mzungu akitaka ku commit suicide hukua funny,jamaa anapanda hadi 93rd floor,ako "oh ma God I'm gonna jump๐ญ"kiasi hivi unaona gava imetuma backup ya Swat,Fbi,Dstv,NYPD,
alafu na negotiater,jamaa ana sweet talk msee anachange mind wanamchukua hosi,anapewa maji,
Kenya jaribu ku