Lemar. Profile Banner
Lemar. Profile
Lemar.

@Fodanceinnit

5,802
Followers
4,032
Following
937
Media
135,573
Statuses

HOLY MF๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿ||CITYZEN๐Ÿฉต||COLEWORLD||

Joined July 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
Ukiskia umekuwa mjinga sana kumbuka kuna mtu alichagua governor juu ya dimples.
76
2K
6K
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
Transition ya Thursday to Friday inakuanga swift sana,kidogo kidogo unaskia Man U wamepigwa.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
79
1K
4K
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
Kenya weekends watu wanakuanga wamejipanga kuliko siku za kazi.
37
1K
4K
@Fodanceinnit
Lemar.
20 days
Leo jioni nataka zishike mpaka wahenga waniambie majina zao.
40
926
4K
@Fodanceinnit
Lemar.
15 days
Nabii akisikia jina Morara kwa kichwa yake inabidi kwanza bibi amekula kofi.
79
655
3K
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
Mum typing.... Mum typing... Mum typing... "Kwangu usiniletee msichana wa murima."
60
589
3K
@Fodanceinnit
Lemar.
21 days
Juja unadhani nikupewa unapewa kumbe hawezi kaa bila kupeana.
85
527
2K
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
Unashangaa mtu anaenda concert badala ya kununua Oraimo product.๐Ÿ˜Œ
30
485
2K
@Fodanceinnit
Lemar.
19 days
In my prime sahii ningekuwa choir huko kanisa tukitayarisha wimbo za kesho.Lakini pombe wewe.
65
393
2K
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
Feeling ya kuwa motivated juu umeona maisha ya mtu ako na pesa>>>>
26
364
1K
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
Wazazi home wakijua hii Nairobi tumewekwa na wazazi wengine hawataamini.๐Ÿ˜‚
39
346
1K
@Fodanceinnit
Lemar.
19 days
"Till death do us apart," kumbe hii death ni kijana ako na subaru.
68
353
1K
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
Wakadinali wanaweza fanya upasue hata bulb ukaange hata gizani.Hebu nipunguze sasa.
75
349
1K
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
Upuzi ingine inakuanga kubishana,"which religion is better?".Vitu ulizaliwa ukapata wachana nayo.Enda mahali wazazi wako walikufunza.
81
341
1K
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
"Unakuja lini," hii swali watu pale ushago wanaulizanga mpaka inabidi umetenga siku ya kwenda.
22
261
862
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
Unatafuta pesa yako vizuri halafu ibilisi anatuma Njeri Friday jioni,ikifika Monday unakaa homeless mbaya sana.
27
270
832
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
Kama unabet hakikisha uko na mumama juu tukiendelea hivi nikama hata za kupanda mat tutakosa.๐Ÿ˜‚
26
276
820
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
"Mtu wa town," pale ushago ukikataa kufanya kazi za jembe.
37
271
794
@Fodanceinnit
Lemar.
16 days
Kuosha vyombo haina shida until ufike kwa sufuria ya sembe.
31
233
767
@Fodanceinnit
Lemar.
17 days
Kama tunabargain mpaka fare,halafu mtu anataka tulipie concert.๐Ÿ˜‚
29
222
756
@Fodanceinnit
Lemar.
20 days
Kitambo mstari moja ya bongo music ilikuwa inafanya dem anakuwa wet.Sikuizi kama hauna browns,Maina rudi tu ulale.
73
272
740
@Fodanceinnit
Lemar.
3 months
"Ficha hiyo akili," is another smart way of people saying you're very stupid. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
27
220
704
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
"Tutakuita usijali," simple way ya kuambiwa enda utafute pesa ndo urudi.
31
240
718
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
"Education is the key,"nikama key tuko nayo hazifungui hizo milango jameni.
71
264
697
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
My mum pulling,"utagrow nayo" after kuniletea trouser inatashona na ya mzae.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
26
248
689
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
Ukitokanga sherehe ndo unajuanga maana ya,"mbele nyuma uko na pesa ngapi bro?"๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
16
235
639
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
Fat babes ukiongelea kitu kidogo about the body ashaanza self defense.
79
267
631
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
"Ni God,"another way of saying sikupei idea ya kutoka kwa block.
39
234
599
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
What's the essence ya kureply back to someone after umemgrey like a week.Hata wewe jameni unaona kama mimi ni ule Kang'ethe umezoea.Kumbavu zako๐Ÿ˜‚
30
203
593
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
Unagongewa lakini,"Hi kababaa" inaficha white unadhania ni saint.Hiyo mchezo pelekea Maina.
18
195
591
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
There's an outbreak of beautiful babes wearing masks hapa Jiji ama niko zangu.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
29
181
582
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
Wenye tunapanga queue ya mat tafadhalini tuwache eye contact.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
29
214
570
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
Mtu anapata pesa zake halafu unasema ameanza madharau,hebu pata zako uone venye utabadilisha mpaka laini.Smh.๐Ÿ˜‚
48
256
566
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
Sijuangi venye kunaendanga lakini pesa za kulewa huwa zinapatikananga tu.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
23
205
569
@Fodanceinnit
Lemar.
