Yob✫✫zy Profile Banner
Yob✫✫zy Profile
Yob✫✫zy

@ThisIsBrayo

4,755
Followers
2,619
Following
667
Media
106,418
Statuses

|•Journalist•|•Dj/Online Radio Host•|•From A Boy To A Man•|•Men's Health•|•My Tweets May Piss you off•|•Real Life Experiences•|•CHELSEA FC•|•

D.B.C ENT
Joined April 2023
Don't wanna be here? Send us removal request.
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
2 months
Highschool kuna hawa wasee walikuwa wanakaa kwa ukuta Karibu na dirisha, jamaa anazima kuliko mlevi kwanza siku za Ugali 😂
17
120
368
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
1 month
Kuna hawa watu huscroll tweets wakishuka chini badala ya kuscroll upwards 😂
15
81
239
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
2 months
Mukuru hadi akuwe na one million kwa Mpesa hajai kosa kulia shida, mara sijui ni za chama gani😂
9
61
222
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
13 days
"Nitafunga na wewe" hizi words zilifanya watu wengine pale primary waache shule.
11
86
210
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
1 month
Usifikirie wasichana ni mafala, hiyo pesa unawafurhisha nayo campus,wanjuanga si yako 😂
6
85
195
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
1 month
Yaani huku nje mkitaka kuoa mnaambiwa mzunguke Kenya yote lakini usipeleke msichana wa Murima 😂
9
84
192
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
1 month
Bro Code rule number 5, usiwai jaribu kuoshea morio wako vyombo 😂
14
84
180
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
2 months
Kama hujai watch the Bing Bang theory, kuelewa joke huku itakuwa ngumu.
6
60
178
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
2 months
Shida ya X, kila mtu hutaka kukuwa funny na kushine kwa wengine. smh
10
82
176
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
28 days
Kuna mtu bado hudhani ati pillow ni ya kuekelea kichwa ukilala.
5
84
170
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
1 month
Highschool kuna Woria alikuwa anachukua vikombe before break time alafu anarudisha, little did we know 💔
6
59
160
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
2 months
Odi wa Muranga nikama alirudi Muranga kukunywa ile thufu ya Togotia 🤔
11
72
158
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
2 months
Kuna wasee huvaa glasses unapata sura ni refu kuliko hizo handle za miwani l.
8
65
159
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
29 days
Kumbe kuna accounts huku zina runniwa na watu wawili, kuna wa mchana na usiku, frauds 😂
6
78
156
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
2 months
Kukaa stage za nduthi alafu uskize story hao idlers wanapiga, unaeza dhania umerudi elementary school.
5
39
154
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
1 month
"Leo nabomolewa na mabeshte wangu," wewe Kangethe unafikiria ni nywele😂
6
71
151
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
2 months
Huyu anasema babes wa Murima hukuwa na shape mbaya kama Termite Queen 😭💀
10
71
150
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
2 months
Gari za kwenda Ukambani huwa zinajaa hadi makanga anapanda pikipiki.
7
66
143
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
30 days
Stevo simple boy tunaeza dhani yeye ni fala, kumbe sisi ndo fala, kumbavu zangu!
7
65
146
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
2 months
Watu hustarmer hawafai kuingia Aluta, huyu words zake hazitoki kabisa.
4
54
142
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
1 month
Feminists nikama wamereport acc bana, engagements haziendani ata kidogo 😂
12
67
138
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
12 days
Ku outgrow mamorio wako wa ocha wenye mligrow nawao feels like a bad thing but isn't.
3
65
143
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
1 month
Waah nimekula mutura Leo, Mangai venye nimeanza kufeel tumbo 😂😂
9
65
139
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
2 months
Btw ukiona tweet imenasa huku, most probably imetoka kwa bed sitter ama single room.
12
54
137
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
22 days
Nashangaa mbona mamorio leo wamejam hivo, kumbe ni hiyo story ya hamster Kombat na walikataa kunichanua 😂
5
77
140
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
20 days
Kumbe ile ngoma ya P Diddy "i am coming home" kumbe alikuwa anaimbia inmates 😂💀
6
85
139
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
2 months
As long as he is putting in the work/effort, give him time.
