Mangi Wa Kichagga Profile Banner
Mangi Wa Kichagga Profile
Mangi Wa Kichagga

@Deo18Tarimo

11,762
Followers
5,147
Following
1,054
Media
20,210
Statuses

Invest In Your Dreams.

Joined November 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
5 months
Just imagine mwenetu anapigana against the whole country, plus Mange wenu Na Bado Jombaa Yuko Fiti MMM apewe maua yake🙌
Tweet media one
155
240
3K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
2 months
Majamaa Yamekaa Kimkakati Sana Yamegoma Kuvaa Sare Za Kijani😀
Tweet media one
55
98
4K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
22 days
Mwandishi Wa Habari Aliyenyooka Hana Makando-Kando "Oscar Oscar"👊
Tweet media one
17
283
3K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
10 days
Mchekeshaji Anaepata Dili Nyingi Za Matangazo Kuliko Wachekeshaji Wote Tanzania
Tweet media one
23
42
3K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
9 months
Hii Ndo Maana Halisi Ya Football✊
Tweet media one
21
96
3K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
2 months
Marioo Mtu Wa Maana Kabisa🤝✊
Tweet media one
6
63
3K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
1 month
Mtu Anaongea Na Makocha Wakubwa Africa Alafu Akitaka Mchezaji Mzuri Amkose?😀
Tweet media one
26
56
3K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
8 months
Uyu ndo mlitaka adake mapinduzi 😂
Tweet media one
43
62
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
1 month
Kumbe Huyu Dj Mamie Alikua Mwanafunzi Wa Dj Ally B😀 Ndo Maana Jana Kaupiga Mwingi Vile🔥
Tweet media one
0
37
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
3 months
Balozi wa wanaume Afrika Picha Muhimu Kabisa Kwa Ally Kamwe🤝
Tweet media one
13
41
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
1 month
Kijana Pekee Wa Simba Aliyetoka Na Tuzo Jana Licha Ya Kujituma Uwanjani Kijana Ni Mvumilivu Haswa,kapigania timu yake na kilio alikitoa siku ile walivyofungwa 5-1 kijana Ana Mapenzi ya dhati na kilabu chake😂
Tweet media one
4
36
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
15 days
Mshikaji Ameondoka Yanga Kwa Wema Na Leo Ameiaga Rasmi Timu Hii Aliyoichezea Mwaka Jana, Amenikumbusha E.Okwi Jamaa Alikua Anaiaga Vizuri Simba Ndo Maana Alikua Kipenzi Chao Mpaka Leo Anapendwa Na Mashabiki Wa Simba👊
Tweet media one
4
52
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
1 month
Msukuma Wa Mwanza Aliyesema Hagombanii U-star Ili Akifa azikwe Kinondoni😀
Tweet media one
3
33
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
24 days
Sema Lijamaa Limeifanya Mechi Iwe Ya Kufurahisha Sana Hongera Sana Semaji La Burundi😃
Tweet media one
4
32
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
19 days
Gamondi Anamkubali Sana Uyu Dogo Na Dogo Ameshalitambua Hilo Ndo Maana Saivi Ameanza Kuwa Serious Na Nyavu👊
Tweet media one
3
29
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
3 months
Tajiri Mwenye Tilisho Zake Akiwa Na Mfanyakazi Wake🍂
Tweet media one
36
33
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
1 month
Mwijaku na familia yake wapo Airport wanakimbia huku😂😂
Tweet media one
16
44
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
29 days
Kwaiyo Mdogo Wangu Ulisema Azam Umefuata Makombe Sio🤔
Tweet media one
7
36
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
25 days
Skudu Anakula Tu Bata Ela Ikiisha Aende Kuishtaki Yanga Kuwa Anaidai Ela Ya Usajili😃
Tweet media one
15
35
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
1 month
Manara Akikufunga Kamba Za Viatu Kama Hivi Kwenye Tamasha La Timu Yake Lazima Ukafanye Makubwa Msimu Ukianza
Tweet media one
9
37
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
29 days
Kwa Mara Ya Kwanza Kwenye Mpira Wa Miguu Timu Ya Yanga Wanaomba Dua Kabla Haijashangilia Ubingwa🔰🤲
Tweet media one
6
62
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
1 month
Vanessa Alivaa Hadi Jezi Ya Burkina Faso Lakini Wapi😀
Tweet media one
2
23
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
1 month
Mpare Kashakula Dili Jingine La Kutangaza Bidhaa Za Gsm Huku Sasa Atakutana Tena Na Mobetto😀
Tweet media one
3
33
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
2 months
Leonard Alivyotulia Hapa Kama Vile Baadae Haendi Kuchekesha Pale Cheka Tu😀
Tweet media one
1
21
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
1 month
Ila Mganga Wa Ndaro🙌😀
