuna vingine unapima kwa mate tu na kinakupa majibu chap. Kama hakuna vipimo ni bora kutumia kinga. #WapwaTuinuane
Tweet media one
60
88
894
@JoachimMabula
Joachim Mabula
4 years
Usijenge urafiki na starehe wakati shida ni jirani yako.
25
105
886
@JoachimMabula
Joachim Mabula
5 years
Ushawahi kupenda halafu unayempenda hataki kuonekana na wewe? Yaani anakukwepakwepa tu. Hiyo ndiyo relationship yangu na pesa kipindi hiki!
49
87
878
@JoachimMabula
Joachim Mabula
6 months
Waungwana ni app gani mnatumia kuangalia soka mbashara (LIVE) bure? Nimewahi kutumia Goal9 ila siioni sasa.
79
93
893
@JoachimMabula
Joachim Mabula
4 years
Tell a friend to tell a friend @kigogo2014 is back again after a long vacation. 😂😂😂
27
40
837
@JoachimMabula
Joachim Mabula
5 years
Kuna mhindi mmoja kanikosha sana kwenye ndege, mhudumu kaenda na kiingereza kingi kwa yule mzee. Mzee akamjibu ongea lugha ya taifa mie sielewi lugha zenu. Mie woyoo, #Kiswahili oyee! Chiii! 😂😂😂
32
59
830
@JoachimMabula
Joachim Mabula
4 years
Msichana mzuri hujaolewa mpaka leo, uko kwenye uhusiano kama unasomea u-dokta. Waswahili buana! 😂😂😂
25
45
828
@JoachimMabula
Joachim Mabula
4 years
Ndoto zako nzuri hazitatimia kama utaendelea kulala.
21
82
825
@JoachimMabula
Joachim Mabula
5 years
Hello beautiful people. I thank Jehovah God to be awarded a Commonwealth Scholarship @commschols funded by the Department of International Development @DFID_UK to study a Master of Public Health (MPH) at The University of Manchester @OfficialUoM
138
62
821
@JoachimMabula
Joachim Mabula
4 years
"Wenye ideas hawana capital, wenye capital hawana ideas, trade your ideas to the people with capital and get partnership into practice." -> @MarekaMalili
24
97
822
@JoachimMabula
Joachim Mabula
3 years
Kuna wakati unaomba kazi hadi unakata tamaa kumbe kwenye CV yako umeandika wewe ni MD au CEO wa kikampuni chako sasa HR anaona unatafuta kazi ya nini? 😂😂😂
37
37
812
@JoachimMabula
Joachim Mabula
9 months
Nyoosha hiyo njia nishakuona! 😂
Tweet media one
51
49
836
@JoachimMabula
Joachim Mabula
6 years
Jamani tutafute pesa faida zake ni nyingi mno, hata ukipotea utatafutwa tu.
50
127
821
@JoachimMabula
Joachim Mabula
3 years
Sijui funguo za mafanikio, ila najua funguo za kutofanikiwa ni kujaribu kumpendeza kila mtu.
9
83
816
@JoachimMabula
Joachim Mabula
5 years
Wale wanaweza kutumia GB 1 ya Data za INTERNET kwa mwezi mzima, wanaweza kuongeza "Data Management Skills" kwenye CV zao! Chiii! 😂😂😂
Tweet media one
49
101
798
@JoachimMabula
Joachim Mabula
5 years
Rafiki wa kweli ni yule mtu anayefahamu uliyopitia na unayopitia sasa na bado anaamini utafanikiwa hapo baadae.
17
115
778
@JoachimMabula
Joachim Mabula
4 years
Wanawake wanene au wenye uzito kupita kiasi au waliozaa huwa na matumbo makubwa au vitambi vinavyoharibu muonekano wao mzuri. Ili kuwa na tumbo zuri (flat belly) bila ya kuwa na mtaalamu wa mazoezi (waist trainer) fuatilia huu uzi (thread). #TibaFasta
Tweet media one
41
233
790
@JoachimMabula
Joachim Mabula
5 years
Unachopaswa kukifahamu kuhusu Ugonjwa wa Ebola. Retweet iwafikie na wengine.
16
718
782
@JoachimMabula
Joachim Mabula
4 years
Mwanaume anayeoa mwanamke mrembo sana na mkulima anayepanda mazao mazuri pembezoni mwa barabara, wote wanapatwa na matatizo yaleyale. 😆😆😆
41
50
768
@JoachimMabula
Joachim Mabula
3 years
Wasamehe watu wengine si kwasababu wanastahili msamaha wako ila ni kwasababu unastahili amani ya moyo na akili.
16
98
788
@JoachimMabula
Joachim Mabula
5 years
A school bell that sounds annoying at 7am, sounds exciting at 4pm. It's just a matter of time. 😂 😂 😂
Tweet media one
10
146
770
@JoachimMabula
Joachim Mabula
4 years
Wakati mwingine inabidi tu kukubali sio kila mtu anayekuwa moyoni & akilini mwako anaweza kuwa kwenye maisha yako halisi.
15
87
770
@JoachimMabula
Joachim Mabula
5 years
Ukomavu ni kukaa kimya hasa pale unahisi unaweza kuongea maneno yasiyofaa sehemu ulipo. Si wakubwa wote wana uwezo huo.
