DREAM CHASER Profile Banner
DREAM CHASER Profile
DREAM CHASER

@Dream99chaser

25,833
Followers
516
Following
2,080
Media
53,015
Statuses

RISE AND SHINE, DON'T FORGET TO SMILE, NIKAKIPINDI TU

Dar es Salaam, Tanzania
Joined October 2019
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
MAKOSA KATIKA PESA 💰MONEY MISTAKE 1 Usikope pesa ya riba ili uanzishe biashara. Usitegemee pesa ya mkopo kuianzishia biashara, upate faida kisha uirudishe pesa ya mkopo na riba yake. 💰MONEY MISTAKE 2 Usitumie pesa ambayo bado haipo mikononi mwako. Wala usije ukamuahidi mtu
84
497
1K
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
Uzi Fahamu kwanini Wanajeshi wa Marekani waliomboleza kifo cha Saddam Hussein
Tweet media one
38
199
2K
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
SIKU ZA MWISHO ZA UHAI WA CRISDA RODRIGUEZ KITANDANI* Please rt Kabla ya kufariki dunia akiwa na umri wa miaka 40 kutokana na kuugua maradhi ya saratani ya tumbo, mbunifu na mwandishi maarufu duniani Mrembo Crisda Rodríquez aliandika maneno haya akiwa
Tweet media one
90
299
2K
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
Nionyeshe kali kuliko hiii wallper Nikup cent 5
Tweet media one
251
83
2K
@Dream99chaser
DREAM CHASER
5 months
@CyancutyTz Remember this
Tweet media one
6
56
1K
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
HUYU NDIO MWANAMKE Anafanyakazi mshahara 100,000 kila mwezi 1. Anaenda kazini na kurudi kwa pikipiki kwenda 1000 kurudi 1000 kwa mwezi 60,000 2. Anakaa nyumba pango 50,000 kila mwezi 2. Kingamuzi cha azam 25,000 kila mwezi
Tweet media one
116
116
1K
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
Gusa like uone maajabu ya iphone 15 Ukigusa like inatokea rangi ya apple #AppleEvent
Tweet media one
10
22
1K
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
JINSI MKEO ANAVYONASA KWENYE MTEGO WA EX EX👨🏻: hellow, mambo!!? MKEO🧑🏻: poa tu, nani..? EX 👨🏻: aah! ulifuta hadi namba yangu au sababu umeolewa? MKEO 🧑🏻: hayo hayakuhusu, sema we nani..? EX👨🏻: mi Mcharo. MKEO 🧑🏻: Mungu wangu! Mzima wewe? za siku? EX 👨🏻: nzuri tu,
144
180
1K
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
Alafu mnajikuta hamjaniona kwenye TV ila watu bhana🤣🤣🤣
Tweet media one
21
63
1K
@Dream99chaser
DREAM CHASER
2 years
Nipen jibu hapa???? Kuna AFTATU YA VOCHA
Tweet media one
772
75
1K
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
Halima james mdee @halimamdee pokea maua yangu
Tweet media one
108
40
1K
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
Tusimame kwenye ukweli na sio uchawa Chuki hukaaa moyoni mwa mpumbavu New era with HERODE
Tweet media one
Tweet media two
28
49
1K
@Dream99chaser
DREAM CHASER
5 months
Tweet media one
5
36
888
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
Uzi WAFAHAMU KABILA LA WARANGI (warangi hujivunia asili yao ni wapole Na wakarimu) Warangi wapo kati ya babati na kondoa lakini makazi yao hasa ni katika wilaya za chemba na kondoa. Kondoa ni moja wapo ya maeneo yenye historia kubwa Tanzania na
Tweet media one
130
148
877
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
Uzi MIKOA KUMI INAYOONGOZA KWA UCHAWI NCHINI TANZANIA Hii ni list ya mikoa kumi inayoongoza kwa uchawi Tanzania. Kama warning ukielekea huko kuwa na tahadhari. Note:MKOA WAKO UPO NAFASI YA NGAPI HAPA
Tweet media one
208
70
826
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
Uzi PUNGUZA KUWAPA ATTENTION Nirudie kwamba attention ni kama pesa kwenye ulimwengu wa wanawake (attention is a currency in womens world). Attention ndio kupumua kwa mwanamke kwenye mahusiano.
