HESLB Tanzania Profile Banner
HESLB Tanzania Profile
HESLB Tanzania

@HESLBTanzania

18,474
Followers
761
Following
399
Media
794
Statuses

Official Twitter Page of the Tanzania's Higher Education Students' Loans Board (HESLB), 4th Floor, PSSSF Buidling, Makole Road, P.O Box 984, DODOMA - Tanzania.

Dodoma, Tanzania
Joined April 2015
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
3 months
Je, unamfahamu mdaiwa wa HESLB mwenye kipato lakini ANAPIGA KIMYA? MFICHUE! Tutumie majina yake kamili, chuo alichosoma, kampuni au taasisi anayofanyia kazi: 1. Barua pepe (email): fichua @heslb .go.tz; 2. Ujumbe wa WhattsApp: 0739 66 55 33; 3. Piga simu: 0736 66 55 33 (Saa
Tweet media one
509
98
595
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
4 years
Tweet media one
236
102
1K
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
5 months
UFAFANUZI KUHUSU MALIPO YA FEDHA ZA KUJIKIMU KWA ROBO YA NNE   Ijumaa, Mei 17, 2024   Tunapenda kuwafahamisha wanafunzi wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu na umma kuwa tunakamilisha malipo ya fedha za kujikimu (Chakula na Malazi) kwa robo ya nne (Quarter IV) na wanafunzi
Tweet media one
137
59
428
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
1 year
Habari ya Jumapili mdau? Ikiwa hujasoma 'Mwongozo wa Utoaji Mikopo kwa Stashahada', tunakuletea hapa - 2 (Mwisho)
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
43
106
369
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
5 years
Tumepokea taarifa hii na tutaitolea ufafanuzi wa kina baadae leo. Tunawasiliana na menejimenti ya UDSM kufanyia kazi yaliyotajwa!
Tweet media one
85
38
349
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
5 years
Tweet media one
47
71
328
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
1 year
Muhimu kwa Waombaji Mkopo kwa 2023-2024!
Tweet media one
14
57
311
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
11 months
Mpya: Wanafunzi 2,518 wapangiwa mikopo ya TZS 6.9 bilioni Awamu ya Tatu (Batch III)
Tweet media one
58
33
271
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
11 months
Je, wewe ni mnufaika wa mkopo? Je, upo tayari kwa ‘challenge’ kuanzia kesho (Jumatano, Nov. 22, 2023)? Kaa tayari. TZS 20,000 itatolewa kwa mshindi. #WeweNdoFuture #TimizaWajibu
Tweet media one
55
30
266
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
2 years
Tweet media one
6
12
210
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
4 years
Tweet media one
22
20
159
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
3 months
HESLB yaja na #Fichua kuwasaka wadaiwa sugu Na Mwandishi Wetu Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo (Ijumaa, Juni 28, 2024) imezindua Kampeni Maalumu inayolenga kuwashirikisha wananchi kwa kutumia simu na mitandao ya kijamii, kuwafichua wadaiwa sugu wa mikopo
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
133
26
160
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
1 year
Upangaji Mikopo 2023-2024: Awamu ya Kwanza - 1
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
11
12
138
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
11 months
Ni Jumatano, Nov. 22, 2023! #HESLBMtandaoniChallenge kwa Wanufaika wa Mkopo 1. Je, umeshawahi kuchelewa kupata mkopo kwa kutokamilisha taratibu za upokeaji? 2. Ulisahihishaje ni kisha kupokea fedha? TZS 20,000 kwa MSHINDI. Mwisho wa ‘Challenge’ ni SAA 2 Usiku. #WeweNdoFuture
Tweet media one
111
8
137
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
11 months
UFAFANUZI: MALIPO YA FEDHA ZA MIKOPO HULIPWA AKAUNTI YA BENKI YOYOTE Mwanafunzi mnufaika wa mkopo wa HESLB analipwa na kupokea fedha kwa wakati kupitia akaunti ya benki aliyochagua na kuisajili kupokelea fedha. #WeweNdoFuture #TimizaWajibu
