Ahjumma Profile Banner
Ahjumma Profile
Ahjumma

@AuntieePendo

2,204
Followers
1,299
Following
2,197
Media
73,805
Statuses

Nantilibwili
Joined September 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@AuntieePendo
Ahjumma
1 year
You need to UNFAT 🤣 Malimi AC
4
1
19
@AuntieePendo
Ahjumma
4 years
Nani ako mtwara na ako free na ako na ela ya kupay bills tutoke
51
3
436
@AuntieePendo
Ahjumma
3 years
Ahjumma
Tweet media one
46
14
376
@AuntieePendo
Ahjumma
4 years
Umemaliza chuo 2015 mpk leo hola umejianzishia biashara yako sababu ya kodi imekushinda umeifunga mdogo wako kamaliza chuo mnatizamana mzazi wako ni mkulima wa korosho mpaka leo hajalipwa pesa zake marafiki zako wako jela kwa makosa ambayo hayaeleweki ila unashangilia🙌
27
33
269
@AuntieePendo
Ahjumma
2 years
Mumama 😅
20
4
232
@AuntieePendo
Ahjumma
4 years
Msaada anayejua KIKUU inavyofanya kazi???
22
0
198
@AuntieePendo
Ahjumma
4 years
Kuweka mafuta mengi na manyanya mengi sio ndo kujua kupika😂🤣mtatuua na presha na mifuta yenu iyooo
18
0
184
@AuntieePendo
Ahjumma
4 years
Mnafuatana dm kimya kimya mnayajenga mnakutana kimya kimya mnafanya vya kufanywa alafu unakuja kuyaanika humu😂😅tunahusikanaje😁ebu kuweni na vifua
13
3
119
@AuntieePendo
Ahjumma
4 years
Kwahyo nikikupea na ww ukanipea Waenda tangaza kwa mashosti wenzio😂acha uvulana
12
1
85
@AuntieePendo
Ahjumma
1 year
Mtwara
@rollymsouth
Madenge
1 year
Tanzania jua linaanza kuchomoza mkoa gani?
150
22
646
5
0
79
@AuntieePendo
Ahjumma
3 months
Umeshawahi kupigwa mkwara sababu ya mtu unayeinteract nae humu???🤣🤣😂😂
19
4
78
@AuntieePendo
Ahjumma
26 days
Tweet media one
Tweet media two
@TillahBlessed
Blessed Tillah (MBARIKIWA)
27 days
Unafanya nini kuondoa uchovu (Fatigue) mwilini?
21
2
88
34
1
64
@AuntieePendo
Ahjumma
4 years
Watu hamna huruma utasikia kumbe ndo mfupi hivi🙌
8
0
59
@AuntieePendo
Ahjumma
3 years
@reddielucy Siku 3 kwa twita ila kwa ground jmos mpk jmosi
9
0
45
@AuntieePendo
Ahjumma
6 months
Yule mwana waremboo wote washkaji zake🤣😂
9
3
45
@AuntieePendo
Ahjumma
3 months
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂 daaah dada enu jau Nini kile
12
1
41
@AuntieePendo
Ahjumma
3 years
Happy birthday kwenu @Big0047 na @funjojr mbarikiwe
2
2
39
@AuntieePendo
Ahjumma
3 years
Huku kwetu ukiambiwa sina chenji yan kanunue kwngne
5
0
36
@AuntieePendo
Ahjumma
3 years
Telegram kuna machimbo mazuri☺️
14
1
35
@AuntieePendo
Ahjumma
11 months
Mwanaume mwenye kipara >>>>>>>>
8
1
38
@AuntieePendo
Ahjumma
4 years
Ila kusini ndoa wanaona bongee la achievement binti haangaikiwi shule 🙌
9
2
37
@AuntieePendo
Ahjumma
8 months
Nifungue Duka la dawa za asili 😒si mtakuja kununua
13
4
37
@AuntieePendo
Ahjumma
4 years
Hii Si sahihi
@CatherineRuge
Associate CPA Catherine Ruge (Msubhati)
4 years
Polisi wilaya ya Serengeti wanaongoza unyanyasaji dhidi yangu tar 10/7 walinipiga Mabomu, leo wamenipiga ngumi na Mateke nikiwa ofisi za Tume wamenidhalilisha kwa kunichania nguo, Afande Gerald amenishika Kiuno na Makalio, huu ni udhalilishaji. I swear you'lpay for this @tanpol
349
478
3K
1
5
37
@AuntieePendo
Ahjumma
3 years
@rollymsouth Mi najua bata ni kweli manyoa yanaanza upyaaaa yani uliponyonyoa ukiongea minyoyaaa km yoteee
9
0
36
@AuntieePendo
Ahjumma
2 months
Kuifinyia kwa ndani????