Tweet media one
52
151
786
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
Uzi MAKABILA YENYE UCHUMI MKUBWA TANZANIA swali;JE KABILA LAKO LIKO NAMBA NGAPI
Tweet media one
93
80
771
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
Uzi Makabila kumi yenye wanawake wabaya zaidi Tanzania Hii ni list yenye wanawake wabaya zaidi Tanzania, huwezi tamani hata awe mke wako. Unakaribishwa kukosoa bila povu lolote.
Tweet media one
118
56
778
@Dream99chaser
DREAM CHASER
10 months
WAFUATAO WANAHITAJIKA MOSHI MWEZI HUU 1. Urassa 2. Kimaro 3. Swai 4. Massawe 5. Lema 6. Ulomi 7. Nkya 8. Ndoshi 9. Meena 10. Meela 11. Temu 12. Mlaki 13. Mlay 14. Lyimo 15. Moshiro 16. Mselle 17. Kamnde 18. Kileo 19. Kishimbo 20. Tesha 21. Msaki 22. Assey 23. Kyara 24. Kessy 25.
356
181
723
@Dream99chaser
DREAM CHASER
2 years
Uzi MFAHAM MANSA MUSA MFALME WA DHAHABU Mansa Musa alizaliwa 1280 katika familia ya watawala. Nduguye , Mansa Abu-Bakr, alitawala ufamle huo hadi 1312, wakati alipoamua kwenda safari. Kulingana na mwanahistoria wa karne ya 14
Tweet media one
44
213
704
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
Uzi WAFAHAM KABILA LA WAHAYA Wahaya walitokea Misri na kupitia Uganda na hatimaye kuanza maisha katika eneo la Kagera kaskazini magharibi mwa Tanzania Lugha, Tamaduni,chakula (Ndizi) ya watu wa kabila hili inafanana sana na ile ya jamii ya wanyankole wa nchi jirani ya Uganda
Tweet media one
86
142
696
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
Uzi Kama wewe ni mwanaume na una sifa hizi, basi fahamu kuwa sayansi imethibitisha kuwa una mvuto kwa wanawake
Tweet media one
24
56
639
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
Leo ngoja niwape story na Sharon na dream Kuna kipindi Sharon alikuwa amefika 10k followers na mimi nilikuwa na 13.5k followers. Na alipost kwa kushukuru kufika 10k lakin mimi kama mimi nilimuomba Fb yake tenah public mpka rafik yangu akasema najidharirisha kuomba fb kwa sharon
Tweet media one
41
36
646
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
SOMA KWA MAKINI 1. SIRI YA KWANZA Tengeneza connection na watu usitengeneze urafiki, Iko siku marafiki uliowatengeneza watakugeuza Chakula Cha kula maana "kikulacho kinguoni kwako!", Siyo rahisi rafiki akakubali upate zaidi yake! 2. SIRI YA PILI Usimwamini sana rafiki yako
77
275
638
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
Best wallpaper Thread HD5 My best from someone
Tweet media one
Tweet media two
19
28
615
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
Ronado akiwa mtaani saudi Arabia awashangaza mashabiki zake Video kwenye comment
Tweet media one
96
50
595
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
Uzi Vya Kufanya Mnapokutana Mara Ya Kwanza (First Date). Kumfanya Awe na Hisia Na Wewe Zaidi. Kama unataka mwanamke akukumbuke basi inabidi mkikutana mfanye mambo ambayo yatamfanya akukumbuke. Hii ndo nafasi mnapeana ili kusongesha mahusiano mbele.Japo bado hayajawa mahusiano
Tweet media one
24
93
591
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
MWAMBIE MDOGO WAKO ANAEKWENDA CHUO* 1. Mwambie anaenda kusomea taaluma sio kazi. Anaweza kusoma uhasibu akawa dobi. 2. Mwambie Kufaulu Taaluma sio Kufaulu maisha. 3. Mwambie Kupata alama nyingi sio kujua mambo mengi. 4. Mwambie akifika chuo atakutana na watu wa mikoa tofauti
38
177
577
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
UZI HISTORIA YA KABILA LA WAKINGA (wakinga wanasifiwa sana kwa uchapakazi) Wakinga ni kabila la watu wanaoishi katika mkoa wa Njombe wilayani makete,ni mojawapo ya makabila makubwa ya wenyeweji mkoani njombe,makabila mengine yakiwa ni Wabena na wapangwa.kabila la wabena lilo
Tweet media one
69
168
550
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
Fanya maamuzi yalio sahihi Kati ya mama na mke wako utaanza kula chakula cha nani🤗Sema tu ukweli😁
Tweet media one
211
41
530
@Dream99chaser
DREAM CHASER
2 years
Uzi MFAHAMU TUNTEMEKEMEKE SANGA Tuntemeke alizailiwa  8/12/1930 huko Lupaso, kijiji cha Bulongwa, Njombe TUNTE alianza shule ya msingi mwaka 1942 huko Njombe akiwa na miaka 12 kama ilivyokuwa kwa Mwalimu JK NYERERE.
