Black Dady Profile Banner
Black Dady Profile
Black Dady

@BlacDaady

28,471
Followers
4,083
Following
7,758
Media
169,172
Statuses

Med💉 | Football | Graphics designer |Crypto

Dar es Salaam, Tanzania
Joined August 2017
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@BlacDaady
Black Dady
4 days
VODACOM 5G ROUTER BURE KABISA POPOTE ULIPO - Gharama ya Kifurushi ni sh 120,000 kwa mwezi - Utapatiwa kifurushi kitakacho kuwezesha ku'download, ku'upload na kupost bila kikomo -Router ina uwezo wa ku'connect vifaa 64 kwa wakati mmoja WhatsApp au piga simu☎️: 0743303484
Tweet media one
Tweet media two
33
70
93
@BlacDaady
Black Dady
1 year
@cfcbarny @TrollFootball No Champions league football man,just relax
Tweet media one
27
59
5K
@BlacDaady
Black Dady
2 years
Endeleeni kuvaa maAir force yenu.😀
Tweet media one
230
260
3K
@BlacDaady
Black Dady
2 years
Katika makosa dunia imeyafanya ni kuruhusu Manchester United kumsajili Antony. Dunia ijiandae kukosa raha kwa kipindi cha miaka 6.
Tweet media one
117
78
2K
@BlacDaady
Black Dady
2 years
Mambo yaliyokuwa yanaendelea kwenye hii ndinga Mungu ndio alikuwa anajua.😂 Kama hujaiona hii series usinipigie kelele zako za kusema money heist ni series bora.
Tweet media one
251
123
2K
@BlacDaady
Black Dady
1 year
@WhyJosh @TrollFootball Says Europa League merchant 😭
49
5
2K
@BlacDaady
Black Dady
1 year
Kuna story flani ya Neymar na mwanae Richarlson inachekesha sana. Picha linaanza Neymar na Richarlson ni marafiki sana alafu utani ni mwingi but cha ajabu na cha kushangaza Neymar haamini kipaji cha Richarlson kabisa (Neymar anaamini Richarlson sio mchezaji ni muhuni tu). Uzi🧵
Tweet media one
57
130
2K
@BlacDaady
Black Dady
1 year
@DeadlineDayLive Greenwood deserves a second chance no matter what.
Tweet media one
74
37
2K
@BlacDaady
Black Dady
5 months
Hizi ndio sababu Vin Jr anachukiwa na wachezaji wa team pinzani mpaka mashabiki wao. Huyu ndo winga pekee kwa sasa mpira huwa una mtii na kumsikiliza.
Tweet media one
50
56
2K
@BlacDaady
Black Dady
1 month
Ivi Inter Milan waliwezaje kuwa na hawa watukutu wawili kwa wakati mmoja. Hawa wahuni walikuwa wakiamua jambo lao siku iyo lazima uombe sub 😀
Tweet media one
35
53
2K
@BlacDaady
Black Dady
1 month
Jana kuna watu jana walisema Lamine Yamal anamuweka Benchi Rodrigo Goes! Wazee Rodrigo Goes mnamchukuliaje??.
Tweet media one
Tweet media two
148
67
1K
@BlacDaady
Black Dady
2 years
Katika movies/series zako ulizoangalia sidhani kama kuna mtu alikuwa na roho mbaya na katili kumzidi huyu pimbi. Kama humjui huyu usilete ubishi wako hapa.
Tweet media one
284
83
1K
@BlacDaady
Black Dady
1 year
Kuna movie kweli hapa au niachane nayo?
Tweet media one
178
62
1K
@BlacDaady
Black Dady
28 days
Hayo mnayoyaita majiji ikifika saa 3 usiku raia zishakimbia milimani kulala. Dar es salaam ipewe heshima yake aisee, imagine Chanika adi saa 8 usiku ni pamoto alafu sio weekend 😀
86
76
1K
@BlacDaady
Black Dady
3 years
Mwanamke akivaa chupi ya rangi gani anakuvuruga sana?.🤔
264
44
1K
@BlacDaady
Black Dady
1 year
Uongo wa mzee wenu kwenye SISU!. 1. Alizuia risasi na kofia ya chuma na hazikumpata maeneo mengine 2. Alikuwa juu ya farasi, farasi akaripuka na bomu akafa ila mzee hajafa 3. Ndege ilidondoka rubani akafa ila mzee katoka mzima. 4. Huyu faza aliyongwa siku 3 na hakufa.😂
Tweet media one
272
52
1K
@BlacDaady
Black Dady
1 year
Kwa uongo uliopo kwenye hii movie,Wahindi,Wakorea,Wanaijeria na Wachina waje na uongo mpya. Hii movie uongo umepitiliza viwango.