Tweet media one
48
10
134
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
11 months
Tupo wapi katika kazi? Msikilize Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB, Abdul-Razaq Badru kesho Jumatatu, Nov 20, 2023 ndani ya #PowerBreakfast ya @CloudsMediaLive
Tweet media one
22
11
129
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
10 months
Wanafunzi 2,177 wamepangiwa mikopo yenye thamani ya TZS 7.26 bilioni baada ya kuwasilisha maombi ya rufaa kwa mwaka wa masomo 2023/2024 kwa kujaza taarifa na kuwasilisha nyaraka za kuthibitisha uhitaji wao. Tembelea SIPA kupara taarifa zaidi. #WeweNdoFuture #TimizaWajibu
Tweet media one
54
20
125
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
5 years
Tweet media one
30
14
119
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
11 months
MUHIMU: Dirisha la Rufaa lafunguliwa kwa siku sita (6) hadi Jumatatu, Novemba 13. #WeweNdoFuture #TimizaWajibu
Tweet media one
46
24
120
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
4 years
#WeweNdoFuture Ufafanuzi kuhusu taarifa mitandaoni
Tweet media one
30
7
108
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
11 months
Je, umeomba mkopo kwa mwaka 2023-2024? Tumekuwekea Maswali & Majibu muhimu kukuongezea uelewa hapa. #WeweNdoFuture #TimizaWajibu #KaziIendelee
Tweet media one
Tweet media two
48
13
113
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
4 years
Tweet media one
5
12
110
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
4 years
Tweet media one
17
6
106
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
5 years
#Mikopo2010202 Wanafunzi 30,675 wa Mwaka wa 1 wamepangiwa mikopo yenye thamani ya TZS 113.5 bn katika Awamu ya 1 iliyotangazwa leo. Awamu nyingine kabla Okt 25. Tembelea kwa maelezo zaidi!
37
15
104
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
21 days
Ujumbe muhimu kwa waombaji mikopo kwa mwaka 2024/2025
Tweet media one
17
14
106
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
10 months
Ni Ijumaa, Nov. 24, 2023 #HESLBMtandaoniChallenge kwa Wanufaika wa Mkopo 1.HESLB inatambuaje na kuthibitisha uyatima wa mwanafunzi wakati wa maombi ya mkopo? 2.Njia nyingine ipi inaweza kutambua uyatima zaidi ya utaratibu wa sasa? TZS 20,000 kwa MSHINDI #WeweNdoFuture
Tweet media one
83
7
106
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
5 days
HESLB leo Jumamosi (Septemba 28, 2024) imeanza kutangaza orodha ya wanafunzi wenye sifa waliopangiwa mikopo kwa mwaka wa masomo 2024/2025 Wanafunzi wote walioomba mikopo wanashauriwa kutembelea akaunti zao walizotumia kuombea mikopo ili kupata taarifa za kina kuhusu mikopo yao
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
25
13
116
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
1 year
#WeweNdoFuture Jinsi ya ku-reset password (Nywila) kwenye maombi ya Mkopo #BodiYaMikopo #TunawekezaKwaAjiliyaFutureYako
Tweet media one
26
17
102
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
11 months
Mpya: Wanafunzi wengine 14,428 wapangiwa mikopo AWAMU YA PILI 2023-2024 Ili kupata taarifa zaidi, wanashauriwa kutembelea 'SIPA' - Student’s Individual Permanent Account - ambazo walitumia kuomba mkopo. #WeweNdoFuture #TimizaWajibu
Tweet media one
33
14
102
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
2 years
Tunawatakia Hera ya Sikukuu za Mwisho wa Mwaka! #WeweNdoFuture #TimizaWajibu
Tweet media one
12
3
96
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
11 months
Siku nne (04) zaongezwa Dirisha la Rufaa Sasa kufungwa Ijumaa, Novemba 17, 2023 #WeweNdoFuture #TimizaWajibu
Tweet media one
26
12
99
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
4 years
#WeweNdoFuture Fursa nyingine kwa waombaji mikopo wahitaji!
