MWANAHISABATI Profile
MWANAHISABATI

@ArthurGeil

6,500
Followers
358
Following
2,513
Media
80,769
Statuses

Lille, France
Joined January 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
3 months
HEKIMA ZA MFUNGWA NAMBA 101 Imeandaliwa na Prof. Bixen UZI🧵
Tweet media one
50
60
193
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
9 months
JINSI YA KUWA MWANAUME MNYAMA NDANI YA MIEZI 6 <Thread> <Uzi>
Tweet media one
45
268
679
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
2 months
Nina laki yenu hapa kwa mtu atakayeweza kuniambia huu mchoro kipanya alimaanisha nini?
Tweet media one
136
45
423
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
6 months
iPhone kali ya muda wote ni ipi?
127
36
417
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
2 months
SIFA 4 ZA WATU WAKIMYA 1. Wana marafiki wachache sana 2. Wakikuzoea ni waongeaji mno 3. Wana hasira sana 4. Kuna mengi yanaongea vichwani mwao Uonapo mtu mkimya anaongea sana na wewe usiseme ni muongeaji kisa anaongea na wewe ni vile tu amekuzoea.
38
104
415
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
5 months
Nilipitia wakati mgumu zaidi peke yangu huku kila mtu akiamini nilikuwa sawa. Nikaja kugundua kwamba adui mkubwa wa maisha yetu ni Overthinking yani kuwaza kupita kiasi. Kama na wewe ni mtu wa kuwaza sana fungua huu uzi nimekuwekea tiba yake ya kisaikolojia. <Thread/Uzi>
17
121
397
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
3 months
MEN ONLY!!👊 HAKIKISHA HUFANYI (KAMWE) MAMBO HAYA KWENYE MAISHA YAKO. UZI🧵
Tweet media one
56
78
323
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
4 months
Hii ilinichukua zaidi ya myezi 6 kujifunza ila nitakufundisha wewe baada ya dakika 5 tu. Je, unajitafuta kimaisha na unataka kubadilisha maisha yako yawe kwenye ubora!? Fanya hivi..., Jenga hizi tabia usipuuze hata moja👊 🧵
20
61
264
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
10 months
SIFA 4 ZA WATU WAKIMYA. 1. Wana marafiki wachache sana 2. Wakikuzoea ni waongeaji mno 3. Wana hasira sana 4. Kuna mengi yanaongea vichwani mwao. Uonapo mtu mkimya anaongea sana na wewe, usiseme ni muongeaji kisa anaongea na wewe, ni vile tu AMEKUZOEA.
45
110
254
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
4 months
NAMNA YA KUJILINDA HATUPO SALAMA. 1.Usipende kuwasha location ya simu yako kila mara. 2.Usipende kutembea mwenyewe nyakati za usiku. 3.Hakikisha kabla hujalala kuna mtu umempa taarifa au umemtakia usiku mwema na amejua upo wapi. 4.Wakija watu kukukamata hata wakijitamburisha
49
124
231
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
6 months
MANENO YA HEKIMA KUTOKA KWA MARTIN LUTHER KING. UZI🧵
Tweet media one
17
94
203
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
3 months
MEN ONLY!!👊 Huu ndio ukweli usiozungumzwa. Ukweli utakaobadilisha maisha yako. UZI🧵
Tweet media one
60
70
193
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
6 months
SIFA 4 ZA WATU WAKIMYA. 1. Wana marafiki wachache sana 2. Wakikuzoea ni waongeaji mno 3. Wana hasira sana 4. Kuna mengi yanaongea vichwani mwao. Uonapo mtu mkimya anaongea sana na wewe, usiseme ni muongeaji kisa anaongea na wewe, ni vile tu AMEKUZOEA.
