BAD KID CHILL CITY🌟 Profile Banner
BAD KID CHILL CITY🌟 Profile
BAD KID CHILL CITY🌟

@HastaRuego

4,758
Followers
2,634
Following
662
Media
65,974
Statuses

Basketball anthusiast 🏀 | Die-hard fan of @celtics | @ManUtd | @SimbaScTanzani 🦁| Series, Movie & Hip hop lover | Arts aficionado 🎨 | Zero Fatigue ☘️

Dar es Salaam, Tanzania
Joined November 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
8 months
Mkuu una option ya ngoma moja tu hapa ipigwe,utachagua ngoma gani?
Tweet media one
433
56
767
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
9 months
Nimechoka kupretend wanangu,hii T huwa ina kazi gani?
Tweet media one
195
43
704
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
4 months
Unapiga ngoma gani moja hapa Kali?
Tweet media one
316
32
644
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
4 months
1. Abraham - wake wa 2 2. Jacob - wake wa 4 3. David - wake wa 4 4.King Solomon - wake 700 5.Rehoboam - wake 18 6.Abijah - wake 14 7.Elkanah - wake 2 8.Lamech - wake 2 Na wote hawa walipata kibali machoni mwa bwana.Nilikua nasoma biblia hapa.
64
62
488
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
4 months
Hivi "Mwanya" kwa kingereza unaitwaje? 😎
Tweet media one
228
30
397
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
22 days
@thepophive Nah bro not really
0
3
399
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
9 months
Hii inakufundisha nini maishani?
Tweet media one
91
27
314
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
3 months
Umemtambua msanii gani hapa? 😎
Tweet media one
124
19
296
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
18 days
@moviecentrale Top 240 series to watch . Which series missed out? 1. Breaking Bad 2. Game of Thrones 3. The Sopranos 4. The Wire 5. Snowfall 6.  Twin Peaks 7. The Crown 8. The Mandalorian 9. Chernobyl 10. The Queen's Gambit 11. Merlin 12. The Office (US) 13. Fargo 14. The two of us 15.
21
93
286
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
6 months
Unauweo wa kumaliza mayai mangapi yaliyo chemshwa mkuu? 😬
Tweet media one
62
25
244
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
1 month
@XXL Keep it We don't want these garbage 🗑️
5
7
246
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
11 days
@chartdata @Eminem Greatest to ever bless the microphone 🎙️
3
2
238
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
9 months
Wanangu wa mathematics, hapa jibu ngapi?
Tweet media one
141
22
214
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
9 months
Wanjenzi,hiki kifaa kina itwaje na kina kazi gani?
Tweet media one
79
20
216
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
4 months
Unaweza kununua huu msosi kwa 50k?
Tweet media one
40
16
197
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
9 months
Nimechoka kujifanya najua washkaji zangu,hivi vitambaa vinaitwaje?
Tweet media one
44
18
181
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
3 months
Respost ifike mbali Hii siyo normal wazee. 🙏
Tweet media one
1
137
189
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
7 months
"911 what is your emergency" 😎 Ungekuwa wewe ungefanyaje Hapa!?
Tweet media one
90
20
177
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
4 months
MUNGU fundi sana, The female body is amazing fr ❤️🫶
Tweet media one
15
13
177
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
7 months
Unajua nini kuhusu masela wenye vichogo? 😬
Tweet media one
69
18
171
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
5 months
Nimeokota hizi coins,hizi ni coins za nchi gani?
Tweet media one
60
18
152
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
9 months
Ulileta suruali au shati!?
Tweet media one
33
22
144
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
4 months
Nioneshe shot kali kuzidii, Kwenye gallery yako 💥
Tweet media one
35
14
139
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
20 days
Wanaume tu ... najua tayari unajua swali. Toa jibu lako tu.! 😎
Tweet media one
78
9
148
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
5 months
Huwa una manage vipi hii situation ukiwa public? Men's only 😎
Tweet media one
55
17
134
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
7 days
Uamuzi mbaya zaidi unaoweza kufanya ni kutegemea mihemko, haswa wakati moyo na akili yako vinakinzana. GOOD MORNING.
50
67
139
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
5 months
X magari, nitumie njia gani hapa niweze kitoa hii gari kwenye hili tope?
Tweet media one
49
8
131
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
7 days
@nfr_podcast One of the worst album ever
3
0
133
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
1 month
@wealth_turtle @PopCrave Bro are serious ??