Tweet media one
14
32
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
3 months
Lengo Lilikua Aziz Ki Asaini Mkataba Mpya Kashasaini Tumemrudia Mke Wetu😃
Tweet media one
7
39
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
11 days
Sema Uyu Pep Guardiola Wa Mchongo Wa Fountain Gate Anajua Bhana🤣
Tweet media one
6
31
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
21 days
Wakati Yanga Tunaona Dube Na Mzize wanatosha Tusisahau Kama Tuna Baleke😀
Tweet media one
7
47
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
25 days
Wameanza Kutuma Watu Waje Kuua Magoti Ya Wachezaji Wetu😃
Tweet media one
18
47
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
3 months
Hawa Ndo Wasanii Pekee Wa Tanzania Wanaoweza Kuni-Motivate kwenye Mahusiano⚘
Tweet media one
20
47
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
1 month
Coy Mzungu Apewe Maua Yake Bila Huyu Jamaa Leo Hii Tusingemjua Ndaro Wala Leonard🤫
Tweet media one
8
31
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
2 months
Endelea Kupumzika Kwa Amani Kaka🕊
Tweet media one
27
159
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
24 days
Ukishindwa Kupigana Nao Basi Ungana Nao👊 Rasmi Msemaji wa "VITAL'O" Arsene Bucuti Ni Mwananchi🔰
Tweet media one
Tweet media two
6
44
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
1 month
Kumbe Huyu Foby Alishawahi Kucheza "Maji Maji" Ndo Maana Anajua Mpira Asee🔥
Tweet media one
10
28
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
18 days
Huku Napo Mbona Kubaya🙂 Ile Yanga Day Dogo Alianzia Kwa Yao Yao😃😃
Tweet media one
3
25
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
1 month
Last born Wa Yanga Huyu jamaaa Anakubalika na Mashabiki wa Yanga kuliko hata Zungu
Tweet media one
9
37
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
1 month
Uyu Mau Na Kocha Wake Ile Yanga Day Mboto alikua anamfanyia Sub anaingia hazipiti dk 5 Anamtoa alafu baada ya dk 10 anamuingiza tena uwanjani😀
Tweet media one
5
29
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
4 months
Mabishoo Wa Yanga Khalid Aucho Na Kennedy Musonda Hawa Jamaa Wana Dunia Yao Pale Yanga🔰
Tweet media one
0
56
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
1 month
Huyu Dj Anaitwa Nani🥰 Hapa Uwanjani Anaupiga Mwingi Sana🔥
Tweet media one
25
39
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
1 month
Hakuna Mchezaji Aliyepita Yanga Alafu Awe Na Chuki Na Hii Timu Molinga Bado Anaikubali Yanga🔰
Tweet media one
22
30
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
1 month
Mlitaka Uyu Mpare Nae Akae Jukwaani Atambulishwe Halafu Hii Mishangazi Impite Sio😀
Tweet media one
2
26
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
24 days
Kwamba Media Kubwa Za Bongo Hazimuoni Huyu Jamaa?🤔
Tweet media one
53
54
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
3 months
Stamina Aliimba Sana Hatimae kijana Akapotea kabisa Kwenye Mpira wa miguu🙌😃
Tweet media one
26
46
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
6 months
Hiki Kikao sio cha Bure Akitoka hapo lazima mkataba uongezwe😎
Tweet media one
4
41
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
22 days
Usm Alger Imemsajili Freddy Kutoka Simba Kwenda Kuziba Pengo La Ateba Aliyeenda Simba😃
Tweet media one
26
37
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
3 months
Uyu Dogo Ni Free Agent Tena Mzawa Kabisa Ana Miaka 26 Ila Angekua Anacheza Bongo Ungesikia Ana Miaka 19😀
Tweet media one
8
24
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
3 months
Hii Pepsi Anayokunywa Gaucho Ina Ladha Sawa Na Hizi Hizi Pespi Tunazokunywa Huku Katavi?🤔
Tweet media one
110
47
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
2 months
Hawa Wachezaji Wanaokuja Kimya Kimya Kama Max Nzengeli Ndo wanakuja Kuwaga Hatari Sana
Tweet media one
7
23
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
16 days
Chama Asiye Na Furaha Yanga Anafunga Goli La Tatu Hapa Chamazi👊
Tweet media one
0
36
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
2 months
Nje Ya Utangazaji Wa Radio Meena Ally Ni Muigizaji Mzuri Tu💫
Tweet media one
3
24
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
11 days
Naona Afande anamuangalia sana Jaiva labda Kwa Sababu ya ule wimbo wake🙂
Tweet media one
30
44
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
5 months
Hapa Ukipeleka Kifaa cha DNA Chenyewe Kitakushangaa.
