Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ Profile Banner
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ Profile
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ

@DMaabara

7,447
Followers
907
Following
927
Media
189,659
Statuses

Medical Lab Technologist ๐Ÿ”ฌ๐Ÿ”ญ. ||Fans of @man U& @Young Africans Sc||Pray To Allah Until Something Happen ๐Ÿ‘||Keep On Smilling ๐Ÿ˜Š, Life Iz Amaizing โœŒ๐Ÿ˜Ž

Katoro Geita , Tanzania
Joined May 2021
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Movie Name Plz ?๐Ÿ˜Š๐Ÿ‘‡
Tweet media one
365
122
2K
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Nini Tofauti Ya Hizi Picha Mbili?๐Ÿค”๐Ÿ˜‚
Tweet media one
531
88
1K
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Hapa Mheshimiwa Paul Kagame Inatakiwa Awe Na Ulinzi Wa Namna Gani Kwa Binti Yake ?๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜‹
Tweet media one
45
40
1K
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
1 year
Ni Kwanini Wachezaji Wazawa Maisha Ya Nyumbani Kwao Hawayaboreshi Kulingana Na Wachezaji Wa Kigeni ? Shida Inaweza Ikawa Ni Nini ?๐Ÿค”๐Ÿ‘‡
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
143
37
1K
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Unahisi Huyu Daktari Kasomea Chuo Gani ?๐Ÿค”
Tweet media one
198
63
993
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
1 year
"Nioneshe Wachezaji Wako Wenye Golden Gloves Na Golden Boot Kutoka CAF Nikuoneshe Kuku Mjane๐Ÿ˜"
Tweet media one
33
41
812
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
1 year
Kuna Clip Nimeiona Kutoka Kenya, Mwanaume Na Mwanamke Wana-Sex Public Yani Mtaani Tu Na Watu Wanaangalia, Kweli Dunia Imefika Mwisho ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ’”๐Ÿ’”๐Ÿšฎ
41
35
801
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
5 months
Kwani Kuna Ubaya Kama Huyu Dogo Wangemtumia Kuchora Ile Sanamu Ya Nyerere ?๐Ÿ˜๐Ÿ‘‡
Tweet media one
75
51
772
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
9 months
Ukiwasikiliza Hawa Madogo Speech Zao Utagundua Kuna Mmoja Amekalilishwa Na Kuna Mwingine Anatambua Anachokiongea
Tweet media one
Tweet media two
63
20
756
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Wanafunzi Wa Chuo Gani Hawa Wakiwa Kwenye Michezo ?๐Ÿ˜‚
Tweet media one
92
38
712
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Boyfriend Wa Tanzania Anamajukumu Makubwa Kuliko Baba Wa Watoto Wawili Marekani ๐Ÿ˜ƒ
46
83
680
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Unahisi Huyu Engineer Kasomea Chuo Gani ?๐Ÿค”
Tweet media one
167
53
676
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Nmepita Iringa , Naona Hiki Kitu , Ni Nini Hiki Wazee ?๐Ÿ˜
Tweet media one
159
52
596
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Ni Biashara Ipi Muuzaji Anauza Bidhaa Yake Still Bado Anarudi Nayo Nyumbani Kwake ? ๐Ÿค”
70
49
508
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Ni Hatua Ya Ngapi Katika Uendeshaji Wa Baiskeli? ๐Ÿ˜๐Ÿค”๐Ÿ‘‡
Tweet media one
91
52
445
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Azizi Ki Amebakiza Kipa Gani Kumfunga Wa NBC?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฐ
30
24
430
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Nini Kinatakiwa Kufanywa Baada Ya Sex ?๐Ÿค”
66
35
399
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
3 years
Mie Sio #Nabii ๐Ÿ˜Š, But Hili Swali Litakuwemo kwenye Somo la History Form 4 Necta ๐Ÿ™„. What Effect Did Russia Have To Ukraine?๐Ÿค”
Tweet media one
37
26
405
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Dadeq ๐Ÿ‘บ, Niache Nitoke Mwenyewe Alitaka Kuniua Na Misoprostol Huyo ๐Ÿ™„.
Tweet media one
40
38
411
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Wakishua Mtasema Game ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tweet media one
61
50
382
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
8 months
Hawa Watu Siku Wakikutana , Ugomvi Wao Utaamuliwa Na FBI Pekee ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Tweet media one
Tweet media two
33
22
377
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Unampa Asilimia Ngapi Huyu Designer Kwenye Hivi Vipochi Vya Wadada ?๐Ÿค”๐Ÿ˜
Tweet media one
42
29
359
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Ikimaanisha Kwamba Na Selection Za Ajira Zimeteketea ๐Ÿ™Œ
Tweet media one
38
21
356
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Kwenye Simu Yako Unatumia Wimbo Gani Kama Ringtone?๐Ÿ˜Š๐Ÿ‘‡
89
19
349
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Hiki Chuo Kinaitwaje Wapwa ?๐Ÿ˜Š๐Ÿ‘‡
Tweet media one
31
27
332
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Ni Rahisi Sana Kumpata Mtu Wa Kwenda Nae Kwenye Starehe Kuliko Wa Kwenda Nae Kutimiza Ndoto Zako ๐Ÿ˜Š.