Tweet media one
21
17
95
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
1 year
Fursa za ‘Samia Skolashipu’ kwa mwaka 2023/2024. #WeweNdoFuture #TimizaWajibu
Tweet media one
15
19
90
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
9 months
Wakati ukifurahia mapumziko ya Noeli, tunakuletea taarifa muhimu kuhusu stashahada zilizoongezwa ambazo wanafunzi wenye sifa watapangiwa mikopo. Toleo la Pili la Mwongozo ‘Mwongozo wa Utoaji Mikopo ya Elimu kwa Wanafunzi wa Stashahada kwa 2023-2024’ linapatikana katika
Tweet media one
23
13
88
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
1 year
Je, unatarajia kujiunga na masomo ya stashahada na unahitaji mkopo? Fuatilia uzinduzi wa ‘Mwongozo’ kesho Okt 4, 2023 Uzinduzi utafanywa na Mhe. Prof. Adolf Mkenda, Waziri @wizara_elimuTz #WeweNdoFuture #TimizaWajibu
Tweet media one
18
15
89
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
5 months
Salaam za kheri! Tunawatakia kila la kheri wanafunzi wanaofanya mitihani ya Kidato cha VI, 2024! #WeweNdoFuture #TimizaWajibu
Tweet media one
38
3
87
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
10 months
#HESLBMtandaoniChallenge Ni Jumanne, Nov. 28, 2023 1.HESLB inathibitishaje ulemavu wa mwanafunzi au mzazi wake? 2.Unadhani kuna njia nyingine ya kutambua ulemavu zaidi ya sasa? 3.RUKSA kutupa uzoefu wako hapa. TZS 20,000 kwa MSHINDI. #WeweNdoFuture #TimizaWajibu
Tweet media one
77
6
86
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
1 year
#WeweNdoFuture Hatua za kufuata kufanya masahihisho kwenye maombi ya mkopo. #BodiYaMikopo #TunawekezaKwaAjiliYaFutureYako
Tweet media one
30
11
83
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
2 years
Je, umeomba mkopo wa elimu ya juu kwa 2022/2023? ... Tembelea 'SIPA' yako #WeweNdoFuture #TimizaWajibu
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
58
11
75
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
1 year
Upangaji Mikopo 2023-2024: Awamu ya Kwanza - 2
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
32
12
80
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
10 months
#PoleniHanang Tunatoa salamu za pole kufuatia maafa yaliyosababishwa na mafuriko na maporomoko yaliyotokea. Tunawaombea marehemu pumziko la amani na ahueni kwa manusura. #PoleniHanang
Tweet media one
12
5
77
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
3 years
Ufafanuzi ...
Tweet media one
23
11
74
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
1 year
Habari ya Jumapili mdau? Ikiwa hujasoma 'Mwongozo wa Utoaji Mikopo kwa Stashahada', tunakuletea hapa - 1
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
32
76
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
1 year
Mambo vipi? Unaendelea kujaza fomu ya maombi ya mkopo? #WeweNdoFuture , zingatia vipengele hivi muhimu! #BodiYaMikopo #TunawekezaKwaAjiliyaFutureYako
Tweet media one
43
22
74
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
5 months
Ni Mei Mosi, 2024! Ungana nasi kumpongeza CPA Lusajo kwa kuwa Mfanyakazi Hodari kwa 2024. Lusajo, tunathamini sana utendaji kazi wako. Pokea maua yako! #WeweNdoFuture #TimizaWajibu
Tweet media one
22
3
77
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
1 year
Mambo vipi? Unaendelea kujaza fomu ya maombi ya mkopo? Basi usisite kuwasiliana nasi. #WeweNdoFuture #BodiyaMikopo #TunawekezaKwaAjiliyaFutureYako
Tweet media one
20
10
74
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
4 years
Tweet media one
4
2
67
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
3 years
Heri ya Sikukuu na Mwaka Mpya!
