Durant° Profile Banner
Durant° Profile
Durant°

@Durantke

6,068
Followers
5,493
Following
337
Media
180,122
Statuses

branding and t-shirts// Black shines brightest🎶// God is Great.

Nairobi, Kenya
Joined December 2019
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Durantke
Durant°
2 years
0
0
253
@Durantke
Durant°
9 months
Hakuna kitu mbaya kaa kuwa intern unaskianga ita ule jamaa hananga shati ingine aendee matunda alafu unaambiwa asanti
11
127
185
@Durantke
Durant°
10 months
Nairobi kazi ni mob kuna wale wasee unaingia mat ukifikiria imejaa kidogo kidogo wanashuka wakiendea kifao kwa conductor mnabaki watu mbili😂
13
96
190
@Durantke
Durant°
9 months
Unapigisha mathee stori za jaba ndo asahau change unaskia before uniambie uongo iko wapi change. Unachoka!
16
111
175
@Durantke
Durant°
9 months
Kuja I promise hakuna kitu tutafanya amesema mimba si yake
5
105
159
@Durantke
Durant°
10 months
Mimi kwangu curtain ya mlango ni ya kupanguza mkono
19
86
155
@Durantke
Durant°
9 months
Mjengo ukikosa kupima design unakula mshahara 3/4 huwa ya kulipa mathee
10
99
142
@Durantke
Durant°
10 months
Budah umewahi enda hoteli unawekewa nyama mingi kuliko ata ugali, unakulanga ukijua hio ni motina ama punda😂
9
66
140
@Durantke
Durant°
10 months
Funny things ukikufa mamorio ndo watasema kazi yako ilikuwa kuwanunulia pombe instead ujenge
14
91
139
@Durantke
Durant°
10 months
Kuna Wakikuyu wanavaa hizo leso za masaai wanauza asali after 2 days bana inakauka kumbe ni sukari wamemix
8
77
137
@Durantke
Durant°
10 months
Hizi big cars are driven by young ladies.. Kwani secret ni gani jameni?
17
85
135
@Durantke
Durant°
10 months
Gum Gum.... Bazooka!
21
95
130
@Durantke
Durant°
10 months
Unapiga dem maji alafu unaenda v.c.t ukiskiza gospel unathani utasemehewa. Pole kimeumana! 😂
10
93
137
@Durantke
Durant°
9 months
Relationships za workplace huwa poa untill uanze kusomewa na supervisor mbele ya mpoa wako
6
77
129
@Durantke
Durant°
9 months
Hii ngoma ya Bien Inauuma literally inaongelea my love life kwanza apo pa kunusa kamisi
13
76
134
@Durantke
Durant°
9 months
Nikikumbuka nilikuwa naenda Naivasha kila wiki juu ya msichana na tuliachana infact Wangui haunanga akili
8
88
136
@Durantke
Durant°
10 months
Siku izi hawa madem wanaogopa kupata watoto kuliko ukimwi
4
74
125
@Durantke
Durant°
9 months
Pesa ya inheritance huwa unatumia vile unataka juu hujui the pain mwenye alikuwachia alipitia
6
70
131
@Durantke
Durant°
9 months
Unatafuta milaya unaenda your honest 3 seconds unaona ukitoa 200 utaenda hasara unangoa anaanza kushout bana
7
77
127
@Durantke
Durant°
10 months
Terms and conditions huwa unnecessary untill kiumane😂😂
6
83
127
@Durantke
Durant°
9 months
I don't have chills mimi nikuje kwako upike nyama nipate umeniwekea kamoja nitakwambia ukweli
10
78
122
@Durantke
Durant°
10 months
Mwanaume anakupea fast replies inabidii ujiconfirm kwa kioo😂
16
96
131
@Durantke
Durant°
9 months