Tweet media one
41
163
529
@Dream99chaser
DREAM CHASER
2 years
Kuna vocha ya 3k jibu ni lipi
Tweet media one
494
47
521
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
Mnajikuta hamjaona we MZUNGUPORI 🤣🤣🤣🤣
Tweet media one
17
53
520
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
UZI JINSI YA KUPATA HESHIMA!! 1. Acha kuwaomba watu kila wakati. 2. Acha kumtafuta asiyekutafuta. 3.Usidhulumu kitu cha mtu mwingine
Tweet media one
59
168
522
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
Uzi HISTORIA YA KABILA LA WAPARE Wapare ni kabila kutoka milima ya Pare, Mkoa wa Kilimanjaro, kaskazini mwa nchi ya Tanzania. Lugha yao ni Kipare (au Chasu). Kabla ya kuingia huko, inasemekana walikuwa Taveta, Kenya, kwa zaidi ya karne moja iliyopita na wakati huo walikuwa
Tweet media one
35
121
511
@Dream99chaser
DREAM CHASER
5 months
@Masandawana Do you remember this 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tweet media one
26
28
518
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
Uzi NANI MWENYE KOSA JAMAANI? *Mwanamke mmoja alikamatwa na kufungwa gerezani baada ya kukutwa na hatia ya mauaji ya mume wake ambaye mwili wake haukuwahi kupatikana.*
Tweet media one
57
56
504
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
Uzi KUMPENDA MKE WAKO INAMAANISHA NINI? 1. Mpe muda wako. Usimfanye aombe muda wako. Tengeneza muda kwa ajili yake. Tengeneza wakati ambao mtakuwa mkifurahi na kupiga story pamoja. Usiwe bize Jumatatu mpaka Jumapili. Wanawake hupenda sana kusikilizwa na waume zao.
Tweet media one
24
93
499
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
Unaweza sema anajiheshim kumbe mpuuzi tuuuu Watu humu wengi hawafai
Tweet media one
64
23
492
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
UZI KISA CHA KUSISIMUA Kuna kijana mmoja daktari alikwenda kuposa. Binti aliyemposa akamuwekea masharti mazito. Akamwambia chagua mawili imma kunioa mimi au kukaa na mama yako, kwa sababu ukinioa mimi sitokubali mama yako aje hata harusini kwangu! Yule kijana aliemewa.
Tweet media one
26
83
484
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
Mwanamke akiumizwa na mwanaume, hasira zake na visasi vyake ni ku'sex na mwanaume mwingine, Mwanaume akiumizwa na mwanamke, kisasi chake ni kufight na maisha na kujiboresha zaidi kiuchumi, 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹 *Tumeumbwa tofauti.*
27
88
490
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
@PicturesFoIder I drink water more than soda
Tweet media one
10
24
487
@Dream99chaser
DREAM CHASER
2 years
Uzi HISTORIA YA FIDEL CASTROL (Shujaa aliyezaliwa na BEKITATU) Fidel Alejandro Castro Ruz alizaliwa tarehe 13 Agosti 1926, nje ya ndoa ya familia ya mkulima bwanyenye , Angel María Bautista Castro y Argiz, ammbaye alihamia Cuba kutoka Uhispania.