24
47
184
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
6 months
MWANAUME IKIWA BADO UNAJITAFUTA CHUKUA HIZI SHERIA 10 ILI KUBADILISHA MAISHA YAKO: 1. Acha kukimbiza wanawake, badala yake chakufanya mtafute mwanamke mmoja atakae ridhika na hali yako ya maisha alafu ishi nae. 👇🏿🧵👇🏿
Tweet media one
24
59
167
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
3 months
Nilipitia wakati mgumu zaidi peke yangu huku kila mtu akiamini nilikuwa sawa. Nikaja kugundua kwamba adui mkubwa wa maisha yetu ni Overthinking na Depression yani kuwaza kupita kiasi. Kama na wewe ni mtu wa kuwaza sana fungua huu uzi nimekuwekea tiba yake ya kisaikolojia. 🧵
9
44
157
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
5 months
siku hizi tumepunguza kuwatafuta ndugu zetu matajiri kwasababu huwa wanadhani simu zetu ni za shida ya kuomba hela kila wakati na wala si salamu tena
15
51
147
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
4 months
@FKihamu Amepotea yule anaetaka kumridhisha mwanamke wake...kwasababu hata wao wanawake hawajui wanataka nini ili waridhike...✍🏿
4
14
146
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
2 months
Msaada kwa yeyote aliyeelewa hii katuni ya masoud kipanya ina maana gani?😃
Tweet media one
40
21
144
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
7 months
Dear Mwanaume, kumbuka hizi KANUNI 20 unapokua kwenye mahusiano ya kimapenzi na mwanamke. UZI 🧵
Tweet media one
18
46
140
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
3 months
SHERIA ZA WANAUME WA THAMANI Hizi sheria zitabadili maisha yako uhakika 100%. Ndani ya miezi 3 utakuwa mtu mpya. Hatua ndogo ndogo za kila siku ndio siri ya ushindi. UZI🧵 Shuka nayo kwenye coment...↓
Tweet media one
51
52
138
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
3 months
HEKIMA ZA MAISHA 11 UZI🧵
Tweet media one
54
64
136
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
7 months
UKWELI MCHUNGU AMBAO KILA MWANAUME ANAHITAJI KUSIKIA. 1) Hakuna mwanamke atakayekukupenda bila masharti. UZI 🧵
Tweet media one
15
50
129
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
4 months
MEN ONLY!!👊 IKIWA UNATAKA KUWA 'A REAL ALPHA MALE' AU 'A REAL SIGMA MALE' FANYA HIVI... UZI🧵
Tweet media one
Tweet media two
12
34
123
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
7 months
UZI: MAMBO AMBAYO WATU HUJIFUNZA WAMECHELEWA SANA. Asubuhi hujenga kasi, Tumia asubuhi yako kukuweka kwa siku nzima Jenga tabia nzuri asubuhi Kuwa na utaratibu thabiti wa asubuhi. Usiwahi kugonga kusinzia, haijalishi umechoka vipi Amka asubuhi mapema mara moja. 👇🏿👇🏿👇🏿
Tweet media one
16
59
123
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
4 months
SIFA 4 ZA WATU WAKIMYA 1. Wana marafiki wachache sana 2. Wakikuzoea ni waongeaji mno 3. Wana hasira sana 4. Kuna mengi yanaongea vichwani mwao Uonapo mtu mkimya anaongea sana na wewe usiseme ni muongeaji kisa anaongea na wewe ni vile tu amekuzoea.
36
47
117
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
5 months
Wakikutukana ili wapime imani yako waambie, Mimi ni mtu mzuri lakini msinipe sababu ya kukuonyesheni upande wangu mbaya📌🙏🏾
13
48
119
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
5 months
Ukitaka kuishi kwa amani na furaha kwenye hii dunia mtangulize Mungu katika kila jambo unalolifanya, tafuta pesa kwa njia za halali, samehe walio kukosea, tunza afya yako alafu ishi maisha yako.
12
48
121
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
5 months
MAMBO 6 AMBAYO NATAMANI NINGEYAJUA WAKATI NINA MYAKA 25 Haya ni mambo ambayo wewe kijana unaejitafuta ukiyazingatia utawafanya vijana wenzako waamke na wengine wakuite FREEMASON. <Thread/Uzi> Shuka Nayo Kwenye Coment...
9
35
114
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
3 months
Nasaha...✍🏿
Tweet media one
32
27
110
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
3 months
Mke wa mtu sumu😭💔
22
29
111
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
4 months
UZI🧵: SIRI KUMI NA MOJA (11) ZA MAISHA USIZOZIJUA SIRI YA KWANZA 01: Tengeneza connection na watu usitengeneze urafiki, iko siku marafiki uliowatengeneza watakugeuza chakula maana "kikulacho kinguoni kwako." Siyo rahisi rafiki akakubali upate zaidi yake!...↓
Tweet media one
8
49
110
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
3 months
Katika maisha yako ogopa mambo 3: Kumpa mtu sababu ya haki ya kukunung'unikia kwa Mungu wake; Kumwachia mtu kovu au kilema; na Kutoa uhai wa mtu. Ukitenda moja kati ya haya, utaishi maisha ya hofu na utalipwa hapa hapa duniani.
