REALIST| Gold mining industry enthusiast| Anti-WOKE 🤡| Human rights defender. SARCASM is the highest form of Intelligence. I mostly write for future reference.
@realDonaldTrump
I never see people driving around with Biden flags, someone want to explain how this guy who couldn’t fill a high school auditorium is leading currently?
Leo nilienda CHATO nikakutana na mmoja wa watoto wa JPM pale J’s Hotel. Nimefarijika sana.
Mwamba ameijenga CHATO bwana, watu ndio hakuna. Barabara ya KATORO-CHATO ni top notch 👌🏾 Speed 140 gari imetulia tulii.
STENDI,VETA,MAHAKAMA,MABENKI,ZIMAMOTO,BARABARA 🙌🏾🙌🏾
Kadi za harusi ya Madenge na Coco ziliandikwa kisomi sana, Jamaa alisema, Mchango ni hiari na hata kama huna unaalikwa kwenye harusi.
Sasa kuna hawa wengine michango ni deni 🥺 Usipochanga mnakosana kabisa. Mtuhurumie jamani Tozo ni nyingi
Appreciation tweet kwako
@rollymsouth
1) Jana usiku maaskari wa Oysterbay bila Uniform na mmoja akiwa kavaa uniform huku akiwa amevaa sweta juu (pichani chini) walinivamia kwenye gari wakasema nina bangi.Baada ya mabishano wakanipeleka nyuma ya kituo cha Oysterbay wakaniwekea kete 14 kwenye dashboard na kisha…
Tangu uondoke nchi imekuwa shamba la bibi, Halmashauri pesa zinachotwa kiwendawazimu, Mrithi wako aruhusu watu kula kwa urefu wa kamba yao. Meli ya bilioni 8 imefanyiwa marekebisho ya bilioni 7.5, Tunamengi ya kukuambia baba.
Umeme ni mgao kama ulivyosema, Machinga wamefukuzwa.
Paul Makonda ni kati ya viongozi vijana machachali sana na aliyeacha alama katika uongozi wake.
Paul Makonda amejipatia utajiri mkubwa wa mali na fedha katika kipindi kifupi cha uongozi wake.
Swali: Je! Serikali haioni haja ya kumhoji ni wapi alikopata fedha na mali zake?
Ndugu zangu M/Mungu awabariki sana. Kwa mara ya kwanza nimeona NGUVU ya Retweet.
KIFUPI: Askari wanne wote wameshughulikiwa ndani ya saa 24 tu tangu wanifanyie ule uhalifu.
Shukrani zangu za dhati kwa
1)Afande M.J Mlilo, Niseme sijawahi kukutana na mtu smart and straight…
1) Jana usiku maaskari wa Oysterbay bila Uniform na mmoja akiwa kavaa uniform huku akiwa amevaa sweta juu (pichani chini) walinivamia kwenye gari wakasema nina bangi.Baada ya mabishano wakanipeleka nyuma ya kituo cha Oysterbay wakaniwekea kete 14 kwenye dashboard na kisha…
Imekuwa miaka miwili (2) sasa tangu uondoke mwana-CHATO. Pumzika baba.
Our country will never recover from your loss. You were the champion of it’s social-economic progress. May you keep resting in power. Always in our hearts. We miss you baba.
#TunakukumbukaBaba
Kiboko ya Nape na washenzi wengine. Kuna wanaume duniani halafu kuna JPM. Watu waliufyata. Yule jangili alikimbilia sijui wapi baada ya JPM kufariki akaibukia Kamati Kuu.
Aaah!! JPM alininyooshea watu. Wale watu viburi walioona nchi ni yao kana kwamba wengine haikuwa yetu.
Inastaajabisha kuona Hilda Newton anajikuta anaijua
@ChademaTz
kuliko
@halimamdee
,Halima kakipigania hicho chama na amekijenga kufika kilipo leo. Halima Mdee ni Mbowe mwanamke Chadema. Leo watoto wa jana wanajiona wanamtosha 😂😂😂. Halima Mdee ni sawa na Hilda Newton 4000.
@MsigwaGerson
nilikupigia simu kwa namba (0717 214 838) bila mafanikio.