Tweet media one
46
48
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
15 days
Jamaa Anakufunga Huku Anatabasamu Alafu Akitoka Hapo Anaenda Kupiga Magoti Kumshukuru Mungu😀
Tweet media one
5
30
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
1 month
Utambulisho Wake Ulikua Wa Mwisho Kabisa Kwenye Siku Ya Yanga Day Leo, Professor Wa Mpira Pacome Zouzoua🔥
Tweet media one
4
21
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
1 month
Hapa kwa Mkapa hakuna Mwenye Njaa kila mtu Kashiba Supu Ya Jana🔥
Tweet media one
4
37
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
3 months
Jamaa Akili Yake Ipo Kwenye Usajili Wa Wachezaji Wapya Huku Kwingine Bado Sana😃
Tweet media one
25
28
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
2 months
Prince Dube na Clement Mzize wameripoti kambini katika klabu ya Yanga tayari kwa ajili ya maandalizi ya msimu 'Pre-season😎
Tweet media one
3
21
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
2 months
Tulivyokua Tunamuita Mzize Drogba Mlituona Waongo Sio😀
Tweet media one
Tweet media two
12
38
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
2 months
Mwanetu Kaona Sio Mbaya Bora Abaki Tu Bongo Aendelee Kuwaona Kina Mobetto😀
Tweet media one
5
21
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
20 days
Ilo Dau la Bilioni 1.7 Wydad Casablanca Walilete Kwa Musonda Waone Kama Tutalikataa😀
Tweet media one
4
33
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
1 month
Kumbe Jana Azam Nae Kacheza Na Kombe Kabeba😀
Tweet media one
1
23
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
26 days
Saivi Yanga Wamebaki Na Wacongo Watatu Tu. Kuna Kipindi Tulikua Nao Zaidi Ya 7😀
Tweet media one
3
32
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
26 days
Achana Na Wale Marefa Wa Kubalance Ili Timu Fulani Isifungwe Goal Nyingi. Kuna Huyu Arajiga Bonge Moja La Refa Caf Wamemchagua Kuchezesha Mchezo Wa Ligi Ya Mabingwa Africa Siku Ya Jumamosi👊
Tweet media one
16
37
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
7 months
Kule YouTube Kuna Video Inashindana Na Audio😃
Tweet media one
21
39
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
5 months
Jamaa Anaipenda Sana Yanga Akifunga Goli Anashangilia kwa Kuibusu Nembo Ya Yanga Akifanyiwa Sub Hakai Chini Anaenda Kuwa Kocha Msaidizi🙌 Mtu Wa Maana Kabisa Uyu Aziz Ki🤝
Tweet media one
30
57
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
26 days
Mnauhakika Chama Hana Furaha Hapa Yanga?🤔
Tweet media one
5
38
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
25 days
Wenzetu Wametuacha Mbali Sana Al Ahly Wamemuuza Bilioni 11.9 Beki Wao Mohamed Abdelmonem Kwenda Nice ya Ufaransa😃
Tweet media one
13
32
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
2 months
Baada Ya Chama Ni B-Dozen💫😀
Tweet media one
7
17
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
9 days
Jux Nae kaamua Kwenda Kuchukua Kule Kule Kwa Rotimi😀
Tweet media one
22
29
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
12 days
Leo Tunaanza Ligi Rasmi🔰👊
Tweet media one
7
24
2K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
18 days
Ommy Dimpoz Afisa Masoko Wa Gsm🙌 Kwaiyo Zile Bata Anazokula Mmeshajua Ela Anapata Wapi Kwaiyo Muache Kumsema Vibaya😃
Tweet media one
1
30
1K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
1 month
Vijana Msiwe na haraka kila mmoja Atafikiwa🙂
Tweet media one
27
36
1K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
4 months
Kuna Hii Vita Ya Nafasi ya pili Na Kuna Ile Vita Ya Kiatu🙌🙌
Tweet media one
3
22
1K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
26 days
Huyu anaitwa Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Benjamin Kuzaga. Ni Kamanda wa Polisi (RPC) mkoa wa Mbeya. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na viongozi wa Chadema leo, huyu ndiye aliyewaokoa "wasife". "Mungu Ampe Maisha Marefu🙏
Tweet media one
19
66
1K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
1 month
Mwambieni Mpemba asikimbie Tena Medal siku ya Fainali🙂
Tweet media one
4
26
1K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
1 month