Jamaa hizi streets ako wacha nipande rooftop na anaishi single ya mabati
9
73
122
@Durantke
Durant°
9 months
Sai pastor ndo anahesabu sadaka ajue kaa atamaliza loan yake
5
63
125
@Durantke
Durant°
9 months
Usiwahi fanya makosa ukasisima place kuna crusade neno hukuingia unatoa kumi ya sukuma kama sadaka😂
5
83
122
@Durantke
Durant°
9 months
Hizo duka za tao unanunua unnecessary things juu tu dem ameshinda akismile unathani ako idhaa
2
70
124
@Durantke
Durant°
8 months
Kuna nguo zingine ata kaa ni zako unaogopa kuvaa like nani atafua
4
63
122
@Durantke
Durant°
9 months
Hao psychiatrists ni frauds unawalipa kuskiza shida zako
6
79
118
@Durantke
Durant°
10 months
Skiza tu Wakadinali huyo Jay Melody anafanya mapenzi ikae rahisi
5
72
114
@Durantke
Durant°
10 months
Unasumbua mamako anakuambia heri ningezaa mandazi tukule na daktari. Unachoka😂😂
10
73
125
@Durantke
Durant°
10 months
Soko ikiwa mbaya apa Koinange unaskianga kuja customer kuna ata ya 50 nipate fare ya kurudi kwa wototo
7
70
120
@Durantke
Durant°
9 months
Content ya kureview vitu huku Kenya inaweza work lakini msee kukupea gadgets zake ndo huwa noma juu ya kusota unaeza sepa nazo😂
8
75
121
@Durantke
Durant°
10 months
Lakini ata wewe unaeza leta reformed and retired Koinange merchant kwa nyumba? Watu hujoke sana
4
68
117
@Durantke
Durant°
10 months
Ile light ya at the end of the tunnel nikaa supplier walikuwa KPLC hakuna
11
71
117
@Durantke
Durant°
10 months
Ukipata chance ya kubully msee bully yeye juu yako ikifika atakuonyesha moto😂
10
76
116
@Durantke
Durant°
9 months
Hao watu huweka picha zao kaa wallpaper kwa simu kwani huwa wanathani watanyanganywa hizo sura zao
5
66
117
@Durantke
Durant°
9 months
Kwa tweets za kijana ya moi ukitoa chakula unaabaki na fullstop tu😂
11
77
116
@Durantke
Durant°
9 months
Kuna wale majamaa hujipendekeza kwa supervisors kwa job hao wanaeza kufa juu ya wivu
5
68
120
@Durantke
Durant°
9 months
Tule tujamaa hukam kuongea shit kwa tweet yako huwa na followers 32 kaa meno tumtu tujinga sana
6
61
115
@Durantke
Durant°
10 months
One thing usiwahi onyesha dem uko desperate
8
73
115
@Durantke
Durant°
10 months
A random Kenyan akiona nguo zako zimetoa maji chafu '' ukikunywa hii maji unapona ukimwi''
7
80
115
@Durantke
Durant°
9 months
Nowadays naked truth ni ngumu kupata
5
88
115
@Durantke
Durant°
10 months
Ata mahindi choma haigeuzwi mara mingi ivo my sister. Relax!
5
76
117
@Durantke
Durant°
9 months
Mount Kenya MCee akisema shake what your mama gave you dance floor ubaki tupu
12
72
110
@Durantke
Durant°
10 months
Mafans wa Manchester City huwa plastic tu
12
65
111
@Durantke
Durant°
10 months
Huwa mnashare mchele na hao wasee huenda choo na maji instead ya tissue?
2
74
114
@Durantke
Durant°
10 months
Mimi vile najijua ata unishinde kwa vita nitakutusi nikitorokanga
8
73
110
@Durantke
Durant°
8 months
Ukichase dem sana huona kaa uko desperate
5
43
112
@Durantke
Durant°
10 months
Kwani how fucked up are you mpaka mko na psychiatrist?
