Huyu Mwamba Apewe Mauwa Yake, Jana Pale Kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja Jamaa Kasimama kwa Muda wa Masaa 6 bila kukaa kuanzia sa5-sa11 Akisikiliza Kero za Wafanya Biashara na Kuwaruhusu Waichane Makavu Serikali,. Dingi ni Mtukazi sana huyu Nampa sifa zake akiwa Hai. 🙌🙌
Eeeh Sasa Diamond kaamua kufanya Mziki as a Work of Art, Fasihi Simulizi iliyotumika kwenye Wimbo wa Zuwena ni ya Viwango vya Juu Mnoo,. iyo Video yake Sasa ndio balaa inakupa Ladha kama unasoma kitabu cha Mabala the Farme,. Huyu Jamaa ni Genius 👇🙌
Hawa jamaa wametoka Kigoma kwenda Dar kutafuta Hela,. Unaweza ukawaona Mafala ila jamaa wanapiga Hela kichiz nw kila kampuni inatamani kufanya nao kazi,. Wamejizima data ili waishi Kimasta,.🙌🙌
Anaitwa MWAMPOSA the Bulldozer Mwamba Jana Kaujaza Uwanja wa Taifa FULL HOUSE na bado Nje kulikuwa na watu zaidi ya 40k,. itoshe kusema huyu Mjuba Anasepa na kijiji zaidi ya Simba, Yanga, Diamond, Zuchu, Harmonize na Alikiba,.👇🙌🙌
Masnii Omydimpoz yupo Dubai Anakula Bata na Tajiri Ghalib GSM,. Kuna kitu Nilitaka kusema ila basi maana nimekumbuka Mwanasheria wangu alifeli Law School Mwaka Jana,.👇😷😷
Aisee Huu Wimbo wa King & Konde ni Kisanga bonge moja la ngoma, Alicho kifanya Kiba ni kumfundisha Hamo jinsi ya kuimba Mziki Mzuri,. Big up kwa S2kizy Mdundo ni mkali pia.👇🙌🙌
itamchukuwa miaka mingi sana Diamond kupata Pisi yenye Quality kama Zari, Huyu Dem Ana Akili, Ana Elimu, Ana Tako, Ana Hela, Ana Sura Nzuri. yani yupo full Kila idara,. 👇🙌🙌
Nimefuatilia maoni ya Baadhi ya Waislamu kwenye hii ishu ya Diamond kuombewa, Nimegundua kuwa Asilimia kubwa ya wenzetu Waislamu ni wabaguzi wa kidini na wanajiona wao ndio Wana Haki zaidi Mbele za Mungu, itoshe kusema Tanzania is Non-Secular State so Tujifunze kuvumiliana. 🙏🙏
Unahisi ni kwanini Diamond na Harmonize Hawajaenda kwenye Show ya Marioo japo walipewa Mwaliko,. Je shida ni Wivu, Dharau, Ubize, Chuki au Wameamua Kuvimba tuu,.? 🤔
Kati ya Mbosso na Rayvany unahisi nani atakuwa Kamuandikia Blaza Wimbo wa ZUWENA maana kwa Akili yake sidhani kama Anaweza kuandika Mashairi Mujarabu kama Ambayo yamesikika kwenye huo Wimbo,. 😂🤔
BREAKING NEWS,.
