Hamis German Profile Banner
Hamis German Profile
Hamis German

@Germanhamisi

34,748
Followers
5,606
Following
4,451
Media
104,647
Statuses

Mungu mwenye nguvu na uwezo mkubwa ambaye hapokei rushwa yeye ndiye atakaehukumu, na adhabu zake ni kali mnoo @SimbaSCTanzania @ChelseaFC

kitaani kwangu
Joined August 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@Germanhamisi
Hamis German
1 year
Piga picha kifaa chochote unachofanyia kazi hapo kazini kwako ๐Ÿค—๐Ÿ™Œ
Tweet media one
192
44
696
@Germanhamisi
Hamis German
2 years
Nilifanya vile kwaajili ya kutetea maslai ya taifa letu na sio Kwa lengo baya hii ndio kazi yangu kama mwana habari, kumradhi
447
139
3K
@Germanhamisi
Hamis German
2 years
Mtu analalamika na kusema Mimi Nina copy taarifa sehemu wakati yeye content yake ni kuinua wapwa tu, Media zimeniamini ukiona nazingua fanya wewe bro
245
75
2K
@Germanhamisi
Hamis German
2 years
Hii connection kama una kichefu chefu usiangalie ๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ
257
85
2K
@Germanhamisi
Hamis German
2 years
Twitter mamuvi naomba jina la hii movie
Tweet media one
179
70
1K
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Mbona mnakimbilia Twitter sasa?
148
73
1K
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Nipo na wake zangu wote wawili unanishauri mini Jumaa Al Kareem ๐Ÿ™
Tweet media one
242
27
958
@Germanhamisi
Hamis German
2 years
Who is your favorite musician from Tz? 1 Alikiba 2 Diamond platinumz 3 harmonize 4 mboso 5 Rayvanny 6 Marioo 7 wengineo
418
52
960
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
13/01/199.. imejirudia siku Al khamis, happy birthday to me ๐Ÿ™
Tweet media one
151
82
940
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Generator letu limeharibika kama kuna fundi au mtaalam aje ofisini kwetu haraka
94
50
924
@Germanhamisi
Hamis German
2 years
Hivi hii MI AMOR inamaanisha Nini? nimekuta kwenye simu ya mpenzi wangu kasema ni baba yake mdogo ๐Ÿ˜ฅ
88
52
769
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Ukimtongoza demu akikubali ukae siku ngapi ndo uombe zigo? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿ‘‡
191
14
750
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Kwanini wanawake wazuri hawaolewi?
144
35
729
@Germanhamisi
Hamis German
2 years
Urudiane na ex wako au upewe maji ya baridi Njombe uoge asubuhi?
102
47
722
@Germanhamisi
Hamis German
2 years
At home(kipind nimerogwa) at Twitter
Tweet media one
Tweet media two
58
50
680
@Germanhamisi
Hamis German
2 years
Au nikawaombe wamasai wenyewe msamaha?
90
20
680
@Germanhamisi
Hamis German
2 years
Biashara gani inafaa Kwa kuanza na mtaji wa milioni 4 ikanilipa?
91
38
634
@Germanhamisi
Hamis German
2 years
Wanaume wenye akili za maisha vipato vyao vyote huwa wanawapa wake zao ili wawapangie matumizi vizuri
68
54
621
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Mchezaji gani wa mpira hapa bongo ana viwango vya kucheza soccer la ulaya?
138
49
603
@Germanhamisi
Hamis German
2 years
Ila hii pisi in nyie๐Ÿ™Œ one day yes ๐Ÿ™Œ๐Ÿ˜‚
Tweet media one
80
20
578
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Kama mwenyeji hapa ni mkoa gani Tz ๐Ÿ˜Ž
Tweet media one
93
27
559
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Nimeombwa hela na mtu ambaye huwa ananisaidia sana tena kaniomba hela ndogo sana lakini sina roho inaniuma Sana nimeshindwa kumsaidia nimeumia mno ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
76
70
531
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Manzi mkali lakin unakuta K inanuka balaa, daah
117
36
545
@Germanhamisi
Hamis German
2 years
Kila nikikumbuka kipindi nipo la sita nilitongozwa na kadada ka lasaba nikakajibu sidanganyiki nakosa hata hamu ya kula ๐Ÿ˜ง
50
45
546
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Asubuhi nyingine tena ya kuwatukana tanesco ๐Ÿ˜‚
Tweet media one
55
35
535
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Vaa suti yako ingia darasa la First year wape assignment pita kushoto ๐Ÿ˜Ž
78
66
527
@Germanhamisi
Hamis German
2 years
Tupate machache yaliyojiri mapema Leo ๐Ÿ˜‚
Tweet media one
Tweet media two
70
49
524
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Kulingana na ng'ombe za pale nyuma Sasa mniambie hapa nipo chuo gani? ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ™Œ
Tweet media one
112
34
497
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Chuo gani hapa Tz hawategemei mihogo? ๐Ÿ˜‚
119
17
489
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Kama wew ni mwenyeji wa Tanzania niambie hapa ni maeneo gani?
