AHMED ABDALLAH Profile Banner
AHMED ABDALLAH Profile
AHMED ABDALLAH

@AhmedAbdallahTL

141,899
Followers
88
Following
308
Media
801
Statuses

Sports Journalist|TV and Radio Presenter | EPL Swahili Commentator via DSTV

Dar es Salaam, Tanzania
Joined December 2019
Don't wanna be here? Send us removal request.
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
1 year
EID MUBARAK ❤️
Tweet media one
163
149
6K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
8 months
Chama asifananishwe na vitu vya hovyo...😅
Tweet media one
263
277
5K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
2 years
Classy 🔥
Tweet media one
60
85
3K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
6 months
Tweet media one
229
67
3K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
1 year
Tweet media one
98
60
3K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
10 months
Vitu wanavyovifanya magolikipa wengine mara chache chache sana na kuzoa sifa kibao, Djigui Diarra anavifanya kila siku halafu haringi wala nini 😆
Tweet media one
40
108
3K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
1 year
USAJILI WA SIMBA SC MPAKA SASA 🔴⚪️ 1. Essomba Onana ✅ (MVP, Rwanda) 2. Aubin Kramo ✅ 3. Che Fondoh Malone Jr. ✅ (MVP, Cameroon) Otea anayefuata.....
Tweet media one
99
101
3K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
1 year
IBRAHIM HAMAD BACCA 👏 Achana na mgoli wa Aziz Ufunguo na bao safi la Wakili Msomi, kwangu mimi naendelea kuvutiwa sana na uwezo anaouonyesha Ibrahim Bacca siku hadi siku, kama ndiyo mara ya kwanza unamtazama unaweza kusema ni beki mwenye mechi nyingi sana za mashindano na
Tweet media one
95
133
3K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
1 year
Ikiwezekana njooni muwanunue kina Mac Allister na Szoboszlai, tutawaongezea na Luis Diaz 😏. Ila nawakumbusha tu, Mungu ni wetu sote.
Tweet media one
191
50
3K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
6 months
Tukiwaambia huyu Mzee ameshindikana muwe mnatuelewa...
Tweet media one
85
61
2K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
1 year
SZOBOSZLAI AHMED MAC ALLISTER
Tweet media one
80
42
2K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
1 year
Ufike salama dogo...Usitutishe
Tweet media one
346
54
2K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
1 year
Mtu hanywi pombe, havuti sigara, haruki majoka, wachezaji wakiruhusiwa kuondoka kambini yeye anabaki, anawahi mazoezini saa nzima kabla wenzake halafu muda wote wa mchezo anachomekea jezi yake. Kwa nidhamu ya kiwango hiki anaachaje sasa kuuwasha, Maxi Nzingeli ametumwa hesabu. 🙌🏻
Tweet media one
42
68
2K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
2 years
Acha utoto! Tumekumaindi 😡
Tweet media one
193
42
2K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
1 year
DJIGUI AHMED DIARRA MAC ALLISTER
Tweet media one
42
51
2K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
1 year
Mwanangu Kiduku leo maji yalizidi unga, kulia amekula ndonga, ukigeuka kushoto unayo... Umepigwa kihalali
Tweet media one
60
48
2K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
8 months
Kuanzia leo ni marufuku kwa mchezaji asiyejua ball kupaka Bleach kichwani😆. Kwa namna alivyocheza kabumbu leo Pacome Zouzoua wala hakuitaji kuweka mpira nyavuni, Mwamba anajua sana ball. YANGA ROBO FAINALIIIII ILEEEEEEE 👏🙌🏻🔥
Tweet media one
39
82
2K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
1 year
THE THREE MUSKETEERS 🔥.... Silaha 3 za maangamizi au kama vipi waite tu 'DAWA TATU' 🤣
Tweet media one
44
70
2K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
4 years
Usikute mwamba alitumiwa picha ya Azam Complex! 🤔
395
127
2K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
1 year
Kutana na wahuni walioondoa taji moja kati ya manne kwenye orodha ya Man City ya msimu huu
Tweet media one
31
23
2K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
11 months
Wananchi karibuni hatua ya makundi ya CAFCL, Hii ndiyo level ya mitaa hii.