0
0
126
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
7 months
UAMINIFU unaweza usikupe marafiki wengi,ukakupa marafiki WANAOFAA. GOOD MORNING
36
60
121
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
4 months
Usisikitike juu ya watu waliokukatia tamaa,waonee huruma kwasababu wamekata tamaa kwa mtu ambaye hajawahi kukata tamaa. GOOD MORNING.
37
50
119
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
3 months
Heshimu watu wanaopata muda kwaajili yako katika ratiba zao zenye shughuli nyingi.Lakini wapende watu ambao hawaangalii ratiba zao wakati unawahitaji.GOOD MORNING.
29
57
120
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
6 months
Mara nyingi watu ambao unakutana nao bila kutarajia huwa watu muhimu zaidi katika maisha yako. GOOD MORNING
41
51
117
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
4 months
Usimtegemee sana mtu katika dunia Hii,hata kivuli chako hukuacha ukiwa gizani.GOOD MORNING.
30
62
115
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
8 months
Kuna mtu fulani,mahali fulani anaomba kuwa na angalau kitu kimoja ulicho nacho sasa hivi. Kamwe usichululie BARAKA zako kirahisi. GOOD MORNING
Tweet media one
28
40
117
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
8 months
1 million likes for this picture ❤️
Tweet media one
4
16
112
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
11 days
Kasi unayoenda nayo sio muhimu. Cha muhimu ni kwamba unasonga mbele. GOOD MORNING.
60
61
115
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
2 months
Hivi kwanini secondary school nyingi za gharama zipo Arusha ?
Tweet media one
18
11
108
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
6 months
Ni kitu gani hizi gari haziwezi kubeba?
Tweet media one
34
20
104
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
6 months
Mafanikio Yanahitaji bidii na uvumilivu usikate tamaa kirahisi,amini uwezo wako mwenyewe utaweza kufikia malengo yako.GOOD MORNING
33
59
101
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
3 months
Wakati mwingine wanaojaribu, kukuangusha hawatambui wewe ni sababu ya kwanini bado wamesimama.Good morning.
32
53
101
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
6 months
Maisha Haya Ni Wakati. Wakati Wako Ukifika Hakuna Anayeweza Kukuzuia.Muhimu Ni Kujipa Moyo, Kujihamasisha Na Kujiamini. GOOD MORNING
37
57
101
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
2 months
Wanawake sikuhizi wanadumu kwenye mahusiano wakiwa na Wanawake wenzao na siyo wanaume, kuna shida mahali 💔
Tweet media one
10
16
99
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
3 months
Inaweza kuchukua muda sana,lakini polepole ukajifunza kuwa watu wengine siyo wazuri kwako haijalishi unawapenda kiasi gani.GOOD MORNING.
31
45
96
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
4 months
Ukiwa kama kocha amabaye unahitaji ubigwa kwa hali na mali,chagua forward zako hapa 👇
Tweet media one
30
11
97
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
2 months
@IAMartin_ @Sativa255 Ishu ya kuwa Raisi amebeba jukumu la matibabu ya Sativa kwa sasa imekaaje?
17
1
99
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
4 months
10 FACTS ABOUT HELL.🔥 1. Ukiingia umeingia hakuna kutoka. 2.Hakuna kinacho expire. 3.Kazi ni mchana na usiku. 4.Sheria hazibadiliki kamwe. 5.Hakuna maji kabisa. 6.Shetani tu ndiyo anacheka. 7.Hakuna mabadiliko. 8.Hakuna mapumziko. 9.Hakuna furaha zaidi ya majuto 10.Giza na moto
28
23
94
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
17 days
0
2
87
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
4 months
Usiwataje majina,taja ngoma moja unayoikubali kwa kila mmoja 👇
Tweet media one
15
17
93
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
1 month
@chartdata @kendricklamar Hip Hop song of the year
2
0
95
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
1 month
@PopCrave So deserved She did a great job
0
0
96
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
4 months
Kila nyakati ngumu ulizopitia katika maisha yako zimekutengeneza kuwa mtu uliye leo Hii.Shukuru kwa nyakati ngumu kwa kukufanya kuwa na nguvu zaidi.GOOD MORNING.