Tweet media one
218
61
1K
@BlacDaady
Black Dady
1 month
Ukitoa Real Madrid na Liverpool Lamine Yamal anaweza kuanza kwenye kikosi chochote kile duniani hasa RW position.
Tweet media one
127
61
1K
@BlacDaady
Black Dady
2 years
Mlivyomfukuza mwenzenu akakwea pipa akaenda kwa Babu yake India. Bila kumpgia simu ya kumuomba msamaha mtashuka daraja walai.😂
Tweet media one
31
42
1K
@BlacDaady
Black Dady
7 months
#Uzi 🧵 HIZI NDIO HOJA ZINAZONIPA CONFIDENCE KUONA MTANI "YANGA" AKIVUKA KWENDA NUSU FAINALI. Nianze kwa kusema kwenye mechi za mtoano huwa hakunaga elite team wala underdog ni suala la kuchanga karata zako vizuri kwenye kila phase of the game. Wapi napata huu ujasiri. 👇
Tweet media one
46
63
1K
@BlacDaady
Black Dady
1 year
Huyu dada akirudia kudate tena na jobless basi atakuwa na ubishi wa asili.
Tweet media one
54
54
1K
@BlacDaady
Black Dady
3 years
Ukitaka kujua Duniani kuna wanawake wazuri we oa.😂
116
151
924
@BlacDaady
Black Dady
2 years
Kuna utege flani wanao baadhi ya wadada aloo unanimalizaga.🚶
76
43
953
@BlacDaady
Black Dady
3 years
Unatumia neno gani kuomba TENDO (kwichikwichi) kwa mpenzi wako?.🤔
168
36
934
@BlacDaady
Black Dady
1 year
USHAJIULIZA WHY ZLATAN IBRAHIMOVIC ANA MCHUKIA RONALDO?. Issue nzima ilianza kwenye hatua za kutaka kufuzu kucheza kombe la dunia mwaka 2014. Mechi ilikuwa baina ya Portugual na Sweden. Uzi 🧵
Tweet media one
Tweet media two
74
81
977
@BlacDaady
Black Dady
1 year
ALEJANDRO BALDE HATOKAA AMSAHAU TAYLOR SWIFT!!. Kama unavyojua kila mwaka kunakuwa na tuzo ya "golden boy ". Golden boy ni moja ya tuzo maarufu barani Ulaya, inayotolewa kwa mchezaji bora chini ya umri wa miaka 21. Uzi 🧵
Tweet media one
Tweet media two
51
81
941
@BlacDaady
Black Dady
2 years
Aliniacha kisa sina baada ya kupata pesa akanicheck, akaniomba msamaha nikamsamehe kiroho safi. Weekend hii tunafunga ndoa kiukweli sitaenda.😐
88
71
923
@BlacDaady
Black Dady
1 month
Nimetoka kuangalia baadhi ya mechi za Neymar na Hazard, nyie mliosema prime Hazard ni bora kuliko Neymar mlikuwa mna maanisha au utani tu wa hapa na pale?.🤔
Tweet media one
Tweet media two
61
58
934
@BlacDaady
Black Dady
3 years
Kitu gani ulikianza kama utani saivi umekuwa legend?.🤔
163
41
848
@BlacDaady
Black Dady
2 years
Namna Ten Hag alivyoibadilisha Manchester United na kuwa title contender kwa muda mfupi.📈 Tangu Ten Hag afike ndani ya United matokeo mazuri imekuwa kitu cha kawaida sio icho tu hata namna ya uchezaji wa United umebadilika (unavutia). Tuangalie namna team ilivyobadilika.👇
Tweet media one
136
192
882
@BlacDaady
Black Dady
1 year
Saudi Arabia wamejifunza kwa umakini "The rise and Fall of Chinese super League". Kivipi?. Hakuna mtu asiyejua miaka ya 2011 China waliweka pesa nyingi ili kuweza kuikuza ligi yao ili ije kuleta ushindani na ligi za Ulaya (EPL,La Liga,Serie A na Ligue 1). Uzi 🧵
Tweet media one
26
69
885
@BlacDaady
Black Dady
7 months
#UZI 🧵 WOTE TUNA QUALIFIED COACHES WENYE CV HEAVY ILA YANGA WAMETUZIDI SEHEMU HIZI!. Nimejaribu ku'track records za Benchika na Gamond hasa kwenye soka la ushindani wote wana mafaniko yanayoridhisha. Swali kama wote tuna makocha wenye uwezo mkubwa wapi tunazidiwa?. Endelea 👇
Tweet media one
48
43
892
@BlacDaady
Black Dady
7 days
Ukimtoa Kalidou Koulibaly Africa tulishawahi kutoa defenders/defender ambaye alishawahi kufika level ya kuwa one of the best Centre back in the world?.