@TZWaziriMkuu
Askari wako wanaonea raia.
Kweli nimeamini jeshi letu linabambikia watu kesi na kutisha watu wake na kuteka watu wake.
Presidential powerful speech is what we miss the most as a country.
Kuna ile raisi akiongea nchi nzima inasimama kumsikiliza, JPM pekee ndiye aliyekuwa na hiyo karama.
Huyu mtu alitumwa na Mungu kuja kutuvusha. Pumzika JOHN.
Unajua tofauti kati ya JPM na Samia ni:-
1)JPM alipenda kujiridhisha kwenye kila jambo aliloweza kufikisha mkono wake.
2)JPM alikuwa na plan B ya mambo yake
3)JPM alijua watanzania ni wezi na hawaaminiki
4)JPM alijua hii dunia ukilegea wanakuuza.
5)JPM aliipenda Tz zaidi.
Waliniteka maeneo ya Coco beach (WAVUVI KEMPU) majira ya saa nane usiku.
Hata hivyo sitoshangaa kama
@tanpol
hamtochukua hatua. Natarajia kwenda kwenye ofisi za afande Jumanne Mlilo ambaye nilimpigia simu bila mafanikio kesho majira ya saa nne asubuhi kutoa malalamiko yangu.
Kwa namna JPM ali-handle COVID-19 against the world expectations and somehow baada ya mwaka ndio dunia ikafuata nyayo zake za kupambana na ugonjwa huo.
Kama angekuwepo naamini angekuwa na namna yake ya kutuvusha kwenye hili sekeseke la mafuta.
Believe it or not, He was gifted,
Ninawatambua askar wote waliohusika na ningependa haki itendeke,Niliwaomba wanifungulie kesi na kunipeleka mahakamani wakagoma na zaidi walinipiga na kunilazimisha nisizungumze
Baada ya kupewa pesa na kuniachia waliniomba yaishe na tusameheani kwani walikasilishwa na mdomo wangu
Kunilazimisha niwape milioni 2 ili mambo yaishe. Nilipokataa wakaniweka ndani hadi mdada niliekuwa nae alipowapa laki 6 ndio wakaniachia bila sharti lolote
@TZMsemajiMkuu
@rollymsouth
@tanpol
Nataka kusema
@tanpol
ule ni uonevu mkubwa na ujambazi mnafanyia raia.
Ubora wa Magufuli ulijidhihirisha kuanzia alipoingia kwenye siasa.
Waziri pekee ambaye tangu ateuliwe na Mkapa na baadae Kikwete, amekuwa akifanya kazi kwa bidii na wivu mkubwa kwa Taifa na watu wake.
Aliendelea kwa kusimikwa kwenye Wizara ngumu na zenye matatizo.
R.I.P JPM.
Kwahiyo mwanetu ndiye aliepata kiherehere cha kupima DNA?
Mimi leo niambiwe mtoto wangu sio wangu, alieniambia ndio itabidi atafute mtoto wake maana wangu anabaki wangu.
To be a father you don’t necessary need to be a biological one.
URGENT!!
Habari, Nahitaji dereva wa kuendesha Private Car.
1)Awe na valid driving licence
2)Awe na uwezo wa kuzungumza lugha ya Kingereza vizuri (English speaking driver)
3)Awe ni mtanashati.
Mshahara: 300,000 kwa mwezi
Mahali: MWANZA
@YourFrenchFry
My Dm is Open
@BarackObama
@JoeBiden
I personally love you Barack but honestly speaking Trump is a far more better candidate than Joe. American Politicians have done more damage to the world than non-politicians. Trump is not a politician no wonder he has done less damage. You failed to destroy ISIL and so will Joe.
Dalali wa Zambarau amejitahidi kutomwangushia raisi lawama hata mara moja 😂😂😂😂
Riport imesomwa kiustadi bila kugusa Wizara ya Nishati wala wizara ya mawasiliano
Dalali hajaona, Upotevu wa Bilioni 100+ nishati, hajaona upotevu wa bilioni 11+ (Mawasiliano)
Dalali ni 🚮🚮🚮
JPM aliwanyoosha ACACIA in a way that No any other African president could ever dare.