@Lor_____miamia
🌺
3 months
Laugh if you tighten your pussy around his dick 😭😭😭😭😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😭😭😭😭😭 😭😭😭😭😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😭😭😭😭😭 😭😭😭😭😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
1K
6K
71K
26
0
34
@AuntieePendo
Ahjumma
3 years
@YourFrenchFry Yan alienda kucheza na fally kwa mbwembwe ila fally km akamchomolea iv cha pili ile nguo vihipsi vile km vilibandikwa chwaaa
3
1
33
@AuntieePendo
Ahjumma
4 years
#DearNyerere ni miezi 10 sasa baadhi ya vijana wapo rumande upelelezi haujakamilika na kesi yao haina dhamana
3
4
33
@AuntieePendo
Ahjumma
4 years
@IAMartin_ @Mwanahalisitz 😅😂🤣watu wa kusini wana jambo lao
0
0
28
@AuntieePendo
Ahjumma
4 years
Kiiiimeruuuuudiii
Tweet media one
10
0
32
@AuntieePendo
Ahjumma
2 years
Kuna siku namwambia sis nimemmiss ming'oko 🤣🤣😂khee kaleta kakiroba
5
0
26
@AuntieePendo
Ahjumma
1 year
Parachichi limepiga picha
Tweet media one
11
3
29
@AuntieePendo
Ahjumma
2 years
🤣😅😂hivi @FatmaSulley uliwezaje kula zile pizza za princess imejaa minyanya tuuu
5
0
28
@AuntieePendo
Ahjumma
4 years
Mmeshazoea chukuchuku au mafuta yameshuka bei sijawasikia mda mrefu
3
0
26
@AuntieePendo
Ahjumma
1 year
Wanaume na kutojua rangi 🙌 niletee file la pink 😅🤣😂 anamaanisha blue
7
0
27
@AuntieePendo
Ahjumma
2 months
Nilikuomba unioe 😳🙄👀
@Gaspinho15
𝗝𝗮𝗺𝗮𝗮 𝗠𝘂𝘂𝘇𝗮 𝗗𝗮𝘄𝗮
2 months
Huyu siwezi oa aseeh anayajua hadi haya yote.😂😂
4
0
16
16
2
28
@AuntieePendo
Ahjumma
3 years
Hivi kuna stage ikifika ni watoto wote wanakua hawapendi kula au wangu tu😅mda wa msosi ndo tumbo linamuuma🙌
5
2
26
@AuntieePendo
Ahjumma
4 years
Haya mambo ya kusema mume/mke wangu hawezi kufanya vile yanadhalilisha ( love,marriage and divorce)
0
1
24
@AuntieePendo
Ahjumma
4 years
Tupende vya kwetu
18
2
26
@AuntieePendo
Ahjumma
4 months
Hawk tuah
@berrymaduka
berry🍓
4 months
When u see this weather, What comes to Ur mind? 😂😂
Tweet media one
4K
957
16K
17
5
27
@AuntieePendo
Ahjumma
4 years
#DearNyerere tunaambiwa maendeleo hayana chama ila tukichagua upinzani hatutaletewa maendeleo
1
3
27
@AuntieePendo
Ahjumma
4 years
🤣shilole alipigwa kundi la watuu wakachachamaaa ma misuli ikasimama kupinga hii haifai wale wanawake hamuwaoni au ni wanaume wale😂mbna wale hamuwaongelei😁tena mlisema hata kama alifanya kosa gani hakustahili kupigwa sasa hivi hamuonekani pingeni na yale
6
1
24
@AuntieePendo
Ahjumma
4 years
😢
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
4 years
Leo watu wanashangilia yule dada kufuta account kisa kuskia kuna nudes zake....kesho tukiskia yule kajiuwa wale wale wanashangilia Leo watageuza kibao kuanza kulaumu...unafiki unafiki unafiki
35
6
292
2
1
22
@AuntieePendo
Ahjumma
2 years
Nimependeza kidogo sema ndo hivyo
4
1
22
@AuntieePendo
Ahjumma
4 years
@BillyWellz Ongeza chapati ushushie
4
1
22
@AuntieePendo
Ahjumma
4 years
#DearNyerere siku hizi mambo ambayo tunaona hayapo sawa hatuyaongei kwa sauti
5
5
23
@AuntieePendo