19
58
306
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
1 year
Tatizo Ni Kwamba Watu Wazuri Wanakuja Maishani Kwetu Wanakuta Tayari Tumeshaacha Kuwaamini Watu Good Morng Wapwa๐Ÿ™‡
24
55
296
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Kitu Gani Unahitaji Zaidi Kwa Sasa ?๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿค” 1 Gari 2 Biashara 3 Pesa -7 Million 4 Visa 5 Simu 6 Kazi 7 Kujenga Nyumba 8 Ada 9 Kodi Ya Nyumba 10 Mke/Mme
88
44
254
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Ni Mkoa Gani Daladala Za Baiskeli Zinakimbia Kuliko Bus ?๐Ÿ˜ƒ
Tweet media one
81
32
240
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Any Wallpaper Thread ๐Ÿ˜Š๐Ÿ‘‡
Tweet media one
48
16
236
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
1 year
"Kuna Namna MUNGU Anafanya Mambo Mpaka Neno Shukrani Halitoshi ๐Ÿ™Œ" Good Morng Wapwa๐Ÿ‘‹
21
52
238
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
1 year
Nilichojifunza Maishani Kila Mtu Anasafari Yake Mnaweza Kusoma Pamoja Ila Kila Mtu Akatoboa Kwa Muda Na Wakati Wake , Ukiwa Mtu Wa Chuki Utaumia Tu Bure , Be Humble Brother , Kuwa Na Subira. Good Morng Wapwa๐Ÿ‘‹
12
50
231
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
4 months
Mfundishe Mwanao Kuwa Kuna Siku Itatakiwa Asilale Ili Wanaomtegemea Walale Vizuri๐Ÿ“Œ. Kumekucha ๐Ÿ˜Š
12
47
233
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
1
0
202
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
4 months
Kitu Pekee Unachotakiwa Ulazimishe Kiwe Chako Ni Mafanikio Na Sio Moyo Wa Mtuโœ๏ธ. Kumekucha ๐Ÿ˜Š
7
47
228
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Tuanze Kwa Kuinuana Wapwa , Chapa Handle Yako Tukufollow๐Ÿ˜Š๐Ÿ”ฅ
86
47
206
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Any Wallpaper Thread ๐Ÿ˜๐Ÿ‘‡
Tweet media one
37
16
211
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Ingia Google Now Search AIDS Stage IV , Angalia Image ,,, Then Search Symptoms of Cryptoccocal meningitis ,, Usisahau Protected Sex , Kijana Jitahidi Kutumia Kondomu Good Morng Wapwa ๐Ÿ™‡
19
29
216
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Sio Kwa Ubaya , Nmekumbuka Mwamba Aisee ๐Ÿ˜“.
Tweet media one
27
30
200
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Mwalimu Chukua Hii Hela Ya Ada Kwanza Kuhusu Sare Nitajiongeza Mimi Kama Mzazi ๐Ÿ˜Ž
Tweet media one
6
17
202
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Maneno Yenu Yawe Yamejaa Neema Siku Zote , Yanayofaa , Ili Mjue Jinsi Iwapasavyo Na Inavyofaa Kumjibu Kila Mtu ๐Ÿ˜Š
11
36
183
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Kwanini Wadada Wengi Wa Barbershop Na Lodge & Hotel Mara Nyingi Wanaugua U.T.I Na Magonjwa Ya Zinaa ?๐Ÿค”
18
30
181
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Ukitoa Pesa Na Akili , Ni Kitu Gani Kingine Hauna Mazee?๐Ÿ˜…๐Ÿค”
33
31
178
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
3 years
0
0
159
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Unatumia Aina Gani Ya Cm Now ? ๐Ÿค”. Me !! Samsung Galaxy Grand prime You ; ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
69
26
181
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Tuwachanganye Kidogo Joined 2022 Mashabiki Wa Simba ๐Ÿ˜ƒ
Tweet media one
19
15
180
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Hebu Tuongee Serious Kidogo, Hivi Kuna Dawa Ya Nguvu Za Kiume ?๐Ÿค”๐Ÿ™Œ
40
18
185
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Mmeamkaje Wapwa? Tusalimiane Kwa Kushusha Handle ๐Ÿ˜๐Ÿ–‘
56
38
180
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
3 years
1
2
167
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Jobless Bado Umelala Mpaka Mda Huu? Utakula Usingizi Wako Lunch ๐Ÿ˜‚
17
40
176
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
0
0
159
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Wakati Tumechili Na Demu Wangu, Kuna Rafiki Ake Akapiga Simu , Akaanza Kumwambia Hivi :- Kuna Kaka Angu Nimempa Namba Zako , Ni Daktari Bingwa , Ana Pesa Nyingi Sana ,Kwao Amezaliwa Pekee Ake Na Kuna Pesa ,Amekupenda Wewe Anatafta Mchumba ,Mimi Kama Mwanaume Nifanye Nini?๐Ÿ™Œ๐Ÿ‘‡