Hilo pekee litamfanya awe kiongozi wa Malaika huko aliko.
Rest in Peace JOHN, You will always be in our hearts and Soul.
@JoeBiden
I never see people driving around with Biden flags, someone want to explain how this guy who couldn’t fill a high school auditorium is leading currently?
Kuna ile video ya Calito anamuombea ruhusa Madenge kwa mkewe 😂😂😂😂
Calito: Angalia wote tulio hapa ni wanaume hakuna mademu 😂😂😂
@YourFrenchFry
umeambiwa uwe na amani.
Geita unaagiza Pepsi, Unaletewa Coca Cola baada ya dakika 10 na wameifungua tayari. Unamwambia nimekuagiza Pepsi, Anajibu, “Hebu kunywa hiyo huoni zinafanana”
Bila Bashiru mali za
@ccm_tanzania
zilikuwa zimeporwa na wachache akina
@Nnauye_Nape
& Co. Alisimamia zoezi la kurudisha mali za Chama zenye thamani zaidi ya Trilioni 1. Kama sio uungwana,uzalendo na uaminifu, Nani angeweza? Imagine hilo zoezi wangepewa akina
@Nnauye_Nape
😂😂😂
Niwakumbushe tu, Tulibahatika kupata raisi anaeshirikisha Ubongo wake katika maamuzi, A very Conscious President. The one who was NOT FOR SALE.
As we mark Two months Today Since you departed, Rest in Peace Mr.President.
You will always remain embarked in our hearts.
@robertamsterdam
Iam disturbed on how the few Tanzanians who think
@TunduALissu
is our hope, Whites have sent a dog who will bark whenever they tell him to do so. With JPM we have hope and have seen hope. Again we will shame you and the international community supporting the dog you sent.
Mtu anawezaje kuwa mfuasi wa Mwalimu Nyerere halafu akaacha kuwa mfuasi wa Magufuli?
Yaani,unawezaje kumsifu Nyerere halafu ukawa mwana-CHADEMA?
Watu pekee wanaoishi ndoto za Mwalimu ni Wana-CCM,NCCR-Mageuzi na wafuasi wa Ujamaa na Kujitegemea.
MAGUFULI was more of NYERERE.
Serikali ilipanga kukusanya Trillioni 33.105 lakini ilikusanya Trillioni 31.519 Sawa na 95%. (Repoti ya CAG)
Sikumbuki mara ya mwisho. Serikali kukusanya 95% ya matarajio ya kibajeti ilikuwa lini.
Pumzika kwa Amani JPM— Hakika TUTAKUKUMBUKA.
@zittokabwe
@ACTwazalendo
@SeifSharifHamad
@ChademaTz
@freemanmbowetz
@TunduALissu
Zitto Zuberi Kabwe, mheshimiwa mstaafu. Ulijiona umemaliiiza na kwamba wewe ndio unawajua WORLD BANK kuliko watanzania wengine. Ukaenda kuzuia mkopo wa kuboresha Elimu nchini alafu ukadhani wananchi hawakumbuki? Miaka ya nyuma ulikuwa role-model wa vijana wengi.
Sasa wewe ni 🚮🚮
Bila JPM nani angelimjua Kassim Majaliwa? Magufuli had a great taste. Sipatii picha ni jizi gani lingekuwa PM letu kwa sasa. Nyie watu,TUMEPOTEZA JEMBE.
Tulikuwa tunakusanya Trilioni 1.7 kwa Mwezi, Sasa tunakusanya Trilioni 1.3 (400B/mwezi LESS)
Wafanyabiashara wanabembelezwa kulipa kodi. Nini kifanyike?
Mwigulu na Jopo lake wakasema: Tuongeze kodi kwenye Vocha,Kutoa na Kutuma Pesa na Mafuta.
REST IN PEACE JPM.
Nisaidie kulisemea hili ili hawa wahalifu washughulikiwe, natumai CCTV camera za pale WAVUVI zitatusaidia kuonesha hali ilivyokuwa. Hasira niliyonayo hadi natetemeka.