27
49
108
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
3 months
Binadamu watakusukuma ili uanguke ila ukifanikiwa watasema kuwa walikusukuma ili usogee mbele kwahiyo ishi nao kwa akili ila asiwaamini.
24
48
106
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
6 months
UZI🧵: SIFA ZA MWANAUME IMARA. P.S. ukikuta huna hizi sifa JITATHMINI SANA! Twendeee👇🏿👇🏿👇🏿
Tweet media one
13
39
109
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
5 months
Aisee...😂😂✍🏿 Shuka Nayo kwenye coment 👇🏿
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
17
28
106
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
7 months
Washeni azam TV niko hewanii😂😂😂👇
Tweet media one
13
24
100
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
5 months
Maadui ni wengi sana kwenye kivuli cha urafiki. Kuwa makini📌
23
42
104
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
6 months
Ugumu wa maisha ni kipimo cha akili, unapokosea omba msamaha ni jambo jema🙏🏾
21
38
103
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
4 months
Tweet media one
1
13
108
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
5 months
Twitter wanapeana retweet kwa kujuana au wewe ndo hujichanganyi?
15
33
103
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
6 months
Binamu yako akikupa utapiga au?😀
26
27
102
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
6 months
Wakati mwingine unaweza ukacheka na wengi lakini ukalia na wachache kwasababu wengi watapenda tabasamu lako lakini ni wachache sana watakaothamini chozi lako. Good Morning Familia 👋
33
46
104
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
5 months
wakati mwengine inabidi ukae kimya kwa sababu hakuna maneno yanayoweza kueleza kile kinachoendelea akilini mwako na moyoni mwako.
10
32
102
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
1 year
Kwenye mipango ya maisha yako usisahau kuweka na kifo 🙌.
Tweet media one
12
43
102
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
3 months
Wakati mwengine ili kutunza heshima yako unatakiwa kuondoka maishani mwao kabla hawajakwambia toka.
11
34
99
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
5 months
JINSI YA KUFANYA WATU WAKUOGOPE NA KUKUHESHIMU: <Thread/Uzi>
Tweet media one
11
38
97
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
3 months
Usiogope kupoteza watu au vitu.. Kuanguka kwa kuti ndo' kukua kwa mnazi.
11
41
98
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
7 months
KUMBUKA HAYA MAMBO 11 KATIKA KILA SIKU ZA UHAI WAKO. UZI 🧵
Tweet media one
9
51
95
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
6 months
Kaa kimya katika hali hizi tatu: 1.) Kaa kimya unapokuwa na hasira. 2.) Kaa kimya wakati watu hawathamini maneno yako. 3.) Na kuwa kimya unapotaka kusikiliza watu.
7
31
98
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
6 months
UZI🧵 TABIA 15 ZA NGUVU ZA WANAUME WA THAMANI YA JUU. PS. Mwanaume mwenye myaka 20-40 kama huna hizi tabia JITATHMINI SANA!!! Shuka nayo...👇🏿
13
35
98
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
5 months
mheshimu sana yule rafiki yako ambae hua anakupigia simu ukiwa offline
8
26
96
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
9 months
1. Panga siku inayofuata kabla ya kulala Tengeneza orodha ya mambo ya kufanya kwa siku inayofuata kabla ya kulala Amka na ufanye kila kitu kwenye orodha yako kabla ya kufanya kitu kingine chochote Huu ndio "udukuzi wa tija" pekee unaohitaji.
1
4
93
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
5 months
mheshimu sana yule rafiki yako ambae haiwezi kupita siku bila kukutafuta
10
29
90
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
6 months
Naombeni mnifollow🙄
Tweet media one
23
24
86
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
6 months
Ugumu haimaanishi kuwa haiwezekani. Amka ukapambane✊🏿
16
35
89
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
5 months
maadui ni wengi kwenye kivuli cha urafiki zingatia maneno yao kwenye utani hapo ndio kuna chuki ujifunze
11
37
88
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
5 months
UNAPOKUA KWENYE MAHUSIANO YA KIMAPENZI EPUKA HAYA... <Thread/Uzi>
Tweet media one
10
21
90
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
5 months
Kila kitu kinawezekana kwenye haya maisha, mtangulize Mungu katika kila hatua yako moja unayopiga, zidisha bidii epuka roho yenye kukata tamaa, mafanikio huja kwa muda wake hakika utafanikiwa katikati ya magumu yote unayopitia🙏🏾
16
31
85
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
5 months
App gani kwenye simu yako unaweza maliza siku nzima hujaingia...!? Nasoma Coment 👇🏿😁
Tweet media one
43
13
83
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
3 months
Baba/Mama yako aliwahi kukwambia maneno gani ambayo unaishi nayo mpaka leo!?