19 days
Insha ya mateso ikiletwa sahii itabidi knec wamenipea 39/40.Hiyo moja ni venye sitakuwa nimeandika jina.
19
212
569
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
The pain kwa mvulana kuambiwa vitu za babako sii zako<<<.
15
181
562
@Fodanceinnit
Lemar.
29 days
Sasa kuambiwa,"niguze kama umepata helb," ni kitu ya kufanya polisi aanze kuchapa comrades.
20
192
550
@Fodanceinnit
Lemar.
16 days
Kuchanganya wanawake na kazi hapo ndo unaanza kufumble.
48
187
543
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
"Pombe itanimalizia marafiki,"kumbe wewe ndo "marafiki".๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
39
214
530
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
Huwezi toka kwa mateso kama unangojea kusomewa bible verse na hujitumi.
28
207
531
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
Venye unakunywa hivo uko sure watoto watapata inheritance hata kweli.Jameni ni Thursday mshaanza shamrashamra.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
28
175
512
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
Nchi yenye tuko hufai kuwa sober sahii bana.
29
215
495
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
Kuna mtu ukiambia uko kwa mapenzi sahii anakuona mtu mjinga sana.Lakini hawezi kukuambia.
63
223
491
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
Ninja ameingia talking stage lakini end game ndo iko kwa akili. It's not always about the s*x.
16
175
492
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
Monday kichwa inazunguka nikama haukuwa Kenya siku mbili zilizopita.๐Ÿ˜‚
27
186
494
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
Wanaume wawili wamekaa pamoja wanapiga story lakini ukimuuliza jina ya mwenzake hata hajui.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
26
168
476
@Fodanceinnit
Lemar.
11 days
@fkeverycountry Bro waited for this for a long time
3
0
493
@Fodanceinnit
Lemar.
16 days
Pesa ya end month hata mtu hajui imeenda wapi.
24
179
468
@Fodanceinnit
Lemar.
16 days
Kenya inafaa kuwa na ile button ya,"factory reset".
25
197
466
@Fodanceinnit
Lemar.
14 days
Pesa nayo ikiingia na ukatae kuglow wewe sasa sijui unafaa kwenda wapi.
25
172
465
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
Jiji usipokuwa mjanja hizo degree papers itabidi umezipin tu kwa wall ikaange hapo kama zile picha za kitambo.
23
182
456
@Fodanceinnit
Lemar.
30 days
"Mama mboga,mtu wa bodaboda,"ilifanya nikaweka vote.Kumbavu zangu.
23
185
454
@Fodanceinnit
Lemar.
10 days
Kenya kuna shida mingi lakini Monday is one hell of a problem.
21
195
459
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
At this point of time msee anawish tu kurudi times za Kibaki.He's so GOATed.
16
184
445
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
Uwongo ingine ni kwenda interview halafu wanakuambia watakuita.
30
193
443
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
Kosa kila kitu kwa nyumba lakini hiyo kitanda make sure inakupea therapy mzuri.Hapa ndo naamka mara ya sita.
41
183
433
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
Huyo dem unatafuta sauti zake Tiktok hatakuwa kesho foreman akikumaliza spine na simiti.Focus!
21
178
434
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
Mkenya ametengenezewa footpath kando ya barabara lakini bado tu anataka kutembea karibu na magari.
24
165
422
@Fodanceinnit
Lemar.
13 days
Tweet media one
22
17
425
@Fodanceinnit
Lemar.
2 months
Talking stage tuwachie wenye wako ready kulipa mahari tafadhali.Hapa sisi tunakuja symbiotic relationship.
14
155
414
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
Kukuwa tajiri enyewe ni mzuri,yaani kuna vitu jamaa alilipia na hata hakumbuki.Mimi hata vitu za last year nakumbuka.
23
178
417
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
Kila mtu ako na ule shosho ama guka hukutuma pombe ama sigara halafu anakuambia usiambiane.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
35
158
406
@Fodanceinnit
Lemar.
21 days
Matajiri wanatembea na car remote keys wewe asubuhi lazima ubebe vifunguu za solex.
36
168
410
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
X app be that person mwenye anakuambianga niletee shida zako nikuskize.Hii sii ya wenye wametoka kwa block.๐Ÿ˜‚
17
166
401
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
Nairobi sauti za planes ndo zinaniamsha na sijawahi board hata moja.Smh
31
169
387
@Fodanceinnit
Lemar.
22 days
"Niitie huyo," mwalimu alikuwa ananiita hivi umbwa wewe.
31
188
389
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
Ukiona mkenya anakupea pesa upigane na Nabii jua tumefika mwisho. It's never easy to convince them.
12
148
377
@Fodanceinnit
Lemar.
12 days
Ukinipigia simu wacha kuniambia ni siku mingi hatujaongea.Sema chenye unataka.
24
150
368
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
Kusikianga mtu amenunua the same thing as yours at a different place and at a very lower cost gives a different kind of pain.