Tweet media one
172
25
1K
@BlacDaady
Black Dady
1 month
Mliomuona Ronaldo Da Lima na Luis Suarez nani kwako unaweza kumtetea kama the most complete forward?. Kuna dogo wa Gen Z kaniuliza hapa.
Tweet media one
Tweet media two
182
35
890
@BlacDaady
Black Dady
1 month
Wakati makocha wetu wanateseka namna gani ya kumkabili Pep Guardiola. Kuna Someone Inzhagi na Ole Gunnar Solskjær wanajua wapi Pep akidokolewa anakosa escape plan. Unfortunately Inzhagi anapewa heshima Ole anachukuliwa poa.
Tweet media one
Tweet media two
63
50
884
@BlacDaady
Black Dady
3 years
Starehe gani tamu sana hapa duniani,bora wakunyonge nasio kuiacha?.🤔
172
34
815
@BlacDaady
Black Dady
3 years
Hili swali la "Number zangu umezitoa wapi/Nani kakupa number zangu huwa mnajibuje Malegend?.🤔
100
42
818
@BlacDaady
Black Dady
3 years
Mwalimu wa somo gani kipindi unasoma uliona kabisa hapa TUMEPIGWA ?.🤔
146
30
805
@BlacDaady
Black Dady
3 years
Ivi ni kitu gani kinatuzuia wabongo tusiigize Movie za kivita?.🤔
Tweet media one
228
35
801
@BlacDaady
Black Dady
1 year
KUNA WACHEZAJI WANAJUA KU'TAKE RISK ALAFU KUNA RODRYGO!!. Wakati wake wa kujitafuta kijana Rodrygo akiwa kwao Brazil alipata bahati ya kupokea offer kutoka FC Barcelona, kila kitu kilikuwa kipo tayari kwa upande wa Barcelona ikiwemo mkataba mnono. Uzi 🧵
Tweet media one
36
63
826
@BlacDaady
Black Dady
1 year
KILICHOMTOA COLE PALMER MANCHESTER CITY!. Baada ya good performance kwenye community shield na Super cup final Cole Palmer ikabidi amchane Pep Guardiola kuwa anataka awe ni starter (first 11). Uzi 🧵
Tweet media one
26
49
814
@BlacDaady
Black Dady
2 years
"Kuna muda Arteta alikuwa ananiita Rashford Rashford ili kunipa morali kwenye ufungaji magoli".