Ahjumma
3 months
Kazi kupiga picha tu kujua ndugu yetu alipo aaaaaah
8
1
24
@AuntieePendo
Ahjumma
1 year
☺️
Tweet media one
11
1
24
@AuntieePendo
Ahjumma
11 months
Kama nimemeza cetrizine saa Moja mda huu si naweza 🍻
9
2
25
@AuntieePendo
Ahjumma
3 years
Kila nikikumbuka nilituma sms mwezi wa 6 ikajibiwa wa 12 naishiwa nguvu🤣😅😂 @mafolebaraka
3
0
22
@AuntieePendo
Ahjumma
2 years
🤣😅😂
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
@itslorvh Pole sana, kila siku nawaonya kuweni makini sana na Mapenzi
0
0
15
1
0
23
@AuntieePendo
Ahjumma
2 months
Nikajua mnakumkubali gulo wowowo 😂🤣 mnampiga spana
12
0
24
@AuntieePendo
Ahjumma
3 months
Nikiwa primary tulipata katrip kwenda mbugani 🤣😂🤣🤣 tulikimbizwa na tembo
12
1
23
@AuntieePendo
Ahjumma
1 year
😃
Tweet media one
8
0
23
@AuntieePendo
Ahjumma
6 months
Sisi Age go hii baridi inapiga mpk kwny mifupa😭🥺
11
1
23
@AuntieePendo
Ahjumma
4 months
Tena unikome Ms wa ukubwani @Captivate73
16
2
23
@AuntieePendo
Ahjumma
1 month
Kula mbele ya kioo >>>>>>>
14
1
22
@AuntieePendo
Ahjumma
1 year
Mmekula?????
Tweet media one
7
0
23
@AuntieePendo
Ahjumma
2 years
@INFLUENCERjr kibabuu anakusalimia
1
1
22
@AuntieePendo
Ahjumma
2 years
Huyu hapa huyu nampenda
Tweet media one
8
1
21
@AuntieePendo
Ahjumma
1 year
Public relations and marketing Certificate in shipping and Port Operations Management Kazi: mdada wa kazi za nyumbani
@Greyibra10
🌲JITU PORI 🌲
1 year
Elimu. Public relations and marketing Kazi Muuza mbao.
Tweet media one
Tweet media two
25
14
210
5
1
22
@AuntieePendo
Ahjumma
2 months
Aliyekua kocha wa tabora Yuko pamba na aliyeipandisha pamba ligi kuu Yuko Tanzania prisons
5
1
20
@AuntieePendo
Ahjumma
1 year
It's a boy 🙏
16
0
20
@AuntieePendo
Ahjumma
1 year
Karibuni km mnataka😊
Tweet media one
11
2
20
@AuntieePendo
Ahjumma
4 years
☺️☺️
Tweet media one
@kigogo2014
Kigogo Media
4 years
@adamlutta Yaani kama mananasi naweka sakafuni, maembe yako sakafuni, ma hot pots kwenye beseni la kuogea! Yaani kwa kifupi nimevurugwaaa! Napata wapi maneno
32
15
392
2
2
20
@AuntieePendo
Ahjumma
4 years
@Arcardbessa @TunduALissu Mim nisingeshuka walai
0
0
20
@AuntieePendo
Ahjumma
4 months
🤣🤣😂😂 humu vichaa wengi aiseh kwahyo mtu akireply tweet yako mnawafuata Dm kuwauliza kwanini wamereply🚮
9
1
20
@AuntieePendo
Ahjumma
4 years
Eti tukija mjini tunataka pizza😂🤣🙌
Tweet media one
8
0
20
@AuntieePendo
Ahjumma
2 months
Umeme Tanzania nzima ndugu zangu
11
0
19
@AuntieePendo
Ahjumma
4 months
Weka private tweet tusijibu 🚮 Ms ww
15
2
20
@AuntieePendo
Ahjumma
4 years
😂🤣😂😂dada kaona akimbie cha Kufia nini
2
0
18
@AuntieePendo
Ahjumma
2 years
Ukinywa Panadol ukae mda gani ndo ukunywe biyaaaa... asking for frnd
12
1
18
@AuntieePendo
Ahjumma
6 months
Wakaka mnapendeza sana na hizo kanzu NYEUPE
6
2
19
@AuntieePendo
Ahjumma
1 year
☺️
Tweet media one
14
1
18
@AuntieePendo
Ahjumma
3 years
Nilimwambia ila nilichoambulia🤣
@DigitalMigrant1
Digital Migrant
3 years
Ukimpenda mtu mwambie.