37
16
187
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Leo Sina Content Mazee, Ngoja Nijipost Kidogo ๐Ÿ˜
Tweet media one
19
24
177
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
1 year
Kinachotuumiza Zaidi Ni Kwamba Umri Unakimbia Zaidi Kuliko Speed Ya Mafanikio Yetu, Tuendelee Kupambana ๐Ÿ™Œ Good Morng Wapwa๐Ÿ‘‹
16
45
186
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Hili Swali Unalijibuje Wapwa ? ๐Ÿ˜Š
Tweet media one
66
24
172
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Malkia Mchawi Aisee, Masaa 4 Retweet 0.6k ๐Ÿ™Œ
6
10
175
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Wee Endelea Kulala Na Hauna Mtu Wa Connection Kutoka Serikalini ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Good Morning Tweeter Family.
30
38
172
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Kwa Harakaharaka , Ni Daladala Za Mkoa Gani Hizi ?๐Ÿ˜‚
Tweet media one
35
18
164
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
MWENYEZI MUNGU Akubaliki Na Kukuongoza Siku Ya Leo Good Morning Tweeter Family ๐Ÿ˜Š
26
45
166
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
1 year
Utajiri Wa Kwanza Ni Kuwa Na MUNGU, Utajiri Wa Pili Ni Kuwa Na Afya , Utajiri Wa Tatu Ni Kuwa Na Watu , Utajiri Wa Mwisho Ni Kuwa Na Mali , Good Morng Wapwa ๐Ÿ‘‹
14
48
175
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Msamaha Ndio Aina Ya Mwisho Ya Upendo โœ
6
36
158
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
@HKigwangalla Sasa Hivi Umeanza Kuwa Dr Sasa , Zamani Ulikuwa Fala Fala Tuh
10
4
166
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
1 year
" Nurse Wa Tamisemi Akitoka Katika Uchomaji Wa Chanjo Ya Ndui "๐Ÿ™Œ
Tweet media one
6
13
168
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Toxic Relationship Or Single ? ๐Ÿ™„๐Ÿค”
18
25
161
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
1 year
Ukimtoa Mwijaku Na Baba Levo , Ni Mtu Gani Mwingine Ametoka Kigoma Amekuja Kutafta Maisha Dar ?๐Ÿ™Œ๐Ÿ‘‡
Tweet media one
Tweet media two
11
8
164
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
3 years
Kwani Watanzania Ni Nani Alituambia Mfagio Wa Ndani Unakaa Nyuma Ya Mlango ๐Ÿ˜‚
13
24
157
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
NI Kanuni Gani Ya Somo La Hesabu Unaikumbuka Wakati Uko Shule Ya Msingi Mazee ?.๐Ÿ˜
31
28
157
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Usitafte Kuhurumiwa Na Watu , Tafuta Nguvu Yako kisha Itumie Kuwasaidia Wengine ๐Ÿ“Œ
12
39
149
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
1 year
Ukimuona Mwanaume Ana Mke Mmoja , Kuna Mawili 1 Dini Imemuingia Sana 2 Hana Hela ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
28
19
161
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
"Katika Maisha Usipende Kuumiza Watu ,Kwakuwa Kuna Ambao Hawanaga Wa Kuwafariji Kwa Lolote โœŠ๐Ÿ‘Š"
7
30
156
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Hivi Kumbe Kuna Wadada Poah Wana- Mapenzi Ya Dhati ๐Ÿ˜‹๐Ÿ‘
15
11
159
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
3 years
"Mtu Hata Badili Maisha Yake Kama Hakuanza Kubadili Fikra zake " Good Morning Tweeter Family
23
30
149
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Unahisi Huyu Mwana Anafanya Kazi Gani ?๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡
Tweet media one
65
13
155
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Pocket Money Thread ๐Ÿ˜๐Ÿ‘‡
Tweet media one
10
16
145
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
3 years
0
0
139
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
3 years
Tunakula Kwanza , Ama Tunashusha Handle zetu ๐Ÿ˜Š
37
22
145
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Kama Haujasoma UDOM/UDSM Umesoma Chuo Gani Sasa ?๐Ÿค”
26
22
155
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Moyo Ukijiridhisha Mapungufu Waachie Walimwengu ๐Ÿ˜Š๐Ÿ’—.