12
102
764
@JoachimMabula
Joachim Mabula
4 years
"Hakuna umasikini mbaya kama umasikini wa mawazo, ni umasikini mbaya sana". -> Mwl. Julius Nyerere
5
106
773
@JoachimMabula
Joachim Mabula
4 years
Maisha ya siku hizi ni vituko, ukiangusha simu unapaniki ila rafiki yako akianguka unacheka. 😂😂😂
25
64
759
@JoachimMabula
Joachim Mabula
6 years
Vyakula Vinavyoongeza Uwezo wa Kujamiana: Nguvu na nyege ni muhimu katika kufurahia tendo la ndoa, maparachichi yanaweza kukupa vyote viwili. Maparachichi yana madini, mafuta (yanayolinda moyo na kupunguza lehemu) na vitamin B6 ambavyo vyote hukupa nguvu na nyege. #TibaFasta
Tweet media one
65
172
746
@JoachimMabula
Joachim Mabula
6 years
Unaweza usivutiwe na siasa za hapa nchini lakini huwezi kukwepa matokeo ya siasa maana ndio utawala wa wote bila kujali unavutiwa au la!
22
108
744
@JoachimMabula
Joachim Mabula
5 years
Siku nyingine ukiona kodi ya pango inakaribia ukingoni, mfuate mwenye nyumba muombe akukopeshe hela ili umlipe kodi yake. Mbaki mnadaiana madeni ya kawaida! 😂😂😂
50
50
736
@JoachimMabula
Joachim Mabula
4 years
Haijilishi ukubwa wa elimu, kipaji, nguvu au utajiri ulionao. Jinsi unavyowatendea wengine ndio kipimo cha utu na uadilifu wako.
11
89
746
@JoachimMabula
Joachim Mabula
5 years
Ushawahi kum-miss mtu mpaka unatamani umpigie, umuombe chaja ya pin ndogo? 😂😂😂
52
43
725
@JoachimMabula
Joachim Mabula
4 years
Vile nachukua dondoo muhimu kutoka kwenye kitabu kipya. 😂
Tweet media one
23
36
734
@JoachimMabula
Joachim Mabula
4 years
#Tanzania  bana, bangi ikikutwa shambani kwako ni yako ila ikikutwa dhahabu au gesi ni ya serikali. 😂
33
57
737
@JoachimMabula
Joachim Mabula
5 years
If you pray for a good wife, also pray she have good friends too, because those idiots are the board of directors. 😂😂😂
54
129
735
@JoachimMabula
Joachim Mabula
5 years
Avoid posting your personal problems on social networks. Your personal problems require personal solutions and not social attention.
Tweet media one
21
166
723
@JoachimMabula
Joachim Mabula
3 years
Usimlaumu yeyote katika maisha yako, watu wazuri watakupa furaha na watu wabaya watakupa ujuzi wa mambo katika maisha na utajua pa kusimama.
18
102
725
@JoachimMabula
Joachim Mabula
4 years
Jifunze kukimbia hali zote zitakazoharibu amani yako ya moyo & akili na kukushusha hadhi.
14
88
719
@JoachimMabula
Joachim Mabula
7 years
Leo nimeamka alfajiri nifanye jogging kidogo nikakumbuka maandiko ya Biblia Methali 28:1 ~> "Muovu hukimbia hata asipokimbizwa" Nikaamua kurudi kulala. Neno la Mungu ni la kuheshimu sana! 😂😂😂
85
116
717
@JoachimMabula
Joachim Mabula
5 years
Furaha inapatikana pale unapoacha kulinganisha maisha yako na ya mwingine. Kila mmoja kabarikiwa kivyake.
17
98
694
@JoachimMabula
Joachim Mabula
4 years
Wakati wanasiasa wanapoomba kura zetu wanaweza hata kula minyoo kwenye mhadhara, mpe kura sasa utajibeba! 😂😂😂
28
31
702
@JoachimMabula
Joachim Mabula
4 years
Heshimu mahusiano ya wengine, anzisha wa kwako. Yanini kuhangaika na samaki aliyekwisha vuliwa wakati kuna samaki wengi baharini.
67
79
703
@JoachimMabula
Joachim Mabula
5 years
Wakati mwingine ni bora kujishusha ili kuokoa wengine.
Tweet media one
29
166
673
@JoachimMabula
Joachim Mabula
5 years
Bado naendelea kuamini kuwa mtu uliyepangiwa kuwa nae maishani mwako atakuwa wako tu bila kujali ni miaka mingapi au umbali kiasi gani kati yenu.
31
63
675
@JoachimMabula
Joachim Mabula
5 years
Nobody cares unless you are beautiful, rich, popular or die! 🤔
17
134
661
@JoachimMabula
Joachim Mabula
5 years
Unalalamika Mungu hajibu sala zako wakati wewe hujibu meseji za watu. 😂😂😂
46
83
665
@JoachimMabula
Joachim Mabula
4 years
Mmoja wa wafiwa alitembelea Ofisi za Manispaa ya Ilala, akaona kitabu cha "Mazishi ya #COVID19 " na marehemu baba yake alikuwa namba 256. Kama ni Ilala tu hiyo basi tutaisha kimya kimya. #COVID19TZA #COVID19Tanzania
45
97
674
@JoachimMabula
Joachim Mabula
4 years
Tatizo kubwa la watu wenye uelewa mdogo ni kuropoka kila wakati hata ambapo hapastahili.
18
60
670
@JoachimMabula
Joachim Mabula
4 years
Boys are more kind than girls. You know why? Because girls never help unknown boys, but boys always help unknown girls. No one can reject this fact. 😂
21
82
663
@JoachimMabula
Joachim Mabula
4 years
You are married and still want a hot girl. Go and boil your wife! 😆
39
42
671
@JoachimMabula
Joachim Mabula
4 years
I am so proud of my university, The University of Manchester @officialUoM which is working towards developing a test for COVID-19 that could be used at home like a domestic pregnancy test.
Tweet media one
37
103
665
@JoachimMabula
Joachim Mabula
4 years
Kwa hiyo ukitajwa na Rais wakati wa mazungumzo yale lazima usimame umuinamie au?
59
15
657