War against corruption has to begin with State leaders,This is a better way to gain peoples legitimacy and support on war against emblezzlements
We know how much a regional commisioner is paid and it would take atleast 50yrs for Makonda to make his fortune out of RC salary
Hii nchi tumepitia mengi sana,Kuna wakati Mgombea kiti cha uraisi aliwahi kupinga kwa wivu mkubwa Msanii kutoka nchi yake asiingie kwenye kinyang’anyiro cha kushindania tuzo ya BET.
Imagine Mama Samia aanzishe kampeni kumpinga Nandi asishinde tuzo ambayo inaitambulisha nchi, 🤣
@realDonaldTrump
Democrats and the media spent four years talking about a Russia hoax on the grounds of election integrity.
But less than 48 hours after polls closed in an actual presidential election, they want to ignore clear irregularities and rush to call states as won.
Unreal!
JPM angekuwa hai mngesema kamuua. Kubali kataa, Kachero alikuwa mwizi Kama alivyo Kikwete na wenzie. JPM alijitahidi sana kujitenga na wezi wa aina yake. Mkishindwa kumwelezea huyo mwizi bila kumtaja JPM tutalala na nyie sambamba.
Konyo konyo 🤨, JPM alijitenga na watu wa DILI.
Magufuli will always be remembered as the BEST PRESIDENT OF ALL TIME.
He manifested that African presidents can still be progressive without shaking their butts off.
Katika kupiga story mbili tatu na Dr.Wilbroad Slaa amesema Wapinzani wa Tanzania wameishiwa agenda na wanachofanya sasa ni kujikita kwenye umbea na matukio
Amesikitishwa na matendo ya Lissu na ameahidi kumuombea ili apone.
Aidha ameendelea kutoa pole zake za dhati kwa MSIBA MZITO
Guys tunatafuta mtaalamu wa mambo ya mitandao atusaidie ku-host page yetu ya Instagram. Awe active 12hrs or more daily. Tutamlipa vizuri.
DM me.
@YourFrenchFry
nisaidie ku-share.
Halafu yupo mtu anakuambia eti aliiba kura 😳
Mwanza ni ya Magufuli hata baada ya kuondoka kwake.
DAIMA TUTAKUENZI SHUJAA WETU.
Umevipigana vita vizuru,Umeumaliza mwendo. LALA SALAMA BABA YETU MPENDWA.🙏🏾🙏🏾
… Kama Afande huyu. Alinisikiliza bila kujali udogo wangu akachukua hatua za kutoa maelekezo kwa Afande mwingine makini kabisa, Afande Mtatiro (RPC KINONDONI).
Hakika Jeshi letu lina viongozi makini kabisa wanaotiwa doa na askari wachache wasio waadilifu.
ASANTENI SANA
@tanpol
Wameanza kukusingizia eti umeacha deni la Taifa likiwa Trilioni 70, Ostazat ameshakopa zaidi ya Trilioni 10 na hata mwaka haujaisha na hatuoni unafuu wa maisha kwa wananchi wanyonge. Tuko mbioni kuuzwa.
Rest In Peace my all time President. We miss you baba 😢😢.
Watu wanashindwa kuelewa jambo moja.
Hakuna anaewatetea wale wabakaji, Lazima washughulikiwe na ndio maana wanne wameshakamatwa na watuhumiwa wengine wawili wanaendelea kutafutwa.
Lakini haiondoi ukweli kwamba yule Binti mwenyewe alikuwa MALAYA.
Kwa wale wasiofahamu,TMDA inamaabara kubwa ya kupima ubora wa dawa na vifaa tiba na kila barakoa inayoingizwa lazima iwe imepata kibali cha TMDA na haziwezi ruhusiwa kuuzwa hadi pale wapate idhini ya TMDA.
Barakoa yeyote imported unayokutana nayo ujue tayari TMDA wameikagua.
FISADI MKUBWA KUWAHI KUTOKEA NCHINI
👉Kajenga hospitali nyingi kuliko zilizokuwepo tangu Uhuru
👉Kapeleka Maji sehemu kubwa ya nchi tangu uhuru
👉Kapeleka Umeme sehemu kubwa ya nchi tangu Uhuru
👉Kasomesha watoto wengi zaidi kuliko rais yeyote
In just 5yrs.