Tweet media one
117
19
496
@Germanhamisi
Hamis German
2 years
Mjinga ni Yule ambaye anasubiri aambiwe hapendwi wakati dalili zote anaziona โœŒ๏ธ
22
29
477
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Leo unamiliki ardhi kesho ardhi itakumiliki wewe, usijione Bora kuliko mwenzio duniani tunapita tu โœŒ๏ธ
58
120
461
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Ni dhambi kubwa sana Kwa mwanaume kuombwa na hela na mwanamke na kujibu sina Hata kama hauna usiseme sina.
49
32
476
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Huyu yupo wizara gani huko Afghanistan? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ
Tweet media one
79
32
449
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Kila nikiwaza kuwa ipo siku nitaishia mavumbini nakosa hata nguvu ya kumdharau mtu yeyote hata mtoto wa miezi ๐Ÿ’”๐Ÿ˜ฅ
Tweet media one
36
92
453
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Kigogo aliwahi kusema eti ana faili la mke wa nikk wa pili siku anatolewa gesti watu waliamini hili ๐Ÿค”๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ
33
29
437
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Hapa ni sehem gan?
Tweet media one
96
4
445
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Kwa kipindi chote ambacho nipo twitter nilikua sijui kama unaweza kutoa Ile "joined July 2020" ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ™Œ
29
11
426
@Germanhamisi
Hamis German
1 year
Nani mwingine amewahi kupitia haya? ๐Ÿšฎ ๐Ÿ˜‚
Tweet media one
84
28
447
@Germanhamisi
Hamis German
7 months
Hili Tambala linaitwaje wakuu?
Tweet media one
101
22
438
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Geto kwako unamiliki siraha gani?๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ
119
13
418
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Niwaibie tu Siri ๐Ÿ˜‚ Nimemmiss Sana ๐Ÿ™Œ
Tweet media one
57
20
412
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Futa kimoja hapa ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ 1 Nyeto 2 Twitter 3 Instagram
114
11
411
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Retweet kabla hujasoma
Tweet media one
44
75
419
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Tujadili kidogi, bei elekezi ya utelezi kitaani kwako ni gani? ๐Ÿ‘‡
85
38
388
@Germanhamisi
Hamis German
2 years
Huyu blaza hazeeki tu? ๐Ÿ˜‚
Tweet media one
20
31
419
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Ukiona anaikatikia ujue haija mkolea vizuri โœŒ๏ธ๐Ÿ˜
69
40
380
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Tusalimiane kikabila hapa labda tutapata wenzetu wa nyumbani
93
29
373
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
wanangu nipo na mzungu hapa ananizingua nataka nimwambie asilete za kuleta, msaada
53
43
372
@Germanhamisi
Hamis German
2 years
Kuna mjomba anapiga unfollow huko kutoka elfu 6 saivi ana takribani 500 following ๐Ÿ˜‚
37
26
372
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Jobless nina suruali nne mbili za kitambaa mbili za jeans huwa nazibadilishia mashati tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
32
30
364
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Ameniomba hela nimempa cha ajabu nimeomba mzigo kajibu mbona mapema san? ๐Ÿ™Œ Nifanyeje
66
15
374
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Una ndoto za kwenda ULAYA kufanya nini?? ๐Ÿ˜‚
50
5
370
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Umri upi ni sahihi Kwa mtoto wa kiume kuachishwa kunyonya? Smh
66
41
366
@Germanhamisi
Hamis German
2 years
Twende mbele turudi nyuma mpenzi mmoja hatoshi bhana ๐Ÿ˜‚
43
30
362
@Germanhamisi
Hamis German
2 years
Mmeamkaje wasomi na maboss wa Twitter?
32
44
360
@Germanhamisi
Hamis German
2 years
Hata kama hauna pakwenda amka tu maana mkaa bure sio sawa na mtembea bure
17
41
359
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Samahani ndugu zangu naomba nichukue nafasi hii niwaombe msamaha wote walionitumia hela au nilio wakosea nisameheni ni hali ya maisha tu ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ™๐Ÿ™
62
28
349
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Yan jux anasababisha Sisi wenye siksi paki wote tuonekane hamnazo kabisa ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
40
32
354
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
First year saivi wanakula chakula ili wasife tu nadhani wameelewa chuo sio nyumbani ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ
36
50
332
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Marafiki wasikusahaulishe Hali ya nyumbani kwenu โœŒ๏ธ
37
62
337
@Germanhamisi
Hamis German
2 years
Dada zangu ambao hamna tako nendeni Mbeya kuna kitu cha kujifunza
22
22
335
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Tujadili kidog, hivi Unaweza kumpa mpenzi wako nguo zako za ndani akufulie?