65
194
361
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
"Small girl big God,"amenunua iPhone 16 anadhani hatujui sauti alikuwa anazitoa kabla apate simu.
27
151
362
@Fodanceinnit
Lemar.
22 days
Ile msalaba wanasemanga kila mtu ajibebe ya simps sio msalaba ni L.
17
147
355
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
Landlord anategea masaa umekuja na manzi ndo aonyeshe vile umeshindwa kulipa rent.Smh
82
180
349
@Fodanceinnit
Lemar.
20 days
The look in your eyes back then after mum ametoa slippers kutoka kwa mguu yake is hilarious.Hapo inabidi umetengenezwa vizuri.
56
158
346
@Fodanceinnit
Lemar.
18 days
"Kwa wasichana wote umeona upende huyo?"banter kidogo hapa na mum.
13
114
347
@Fodanceinnit
Lemar.
11 days
Nairobi kama umekuja kutafuta mapenzi,my brother inabidi umefigure out tena.
61
156
343
@Fodanceinnit
Lemar.
16 days
Course ni ya passion lakini sinoni,mambo gani haya.
23
163
334
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
Tuwache kutumiana vibaya sasa.Huyu ananiambia ananitaka tu for a night.I'm human Lmao.Lakini najua kuna wenye hawaezi lalisha๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
69
168
327
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
Pahali tunaenda kama ni heaven,waongeze chapati kwa hiyo asali na maziwa tunaambiwanga.Chapati nayo itaniua.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
27
128
321
@Fodanceinnit
Lemar.
2 months
When she starts pulling that break up statement not knowing you been waiting for that>>>
16
133
314
@Fodanceinnit
Lemar.
18 days
Unaenda Kanisa kuombea Ten Hag kumbe Son anacheka pale kando.
17
125
320
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
Kumbe wazungu walitudanganya na table manners ndo chakula ipoe.Sijai elewa mbona mnaapply hii kitu mpaka masaa ya ugali mayai.๐Ÿ˜’
54
166
317
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
Tuko family gathering wewe unaanza kuuliza watu mahali wamefika kwa kimasomo.Utatupea kazi ama?
22
143
315
@Fodanceinnit
Lemar.
14 days
Nimejaribu kusave everytime napita mahali naona kitu,naamua kununua.Pesa sijui nifungie wapi.
18
135
317
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
Must traumatic kuwa president and seeing people wishing death on you.Unless you're a robot.
23
138
317
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
Hata mkishikana mikono CBD hiyo haizuii kufanyiwa ile kitu.Mmezidi sasa btw.๐Ÿ˜‚
32
148
309
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
Nikiwa na bonga points naweza shika hiyo iPhone 16?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
34
138
308
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
Sikuizi Safaricom wako insecure mpaka wananitumia message ati kuna "OFA" with immediate subscription.Jameni who will them?
51
146
301
@Fodanceinnit
Lemar.
2 months
Naskianga kuna watu wakipata pesa mingi huwa wanachizi.Hebu mnijaribu tuone๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
65
169
293
@Fodanceinnit
Lemar.
4 years
Drop your username.๐ŸŽˆ๐ŸŽˆ๐ŸŽˆ๐ŸŽˆ
132
47
216
@Fodanceinnit
Lemar.
21 days
Uliambia wazazi wakuweke kwa maombi kumbe umekuja kutafuta wamama huku Nairobi.Huogopi hata.
15
141
286
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
Dem ni mrembo lakini directions unampea mara thate fae.There's something about gorgeous women,kidogo brains hapo walipunguziwa.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
22
131
277
@Fodanceinnit
Lemar.
29 days
Sikuizi unaweka mrembo ati public,kumbe hauko mwenyewe.Wewe ndo unawachwa.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
13
131
276
@Fodanceinnit
Lemar.
1 month
Good old days nguo mbichi ulikuwa unapata tu time ya Christmas na pia Chapati.Sahii viatu unanunua sijui 4 sausand kila mwezi,bwana tukuwe serious.
26
128
269
@Fodanceinnit
Lemar.
4 years
200+FOLLOWERS.Drop your handles and follow everyone who likes your tweet.โค๏ธโค๏ธโค๏ธ
96
49
175
@Fodanceinnit
Lemar.
2 months
Everyday you be meeting fine b*tches mpaka unajiuliza who's gonna marry your girlfriend because it's not gonna be you.๐Ÿ˜‚
49
134
247
@Fodanceinnit
Lemar.
2 months
Local people wakiona umekuwa tajiri wanasema uliingia zile vitu.๐Ÿ˜‚
24
99
243
@Fodanceinnit
Lemar.
2 months
B*tches can turn you against your male friends and trust me you will fall into it if you're too obsessed.Lame sh*t
14
118
236
@Fodanceinnit
Lemar.
13 days
Kusupport Man U inakufanya hata usiskie vibaya ukigongewa.
22
122
242
@Fodanceinnit
Lemar.
2 months
FiFa kama uko na mdomo na unajua kucheza hakuna mtu hutaka mechi.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
48
148
240