Rest in Peace JPM.
kupatiwa haki yangu, Itoshe kusema najisikia furaha sana.
Ujumbe kutoka kwa Afande Mlilo: Msiogope kutoa taarifa pale mnapofanyiwa uhalifu na askari wachache wasio waadilifu.
Pili, akasema mimi nitakuwa mtu wa mwisho kusakiziwa kesi na kuporwa na maafisa wa Jeshi lake.
Wakati wa JPM vyuma vilikaza lakini tuliona faida ya kodi zetu.
Mf, Alimaliza kabisa adha ya foleni Dar es salaam, Alifikisha umeme sehemu kubwa ya nchi, Barabara ziliboreshwa nchi nzima n.k
Sasa huyu mama vyuma vinakaza yeye anazurura ulaya na akina Shaka kutumua kodi zetu 😎
Mtumishi wa Umma anaemponda JPM wakati huu alikuwa MWIZI. Hakuna mtu safi anaweza msema vibaya. Bahati mbaya nyie masikini wengine mmerithishwa chuki hiyo na mnamponda bila sababu za msingi.
Wakati huu tulipaswa kuhoji kwa pamoja Kwanini wakati wa JPM Umeme haukukatika?
Mimi nilimkataa Fatma na Maria kitambo sana, like any sensible person would. Nilimkataa Kigogo na Martin na wasenge wengine wa aina hiyo. Inawachukua muda lakini tunaelewana sasa.
Cardiac Fibrillation patients with Pacemaker implants survival rate is as follows after surgery.
65.6% - 5yrs
44.8% -10yrs
30.8% -15yrs
21.4% - 20yrs.
So life span after surgery is between 5-20yrs, Average of 8.5yrs.
He knew what he was doing. 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Basi kabla hata ya kwenda kwa Afande Jumanne Mlilo tayari RPC KINONDONI alikuwa tayari ameelekeza nitafutwe na nisaidike, nikakuta file langu lenye tweet yangu likiwa limekwisha funguliwa. Nilifurahi sana.
Afande wote waliohusika waliitwa na nikawatambua na nimeahidiwa …
ACT Wazalendo na Zitto wao walikuja Mwanza wakafanya kikao cha ndani cha kuvuna wanachama wapya wakaambulia watu tisa (9) 😂😂😂
Nilikwambia, Huwezi mdhihaki JPM Kanda ya ziwa especially Mwanza halafu ulete pumb* zako kutafuta wanachama.
ACT Mwanza Imekufa kabla ya kuanza.
Unajua JPM alinyoosha wasionyooshwa and that was his biggest problem
1) Alihakikisha watoto wa viongozi wanatambua kuwa nchi sio yao peke yao
2)Alihakikisha wakwepa kodi wanalipa
3) Alizidhibiti NGO uchwara
4)Alisimamia Uhuru wa Nchi yetu
Kwa ufupi, Aliminya kende za wakubwa
Ebwana ehh! Jana nikakutana na kupiga story na
@rollymsouth
na
@YourFrenchFry
pale Bonasera-Mwanza
Nilichojifunza
1) They both drink responsibly(Madenge hanywi safari zaidi ya 9) normally 6.
2) Coco ni wa Wine Moja na Savannah 2 (Max)
3) Madenge ni Mcheshi in real life
Inaend...
Ujumbe wa Afande Mtatilo: Jeshi lenu la polisi lipo makini na badala ya kupeleka malalamiko mitandao pekee amewasihi mumpelekee yeye na atawahudumia kwa uaminifu mkubwa.
Ujumbe wa afande RCO KINONDONI: Jeshi ni lenu na kazi yake kubwa ni kuwatumikia, muwe wepesi kulikosoa…
@robertamsterdam
@TunduALissu
Waste of time,We Tanzanians do not consider him as a hero rather a selfish maniac who believes change can only be brought by his ways,JPM is the hero and the president we need.
Kauli ya Heri James imenifanya nielewa Hasira za
@Kiganyi_
juu yetu. Kaka tusamehe bure. Tulichagua zuzu kama kiongozi wetu na kwa pamoja tunakubali kuwa sisi ni MAZUZU.