Tweet media one
16
5
68
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
4 years
#WeweNdoFuture Unakutana na changamoto kurekebisha maombi yako? Fuata hatua hizi 7 muhimu!
Tweet media one
24
6
68
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
1 year
#WeweNdoFuture Ufafanuzi muhimu kwa waombaji wa mikopo 2023/2024. #BodiYaMikopo #TunawekezaKwaAjiliYaFutureYako
Tweet media one
25
10
68
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
1 year
Je, unaomba mkopo wa elimu kwa stashahada? Sasaa una SIKU SABA (07) zaidi. #WeweNdoFuture #TimizaWajibu
Tweet media one
17
8
66
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
4 years
#WeweNdoFuture Panga kutumia 'weekend' yako vizuri!
Tweet media one
15
1
60
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
1 month
KUONGEZWA KWA MUDA WA MAOMBI YA MIKOPO 2024/2025 Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwafahamisha Waombaji wa mikopo na Umma kwa ujumla kuwa muda wa kuwasilisha maombi ya mikopo umeongezwa mbele hadi tarehe 14 Septemba, 2024. Hatua hii imechukuliwa ili kuwapa
Tweet media one
12
11
64
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
4 months
Ufafanuzi wa maswali na maoni kutoka kwa wadau mitandaoni Ijumaa, Mei 31, 2024 MOSI, tunashukuru kwa maswali, maoni na ushauri kuhusu hali ya malipo mbalimbali kwa wanafunzi wanufaika ambayo yamekuwa yakitolewa kupitia mitandao yetu ya kijamii ILIYOTHIBITISHWA ya Instagram, X
Tweet media one
32
6
64
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
8 months
Tunawatakia mfungo mwema wa Kwaresma! #WeweNdoFuture #TimizaWajibu
Tweet media one
7
7
63
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
10 months
Je, wewe ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa stashahada (Diploma) na umeomba mkopo? Tumekamilisha uchambuzi na kupanga mkopo. Soma taarifa hii muhimu. Taarifa hii pia inapatikana #WeweNdoFuture #TimizaWajibu
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
29
12
63
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
3 years
Je, umeomba mkopo kwa 2021/2022? Soma mambo muhimu... #WeweNdoFuture
Tweet media one
Tweet media two
16
13
56
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
4 months
Je, unahitaji kuomba mkopo au ruzuku kwa mwaka wa masomo 2024/2025? Tuna taarifa njema kwako. Miongozo inayoelezea sifa vigezo ipo tayari. Tembelea kusoma miongozo: 1. Mwongozo wa Utoaji Mikopo – Shahada ya Awali 2024/2025 (Kiswahili); 2. Mwongozo wa
Tweet media one
17
8
59
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
1 year
12
4
60
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
3 years
Upangaji Mikopo 2021/2022: Nukuu muhimu kutoka kwa ED, Abdul-Razaq Badru, Oktoba 29, 2021
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
16
6
57
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
1 year
Tunawatakia heri ya 77!
