Cristiano Ronaldo: "Kwa nini mimi ndiye mtu anayefuatiliwa zaidi duniani? "Sio tu kwa sababu ya sura yangu nzuri ❤️🤣 lakini kuhusu kila kitu ninachofanya. Kandanda, michuano, maisha yangu, familia yangu. Kila mtu ananifuata kwa sababu wanapenda ninachofanya."
@cristiano
Ronald