Tweet media one
32
174
458
@Dream99chaser
DREAM CHASER
5 months
@Masandawana greetings from Tanzania. What's coming around goes around the earth is rotating and we have been praying for this 😂😂😂😂.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
21
25
458
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
Uzi WAFAHAM KABILA LA WAJITA Wajita ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi hasa katika Mkoa wa Mara. Lugha yao ni Kijita. Wajita wana muingiliano mkubwa na makabila kama Waha, Wahaya,Wanyankole,Wanyoro, Watoro,Wakerewe, Wahangaza, Wanyambo,Wazinza,Wakara, Wakabwa,
Tweet media one
58
116
450
@Dream99chaser
DREAM CHASER
5 months
@CyancutyTz Only prayers
Tweet media one
0
6
442
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
Wavuvi pro max
Tweet media one
28
28
419
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
Uzi HII NDIO ASILI YA JINA LA MKOA WA MBEYA Mkoa wa Mbeya ni moja kati ya Mikoa 32 ya Tanzania, unapatikana nyanda za juu kusini mwa nchi yetu hii. jina la mkoa wa Mbeya ni neno la kiasili la kabila la Kisafwa lilikuwa likitamkwa ‘Ibheya’ likiwa na maana chumvi.Inaelezwa kuwa
Tweet media one
26
59
410
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
Uzi WAFAHAMU KABILA LA WAGOGO Wagogo ni kabila kubwa la Tanzania ya kati, wenyeji wa mikoa ya Dodoma na Singida. Wanakadiriwa kuwa zaidi ya 1,500,000.
Tweet media one
44
74
399
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
UZI Wanaume Wengi Huwa Wanaanza Mahusiano Vizuri, Ila Baadae Huishia Kuwaumiza na Kuwapoteza Wanawake. Hii Ndio Sababu. Kama wewe ni mwanaume nadhani imewahi kukutokea, Ukakutana na mdada. Ukajihisi kuvutiwa nae, ukamuomba namba akakupa na mkaanza kuwasiliana.
19
69
390
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
KARANGA ZINAONGEZA NGUVU ZA KIUME? Karanga zina majina mengi ,wengine wanaita mafuta ya bunduki nk Kitaalamuni kwamba Karanga zinafaida kubwa kwenye sex kwa sababu hizi -Karanga zinasaidia kuimarisha nguvu za kiume kwani zina madini ya magnesium na iron yanayosaidia damu
Tweet media one
15
47
384
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
Uzi HISTORIA YA WACHAGGA MKOA WA KILIMANJARO Mkoa wa Kilimanjaro ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania wenye postikodi namba 25000. Mlima Kilimanjaro, mlima mrefu kupita yote barani Afrika, umo ndani ya mkoa wa Kilimanjaro. Jina la mlima huu ndilo limeupatia mkoa jina lake.
Tweet media one
36
139
383
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
TAZAMA PICHA VIZURI, rudia kutazama hata Mara 5 ndipo utamuelewa Mwalimu vizuri: 1. ukitoa msaada pasipostahili inaweza kuwa chanzo cha Anguko lako. 2. sio kila anayeomba msaada ukazani ana shida kweli . 3. Sio kila anayeomba msaada ni mwema, Mwingine anahitaji msaada kisha
Tweet media one
26
117
390
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
Msikilize kwa umakini Alafu chukua maarifa na ukweli wa maisha
28
108
383
@Dream99chaser
DREAM CHASER
7 months
@CAFCLCC @YoungAfricansSC Usipo like we ni MCHAWI
Tweet media one
3
3
384
@Dream99chaser
DREAM CHASER
2 years
Kama umefika tunduma na hujakutana na huyu Jua wewe bado 🤣🤣
Tweet media one
23
30
362
@Dream99chaser
DREAM CHASER
2 years
UZI MFAHAM ISAACK NEWTON (MWANA FIDHIKIA) (State law of Isaac motion) ISAACK NEWTON alizaliwa 25 december 1642 na alifariki 20 march 1726} alikuwa ni mwana fisikia, mwanahisabati, mwanateolojia na mwanafalsafa asilia ambaye amekuwa ni
Tweet media one
34
117
360
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