Tweet media one
51
51
2K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
1 year
WAMELIPA 🖐️
Tweet media one
32
49
2K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
1 year
Pic of the day....
Tweet media one
46
57
2K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
3 years
Nilipanga kujizawadia Ferrari na Rolls-Royce sina budi kuweka mpango huu kapuni kwa sasa na kuelekeza fedha zaidi kwenye ndoa yetu. Furaha ya @ilhamrashid14 ni muhimu kuliko starehe yangu. Ndoa kwanza Billionaire Ahmed 😜😎
Tweet media one
116
43
2K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
1 year
UNBEATEN IN 26 PREMIER LEAGUE MATCHES AND STILL COUNTING... Next Match: TZ Prisons vs Simba SC
Tweet media one
34
44
2K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
11 months
MTU KAPIGWA WIKI 2 😂
Tweet media one
36
36
2K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
7 months
EID MUBARAK...
Tweet media one
31
22
2K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
1 year
Ilibi ifike siku kama hii ili tuheshiane... Mlitupanda kichwani.. Kenge nyie
Tweet media one
215
37
2K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
1 year
🏆👇🏻
Tweet media one
21
30
2K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
1 year
PIC OF THE DAY 🔥
Tweet media one
33
67
2K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
7 months
Kiboko ya timu la Wachambuzi 🤣
Tweet media one
25
27
2K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
7 months
HESHIMA YA TAIFA IMELINDWA LEO Sio 'Daima mbele nyuma mwiko' wala 'The sky is the Limit' ngoma ngumu... Maamuzi ya nani anakwenda nusu fainali yanakwenda kufanywa Jijini Pretoria wiki ijayo..
Tweet media one
33
43
2K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
3 months
Kwa sasa hakuna mwanadamu anayejua boli kumzidi Profesa Pacome Zouzoua ndani ya ardhi ya tanzania, ukibisha ntajie anayemfunika 😆...
Tweet media one
55
47
2K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
1 year
Nyanda mmelisamehe?... Derby hii hapa, ila simba ya leo mmmh!
Tweet media one
44
33
2K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
1 year
Thank you & Welcome Joash Onyango...🤷🏻
Tweet media one
19
27
2K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
2 years
Football is life 🎤 @George_Ambangil
Tweet media one
32
25
2K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
1 year
NIMEBURUDIKA. Mechi kubwa, Mechi bora yenye hadhi ya African Football League, Mechi ya Kihistoria, kumbukumbu ya kudumu kwa Simba SC na Tanzania kwa ujumla...
Tweet media one
18
46
2K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
9 months
Aaah! Hili ndilo chama langu kuanzia sasa... Lets gooo Verdeeee 😆
Tweet media one
35
17
2K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
10 months
Maelekezo ya Benchikha kwa msaidizi wake 😆 "Nanyua Duchu na Mwenda mmoja mweke mbele ya Shabalala mwingine mtie upande wa Kapombe, wale mawimga wao wakipanda niite woo! Woo!"
Tweet media one
35
44
2K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
11 months
Mechi ya kiume 👏👏👏
Tweet media one
13
14
2K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
9 months
Mtazame Etoo anavyomtazama halafu LASTI BONI mwenyewe hana habari anacheka tu
Tweet media one
27
36
2K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
6 months
Gongowazi mna nongwa sana 😆
Tweet media one
40
39
2K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
10 months
Inawezekana kabisa huu ndio usajili bora msimu huu miongoni mwa usajili uliofanywa na vilabu vyote vya ligi kuu, yaani kwenye orodha easly anakaa kwenye namba moja. PACOME ZOUZOUA is 'The Go-To Man' ana PRECISION ya hali ya juu sana mbele ya lango.
Tweet media one
23
37
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
7 months
The one n only RONWEN WILLIAMS.
Tweet media one
121
29
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
1 year
Ni kweli kabisa Aziz Ki is on fire, Pacome Zouzoua kaongeza ubunifu na Yao Yao mtu wa kazi hakamatiki ila kwangu mimi Man of the match leo alikuwa ni MUDATHIR YAHYA, huyu Mzenjibar ni injini kweli kweli a real definition of a box to box midfielder, yuko kila sehemu ya uwanja.