Msanii Diamond Platnumz kutoka Nchini Tanzania Ameweka Rekodi ya kuganda Hewani kwa muda wa dk3, Wakati Akitumbuiza kwenye Tamasha la kukata na shoka huko Nchini Ivory Coast,.🙌🙌
Leo ngoja niweke chuki pembeni,. Hili Lifala silikubali ila ukweli ni kwamba jamaa linajua kuimba Aisee ✌✌ huwa nalipiga spana online af nikirudi Geto Nasikiliza nyimbo zake. Msengelema anajua sana huyu,.👇🙌🙌
Kwenye picha ni Hospital ya Maranatha iliyopo Mwanjelwa Mkoani Mbeya, itoshe Kusema Mbeya ndio Mkoa unao Ongoza Kwa Maendeleo Hapa Nchini Tanzania na Afrika Mashairiki Kiujumla,. 👇🙌🙌
Hawa Wazee ni Wachambuzi wa Mpira 🙌🙌 walijikita zaidi kuchambua kile kilichokuwa kinatokea kwenye pitch,. Achana na hizi kenge za siku izi wao wanaweza kuchambua Siasa na porojo za nje ya uwanja kuliko kuuchambua Mpira wenyewe.🚮
Yan kukaa tuu hapo kwenye iyo list it means ww ni giant, itoshe kusema msanii bora hushindanishwa na walio bora. Diamond kwa hapa Bongo ni next level, mtake msitake 👇🙌🙌
Kwa Sasa Marioo ndio Msanii anae ongoza Kwa kutoa hit song nyingi hapa Tz, ukimtoa Diamond Marioo anakuwa ndio Artist of the year 2022, Jana Jamaa kafanya Tamasha la Kibabe Sanaaa,.👇🙌🙌
Safiii hivi ndivyo Wasanii Wakubwa wanavoishi,. Ukitaka we nunua ata Nchi YouTube Viewer wako Tunakuaminia sanaaaa usitishike na kelele za Malijendi walioshindwa kulea watoto Zao,.👇🦁🦁
Tifah Mtoto wa Diamond ameanza kukua, Hapa blaza kajitahidi kulea, ila Namkumbusha kuwa Malipo ni Hapa Hapa Duniani Ukiua kwa Upanga Utauwawa kwa Upanga,.👇🙌🙌
itoshe kusema Kajala ni Nyumbu na mtu anaye ishi kwa kudanga ili apate pesa za kitonga,. Tofauti yake na wale wa Riverside ni brand tuu,.Af Sio yeye pekeake ni Tasnia yote ya Bingo muvi 🚮🚮
Still mpaka Sasa Bado Mwanamke Anachukuliwa kama Kitu na Sio Mtu, Tazama hapo Jux kavaa vizuri tuu ila huyo Dada Sasa ni Kamaa Kifaa cha Ngono, Feminist fanyeni kazi yenu Mpene Elimu ya Kijinsia,.👇🤌
Kuna watu hawajui kwanini Benzema huwa Ajifunga hiyo kitu mkononi,. Jibu ni kuwa jamaa hana kidole kimoja cha mwisho Kilikatika wakati anafanya kazi Gereji ya ZapieeBon Nchini Ufaransa,.
itoshe kusema Dizasta Vina, Kaamua kutumia Silaha za Maangamizi Kumsambalatisha Rapcha na Vijana wa Miaka ya 2000, Mpaka Sasa Anaongoza kwa Possession,. 👇🙌🙌
Hawa Kenge Wanalidhalilisha sana Taifa Mwanaume kutoboa Pua ni tabia za Kichoko, Mambo mengine Wawaachie Madem zao, Ustar unafanya wawe kama Mapunga. BLADFAKEN 😡😡
Moja kati ya Mambo ya hovyo kwenye Music Video, ni hawa Wadada Wanaocheza wakiwa Nusu Uchi kama hilo Changudoa hapo Pembeni ya Diamond, Hawa ndio Wanafanya Jamii izidi kuwachukulia Wanawake kama Kifaa cha Ngono,.👇🚮🚮
Tafiti zinaonesha kuwa Barani Afrika Tanzania ndio Nchi inayo Ongoza kwa kuwa na Wanawake wengi ambao Hawana Akili Timamu, jee ni kweli au ni utafiti wa Kiwaki,.? 🤔🤔
Itoshe kusema Mashabiki wa Yanga ni Washamba yani Hawa wote waliacha kazi zao wakaenda kushangaa Kombe ambalo Simba wamelichukua Mara 4 back to back,.🤔🤔