4
68
134
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
1 month
Butt eater alikulia YY comedian manzi buana, YY akinurse heartbreak mrembo ananurse mtoto wa Butita😂
7
55
134
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
21 days
Kuna watu wakona account tatu huku and they have to give different characters kwa zote, hiyo ni kujitesa buana 😂
12
69
132
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
1 month
Bigwig wengine ego imepungua kidogo wameanza Kuengage, watu ndiyo pesa bana 😂🤌🏽
12
62
126
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
1 month
Unashangaa mbona TL imeanza kubehave normally and peaceful, kumbe ni students wameanza classes, mmetusumbua sana bana 😂
7
68
129
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
2 months
Kuna hawa tweeps hukuwa chill, hakuna kupost upuzi mob, huwa wana tweet mara moja moja lakini hizo posts zao hunasa ajab 😂
8
63
126
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
21 days
Kuna Morio akona 107 reserved World coins, waah sa huyu atasaidika aje ama zitakunywa tu Maji 😂
5
61
130
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
1 month
Quickmart badala waandike Exit, wameandika No Entry! smh
4
54
126
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
1 month
Rongai kuna place huitwa Business Hub ya ulevi, wuueh huko utatoka na dem lakini huwezi toka na simu 😂
2
46
126
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
1 month
Wakamba hawakuagi serious, wdym ngoma moja inacheza for 20 minutes🤔
9
58
127
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
1 month
"Enyewe knowledge nikonayo, mtaogopa, ile time tutakaa na nyinyi, enyewe mtaogopa, nyinyi wote."
3
54
124
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
1 month
Najua mafans wa Manjesta sai karibu wameze taxin ni furaha 😂
6
57
121
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
2 months
Imebidi Leo tumeendea Aluta hizi sides za Embu bana, leo Club Blue Java ukipita unaeza kunywa moja 😂
2
61
123
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
2 months
Football tournament za ocha ref anafaa kukuwa na bodyguards kwa grao, huyu Karibu apigwe bana 😂
3
44
122
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
22 days
Wuueh mnasema Cardi B alikuwa off from the set? Jameni hadi offset anapepetewa 😭😂
7
59
124
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
3 months
That boy Kairo is a reflection of money without brains shi, no Self Actualization he can't even fight for his Nation. Hizo tweets zake nikama mtu hatukusoma na yeye Civilization. Smh
6
47
123
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
2 months
Stevo simple boy ameanza kusign wasanii kwa label yake mpya ndiyo wakuwe wajinga kama yeye.
9
58
120
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
1 month
Usiwai taka wakuelewe, wakikuuliza mbona huonekanangi mchana unawaambia ni juu wewe ni Star.
7
69
119
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
2 months
Acha nivae helmet just in case waamue kutupiga hizi dakika za mwisho.
1
44
121
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
1 month
Kuna mlevi alizima saa tisa na ataamka tu kesho 🤔
5
64
118
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
13 days
Kuna bubu fulani hapa hukuwa na udaku ajab!
6
67
121
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
1 month
Huyo ameambiwa akona forehead kubwa inakaa irrigation scheme 😭😂
7
64
119
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
2 months
Kuna madem wengine hukuwa na body Odour hadi unashangaa kwani hakuna body splash cheap anaeza jinunulia. smh
6
47
118
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
2 months
Hiyo rule number 5 ya relationship hukuwa gani 🤔
6
56
117
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
30 days
Ukalia baridi, sai unalia joto,,,,Kwani utaishi kulia hadi lini?😂
5
56
115
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
2 months
Huyu amesema jersey ya Chelsea inakaa zile seats za matatu huenda Ocha ama Curtains 😭😂
3
50
115
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
1 month
Unangangana kupata jiko alafu jamaa wanakuekea kuni.
3
63
116
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
21 days
Msee wa Uganda mwenye hajai ona Murima na India Ocean hawezi nishow kitu 😂
7
57
116
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
1 month
Si kila time "umekula?" surprise me with my favourite food kwa ofisi 😂
5
48
117
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
30 days
Kuna dem ukionekana na yeye, mbogi ya hiyo place inajuanga wewe ni mgeni.
2
54
114
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
22 days
A Supreme Leader doesn't concern himself with the opinions of his Queens.
4
63
116
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
1 month
Itabidi watuekee fans kwa hizi vibanda, karibu baddie fulani a faint juu ya joto
4
51
111
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
1 month
Wasichana wanakimbisha syllabus ya kila kitu bana, ukibag a submissive one, don't fumble her, rare to find.
3
50
110
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
10 days
"I tweet for fun" badge yake imeenda na ameenza kuita Elon umbwa 😂
17
81
214
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
2 months
Kama unagongea fan wa Man U, turushie pia sisi hii side we finish them completely😂
7
48
108
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
26 days
Waah account ya Morio wangu Big G naona inapost nudes na sex tapes kwani alihackiwa 😂
15
58
112
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
2 months
Kuna mamorio bado hudhani threesome ni madem watatu na jamaa mmoja.
10
52
109
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
2 months
Nikiona badge kwa my loyal fan nafurahia ju najua it's time to support a Bro.