Tweet media one
73
56
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
6 months
Daadeki! Wanaume wamepindua meza kibabe... Timu za Spain chali...
Tweet media one
34
33
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
1 year
PACOME ZOUZOUA NI MWANANCHI 🟢🟡 Zouzoua amejiunga na Yanga kwa mkataba wa miaka miwili. Umri: 26 Urefu: Futi 5.9 Taifa: Ivory Coast 🇨🇮 Nafasi: Kiungo Ametoka: ASEC Mimosas 🇨🇮
Tweet media one
53
32
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
10 months
Anawasalimia
Tweet media one
80
27
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
1 year
Vincent Kompany karibu kwenye shows za Pep 😆
Tweet media one
18
20
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
1 year
SCUDU AMEKULA SANA CHUMVI 2012-2013: United FC 🇿🇦 2013-2014: PLatnum Stars 2015-2016: Golden Arrows [Mkopo] 2015-2016: Platnum Stars [Mwisho wa mkopo] 2016-2017: Orlando Pirates[Free Transfer] 2017-2018: Chippa United [Mkopo] 2017-2018: Orlando Pirates[Mwisho wa mkopo]
Tweet media one
188
39
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
1 year
Mnyama aheshimiwe... Kama sio huu uzamani faida ya goli la ugenini tunaoukumbatia kwa enzi na enzi leo Mwarabu angeomba poo...Hatua kubwa sana imepigwa na vilabu vya Tanzania licha ya baadhi ya watu kugoma kuona, kuna sehemu ndogo sana tunakwama kiufundi ila The Future is bright
Tweet media one
84
58
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
1 year
Baada ya majadiliano na uongozi kumalizika vizuri kiungo mshambuliaji wa @simbasctanzania Clatous Chota Chama ataondoka nchini muda wowote kuanzia sasa kuelekea nchini Uturuki kujiunga na wenzake kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya .... Chama ataondoka pamoja na kiungo mkabaji
Tweet media one
40
27
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
9 months
Kama ambavyo serikali yetu imekuwa ikisisitiza, ni muhimu sana kwa kila kijana kuweka kipaumbele chake mbele, kama umeamua kujikita kwenye kilimo au biashara basi hakikisha unaweka maarifa, kujituma pamoja na nguvu zako zote kufanikisha.
Tweet media one
99
38
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
1 year
Sema huyu Pacome Zouzoua ana Uchama Chama flani hivi mguuni... Ndukiii 🏃‍♂️💨😆...Povu 👇🏻
Tweet media one
50
25
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
1 year
Mmxiew! Japanese machine mmeiona? Mng'oa transformer... Sasa kama naweza kushinda mechi nikiwa na wachezaji 10 uwanjani nani ataniweza msimu huu?
Tweet media one
83
37
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
7 months
Feisal 'Fei Toto Tundu' Salum...Kinyago walichokichonga Wananchi
Tweet media one
32
34
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
9 months
Lasti Boni wa Cameroon akitafakari jambo baada ya Song kumtupa nje ya kikosi 😂
Tweet media one
20
18
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
10 months
Tumwombe msamaha au tukaushe?
Tweet media one
79
25
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
3 months
LAUTARO MARTINEZ 🙌🏻🔥 Anatokea bench, anaweka kambani bao la kuipa Argentina ubingwa wa Copa America halafu anasepa na kiatu cha dhahabu.