Tweet media one
32
35
791
@BlacDaady
Black Dady
3 years
Ifike wakati JWTZ wafungue bank waanze kukopesha raia, tuone kama kutakuwa na usumbufu wa marejesho.😀
68
61
772
@BlacDaady
Black Dady
3 years
Ukiiondoa Dar es salaam kwenye ramani ya uchumi wa Tanzania,ni mkoa gani unaweza beba jukumu hilo?.🤔
184
49
762
@BlacDaady
Black Dady
1 year
HABARI MPYA MJINI!. #Vodacom wamekuletea huduma ya internet kwa matumizi ya nyumbani au ofisini kwa gharama nafuu. Utapatiwa #Unlimited bando kila mwezi na 5G Router utapatiwa bure kabisa popote ulipo. Kwa Msaada zaidi Piga Simu☎️: 0742261160
Tweet media one
Tweet media two
67
118
790
@BlacDaady
Black Dady
2 years
Iyo machine imepigwa picha Iringa huko na anayelimiliki ni mkulima wa Vitunguu na matikiti. Pongezi kwako mwamba 👏
Tweet media one
89
42
751
@BlacDaady
Black Dady
2 years
Taja faida za kudate na jirani yako?.🤔😀
178
51
728
@BlacDaady
Black Dady
11 months
@erlingtxt Man of the match today
Tweet media one
8
22
736
@BlacDaady
Black Dady
3 years
Ni topic gani ya math ambayo ulikuwa ukiamshwa hata saa 8 usiku unaibutua mbaya mbovu?.🤔😅
284
44
700
@BlacDaady
Black Dady
3 years
Ni mbuga gani ya wanyama ni nzuri kwa kutalii na pesa yako unaona imeenda kihalali?.🤔
126
41
688
@BlacDaady
Black Dady
3 years
Mademu wa Chuo gani ni mmteremko hapa Tz?.🤔
99
16
694
@BlacDaady
Black Dady
3 years
Hivi ni kweli kuna wanaume wenzetu wanapeleka Moto lisaa limoja per ejaculation au ndo kujitapa na kutufanya wengine tuonekane wachovu?
100
43
683
@BlacDaady
Black Dady
2 years
Ivi wazungu waliwezaje kututawala aisee?!!.
Tweet media one
112
44
703
@BlacDaady
Black Dady
2 years
Nyimbo za msanii gani zimetawala kwenye simu yako?.🤔😄
242
49
671
@BlacDaady
Black Dady
3 years
Kitu usichokijua ni kwamba, kama itatokea pilipili imekuingia machoni,jimwagie maji kwenye mguu wako wa kulia au kushoto na pilipili yote iliyopo machoni itaacha kukuwasha.
Tweet media one
117
62
668
@BlacDaady
Black Dady
2 years
Namuheshimu sana Tariq St Patrick ila Franklin Saint linapokuja suala la biashara ya madawa ya kulevya na mikikimikiki Franklin alikuwa top dadeki mwana alikuwa anafanya business adi na CIA.🙌🙌 Natamani kuona hawa madogo wakiwa kwenye movie/series pamoja
Tweet media one
Tweet media two
78
43
688
@BlacDaady
Black Dady
1 year
Ifike wakati na nyie bongo movie mbadilike bana, how on earth mfungwa anavaa hereni?. Kama kweli mnataka kuirudisha bongo movie kwenye ramani zile za kina marehemu Steve Kanumba,mambo kama haya lazima yasiwepo.
Tweet media one
216
85
690
@BlacDaady
Black Dady
1 year
ONGO WA CASEMIRO ULIOMFANYA AFIKE HAPO ALIPOFIKA!!. Kuna msemo unasema ukweli umuweka mtu sehemu salama lakini kwa Casemiro "uongo ulimuweka sehemu salama wakati anajitafuta". Uzi 🧵
Tweet media one
24
71
674
@BlacDaady
Black Dady
1 year
Football Twitter!. Naomba kuuliza kwanini wachezaji wanatoboa matobo kwenye socks 🧦 zao?.
Tweet media one
89
58
674
@BlacDaady
Black Dady
1 year
HABARI MPYA MJINI!. #Vodacom wamekuletea huduma ya internet kwa matumizi ya nyumbani au ofisini kwa gharama nafuu. Utapatiwa #Unlimited bando kila mwezi na 5G Router utapatiwa bure kabisa popote ulipo. Kwa Msaada zaidi Piga Simu☎️: 0742261160
Tweet media one
66
110
665
@BlacDaady
Black Dady
7 months
"Wanamu'hype sana dogo ila ni wakawaida na hata hawezi kuitwa National team"
Tweet media one
53
35
668
@BlacDaady
Black Dady
3 years
Taja tabia za wabongo ambazo hata akiwa nchi gani unajua kabisa uyu ni MBONGO?.🤔
102
26
602
@BlacDaady
Black Dady
11 months
@PaulMerse "Can't see Chelsea losing this one ".