51
26
88
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
3 months
watu wanabadilika. mapenzi yanaumiza. marafiki wanaondoka. mambo yanaenda mrama. lakini kumbuka tu, maisha lazima yaendelee...
9
32
87
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
3 months
kuna wakati ulipoteza, ulipata, ulishinda, ulishindwa, ulilia, ulicheka, ulipendwa na hata kuchukiwa pia. ila juu ya yote ulijifunza. kumbuka, wakati mwingine hali tunazopitia maishani ndio zinatufanya tujipate na kuwa bora
6
35
86
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
3 months
JINSI YA KUWA MWANAUME MNYAMA NDANI YA MIEZI 6 Huu UZI Umebeba Fact 7 Pro Tips Zitakazobadilisha Maisha Yako. NB. Na Mwanamke Anaruhusiwa Kusoma Huu UZI!!! Shuka Nayo Kwenye Coment...↓
Tweet media one
8
30
87
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
7 months
Mkumbushe mwanao tu kwamba, sio kila aliefanikiwa anafanya kazi kwa bidii na sio kila masikini ni mvivu maisha yana siri kubwa sana😁
Tweet media one
14
12
86
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
2 months
wakati mwengine watu hawawezi kujua wala kuona umuhimu wa mambo yote unayowafanyia mpaka pale utakapoacha kufanya
25
35
86
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
2 months
kamwe usioneshe umevurugwa na kitu chochote, kuwa mtulivu katika kila nyakati ngumu unazopitia. elewa ya kwamba ni muda wako wa kuteseka kama walivyoteseka watu wengine kabla yako. ishi ukiamini kwamba siku bora za baraka zinakuja
10
32
90
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
5 months
usiwe mwombaji wa mapenzi, kuwa mtoaji wa upendo. watu wazuri sio wazuri kila wakati lakini watu wema daima ni wazuri.
6
22
81
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
4 months
Leo sina motivation ila huu ujumbe utakufaa... "Ukifa sasa hivi, watu watakupost alafu wataendelea na mishe zao. Watafuta namba zako, wataku-unfollow muda flani hivi ukipita na mwisho kabisa watakuzika wakusahau. Endelea kuogopa kufanya vitu vinavyokupa furaha na amani kwenye
13
34
85
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
3 months
kabla ya mambo mazuri kuja kwenye maisha yako kuna shida za kila namna, usije kukata tamaa
10
27
84
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
5 months
sisi sote ni wabaya katika hadithi ya mtu fulani
7
31
82
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
7 months
HAYA MAMBO WAFANYE KUWA SIRI YAKO🤫. -UZI-
Tweet media one
17
34
81
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
3 months
watu wanapitia mengi kwenye maisha yao, kama huwezi kuwatia moyo waache kama walivyo usiwaongezee matatizo
6
29
84
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
7 months
SHERIA 10 KWA VIJANA. 1) Kuwa na ucheshi lakini usifanye mzaha kuhusu ndoto na malengo yako. UZI 🧵 👇🏿👇🏿👇🏿
Tweet media one
11
24
83
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
6 months
Kumbe wanetu hua mnaona tweet zangu mnaruka tuu😢 Huku jobless kichwa kinaniuma nikipeleka akaunti yangu kwa mganga kuangalia kila saa kama nina ban au sina. Aaah...., fresh wanetu kuwa FollowerGhost sio dhambi. Tuishi🤝🏾
11
14
80
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
3 months
Sio kila mtu akikufanyia ubaya basi umlipe wema, mlipe hata ubaya pia ili ajifunze.
34
30
76
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
8 months
Imagine hapa ni kanisani😁
Tweet media one
36
12
82
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
3 months
mpende sana ila ikitokea akabadilika hakikisha unakuwa na uwezo wa kumuacha
11
23
80
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
3 months
katika sala unazoziomba kila siku, kamwe usiache kuomba Mungu akukutanishe na watu watakaojua na kuvumilia safari ya mapito yako.
9
34
81
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
8 months
Huyo mchezaji ambae yuko na Ronaldo anaitwaje!?