Tweet media one
13
18
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
1 year
Mtu akikwambia ielezee kwa ufupi London Derby, mwambie:- Kadi 2 nyekundu (Spurs), Magoli Matano yamekataliwa (Offside), Yamefungwa Magoli matano, Penati moja kambani, Hat-trick 1 (Jackson) Chelsea akishinda 4-1.. Kwa hiki kilichowakuta Spurs WanaLiverpool tumefurahi mno☺️
Tweet media one
47
39
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
4 years
Washkaji: Siku hizi una hela haupokei simu zetu . Mimi: Mbona nilivyokuwa Sina hela mlikuwa hampigi?😂
Tweet media one
50
67
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
6 months
"YANGA BINGWA" ndio kauli ya siku zote kutoka kwa mdhamini mkuu wa Yanga SC mara zote anapopewa kipaza sauti kuzungumza... Ili uipinge haupaswi kuwa upande uliozidiwa na alama 12 kwenye mbio za ubingwa mpaka sasa... Binafsi naiona ikifanikiwa tena msimu huu
Tweet media one
13
40
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
1 year
Kazini kwa Yanga kulikuwa kuna kazi leo
Tweet media one
19
17
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
9 months
"Usimkatie mtu tamaa" kwa sauti ya Baraka Mpenja... Nani alidhani Ivory Coast ya kusuasua ingemtupa nje bingwa mtetezi. Soka liheshimie tafadhali
Tweet media one
22
15
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
9 months
Toto Tundu Simon Adingra, kijana wa Di Zerbi aliyepika ubingwa wa Ivory Coast. Mechi ilikuwa ina hadhi ya fainali kama ambavyo Afcon ilianza ndivyo ilivyokwisha. Nimefurahi sana wapopo wana kelele sana. Kimyaaa
Tweet media one
14
25
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
1 year
Au tusubiri kidogo?...
Tweet media one
34
19
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
1 year
Kariakoo na Bunju... Imoooo 😆
Tweet media one
50
18
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
9 months
Mwanangu Cameroon wamekupotezea muda tu, kwea zako mwewe kesho una mechi ya FA Cup dhidi ya Newport unaiwahi kabisa 😆
Tweet media one
24
19
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
7 months
WANAPOTEZA NAFASI BAADA YA NAFASI Kulikuwa kuna haja gani ya Simba kusajili aina ya washambuliaji wanaokaa bench katika mechi muhimu ya hatua ya robo fainali?. Simba ambayo haina shida kabisa ya kutengeneza nafasi, tatizo kubwa limekuwa ni nani wa kumalizia hizo nafasi.
Tweet media one
70
27
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
1 year
Watoto wawili kutoka Uswazi walioisambaratisha, kuivuruga na kuichakaza Mwanitesa United wakiicha ionekane kama nyanya... KENGE MAJI 😂
Tweet media one
38
28
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
1 year
Kwahiyo tumekubaliana Generali Moses Phiri awe anatokea bench?
Tweet media one
22
20
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
9 months
MUDA hana muda wa kupoteza, line yake inapatikana muda wote Yanga wanapompigia kuulizia goli la ushindi 🔥
Tweet media one
13
23
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
9 months
Harry Kane akikosa taji la ligi ndani ya Ujerumani basi muhusika mkuu ni Xabi Alonso, maana sio kwa huu m'binyo wanaotoa vijana wake. Tofauti ya alama 5 sasa kati ya Bayer04 na Bayern.
Tweet media one
16
15
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
4 years
Kwa pira hili la Morrison!! Yanga wana haki ya kwenda hata Mahakama kuu.
63
37
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
10 months
Tumepigaje hapo?...😆
Tweet media one
21
21
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
1 year
Tumewaacha mpigwe hela ndefu, hiki chuma cha bei rahisi lakini kinapiga kazi sio mchezo...Wacha miguu yake izungumze. Mtu wa kazi
Tweet media one
96
37
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
1 year
Hatujafurahishwa kabisa na hii sare ya London Derby, tulitaka yule mwenye mdomo atandikwe...
Tweet media one
25
23
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
1 year
FABRICE LUAMBA NGOMA NI MNYAMA 🔴⚪️ Ni rasmi Simba SC imefaikiwa kumsajili kiungo Fabrice Luamba Ngoma raia wa DR Congo kutoka Al Hilal ya Sudan kwa mkataba wa miaka miwili Umri: 29 Taifa: DR Congo 🇨🇩 Nafasi: Kiungo Urefu: Futi 6.2
Tweet media one
22
31
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
7 months
Utulivu huu umeletwa kwenu kwa hisani kubwa ya bwamdogo Palmer 🤫🤫😂
Tweet media one
35
30
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
11 months
Waamuzi wa England wanaweza wakamfanya kocha aruke sarakasi 😆
Tweet media one
27
21
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
1 year
Jambo limetimia wakubwa.
Tweet media one
39
22
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
1 year
Mohamed Nasreddine Nabi apewe maua yake....