25
42
92
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
4 months
Ikiwa hawawezi kuona thamani ya kuwa na wewe.Usijaribu kuwashawishi.GOOD MORNING
24
54
88
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
21 days
Wakati mwingine watu wawili wanahitaji kuachana ili kutambua ni kiasi gani wanahitaji kurudi pamoja tena. Baadhi ya watu hawatatambua thamani ya mtu hadi wampoteze. Good morning
41
45
94
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
6 months
Wakati mwingine mambo MABAYA yanayotokea kwenye maisha yetu yanatuweka moja kwa moja kwenye NJIA ya mambo BORA zaidi ambayo hayakuwahi kutokea kwetu. GOOD MORNING
38
56
89
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
1 month
Kukubali ukweli kwamba, MAISHA wakati mwingine hayaendi vile tulivyotaka ni ishara ya KUKUA na kupata AMANI ndani yetu.Good morning.
23
41
92
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
6 months
MADEREVA: Nini maana ya alama hii ya barabarani?
Tweet media one
15
6
87
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
3 months
Unaweza kijiamini na bado ukawa na wasiwasi, unaweza kuonekana mzima lakini ukawa mgojwa, unaweza kucheka lakini ukawa na huzuni ndani. Unaweza kuwa mzuri na ukajiona mbaya. Kwaiyo tuwe wakarimu, because every person is fighting a battle you know nothing about. Good morning.
30
44
89
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
6 months
Siyo watu wote wanao ingia katika maisha yako wanakusudiwa Kubaki.Mara kwa mara,ni muhimu kutambua wakati wa kuwaachilia. Good morning
24
49
87
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
8 months
FRIDGE kwa kiswahili linaitwaje? 🤔
Tweet media one
49
11
90
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
8 months
Kaa mbali na watu wanao kuweka mwisho na kuwa wa kwanza kukuita wanapo hitaji MSAADA. GOOD MORNING
21
54
89
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
4 months
Daima fanya wema,uadilifu,uaminifu na ukweli katika matendo yako,kwani fadhila hizi zina tabia ya ajabu ya kurudi kwako,ikiboresha maisha yako na mahusiano kwa njia kubwa.GOOD MORNING.
30
41
85
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
3 months
Kadiri unavyoendelea kukomaa, ndivyo unavyotambua kwamba idadi ya marafiki inakuwa ndogo na ubora wa urafiki wa kweli unakuwa wa maana zaidi.Good morning.
25
43
84
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
10 days
Weka matarajio yako katika udhibiti: jinsi yalivyo juu, ndivyo uwezekano wa kukatishwa tamaa unavyokuwa mkubwa. GOOD MORNING.
37
52
88
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
3 months
Ili kupata kitu ambacho haujawahi kukipata,ni lazima uwe tayari kuchukua hatua ambazo haujawahi kuchukua hapo awali.GOOD MORNING.
25
40
86
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
14 days
Wale ambao wamepata kuvunjika mara nyingi huwa na uwezo wa kupenda kwa undani zaidi. Wakiwa gizani, wanajifunza kuthamini kila kitu kinachoangaza. Shukrani kwa nyanja zote za maisha ni muhimu. GOOD MORNING.
41
46
87
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
4 months
Kama vile maua mazuri yasiyo na harufu, maneno fasaha ni bure yanaposemwa na mtu ambaye anashindwa kuyatenda.GOOD MORNING.
33
37
85
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
12 days
Wale wanaotafuta njia rahisi tu mara nyingi hawaendi popote. Wenye busara, kwa upande mwingine, hukubali kile kinachowajia na kukitumia kama msingi wa kujenga madaraja kuelekea malengo yao. GOOD MORNING.
42
52
88
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
8 months
Watu wanajifunza kwa siri kutoka kwako(kwa faragha),lakini kamwe hawatakubali hadharani. GOOD MORNING
22
42
84
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
3 months
Kuna mstari mwembamba sana kati ya kufurahia ujana wako na kuharibu maisha yako yajayo,jua tofauti.GOOD MORNING
20
39
85
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
3 months
Ili kubadilisha maisha yako, unahitaji kubadilisha vipaumbele vyako.Good morning
18
39
80
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
4 months
Marafiki wa kweli hutokwa na machozi unapoondoka,na marafiki wa uwongo huondoka unapolia.GOOD MORNING.
24
48
84
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
3 months
Daima amini hisia zako, zipo hapo kwa kusudi fulani.Good morning
29
42
81
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
6 months
Kwanza INAUMA.Kisha inakubadilisha.Maumivu hubadirika na kuwa KICHOCHEO cha ukuaji binafsi na USTAHILILIVU. GOOD MORNING
34
41
85
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
4 months
Hii situation niliyo nayo sasa nikiivuka,hakuna kitu kitanisumbua tena kwenye haya maisha 💪
13
17
79
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
3 months
Kujaribu kukwepa matatizo/shida zako kwa kuzikimbia,ni mbio ambazo hautafanikiwa kushinda.GOOD MORNING.