Tweet media one
9
29
146
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
0
0
139
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Moja Ya Kilema Cha Mdomo Ni Kuogopa Kusema Ukweli Kwa Kuhofia Kumuudhi Mtu ๐Ÿ“Œ Good Morng Wapwa ๐Ÿ˜Š
20
42
157
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Tweeter Watembezi/ Wazuluraji , Hapa Ni Mkoa Gani ?๐Ÿ˜๐Ÿ˜Ž๐Ÿค”
Tweet media one
37
26
146
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
1 year
"Unapotafta Mkate Wako Wa Kila Siku Angalia Pia Usikanyage Mikate Ya Watu Wengine " Good Morng Wapwa๐Ÿ‘‹
21
43
156
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
16 days
Mafanikio Yana Siri Kubwa Sana , Moja Ya Siri Ya Mafanikio Ni Usiri Wenyewe , Maana Hawawezi Kuharibu Wasichokijua๐Ÿ“Œ. Kumekucha Family
11
46
167
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
6 months
Ajabu Ni Kwamba Unapompa Mtu Umuhimu Mwingi Sana Kwenye Maisha Yako , Ndio Kadri Ambavyo Unapunguza Umuhimu Wako Kwenye Maisha Yakeโœ๏ธ,
11
51
158
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Afya Ndio Mtaji Wako ๐Ÿ˜Š Good Morning Tweeter Family
39
48
148
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
4 months
Usipo Isumbua Akili Yako Ukiwa Kijana , Tambua Ya Kwamba Utausumbua Mwili Wako Ukiwa Mzee๐Ÿ“Œ. Kumekucha ๐Ÿคฒ
22
54
154
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
3 years
Upo Hai Kwa Sababu MUNGU Ana Kazi Na Wewe ๐Ÿ˜Š. Good Morning Tweeter Family
23
38
138
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Ukiachana Na Pesa , Ni Kitu Gani Unakihitaji Kwa Sasa Katika Maisha Yako ?๐Ÿ™„๐Ÿค”
35
34
139
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
1 year
" Hakuna Kinachoumiza Kama Kuona Familia Yako Inateseka Harafu Huna Uwezo Wa Kusaidia ,Tuombe Sana MUNGU Atufungulie Milango Ya Baraka" ๐Ÿค—๐Ÿ‘‹
11
38
155
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Mmeamkaje Wapwa? Tuanze Kusalimiana Kwa Kushusha Handle Zetu Hapa ๐Ÿ˜Š๐Ÿ–‘
37
29
145
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Kuna Hiki Cheti Cha JKT , Kina Umuhimu Sana Aisee Wapwa ๐Ÿ™Œ๐Ÿ˜๐Ÿค”
13
11
150
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Mafanikio Ni Kupata Kile Unachokipenda , Lakini Furaha Ni Kupenda Kile Unachokipata ๐Ÿ˜Š. Good Morning Tweeter Family
25
41
135
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Hebu Tuongee Serious Kidogo Wananchi Wenzangu , Huyu MUDATHIR YAHYA Hatujapigwa Kweli ?๐Ÿค”๐Ÿ”ฐ
Tweet media one
7
11
151
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
0
0
137
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
3 months
Usikate Tamaa Mapema Tafadhali , Sababu Vitu Bora Huwa Haviji Kirahisi Na Vikija Kirahisi Basi Havidumu๐Ÿ“Œ. Kumekucha Family โœŠ.
16
41
152
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
3 years
Ukienda Kwa Choo uka Knock Alafu Usikie Ingia ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”.
Tweet media one
20
24
133
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
MWENYEZi MUNGU Akubaliki Na Kukuongoza Katika Siku Ya Leo ๐Ÿ˜Š Good morning Tweeter Family
22
37
144
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
2 years
Aiseee ๐Ÿ˜‘, Ni Vyakula Gani Ukipika Havitumii Mafuta Mengi ?๐Ÿ™„๐Ÿค”
25
14
128
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
1 year
" Lakini Feisal Muongo Muongo Sana , Hivi Unaweza Kupanda Kwenye Gari La Watu Usiowajua Na Wakakupeleka Pasipo Julikana Na Ukawa Comfortable?๐Ÿ˜‚"
Tweet media one
18
15
150
@DMaabara
Daktari Wa Maabara ๐Ÿ”ฌ
3 years
Dadeq !!!! Mdada Mzuriiiiiiii lakini Unaleta Kipimo Cha Haja Kubwa Maabara Umekijaza Mpaka Juu Ndeeeeeeeeeeee ๐Ÿ™„๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
15
20
135