25
50
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
1 year
The Master KI Magician, Jitu kutoka Burkina Faso, Ouagadougou...
Tweet media one
18
23
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
4 months
AHOUA JEAN CHARLES NI MNYAMA 🔴⚪️ @SimbaSCTanzania imefanikiwa kuinasa saini ya kiungo mshambuliaji Ahoua Jean Charles raia wa Ivory Coast kwa mkataba wa miaka miwili. Ahoua mwenye umri wa miaka 22 amesajiliwa kutoka klabu ya Stella Club d'Adjamé ya nchini kwao Ivory Coast.
Tweet media one
11
33
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
11 months
Dogo kazingu sana huyu.. Ingekuwa mimi ile ni Hattrick kabisa 😂
Tweet media one
33
12
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
4 months
MWANAMFALME NI MWANANCHI 🟡🟢 @YoungAfricansSC imefanikiwa kukamilisha usajili wa mshambiaji Prince Mpumelelo Dube baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili.
Tweet media one
14
23
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
1 year
Naomba ninyang'anywe simu kabla sijatukana...
Tweet media one
144
19
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
1 year
Vita imekwisha... shida ni mpaka sasa hakuna kanuni ya kuamua nani apewe au wagawane, wacha tusubiri
Tweet media one
56
35
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
6 months
Nasubiri UEFA Super Cup Real Madrid vs Bayer Leverkusen
Tweet media one
18
19
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
1 year
Ila yote tisa, kumi huyu Fiston Kalala Mayele anacheza kwenye klabu yoyote barani Afrika, kuna vilabu vingi vikubwa havina mtu mkatili mbele ya lango kama Muzee ya kutetema... Mayele ni Muuaji 🙌🏻
53
37
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
1 year
Huyo Sandro Tonali utadhani ni msimu wake wa 3 wa EPL anavyouwasha!.. Hawa vijana wa Eddie Howe kuna siku watambebesha mtu mzigo wa dhambi
Tweet media one
15
17
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
1 year
Nakumbuka nilipomtembelea babu yangu siku moja, alinambia maneno ya busara sana. Alinambia "Mjukuu wangu, kuna siku watu watapoteza muda wao kusoma caption yako"... Na siku yenyewe ndiyo leo 😆
Tweet media one
38
30
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
1 year
Generali kufunga penati ya ushindi kutamuongezea sana hali ya kujiamini baada ya kukosekana uwanjani kwa kipindi kirefu.. Alihitaji tukio kama lile lakini pia alizihitaji dakika alizopewa leo
Tweet media one
14
42
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
9 months
Ronwen Williams, mwamba kaziondoa penati 4 kati ya 5 🙌🏻🔥
Tweet media one
27
17
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
4 years
Umeshawahi kupotea Kariakoo mpaka ukawauliza watu " Samahanini jamani eti mmeniona nikipita hapa?"
58
27
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
1 year
HUSSEIN KAZI NI MNYAMA 🔴🦁 @simbasctanzania imefanikiwa kumsajili beki wa kati Hussein Kazi kwa mkataba wa miaka miwili Kazi mwenye umri wa miaka 23 amecheza soka la kulipwa nchini Shelisheli katika timu ya Forester FC kabla ya kujiunga na Mbeya Kwanza, Polisi Tanzania na
Tweet media one
20
18
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
6 months
Sorry to say this... Nicolas Jackson hana sifa ya kuwa mshambuliaji wa kutegemewa
Tweet media one
104
24
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
4 months
Hiki ni chuma cha Mjerumani sio cha Mfaransa, Aisee! Miaka 33 utadhani bwamdogo wa miaka 21...Kina Tchouameni na Camavinga wanatoa tu macho kwenye bench bila shaka wana vingi vya kujifunza kutoka kwa Mapafu ya Mbwa Ngolo Kante. 🙌🏻
Tweet media one
13
13
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
11 months
Habari zenu? Habari zenu? Habari zenu tena?... Mwanya ka pengo! 😆
Tweet media one
29
21
1K
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
2 years
Hii mvua, mbona kama ilipaswa kunyesha kesho, usikute kuna mtaalamu huko amefanya makosa ya kiufundi!!
62
35
1K