Tweet media one
1
5
640
@BlacDaady
Black Dady
2 years
Ukiacha maji na umeme kitu gani kingine unaangalia kabla upange chumba?.
164
40
612
@BlacDaady
Black Dady
3 years
Unatafuta hela kwa shida, Kula huli vizuri,huvai vizuri kwani hizo hela unamtafutia nani?!!.🚮
52
53
623
@BlacDaady
Black Dady
1 year
@nocontextfooty Chelsea😭
Tweet media one
6
24
631
@BlacDaady
Black Dady
2 years
Wanaume tuwe wa kweli mara yako ya mwisho kupiga demu bikra ilikuwa lini?.🤔😀
156
33
602
@BlacDaady
Black Dady
1 year
@FabrizioRomano Greenwood deserves a second chance.
Tweet media one
31
13
615
@BlacDaady
Black Dady
1 year
Kuna kitu ilikuwa inapikwa kwenye hii ndinga mpka DEA na wanasayansi wao walikosa majibu.😂
Tweet media one
78
59
619
@BlacDaady
Black Dady
2 years
Unampeleka kwenu kumtambulisha ghafla anaanza kucheka viatu vya baba ako.😀
66
66
587
@BlacDaady
Black Dady
3 years
Kukata GOGO ugenini ni Very risk,hasa pakiwa na choo cha kuflash.
77
25
578
@BlacDaady
Black Dady
2 years
Kuna wadada pamoja na kumcheat hakuachi alafu ndo kwanza anaongeza mahaba.
59
58
597
@BlacDaady
Black Dady
2 years
Hii picha inakufundisha nini?.🤔🥺
Tweet media one
91
56
575
@BlacDaady
Black Dady
2 years
Kuna wanaume wenzetu pisi zao zikija geto huwa hataki kujua kama pisi imepiga msosi au laa wao ni kupeleka fire!. Badilikeni aisee mtakuja kuua watu😅
54
51
584
@BlacDaady
Black Dady
7 months
Diddy akichomoka na kwenye hii misala ya mwaka huu nampa plot yangu ya pale mjini Chanika.
Tweet media one
30
14
582
@BlacDaady
Black Dady
1 year
Kati ya Wavetenam na Wataliban ni wakina wanajua kuwapigisha sebene Wamarekani adi wanakiona cha mtema kuni?.😂
Tweet media one
123
37
570
@BlacDaady
Black Dady
2 years
Mapenzi bana unaweza ukasoma ukawa adi Professor alafu ukateswa na mtu ambaye cheti alichonacho ni cha kuzaliwa tu.😃
70
60
564
@BlacDaady
Black Dady
3 years
Kitumbua kikiwa kimenyolewa au kikiwa na manyoya kipi kinakuvuruga?.🤔
81
14
544
@BlacDaady
Black Dady
1 year
Haka kajamaa kamewachoma Wanaijeria wenzake kwa Waingereza. Kisa likes na Views za YouTube.🚮
Tweet media one
61
37
576
@BlacDaady
Black Dady
1 year
@CFCDUBois The cinema 😭
Tweet media one
1
2
563
@BlacDaady
Black Dady
1 year
@nocontextfooty Where is Pessi?.😭
Tweet media one
17
4
556
@BlacDaady
Black Dady
1 year
HILI NI TATIZO LINGINE NDANI YA MANCHESTER UNITED NA LINAWEZA KUTUMALIZA!!. Alichokifanya Jadon Sancho ni utoto wa hali ya juu!. Mwalimu wako amecomment why hajakuweka kwenye starting 11 na sababu ameziweka wazi alafu unakuja kujibu ili ionekane kocha anakuonea. Uzi 🧵
Tweet media one
73
42
550
@BlacDaady
Black Dady
3 years
Ni kitu gani cha thamani ulichonacho Geto mpaka Mpenzi wako akija kukusalimia Anasema Upo serious na maisha?.🤔
126
30
504
@BlacDaady
Black Dady
2 years
Kuwalazimisha watu wakuheshimu ni jambo gumu ila kataa kuvunjiwa heshima.