UZI JINSI YA KUPIGA NYETO Siku ya leo tutaangalia ni njia zipi unaweza tumia njia tofauti tofauti kupiga nyeto kwa mwanamke na mwanaume na ukafika kileleni bila shaka yeyote
Tweet media one
Tweet media two
92
38
355
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
Hiki kidude kinaitwa Yoni... wenyewe mnaita kidonge cha maajabu... sasa nisikilizeni... wataalamu wanakataza kabisa kwamba, KAMWE usiweke hizi Yoni ukeni hata kwa sekunde moja achana na hayo masaa 24 mnayoambiwa vikae na kulala ukeni. Maji na kidole vyenyewe tu
Tweet media one
6
29
363
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
*IKIKUGUSA POLE* 🌹 *Tatizo lenu baadhi ya wanawake mkihitajiwa mnajiona wazuri mnaringa mnaacha mtu sahihi kwa kudhani sio sahihi na mnakwenda kwa matu ambae si sahihi mkidhani ndie mtu sahihi*
Tweet media one
30
52
355
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
UZI JIFUNZE KUMUACHA AENDE Kamwe usihisi kama ulimwengu ndio unakaribia mwisho pale akupendae anapokuacha. MUACHE AENDE ! • Kujaribu kumlazimisha mtu akupende ni sawa na kujaribu kumlazimisha Nguruwe kutambua usafi na uzuri. Usimlazimishe akupende, mwache mwenyewe
Tweet media one
21
70
353
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
Ukimuona utasem Umepata mtu kumbe 🤣🤣🤣🤣. Na moka yako hiyooooo kijana ya Hovyo kuwahi tokea twitter
Tweet media one
21
18
340
@Dream99chaser
DREAM CHASER
2 years
Mwenetu kilimkuta nini 🤣🤣
Tweet media one
19
26
343
@Dream99chaser
DREAM CHASER
2 years
Kwenye MAISHA Ni Lazima Uwe Na MIPAKA Yako Ili Kulinda HESHIMA Ukikosa MIPAKA Watu Watakuzoea Vibaya*
30
102
334
@Dream99chaser
DREAM CHASER
2 years
Uzi MFAHAMU MARTIN LUTHER KING Mnamo Agosti 28 mwaka 1963, karibu watu 250,000 walikusanyika kaika bustani ya kihistoria ya Lincoln Memorial mjini Washington-DC kumsikiliza mtu huyu akizungumza.
Tweet media one
14
113
332
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
Mwanaume linapokuja swala la SEX hautakiwi kabisa kuwa mvumilivu. USISIKILIZE maneno ya kijinga kutoka kwa mwanamke kama vile: • Tufahamiane vizuri kwanza • Mimi ni mlokole sex ni mpaka niolewe Mtu ambaye amekuwa sexual active hawezi kukunyima iyo Wet'Crack kabisa unless
41
74
333
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
Mbona kama Manula na alikiba wanafanana au ni macho yangu
Tweet media one
19
21
320
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
Mkiwa bafuni wewe chezea sehemu zake to lazima akuengemee kifuani au aje kwenye romanace. Wewe kaka, penyeza vidole vyako kwa bibi uwe kama unatawaza bibi maji yanavyotekenya +vidole vyako lazima atulie tuli au apishanishe miguu kama chini kuna moto. Nawe dada ukiwa unaoga naye
Tweet media one
26
19
319
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
KWANINI WANAUME WANAKUFA MAPEMA😂😂 MWANAUME ANAITAJI VITU SIMPLE TU AKUFANYE WEWE MKE 1. Kupikiwa 2. unyumba 3. kupumzika 4. uvumilivu. MWANAMKE ANAHITAJI MWANAUME UWE... 1. Mpenzi 2. rafiki 3. mshikaji 4. baba 5. kaka 6. mwalimu 7. boss 8. mpiganaji 9. askari 10. mlinzi 11.
75
114
322
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
Uzi Hivi ndivyo hawa mastaa wa mpira wa miguuu NGULI duniani wangekuwa kama wangekuwa wanafanya mziki Yupi angekuvutia sana 1
Tweet media one
21
20
307
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
Uzi HISTORIA YA WAHA KUTOKA KIGOMA Waha huzungumza lugha ya Kiha, hapo zamani himava vao kiutawala ilitwa Buha ambavo ilijumuisha mipaka yote ya eneo la Mkoa wa Kigoma. Nyumba halisi ya Waha itwayo Ngondano kwa kawaida ni ndogo na wakati mwingine hubebeka.