22
41
82
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
6 months
Kwasababu tu ulimuhitaji mtu na ukamkosa haimaanishi kwamba huwezi ishi bila yeye au utamuhitaji tena katika maisha yako.Kukosa ni sehemu ya kupata zaidi.Utapata mtu sahihi.GOOD MORNING
18
44
80
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
1 month
@chartdata He deserves 🔥🔥🔥
1
0
80
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
2 months
Kibongo bongo harusi kama hizi Zipo?
Tweet media one
17
17
80
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
6 months
Hakuna kitu kirahisi lakini kila kitu kinawezekana.GOOD MORNING
28
44
79
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
3 months
Kuwa na shukrani kwaajili ya giza.Kwamaana bila giza, huwezi kamwe kuelewa thamani ya mwanga.Good morning.
26
44
79
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
8 days
Sisi tu tuna uwezo wa kujiokoa. Hakuna mtu mwingine anayeweza, na hakuna mtu mwingine atakayeweza. Ni lazima tupite njia zetu sisi wenyewe. GOOD MORNING.
39
42
83
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
1 month
Kubali Kutokamilika Kwako. Makovu Ya Vita Vya Maisha Ni Uthibitisho Wa Nguvu Na Uthabiti Wako Katika Kushinda Changamoto.Good Morning.
18
46
82
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
4 months
Katika nyakati za giza sana ambapo tunaweza kuhisi hatuna nguvu,ni muhimu kukumbuka mradi tuko hai,tuna uwezo wa kuchagua,kufikiria, kuamini na kufanya kazi kuelekea mabadiliko na mafanikio tunayohitaji. GOOD MORNING
32
39
78
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
3 months
Usipopigania unachokitaka, usilie kwa kile ulichokipoteza.Good morning.
24
30
83
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
5 months
Usiwahi kuwaumiza au kuwasaliti watu wema katika maisha yako.Watu wema ni vigumu kuwapata,ukiharibu hasara ni yako.GOOD MORNING
27
36
81
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
4 months
ili uweze kuwa BORA zaidi,ni lazima uweze kukabiliana na MABAYA. GOOD MORNING
32
41
77
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
3 months
Good morning, have a great week.
30
48
76
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
4 months
Morning, have a good day.
28
45
79
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
5 months
Ukiwa na imani isiyoyumba,baraka hutiririka katika maisha yako.Shaka inapokosekana,chochote unachotamani kinafanikiwa. GOOD MORNING
24
40
77
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
9 months
"Nenda kahesabu wageni na wasijue umewahesabu" 😂
Tweet media one
13
21
77
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
8 months
Nyakati ngumu,kama kila kitu kingine,ni za muda.Hakuna kinacho baki milele. GOOD MORNING
Tweet media one
14
25
77
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
8 months
Uwongo hauwi ukweli,ubaya hauwi Sawa,na uovu hauwi mzuri kwa sababu tu unakubaliwa na wengi 📌 GOOD MORNING
27
46
74
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
3 months
Haijalishi juhudi nyingi unazoweka au ni kiasi gani unajaribu kusaidia, watu wengine hawatabadilika kamwe. Ni muhimu kuukubali ukweli huu, nenda, na usonge mbele na maisha yako mwenyewe.Good morning.
25
34
78
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
3 months
Wakati mwingine,inachukua muda mrefu moyo wako kukubaliana na kile ambacho akili yako inawaza. Good morning, happy new month.
22
42
75
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
2 months
Unahitaji marafiki ambao watakuweka kwenye fursa bila hofu ya wewe kuwa juu yao.Good morning.
26
33
76
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
1 month
@HipHopAllDayy Eminem is the greatest Hip hop artist of all time, he's album is classic
1
0
75
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
5 months
Umeenda kwenye interview, mwishoni kabisa ukaulizwa "ikitokea umepata kazi yenye mshahara mkubwa zaidi ya huu wa kwetu utaacha au utaendelea na hii Kazi" utajibu vipi?
15
18
73
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
4 months
Nguvu ya shukrani ni kubwa kuliko hali yoyote mbaya.GOOD MORNING
19
25
71
@HastaRuego
BAD KID CHILL CITY🌟
1 month
@XXL So why are the feds involved?
10
3
78