70
41
339
@Germanhamisi
Hamis German
2 years
Upewe sadaka na Mzee wako laki na nusu uko pekeyako utaenda kutoka shingapi? ๐Ÿ˜‚
52
18
334
@Germanhamisi
Hamis German
2 years
Mmeamkaje maboss na wasomi wa Twitter?
14
30
330
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Ivi kuna jina la kiume linalo anzia na herufi O?
113
25
323
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Sasa vijana kama munataka kofia za krismass njoo hapa na picha yako
40
15
325
@Germanhamisi
Hamis German
2 years
Inauma sana kuona mwanamke mzuri lakini omba omba
24
38
335
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Tunga sentence Kwa kuanza na "ndugu abiria" ๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
Tweet media one
75
16
322
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Pale mabloo wa Twitter wanapoona unapata likes nyingi kuwazidi wao ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tweet media one
27
26
319
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Naomba kujua ๐Ÿ™Œ ivi Kwanini bongo ukiwa na blue tick Twitter halaf ukifa tu wanaondoa blue tick Yao?
22
25
321
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Yani mtu ametuuza akarudi na account nyingine kutuomba msamaha tumemsamehe amekuza account juzi katuuza tena ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
45
35
303
@Germanhamisi
Hamis German
2 years
Mtoto wa dalasa la pili ameamka sa11 alfajir amejiandaa kaenda shule lakini wewe na huo umri wako bado umelala mpaka saivi kweli upo Serious na maisha kweli? ๐Ÿค”๐Ÿ˜‚
43
23
329
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Mwanaume hawezi kuficha upendo lakin mwanamke yeye hawezi kuficha chuki โœŒ๏ธ
34
48
296
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
kua makini shemeji hatongozwi kwa message
52
47
297
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Mashabiki wa Chelsea leteni handle zenu tuzipepee
79
32
295
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Pale Riverside huduma huwa zinaanza sangapi Kwa weekend? ๐Ÿ™Œ
24
17
305
@Germanhamisi
Hamis German
2 years
Bi mkubwa ukimsaidia kazi yeyote tu home ndo inakua kazi yako hiyo kila siku ๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ
17
19
311
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Sikuizi Millard Ayo anaomba retweet kitaalam Sana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ
26
17
299
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Kigoma jua linazama saa tatu kasoro ๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ
23
23
293
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Bloo kama uligombana na mwanamke wako baada ya muda akakuambia amekumiss tafadhali ukikutana nae usifanye nae lile tendo โœŒ๏ธ
35
44
306
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Walete account zao za vijana wa hovyo wanaofollow back, kama huwezi kufollow back jikatae hufai kwenye empire yetu
Tweet media one
97
50
295
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Samahani twitter ujuaji ivi hii PG13 maana yake nini?
33
25
296
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Zungumza vizuri na vijana wenzio mademu hawachimbi kaburiโœŒ๏ธ
46
32
300
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Mjinga ni Yule ambaye anasubiri aambiwe hapendwi wakati dalili zote anaziona ๐Ÿ˜‚
18
29
305
@Germanhamisi
Hamis German
2 years
Mwanamke wako ana namba kaisave BABA ebu jaribu kumpigia huyo baba enu umsikie ๐Ÿ˜‚
26
31
304
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Kitambo nakumbuka home walisafiri wote nikabaki na beki tatu ilipofika usiku akanifuata geto akasema anogopa kulala pekeyake, alooo ๐Ÿ˜Ž๐Ÿ™Œ
45
18
290
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Hakuna maumivu makali hapa duniani kama kuona mtu unaempenda na kumthamini anakuletea dharau waziwazi inauma Sana..
50
55
293
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Nimevumilia njaa nimeshindwa ivi mboga gani itaiva haraka nisonge ugali chap? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ
38
19
295
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Bongo mapenzi ni utumwa tu Yani toka alfajir mpaka sasa bado Naomba msamaha et kwanini jana nilipitiwa na usingizi
52
48
292
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Samahani nimeambiwa nionane na Mlawa ndio Nani?
21
27
281
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Watu wa fesibuku walizama DM kinoma Kwa maparody wakijua kua ni mademu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
44
43
271
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
First year wa SUA wanshaanza kula maembe ๐Ÿ™Œ๐Ÿ˜‚
47
33
280
@Germanhamisi
Hamis German
2 years
Ukiachana na Barnaba, Alikiba na Harmonize ni msanii gani mwingine hapa bongo anaimba muziki mzuri?
42
31
287
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Tanesco ni kukundi cha wahuni waliojikusanya pamoja ili kutesa wananchi tu ๐Ÿšฎ
28
32
288
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Nimetuma elfu kumi Kwa dogo yupo shule nimekosea imeenda Kwa jamaaa yupo kigoma, nimemuomba anirudishie kanijibu hata yeye h anakoseaga huwa hawamrudishii ๐Ÿ˜ข๐Ÿ™
42
26
284
@Germanhamisi
Hamis German
3 years
Baada ya teuzi waziri wa vijana wa hovyo Afghanistan akiwa eneo lake la kazi
Tweet media one
24
21
287