Tweet media one
33
82
316
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
Uzi STORY YA KWELI FUPI YENYE MAFUNZO KWENU WADADA💔 Nilipoingia katika mahusiano naye nilimuamini, nikampa kila kitu nilichoweza. Nakumbuka enzi zile nyumbani tulikuwa tuna ng'ombe, niliiba maziwa kila siku na kumpelekea kwao.
Tweet media one
25
72
307
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
Umeshika shingapi hapo
Tweet media one
96
19
298
@Dream99chaser
DREAM CHASER
2 years
Uzi NGUVU YA UBAHIRI ( Ijue nguvu ya ubahiri iletayo mafanikio ya kifedha) Ubahiri:ni kitendo cha mtu kuwa na matumizi madogo sana ambayo yana kiwango kidogo Sana ukilinganisha na kipato chake Ubahiri upo wa aina mbali mbali kama vile fedha,vitu na mda
Tweet media one
13
93
297
@Dream99chaser
DREAM CHASER
2 months
Black bonge la uzi Wananchiiiii
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
6
19
301
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
Uzi HISTORIA YA "WASUKUMA" Jina la Wasukuma limetokana na neno SUKUMA(KASIKAZINI). Hivyo Msukuma ni mtu wa Kasikazini lakini Wasukuma haimaanishi tu watu wa kaskazini bali wanajumuishwa pia watu wa 1.Mashariki(Bhanakiya:Ntuzu):Mkoa wa Simiyu.
Tweet media one
24
92
293
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
Uzi FAHAMU KABILA LA WANYAKYUSA ( Historia fupi ya wanyakyusya Tanzania) Wanyakyusa (pia huitwa Wangonde au Wasochile) ni kabila la watu wanaoishi kwenye wilaya ya Rungwe katika sehemu za kusini za Mkoa wa Mbeya (Tanzania) kaskazini mwa Ziwa Nyasa.
Tweet media one
46
102
294
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
Katika washikaji ambao hawana akili huyu ni namba moja trust me Humu hamnazo kabisa
Tweet media one
14
18
286
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
Uzi MAKABILA KUMI MAARUFU ZAIDI BARANI AFRIKA WATU wa nje ya Afrika hufikiri watu wa bara hili ni mkusanyiko wa jamii moja inayoelewana kwa lugha na kiutamaduni, kumbe sivyo.  Kuna makabila zaidi ya 3,000 yenye kujitegemea katika kila fani.  Miongoni mwa makabila kumi makubwa
Tweet media one
18
34
287
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
Uzi KISA CHA KWELI CHA KUSISIMUA -Mwanamke aliyebakwa siku ya harusi yake Kenya Wakati Terry Gobanga, wakati huo akiitwa Terry Apudo alipotoweka katika harusi yake hakuna mtu aliyedhani kwamba alitekwa nyara ,kubakwa na kutupwa kandakando ya barabara akipigania uhai.
Tweet media one
22
65
285
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
Uzi Fahamu historia ya chimbuko la kabila la wakurya Abakuria (au Wakurya) ni kabila la watu wanaoishi katika wilaya za Rorya, Tarime na Serengeti kwenye mkoa wa Mara, kaskazini mwa Tanzania, na katika wilaya za magharibi na mashariki mwa Mkoa wa Nyanza katika sehemu ya kusini
Tweet media one
43
86
278
@Dream99chaser
DREAM CHASER
2 years
BARUA,,,, BARUA YA WAZI KWA WANAWAKE Dada angu wanaume wengi wanapenda mwanamke natural sana kuliko muwazavyo ninyi. Unaweza kutuma picha yenye filter au Snapchat siku akikuona live ndio basi tena (mnatelekezana)
Tweet media one
20
65
271
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
Bro baby wako kama hajawahi kukupa umbea jua she is not free and in love with you 😁😁wanawake wakikupenda wanakupa sana umbea
19
30
268
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
BARUA YA WAZI KWA VIJANA WA KIUME Kijana mwenzangu wewe ndiye mwenye uchungu na maisha yako, wewe ndiye shujaa wa maisha yako. Ifike wakati uyatafakari maisha yako na hatma yako. 1. KIJANA umepumbazika na kampani za watu wenye maisha yao, unafurahia offer ya pombe, kupewa gari
21
77
264
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
Uzi DADA HII IWE SIRI YAKO NA IKUSAIDIE KABISA KATIKA MAHUSIANO YAKO Dada angu hii ikupe taswira na ujue unadate na mwanaume wa aina gani na ujifanyie tathimini ila kisha uone lipi njema. Mwanaume mwenye upendo na anayekuhitaji kabisa katika maisha yake ana sifa hizi.