Tweet media one
4
7
57
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
4 months
Je, wewe ni mnufaika wa mkopo na umepokea fedha? Ni Ijumaa, maisha yanaendelea. ‘Kalamu’ anakukumbusha kuwa maisha ya chuo yana mambo mengi. ’Future’ yako ipo mikononi mwako. Uzuri, mdau anahakikisha: ‘Najitambua, sitawaangusha wazazi wangu’. #WeweNdoFuture #TimizaWajibu
41
3
58
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
5 months
UJUMBE ESWATINI WAFIKA HESLB KUJIFUNZA Na Mwandishi Wetu Ujumbe wa watu watano kutoka Jamhuri ya Kifalme ya Eswatini umeanza ziara ya mafunzo ya siku tano nchini inayolenga kujifunza kuhusu uchini ya uenyeji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB). Katika siku
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
40
5
57
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
22 days
HESLB, RITA, NIDA, CREDITINFO Tanzania zaungana kusaka wadaiwa mikopo elimu ya juu Na Mwandishi Wetu Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo (Jumatano, Septemba 11, 2024) imebadilishana Hati za Makubaliano na taasisi tatu za kimkakati ambazo utekelezaji wake
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
24
7
56
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
1 year
#WeweNdoFuture Maelekezo (Hatua Kwa Hatua) ya Jinsi ya Kuomba Mkopo wa Elimu ya Juu kutoka #HESLB 2023/2024. Tembelea kuanza maombi Video kamili tembelea #BodiYaMikopo #TunawekezaKwaAjiliyaFutureYako
22
12
56
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
1 year
Muhimu kwa Wanafunzi: Msajili katika 'DiDiS' kuanza Juni 20, 2023. Andaa Akaunti ya Benki; Namba ya Simu; Kitambulisho chako cha Uanafunzi! #WeweNdoFuture #TimizaWajibu
Tweet media one
12
20
54
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
10 months
Je, wewe ni mwanafunzi wa Stashahada (Diploma) na unahitaji mkopo wa elimu? Tuna ujumbe wako hapa. Dirisha ya II la kupokea maombi kupitia LIMEFUNGULIWA kwa SIKU 14 kuanzia Disemba 21, 2023 hadi Januari 4, 2023. #WeweNdoFuture #TimizaWajibu
Tweet media one
37
12
55
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
1 year
Oktoba 11-12, 2023, Bagamoyo, Kikao kazi HESLB & Maafisa Mikopo kutoka taasisi za Elimu ya Juu - 3
Tweet media one
Tweet media two
6
5
56
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
16 days
Ujumbe muhimu kwa waombaji wote wa mikopo kwa mwaka 2024/2025
Tweet media one
10
5
56
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
1 year
Dirisha la Uombaji wa Mkopo wa Elimu ya Juu 2023 limefunguliwa kupitia Tovuti ya HESLB ambako unaweza kufanya usajili na kisha kuendelea na kujaza fomu yako ya maombi. #BodiyaMikopo #TunawekezakwaAjiliyaFutureYako
Tweet media one
5
8
56
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
4 years
#WeweNdoFuture Je, umekamilisha maombi ya mkopo? Timiza Wajibu
Tweet media one
15
8
51
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
2 years
Kila la Heri Darasa la VII! #WeweNdoFuture #TimizaWajibu
Tweet media one
7
7
52
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
1 year
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
5
54
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
1 year
#WeweNdoFuture Usikose kutazama @tbctaifa Leo tarehe 10 Septemba 2023, saa 9 Alasiri hadi saa 10 jioni kuwasikiliza Maafisa kutoka HESLB wakieleza SIFA na UTARATIBU wa Uombaji Mikopo. #BodiYaMikopo #TunawekezaKwaAjiliyaFutureYako
Tweet media one
19
12
53
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
11 months
Je, wewe ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza uliyepangiwa mkopo? Edwin ana ujumbe wako. Msikilize! KUMBUKA, Maafisa wetu hivi sasa wapo vyuoni kukutana na wanafunzi. Pata ratiba kwa Afisa Mikopo wa chuo chako au viongozi wa Serikali ya Wanafunzi. #WeweNdoFuture #TimizaWajibu
22
12
50
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
2 years
Tunawashukuru!