22
65
517
@BlacDaady
Black Dady
3 years
Eti ndugu zangu ni tukio gani la ajabu ushawai kuliona baada ya mtu kuvuta Bangi?.🤔
89
21
506
@BlacDaady
Black Dady
3 years
Mo Dewji ana utajiri wa US dollar billion 1.5 alafu Elon Musk kainunua Twitter kwa US dollar billion 44, sijui mmenielewa hapo.
54
25
517
@BlacDaady
Black Dady
2 years
Umelala zako huna hata mia ila asubuhi unaamka unaukuta mzigo huo upo kwenye meza yako, utachukua maamuzi gani ya haraka genius?.🤔😀
Tweet media one
219
51
502
@BlacDaady
Black Dady
1 year
Tweet media one
12
1
512
@BlacDaady
Black Dady
1 year
MANCHESTER UNITED TUKIYAZINGATIA HAYA CITY ANAKAA VIZURI TU!!. Leo ndo ile siku ambayo dunia ilikuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa sana na mashabiki wa soka duniani kote. Katika harakati za hapa na pale nikasema nishare baadhi ya vitu muhimu kuelekea mchezo wa leo. Uzi.👇
Tweet media one
Tweet media two
32
57
527
@BlacDaady
Black Dady
3 years
Loyal ya Chris Brown ft Lil Wayne and Tyga itabaki kuwa collabo bora ya muda wote kwa upande wangu,flow za humu za kinyamwezi sana. Collabo gani kwako ni bora ya muda wote?.
Tweet media one
137
47
500
@BlacDaady
Black Dady
1 year
Mimi ni Simba damu ila Ibrahim Baca anastahili sifa zote leo, alikuwa solid sana kila hatari aliweza kuinusa na kuiondoa. Hope boss Mo atamleta msimabzi msimu ujao ili nione partnership yake na Inonga. Hongera mtani
Tweet media one
34
37
523
@BlacDaady
Black Dady
4 years
Nimesikitishwa na kifo cha mdau mmoja hapa Twitter,ndugu yetu,kijana mwenzetu amekutwa amejinyonga it's so sad 😭.
35
20
487
@BlacDaady
Black Dady
2 years
Mwanamke ambaye alishawai kuexpirience maumivu ya heartbreak hawezi kuishi na mwanaume mmoja.
29
47
509
@BlacDaady
Black Dady
1 year
Wanangu tusake pesa kwa hali na mali!. Kuna interview moja Neymar amehojiwa anasema ligi ya Saudi Arabia (Saudi Pro) ni bora zaidi kuliko ligi ya Ufaransa (Ligue 1).😀
Tweet media one
20
23
511
@BlacDaady
Black Dady
2 years
Kuna utofauti gani kati ya picture,image and photo?.🤔
29
35
508
@BlacDaady
Black Dady
1 year
RONALDO KURUDI TENA KWENYE UEFA CHAMPIONS LEAGUE JAPO YUPO LIGI YA UARABUNI!. Ukisikia pesa inaweza kuhamisha milima basi pesa za Waarabu zinaweza hamisha bahari ya Indi Dar es salaam na kuipeleka mji kasoro bahari (Moro town). Uzi 🧵
Tweet media one
35
52
505
@BlacDaady
Black Dady
2 years
Kuna parody jipya limeingia mjini na style linayoitumia kuna watu wengi lazima waingie mkenge in short hili ndo parody sasa.
46
33
473
@BlacDaady
Black Dady
2 years
Huyu jamaa ajikite kuwapa Manchester City magoli,huku kwenye kuvaa adi mimi na mzidi.😅
Tweet media one
57
24
496
@BlacDaady
Black Dady
1 year
Ukiwa kama mtaalamu wa kuchambua movie, kwenye hii picha kuna kasoro gani umeiona?
Tweet media one
85
42
494
@BlacDaady
Black Dady
3 years
Ulishawai Kula demu wa kilokole emu tupe ABC uliwezaje legend?.🤔
54
16
468
@BlacDaady
Black Dady
2 years
Serikali imefuta ada ya wanafunzi wa kidato cha tano na sita, hili Mama apongezwe tuache unafiki.👏✊
60
47
476