Tweet media one
12
47
270
@Dream99chaser
DREAM CHASER
2 years
Uzi Namna ya kuiomba
Tweet media one
34
20
256
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
MAHUSIANO YAKIVUNJIKA HUTUUMIZA NA KUTUVURUNGA SANA (mapenzi yanauma) Fanya mambo haya yatakusaidia kwa namna fulani kuepusha na sonona au majuto yasiyokoma.
Tweet media one
8
55
266
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
Uzi MWANAMKE AKIKUELEWA HUTUMIA GHARAMA, VIUNGO VYA MWILI KUKUKAMATA (Mbinu 10) Mwanamke akikuelewa ana mbinu 10 za kukunasa na akikunasa akakutana nje ya matarajio yake anakuacha mapema sana. Mwanamke huenda kwa matarajio ndipo hutumia njiaza zake moja baada ya nyingine.😀🙌
Tweet media one
8
47
257
@Dream99chaser
DREAM CHASER
5 months
Tweet media one
40
4
264
@Dream99chaser
DREAM CHASER
2 years
UZI BADO TUPO VITANI,TUVUMILIENI (Kwako mwanamke mzuri) Stori ambazo hazipewi uzito mkubwa ndizo stori za kutisha ambazo ndani zimebeba siri nzito ya kuitwa BABA, stori ambazo huwezi kuzikuta kwenye saloon za kike wala kwenye hotuba za Motivational Speakers
Tweet media one
24
86
253
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
Kazi ya hicho kidole ni nini?? Kutoka kwa sister
Tweet media one
Tweet media two
14
16
249
@Dream99chaser
DREAM CHASER
2 years
Kupatwa kwa jua
Tweet media one
24
28
244
@Dream99chaser
DREAM CHASER
5 months
@CyancutyTz 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Tweet media one
3
5
259
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
Umevaa Jessy gani hapo
Tweet media one
32
22
248
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
Uzi KAKA ANGU ukikutana na mwanamke pamoja na mafanikio yake mazuri ya kiuchumi, muonekano mzuri AKAKUELEWA na KUKUPENDA.
Tweet media one
3
26
252
@Dream99chaser
DREAM CHASER
1 year
𝗡𝗗𝗢𝗔 𝗛𝗜𝗭𝗜 𝗪𝗘 𝗔𝗖𝗛𝗔 𝗧𝗨 Mwanaume mmojaa alikuwa anamlazimisha mkewe kufanya mapenzi gizani kwa muda wa miaka kumi. Ndipo siku moja mwanamke uzalendo ukamshinda na kuamua kuwasha taa kwa ghafla. Ile kawasha tu, tualipigwa na bumbuwazi baada ya kuona kuwa
Tweet media one
19
27
248
@Dream99chaser
DREAM CHASER
2 years
Uzi TABIA 12 ZITAKAZOKUFANYA UWE MWENYE FURAHA MAISHANI MWAKO 1.SAMEHE Samehee hata wasiostahili kusamehewa. Usikubali kuwa na kinyongo au ugomvi na mtu yeyeto. Jifunze kupotezea. Usimjibu kila mtu kila kitu . Hata ukimya ni majibu.
Tweet media one
18
118
243
@Dream99chaser
DREAM CHASER
2 years
Sio kila kitu kinahitaji kuongea Vingine ni vya kuviacha vipite na kukaa kimya #DREAMCHASER #RISEANDSHINE
65
87
221