Tweet media one
10
8
44
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
3 years
Dirisha la maombi ya mikopo kwa mwaka 2021/2022 kufunguliwa Julai 1, 2021. Mwongozo kupatikana kuanzia Juni 25, 2021 katika - Abdul-Razaq Badru
Tweet media one
Tweet media two
22
7
50
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
2 years
Je, uliomba mkopo wa elimu ya juu kwa 2022/2023? Tembelea 'SIPA' kupata taarifa zaidi ... #WeweNdoFuture #TimizaWajibu
Tweet media one
15
7
48
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
3 months
@Captain_maluu Salaam, hakuna zawadi nzuri kama kuhamasisha urejeshaji ili vijana wengine wasome. #Fichua - KuwaHeroWaMadogo
29
1
50
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
10 months
Ni #HESLBMtandaoniChallenge Je, unaikumbuka challenge yetu ya Ijumaa, Novemba 24? Leo tunampongeza Bushoke a.k.a @PrinceBushoke1 mwanafunzi wa mwaka III @Udsmofficial kwa kuibuka mshindi wa TZS 20,000. Upo tayari kwa ‘challenge’ nyingine? Ni kesho. #WeweNdoFuture #TimizaWajibu
Tweet media one
17
4
51
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
5 years
Kuhusu tozo urejeshaji mikopo...
Tweet media one
29
10
49
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
4 months
MUHIMU KWA WANAFUNZI WANUFAIKA WA MIKOPO Tunapenda kuwafahamisha wanafunzi wanufaika wa mikopo inayotolewa na HESLB kuwa malipo yote ya fedha za kujikimu (Meals and Accomodation Allowances) kwa robo ya nne (Quarter Four) kwa wanafunzi wote YAMEKAMILISHWA. Hivyo, kwa sasa,
Tweet media one
23
3
51
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
5 years
#AppealWindowNowOpen Nov 13-23, 2019
Tweet media one
15
2
44
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
4 years
#WeweNdoFuture Mwombaji Mkopo, je, unajua wajibu wako?
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
14
8
45
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
8 months
Pumzika kwa amani!
Tweet media one
1
3
50
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
3 years
Tweet media one
15
5
46
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
2 years
Tweet media one
10
13
47
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
3 years
#WeweNdoFuture Njoo tukudumie!
Tweet media one
21
5
45
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
1 month
TAARIFA MUHIMU KWA WANAFUNZI WA STASHAHADA (DIPLOMA) 1. Kuanzia mwaka wa masomo 2023/2024 Serikali ilianza kutoka mikopo kwa wanafunzi wenye sifa wanasoma stashahada (Diploma) za kipaumbele kwa Taifa ambazo zinatajwa kwa kina katika ‘Mwongozo wa Utoaji Mikopo kwa Stashahada
Tweet media one
11
8
47
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
5 years
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
8
1
45
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
2 years
Je, upo jijini Dar es salaam? Karibu Mnazi Mmoja tukusikilize! #WeweNdoFuture #TimizaWajibu
Tweet media one
20
10
46
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
18 days
Tweet media one
4
3
45
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
4 years
Tweet media one
7
3
40
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
2 years
Taarifa: HESLB yafungua dirisha la rufaa. Mwisho Nov.20, 2022. #WeweNdoFuture #TimizaWajibu
Tweet media one
21
6
40
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
15 days
Tunawakumbusha waombaji mikopo wote kwa mwaka 2024/2025 kuzingatia muda wa masahihisho uliotolewa, kwa kufanya marekebisho na kuyawasilisha kwa wakati.
Tweet media one
8
4
45
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
3 years
Dirisha la Rufaa kuwa wazi Oktoba 6-10, 2021.
Tweet media one
Tweet media two
25
5
44
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
3 years
Je, umeomba mkopo na unahitaji kukamilisha maombi yako! Soma hapa ... #WeweNdoFuture #TimizaWajibu
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
8
1
46
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
7 months
MAOMBI YA MIKOPO STASHAHADA KUANZA KUPOKELEWA MACHI 1 Tunapenda kuwafahamisha wanafunzi wa Stashahada waliopata udahili wa kuanza masomo mwezi Machi, 2024 kuwa dirisha la kuomba mkopo litafunguliwa kwa WIKI TATU kuanzia Machi 1 - 22, 2024. #WeweNdoFuture #TimizaWajibu
Tweet media one
8
10
45
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
11 months
Mkutano wa Wahariri: Nukuu muhimu - 1
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
6
3
45
@HESLBTanzania
HESLB Tanzania
1 year
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
6
3
44