8
64
112
@Durantke
Durant°
11 months
0
0
114
@Durantke
Durant°
9 months
Kuwa open minded si kuleta kiherehere kwa kila kitu
7
74
108
@Durantke
Durant°
9 months
Unafake accent unasahau ujinga na ushamba
5
69
109
@Durantke
Durant°
10 months
Tattoo artist huona greatness kwa sana yaaaannii mtu anachorwa tattoo kwa haga boobs karibu na kinembe na still analipana
9
74
110
@Durantke
Durant°
9 months
ukiskia mathee anasema heri mtu angeweza kurudisha watoto kwa tumbo jua wewe ni sumbua legend
0
53
109
@Durantke
Durant°
2 years
Unajifanya gangster na umetumwa maziwa😏😏
8
34
101
@Durantke
Durant°
10 months
Married niggas unapeana pesa ya nyama unaletewa jioni masukuma ziko na supu ati wife alitoa chama pesa
9
65
108
@Durantke
Durant°
10 months
Hizo simu huuzwa tao na wale madem huhang apo kwa counter wakikuita huwa na 128gb rom but ukiweka ngoma tano inasema memory full
9
79
111
@Durantke
Durant°
9 months
Wanakuibia alafu wanakuambia tia bidii next week tuko na road trip tunahitaji pesa mob
4
58
107
@Durantke
Durant°
9 months
Difference ya chapati na pizza si ni cooking method.
10
76
106
@Durantke
Durant°
9 months
Ati Joseph alipewanga akalenga haha uongo bana
11
68
102
@Durantke
Durant°
9 months
Fifa hainanga pro kuna siku unaweza pigwa hadi ujichukie
5
58
109
@Durantke
Durant°
9 months
Btw ukiwa na pesa zako kuna confidence fulani mtu huwa nayo
5
62
108
@Durantke
Durant°
10 months
Unaskia stori za uongo tamu kukuhusu ata wewe unaamini
4
70
102
@Durantke
Durant°
8 months
Dem ako na tattoo karibu na kinembe na anakuambia pls babe trust me
7
71
104
@Durantke
Durant°
11 months
Uko KDF si mchezo kwanza kutandika kitanda daily acha ikae
4
39
102
@Durantke
Durant°
9 months
Kuna account unaeza parody ukuwe mjinga kaa tu mwenye original account
4
60
104
@Durantke
Durant°
10 months
'Kwani unanyambanga bomb', Hii nayo hainanga comeback kwanza mbele ya watu😂😂
8
77
105
@Durantke
Durant°
10 months
Kuna watu hauwezi watoa ushamba iko inbuilt
6
68
104
@Durantke
Durant°
10 months
Kaa uko na both parents na wako commitment in making your life better be grateful ni very rare nowadays
3
63
101
@Durantke
Durant°
9 months
Apo 25 years to 30 years unakuwanga umekapitia si mapenzi imekutesa si kuwa broke si drugs hio phase huwa noma
4
50
101
@Durantke
Durant°
9 months
Shughuli iwe safi ama chafu bora pesa lakini usiibe kiufala
5
57
102
@Durantke
Durant°
10 months
Kaa uko kwa mzazi piga miaka ingine tatu ivi there is no hurry in Kenya
3
65
101
@Durantke
Durant°
9 months
Hakuna mtu hukuwa wa maana kaa msee amepewa kazi ya kuleta wa madem kwa party
8
67
102
@Durantke
Durant°
10 months
Ati mtoto anakuja na sahani yake?zaa ushangae
6
64
100
@Durantke
Durant°
10 months
I repeat ukipata chance ya kupepeta msee pepeta yeye juu yako ikifika utaona dust
8
68
101
@Durantke
Durant°
9 months
Wallahi mpunguze fornication grips zitaisha wadau
4
58
100
@Durantke
Durant°
9 months
Chenye unafanyia wasichana wa wenyewe ndo sister yako anafanyiwa
4
59
101
@Durantke
Durant°
9 months
Hapo karibu na construction site kunafunguliwa hardware mpya na foreman hushinda hapo guess stock inatoka wapi
3
62
99