Sio Jambo Jepesi Kuwapata Hawa Wasanii Wawili Kwenye Tamasha Moja,Manara Ana Ushawishi Sana Ndo Maana Gsm Hataki Hiki Kichuma Kiondoke Yanga🔰
Tweet media one
Tweet media two
25
28
1K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
29 days
Appreciation Tweet For "Chadrack Issaka Boka" 🏃‍♂️
Tweet media one
1
24
1K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
1 month
Kwenye Hizi Sajili Hersi Aliupiga Mwingi Sana Ndani Kuna Dube Nje Kuna Baleke🔥
Tweet media one
2
22
1K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
10 months
Chino Mwenyewe Kumbe Yuko Poa Kabisa Anatembea🤔
Tweet media one
43
48
1K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
1 month
Hapa Mwanza Harmonize Kaimba Ile Nyimbo Ya "Yanga Bingwa" Ila Akatoa Tu Ile Yanga Akaimba Pamba Hii Utaifungaje Uwanja Mzima Ukakaanga Chips😃
Tweet media one
2
14
1K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
1 month
Mchezo Wa Kesho Dhidi Ya Yanga Ni Mchezo Wa Kawaida😃
Tweet media one
29
26
1K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
14 days
Mabishoo Pacha Wa Yanga Wakila Zao Bata👊
Tweet media one
2
14
1K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
1 month
Ilikua Ni Lazima Yanga kumbakiza Uyu Jama😀
Tweet media one
3
24
1K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
10 days
Na Sisi Yanga Tuna Kounde Wetu😀
Tweet media one
11
25
1K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
25 days
Aya Namungo Nae Anadhaminiwa Na Azam Vipi Azam Nae Atapata Points 6 Kwa Namungo?🤔
Tweet media one
14
23
1K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
1 month
Kumbe Mke na Mume ni pipa na Mfuniko😀
Tweet media one
31
35
1K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
30 days
Anapigwa fatuma anaumia Halima😃
Tweet media one
4
37
1K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
1 month
Kwenye Dimba La U-Mc Kulikua Na Docota Ambae Muda Wote Alikua Anatamba kwenye Duara Kama Pacome Ila Nyuma Yake Kulikua Na Huyu Khalid Aucho "Shifta" Jamaa Nalo Linapumzi Bwana🔥
Tweet media one
4
18
1K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
22 days
Yanga Wapo Serious Sana Uyu Mwarabu Sijui Wamemtoa Wapi😃
Tweet media one
9
18
1K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
4 months
Kwani Captain Wa Yanga Ni Nani Mbona Kwenye Matukio Mengi Uwanjani Anaonekana Sana Aziz Ki?🤔
Tweet media one
37
24
1K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
10 months
Huyu jamaa ukiwa unamuangalia unatamani kila mpira apewe yeye anavyoondoka kama hataki yani kama hachezi lakini ndo anakuacha hivo🙌
Tweet media one
14
46
1K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
3 months
Mjomba Kabadili Mganga Au Ni Dharau Tu🤔😃
Tweet media one
50
21
1K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
1 month
Hawa Tabora Mpaka Saivi Hawajasajili Mchezaji Hata Mmoja Safari Hii Hatutaki kuanza ligi na watu wawili uwanjani😀
Tweet media one
8
14
1K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
2 months
Saivi Hatuendi Mbali Kusajili Tunazunguka Hapo Hapo Dar Pana Wachezaji wazuri Sana😀
Tweet media one
3
16
1K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
10 months
Kumbe Hadi "Super Sport 4" Walionesha Hii Mechi🤔 Kwaiyo Rais Wa CAF Na Rais Wa FIFA Waliona Kilichotokea Sio😉
Tweet media one
25
57
1K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
4 months
Kama Huyu Ndo Amefuatwa Huko Mazembe Basi Mtani Atafute Kabisa Maneno Mapya Ya Kuwasema Viongozi Wao😀
Tweet media one
8
23
1K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
29 days
Dube Kawafunga Azam Na kuomba Radhi Kama Heshima Kwa Club Yake Ya Zamani👊 Mpemba Sasa Baada Ya Kuwafunga Yanga Timu Yake Ya Zamani😃
Tweet media one
23
34
1K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
9 months
Waarabu Wakishaona Timu Inayotokea Ukanda Ambao Sio Wao Inafanya Vizuri Lazima Wafanye Juu Chini Waibome Al Ahly Wanamtaka Uyu Kocha Wa Mamelodi Sundowns😀
Tweet media one
14
21
1K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
3 months
Huyu Dada Baada Ya Kuondoka Clouds Aliendaga Wapi?🤔
Tweet media one
87
26
1K
@Deo18Tarimo
Mangi Wa Kichagga
1 month
Pameanza kupendeza🔰
Tweet media one
1
19
1K