Tweet media one
17
8
78
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
7 months
Mkumbushe mwanao tuu kwamba sio kila masikini ni mvivu na sio kila tajiri anafanya kazi kwa bidii maisha yana siri kubwa sana.
Tweet media one
2
13
80
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
3 months
wakati wako ukifika Mungu atakupa kila kitu unachostahili wasiokupenda watayatazama maisha yako kama sinema na hawataweza kukuangusha. wakati wa Mungu ni wakati sahihi
10
30
81
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
6 months
Mwenyezi Mungu aendelee kutuepusha na changamoto ambazo pesa haiwezi kutatua 🤲🏿
13
30
80
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
3 months
kamwe usipoteze nafasi kumwambia mtu unampenda.
42
28
73
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
7 months
Kuna wakati....
Tweet media one
11
20
78
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
1 year
Hii imeenda #x @nyuki_malkia aliwahi kuisema.
Tweet media one
1
8
76
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
3 months
kuishi maisha yenye furaha yasikufanye ukasahau kufanya ibada
6
22
78
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
7 months
Ikiwa unasumbuliwa na HOFU ya jambo lolote au kama unahisi kukata tamaa, fanya hivi...👇🏿 Fungua huu UZI nimekuwekea njia saba za kurudisha uimara wako👇🏿👇🏿👇🏿 <UZI>
Tweet media one
11
49
73
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
2 months
Maisha yako ya leo ni matokeo ya MACHAGUO na MAAMUZI yako ya jana. ZINGATIA haya mambo 13 yatakayo-KUAMSHA na kukupa NGUVU ya KUKOMAA na kusaka MAFANIKIO na UTAJIRI wa kesho yako. NAKAZIA! zingatia namba 3 ni muhimu sana!! Fungua (Coment) Thread/Uzi🧵
33
33
77
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
7 months
Dear mwanaume tambua kwamba wanawake wanataka kufurahi kila wakati. Haya Hapa Maswali (16) Ya Kuvutia Ambayo Wanawake Wanafurahia Kujibu. 1. Ni kitu gani unaogopa kuuliza mwanaume lakini unataka kujua? UZI 👇🏿👇🏿👇🏿
Tweet media one
6
30
74
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
3 months
Wakati mwingine ili tupige hatua kwenye maisha ni lazima tujitenge na baadhi ya watu.
9
22
75
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
5 months
Mwenyezi Mungu anapotaka kumbariki mwanamume humpa mwanamke bora
8
27
75
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
6 months
Kuna wakati utu ni bora kuliko umaaarufu
10
23
73
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
8 months
Wakuu nafanyaje hapa😭😭😭
Tweet media one
22
9
71
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
6 months
Watu Wakisema Hawaoni Kitu Kizuri Ndani Yako, Wakumbatie Na Kusema Maisha Ni Magumu Kwa Vipofu. Good Morning Familia 🤗
22
34
75
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
9 months
2. Amka mapema "Kulala na kuamka mapema Humfanya mtu kuwa tajiri na mwenye hekima" Kuamka mapema hukupa nguvu na wakati wa ziada wa kuanza siku yako kabla ya kila mtu mwingine • Maliza kazi zako muhimu kabla ya wengine kuamka • Furahia siku yako iliyobaki au fanya unachotaka .
1
2
74
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
4 months
Unaweza ukawa unachat na bebi wako anakuambia usiku mwema kumbe kuna mwingine anaambiwa nimekumiss 💔😂
40
19
74
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
5 months
usitafute watu wakupende tafuta watu wakuheshimu sana hakikisha unajifunza ujuzi ambao utakufanya uhitajike kwenye jamii alafu hakikisha kila siku unakua bora zaidi ya ulivyokua jana
9
35
73
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
7 months
Shusheni handles zenu mfoliane wakuu. Follow kila handle
Tweet media one
28
16
73
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
7 months
Sisi wengine maisha yetu yako fresh tu, pesa hatuna na roho mbaya pia hatuna 😇😇
Tweet media one
10
31
71
@ArthurGeil
MWANAHISABATI
3 months
Mambo Yanayozuwia Mafanikio Yako Kimyakimya Bila Wewe Kujua You Must Learn or Perish! Hapa Duniani Ni Aidha Ushinde Au Upigwe Hakuna Sare Usipotoboa Utatoboka Na Ukijionea Huruma Utakuja kutia Huruma Mambo 12! Jihadhari Nayo Sana //THREAD//UZI// Shuka Nayo Kwenye Coment...↓
Tweet media one
37
26
73