Unafikiri hapa nilikuwa na hali gani angalia DK dah ila tuwapongeze singida wametupa changamoto pia wachezaji wetu wamepambana na sasa tuko fainali
Tukutane Jumapili
Dakika 90' kwa PinPin CAMARA 🔥 akiwa timu ya Taifa ya Guinea kaiwezesha timu yake kuibuka na ushindi wa Goli 4-1 amefanya kazi bora sana leo SPIDER CAMARA 🦁🔥
Willy Onana, Mechi ya kwanza Akiwa na Uzi wa Al Ahly Benghazi, kaweka Hatrick ⚽⚽⚽.
Ameshateka mashabiki huko Libya, New Song is Willy Lendré Osemba Onana.🙌🏾
"Kundi la pili limeondoka alfajiri ya leo na Chama hajaondoka kwenda Uturuki, suala lake lipo katika uongozi wa juu wakijaribu kulishughulikia litakapoamriwa basi tutawajulisha." Meneja wa habari na mawasiliano Simba SC, Ahmedi Ali
Walikuwa na haki yankumlilia baada ya mchezaji kupotea airport wakamsaka kwa tochi na hawakumuona mara paap katua msimbazi mwamba huyu hapa Fabrice Ngoma