11
9
161
9
3
17
@AuntieePendo
Ahjumma
2 years
Icho kilichopinda ni sausage???? Imepinda haswa🙌
@MfokaMqulusi
Induna Yezinsizwa
2 years
Remove one
Tweet media one
161
23
304
6
0
17
@AuntieePendo
Ahjumma
8 months
Kwani hamuoni hapo AuntyPendo au 😒 mi sio mwanaume paka nyie sa mnanitumiaje hizo lakini 😭😭😭
9
3
18
@AuntieePendo
Ahjumma
11 months
I'm sad again 🥺 Don't Tell my boyfriend
4
4
17
@AuntieePendo
Ahjumma
4 years
Mpumzisheni Huyu kaka jamani anakosa pumzi mpk hafungi mdm kila saa
Tweet media one
8
0
15
@AuntieePendo
Ahjumma
1 year
😌
Tweet media one
5
1
16
@AuntieePendo
Ahjumma
11 months
Kuna mtoto wamemtupa ni mdogo hata week Hana 🙌
6
1
17
@AuntieePendo
Ahjumma
11 months
Tambi za kuku🔥
2
3
16
@AuntieePendo
Ahjumma
3 years
Kuna mkaka nimemuona mitaa flani bdo kidogo niseme "nyie"na vikopa nikakumbuka futa na ujiheshimu☺
4
2
17
@AuntieePendo
Ahjumma
1 year
Karibuni
Tweet media one
5
0
16
@AuntieePendo
Ahjumma
2 years
Nimepamiss home😭😭 hivi vilima vimenichosha😩😫
3
0
14
@AuntieePendo
Ahjumma
4 years
@ThatBoyKhalifax Siku mbili hizi haya matukio wamevaa miwani za mbao hawayaoni hawatazungumza kuhusu hilo
0
0
17
@AuntieePendo
Ahjumma
4 months
Nimepungua kilo tatu 🤣😂 safari Ina milima na mabonde hii mpk nifike 65 🙌
12
0
16
@AuntieePendo
Ahjumma
2 years
Madobi siku hizi dar hakuna?????
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Kunyoosha Nguo huwa ni Mateso sana.. Serikali iingilie kati vijana wake tunateseka na hili suala
6
4
175
2
0
15
@AuntieePendo
Ahjumma
1 year
Auuuuuuuuwwwwee next next year
@Abdulherphyz
𝐂𝐚𝐫𝐥𝐨 𝐆𝐚𝐦𝐛𝐢𝐧𝐨
1 year
Okay, this is cute.. 😩
188
7K
66K
8
1
17
@AuntieePendo
Ahjumma
2 months
We ndo uliumbwa alfajiri 🙌
@idriss4_khadija
kimani_69🇹🇿🦋
2 months
I’m a red flag but the material is quality 😄💋
Tweet media one
59
50
748
11
1
17
@AuntieePendo
Ahjumma
14 days
Au niamke nifanye usafi 😭 labda ntapata usingizi 🤣😂
4
0
15
@AuntieePendo
Ahjumma
6 months
Ina maana hakuna wa kumstiri yule dada 🤣 muokoeni
Tweet media one
9
0
17
@AuntieePendo
Ahjumma
2 years
Mama Lee mambo @YourFrenchFry handsome wangu hajambo???
2
1
15
@AuntieePendo
Ahjumma
1 year
😃
Tweet media one
6
0
16
@AuntieePendo
Ahjumma
1 month
Tweet media one
@StreetFashion01
Outlander Magazine
1 month
Happy 42nd Birthday to Skepta!🖤
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
205
3K
20K
11
0
16
@AuntieePendo
Ahjumma
1 year
Wanajua kupenda, wakarimu, sio wachoyo na show ukucha
@42_prb
P.
1 year
Unaelewa nini kuhusu wasukuma?
14
2
37
12
2
14
@AuntieePendo
Ahjumma
1 year
Hata saa sita bado nishapigwa limit 🤣😂😅😅
7
0
16
@AuntieePendo
Ahjumma
3 years
Acha upotoshaji 😂kafueni, fanya usafi,mpangie nguo vzr pika vzr mle na mle tena kipenzi chake apakute pasafi
@Eric__Bernard
MR BEN
3 years
Dear ladies nawakumbusha Weekend leo usiende kwa Jamaa Kufua na kupika Hatokuoa unapoteza muda!
54
26
627
2
0
13
@AuntieePendo
Ahjumma
1 year
Email yangu imekauka kama chapati za Malimi 🥺😥
10
1
15
@AuntieePendo
Ahjumma
4 years
😅🤣😂mnatuchanganya Mjue na flags zenu izo
5
0
15
@AuntieePendo
Ahjumma
1 year
Mboga ya majani nimekosa😤
Tweet media one
6
0
16