The Chanzo Profile Banner
The Chanzo Profile
The Chanzo

@TheChanzo

67,523
Followers
170
Following
4,873
Media
8,251
Statuses

We Are Bilingual Multimedia Storytellers Looking At The World From Ground Up. Una habari? WhatsApp/Telegram 0753815105

Dar es Salaam, Tanzania
Joined August 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@TheChanzo
The Chanzo
9 days
Nani Aliyewateka, Kuwapoteza Watanzania Hawa?| Who Abducted, Forcibly Disappeared These Tanzanians?
28
387
672
@TheChanzo
The Chanzo
2 years
Hivi punde tutakuwa mubashara kutoka jijini Mwanza viwanja vya Furahisha kukuletea matangazo ya mkutano wa hadhara wa CHADEMA. Subscribe kwenye YouTube Chaneli yetu >
Tweet media one
23
120
1K
@TheChanzo
The Chanzo
3 months
A 27-year-old man who went missing leading to a viral campaign #WhereIsSativa found tortured
11
306
1K
@TheChanzo
The Chanzo
3 years
Utajiri wa mikoa kwa kuangalia pato la mkoa husika. 1. Dar es Salaam Trilion 25.2 2. Mwanza Trilioni 10.95 3. Mbeya Trilioni 8.3 4. Shinyanga Trilioni 7.5 5. Morogoro Trilioni 7.1 6. Tanga Trilioni 6.96 7. Arusha T6.94 8. Geita T6.66 9. Kilimanjaro T6.62 10. Ruvuma Trilioni 5.6
Tweet media one
231
304
1K
@TheChanzo
The Chanzo
3 years
Mamilioni kujenga nyumba za wakuu wa wilaya na mikoa. Milioni 838 kumalizia nyumba ya mkuu wa mkoa Kagera, Milioni 170 kujenga uzio na nyumba ya mlinzi kwa mkuu wa wilaya Temeke. Milioni 555 kukarabati nyumba ya mkuu wa mkoa Ruvuma..
391
380
1K
@TheChanzo
The Chanzo
14 days
Hamisi Kigwangalla: Si haki kuchukua ardhi ya asili ya wananchi bila kufuata utaratibu.
28
173
963
@TheChanzo
The Chanzo
2 years
Mikoa kumi yenye kipato kikubwa zaidi kwa mtu mmoja mmoja 1.Dar es Salaam- wastani wa 4.97 milioni kwa mtu kwa mwaka 2.Iringa- wastani wa 4.31m 3.Mbeya-3.99m 4.Ruvuma-3.6m 5.Kilimanjaro-3.59m 6.Arusha-3.5m 7.Njombe-3.4m 8.Lindi-3m 9.Tanga-2.98m 10.Mtwara-2.9m
Tweet media one
193
187
790
@TheChanzo
The Chanzo
2 months
Tume Yabaini Polisi Walimtesa, Kumkamata Kinyume na Sheria Kalamba wa Dodoma.
46
240
787
@TheChanzo
The Chanzo
1 year
Waraka wa Maaskofu Kupinga Mkataba Bandari Wasomwa Makanisani Tanzania Waraka wa Baraza la Maaskofu Katoliki uliotolewa Agosti 18,2023, kupinga mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai,umesomwa leo katika misa mbalimbali za Kanisa Katoliki nchi nzima. Waraka huo uliopewa
30
233
749
@TheChanzo
The Chanzo
10 months
Jenerali Ulimwengu: UDSM imekuwa 'extended high school' Mahojiano kamili>
63
272
752
@TheChanzo
The Chanzo
19 days
Deusdedith Soka: Hata Uhai Wetu Sisi Wanautaka Pia (Mahojiano tuliyofanya naye siku mbili kabla ya kutekwa) "Yaani kuna ile tunasema kwamba basi mmechukua kila kitu basi msituteke msituumize, mtuachie ule uhai wetu tuishi. Unaanza kuchukua mmoja mmoja kama mwewe anavyochukua
27
290
726
@TheChanzo
The Chanzo
2 years
Bidhaa zilizoingiza mapato makubwa ya kikodi kati ya 2019/2020- 2021/2022: 1.Bia-Trilioni 1.4 2.Sigara- Bilioni 626 3. Spiriti na Konyagi-Bilioni 494 4.Vyombo vya moto-386B 5.Vinywaji baridi-351B 6. Sukari -275.9B 7.Saruji -160B 8. Maji ya chupa- 131.9B 9.Gesi(viwandani)-129.8B