8
56
108
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
2 months
Unataka kuoa mlevi na Mamako ata hajai onja ata wine 😂
7
47
105
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
21 days
Unaoshea Morio wako vyombo ndiyo nini ifanyike? Umbwa nini 😂
6
61
108
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
11 days
Women would fall for that Gachagua emotional speech, Morio analia sana buana 😂
7
51
107
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
1 month
Hii app kila mtu ni expert wa kudinyana😂
7
55
103
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
22 days
Kinyozi inafaa kuwa inacheza cool Rhumba ama soft Reggae, kutuekea ngoma za wagale ni kutufukuza.
5
47
104
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
22 days
Kama bado unachemsha maji ya kuoga you need to work hard brother, wacha ndoo ifanye kazi ingine 😂
5
62
106
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
1 month
Once your family knows where you work, they be pulling up, bro like what chill😂😂
4
58
102
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
1 month
Class rep wa good vibes, huwa anamake sure daro za Friday hakuna.
4
55
102
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
16 days
Inferiority complex hukuwa na watu wanono sijai elewa, huwa ameambiwa asonge kidogo amejam 😂
4
51
105
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
2 months
Huko Meru kama huwezi name mtoto dem Nkirote, we jua huyo ni wa outskirt 😂
8
53
102
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
2 months
Wakamba mitungi mkienda ocha hukuwa ya nini 🤔
6
56
101
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
2 months
Opener ya Highschool ingefanya ufikirie kila mtu ni fala hiyo shule 😂
6
53
101
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
27 days
Crystal Palace kupigwa labda kupigwa na dry spell ya mabao.
1
41
103
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
2 months
Hakuna kitu u turn off madem kama jamaa kwenda na intentions za rltshp na yeye anataka mechi na vibes.
4
37
99
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
28 days
Inamates huishi na hopes kila siku wakidhani jela itachomeka siku moja.
7
57
103
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
12 days
United fans bantering Palmer is so ridiculous, bro, focus na team yako buana
6
66
102
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
22 days
Kuna watu ukilewa na wao huwa unashangaa ama mnakunywa pombe the same, mzinga iko nusu lakini jamaa anasumbua kila mtu akiangusha drinks za watu 😂
4
52
102
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
2 months
Mwanaume unapata Baby fever kwani ukona Uterus🤔
10
56
100
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
2 months
Makarao wakuje na cert zao za form four, tuone nani wakona ujinga.
5
52
99
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
2 months
"Mama yenyu ako wapi?" Mzae angeuliza hivi ulikuwa unajua tu kuna makosa mahali 😂
7
38
98
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
12 days
After graduating ndiyo unajuaga it's an end of a chapter and beginning of life!
5
71
103
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
2 months
Huyu ananiambia ati marry a woman who wants marriage not a wedding 🤔
3
50
97
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
1 month
Weekend full of Football, Mandem Fc tunanyorosha watu vile inafaa🫡
2
50
97
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
19 days
Unachokoza msee wa Man U anakushow ati unagongewa sai lakini umeamua kufocus na Man U 😂
2
49
96
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
1 month
Hakuna kitu hushtua pastor kama kuona line ya Sadaka haina watu wengi
6
52
99
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
2 months
Mbona tubishane na Ugandans watu hawajai ona India Ocean 🤔
8
44
95
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
2 months
Manjesta ata hawawezi pea Freshers a warm welcome to University Football 😂
2
43
94
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
1 month
Huyu ameambiwa na manzi yake mhindi amemgonga sai anadhani ni bet!
2
43
97
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
2 months
Kuambia jamaa wa Man U "okay you win" kwa argument ndiyo anyamaze.
5
45
94
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
2 months
Highschool ungefanya makosa alafu mzazi aitwe, hapo ndiyo ulikuwa unajua wazazi anaeza kuruka when you need them the most 😂
2
50
97
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
2 months
Wazazi wanajua mnaprefer wamama kama Eve Maina 🤔😂
5
56
97
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
2 months
Kama ni lazima uende sleep over kwa dem heri ubebe padlock yako.
4
51
95
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
2 months
Hizo relationships huwa mnasifu, wengi wenyu hamyuko happy na mnaogopa kujitoa. Anyway slavery is real.
5
37
93
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
30 days
Mimi ata nikiskia fununu alicheat ama alikuwa anataka kucheat, hakuna kufikiria kitu ingine, dumping her asap, on to the next.
6
50
93
@ThisIsBrayo
Yob✫✫zy
2 months
Ukikaa the whole day bila kupitia hizi streets za X, ukirudi, post ya kwanza inabidi ujiexplain kwa loyals 😂
4
46
93