Tweet media one
124
226
699
@TheChanzo
The Chanzo
3 years
Nikiwa darasa la sita nilifukuzwa shule nikakaa nyumbani mwaka mzima kwa sababu tu niliandika barua kuhoji kwa nini wanafunzi wanalazimishwa kuwachotea maji walimu, kuwachanjia kuni, kuwapikia, kuwafulia, kuwalelea watoto wao- Askofu Bagonza
15
97
693
@TheChanzo
The Chanzo
3 years
Katika ripoti ya hali ya uchumi serikali iliujulisha umma kuwa mpaka sasa deni la nje ni trilioni 43.7. Lakini unafahamu ni nchi gani na taasisi zipi za nje zinazoidai Tanzania? fuatilia uzi huu: 1. Nchi zinazoidai Tanzania (11.5% ya deni lote)
Tweet media one
197
207
683
@TheChanzo
The Chanzo
3 years
Zitto amzungumzia Mbowe mbele ya Rais Samia
70
144
671
@TheChanzo
The Chanzo
10 months
Kutana na mzee Sumuni anayetibu watu waliovunjika mifupa kwa kutumia mitishamba. Wengi wanastaajabu namna anavyotibu ambapo hamgusi mgonjwa katika kutoa tiba hii
63
313
672
@TheChanzo
The Chanzo
1 year
Mwanafunzi wa kidato cha nne mbunifu, atengeneza kitasa cha mlango kinachotumia USB flash drive. Tazama>
25
196
671
@TheChanzo
The Chanzo
3 years
Wakuu wa Wilaya walioteuliwa: 68% wanaume 32% wanawake 20% vijana Elimu- 87% wana shahada na shahada ya uzamili.
Tweet media one
47
154
637
@TheChanzo
The Chanzo
3 years
Bunge lapata Katibu wa kwanza mwanamke
Tweet media one
20
82
620
@TheChanzo
The Chanzo
1 year
Lissu kwa Wana Ngorongoro: Msihofu, hamjasahaulika, hamko peke yenu.
20
202
609
@TheChanzo
The Chanzo
3 years
Watanzania mashuhuri waliofariki 2021
Tweet media one
73
111
596
@TheChanzo
The Chanzo
6 months
Vijana Zaidi ya 100 wa Mradi wa BBT Wadaiwa Kuondoka Kambini: ‘Hakuna Mwelekeo’ Zaidi ya vijana 100 wa Programu ya Kuwezesha Ushiriki wa Vijana Katika Kilimo Biashara (BBT- YIA) wanadaiwa kuondoka katika kambi ya Chinangali, Dodoma, ambako vijana hao wamekusanywa, wakidai hakuna
Tweet media one
117
109
601
@TheChanzo
The Chanzo
3 years
On Ole Sabaya suspension: here are other few details that you might have forgotten
Tweet media one
15
130
583
@TheChanzo
The Chanzo
2 years
Serikali ya Mtaa Iyunga Mbeya Yafyeka Mahindi Ya Wananchi Kuzuia Yasifiche Vibaka
301
199
586
@TheChanzo
The Chanzo
2 years
Fatma Karume: Any punishment must fit the crime for society to accept it. If the punishment doesn’t fit the crime society will reject it
72
176
571
@TheChanzo
The Chanzo
7 months
Mwanasheria Mkuu ashangaa wananchi 'wanavyojisomba' kwa Makonda kupeleka malalamiko.
72
100
584
@TheChanzo
The Chanzo
9 months
Mafuriko Hanang: 47 wafariki, 85 wajeruhiwa, hospitali zazidiwa, wengi hawaonekani.
42
180
548
@TheChanzo
The Chanzo
3 years
Matatizo ya figo yazima ndoto za kijana huyu, aomba Watanzania wamsaidie
48
401
536
@TheChanzo
The Chanzo
2 years
Nyanya zaozea shambani, Wakulima Mtwara walia na soko.
52
102
519
@TheChanzo
The Chanzo
2 years
Lema: Hatutawafundisha kumtukana Rais, tutawafundisha kumkosoa kama mtawala.
28
108
533
@TheChanzo
The Chanzo
2 years
Benki kubwa zaidi Tanzania kwa kuangalia mali za benki.
Tweet media one
23
100
524
@TheChanzo
The Chanzo
10 months
Zanzibar: Wakamatwa wakiendesha mtandao wa kuingilia watoto wa kiume, kurekodi na kufanya udalali.
192
194
523
@TheChanzo
The Chanzo
2 years
A Tanzanian was killed in Ukraine serving Russia under Wagner Group. This is what we know about him.
51
152
513
@TheChanzo
The Chanzo
2 years
Mikoa 5 inayoongoza kwa kuwa na wanawake wanaomiliki nyumba wenyewe ni: 1. Mwanza - 37.7% 2. Tanga - 28.8 3. Njombe - 27.3 4. Kagera - 26.3% 5. Iringa - 24.2%
Tweet media one
85
84
506
@TheChanzo
The Chanzo
2 years
Mapato ya kodi yaliyokusanywa na TRA kwa mikoa kwa mwaka 2020/21: 1. Dar es salaam - Trilioni 15.93 sawa na 89% ya makusanyo yote nchini. 2. Arusha - Bilioni 327.9 3. Mwanza - Bilioni 190.9 4. Kilimanjaro - Bilioni 183.3 5. Dodoma - Bilioni 182.8
Tweet media one
80
129
484
@TheChanzo
The Chanzo
3 months
Dinna Maningo Mwandishi Aliyechapisha Taarifa za Tuhuma za Aliyekuwa RC Simiyu Akamatwa Jeshi la polisi linamshilikilia mwandishi na mmiliki wa tovuti ya Dima Online, Bi.Dinna Maningo toka Juni 13,2024. Taarifa kutoka kwa wakili wake zinaeleza kuwa Bi Maningo anakabiliwa na
Tweet media one
99
132
478
@TheChanzo
The Chanzo
9 months
Dodoma: Polisi wazua hofu, wafyatua risasi hovyo na kufanya ukatili wa kutisha kwa watuhumiwa.
81
225
479
@TheChanzo
The Chanzo
5 months
SACCOS Kubwa zaidi Tanzania kwa kuangalia amana na akiba za wanachama: 1.Ngome SACCOS- Bilioni 112 2.URA SACCOS-Bilioni 87 3.TRA SACCOS-Bilioni 65 4.TANESCO SACCOS- Bilioni 46 5.ELCT ND SACCOS- Bilioni 21 6.Hazina SACCOS- Bilioni 20 7.Tanzania Prisons Staff- Bilioni 18
Tweet media one
39
135
476
@TheChanzo
The Chanzo
2 months
CCM inavyolazimika kupangua hoja tata za makada wake.
21
193
472
@TheChanzo
The Chanzo
2 years
Padri Kitima: Wanasiasa, msipojirekebisha, vijana watakuja kuleta mapinduzi
42
167
452
@TheChanzo
The Chanzo
1 year
Mtaalamu: Uchawa umekuwa kama tunu ya taifa
32
200
439
@TheChanzo
The Chanzo
3 years
Tito Magoti: Tukiwa Tunaadhimisha Wiki ya Sheria, Tuwafikirie Wanaoendelea Kusota Gerezani Bila Kutiwa Hatiani
Tweet media one
12
138
425
@TheChanzo
The Chanzo
4 months
Manispaa 10 zilizoongoza kukusanya mapato ya ndani kwa mwaka 2022/23: 1. Kinondoni - Bilioni 56.99 2. Temeke - Bilioni 33.02 3. Ilemela - Bilioni 17.09 4. Ubungo - Bilioni 15.22 5. Morogoro - Bilioni 13.01 6. Kigamboni - Bilioni 12.79 7. Kahama - Bilioni 10.22 8. Moshi -
Tweet media one
134
87
420
@TheChanzo
The Chanzo
3 years
Mapato ya Wabunge na kodi.
Tweet media one
16
109
402
@TheChanzo
The Chanzo
9 months
Wateja walalamika unit za Luku kuisha haraka isivyo kawaida, TANESCO yaeleza ni wateja wenyewe
112
90
409
@TheChanzo
The Chanzo
1 year
Mwabukusi: Sikuzaliwa Kuwa Wakili, Sitatishwa
7
115
399
@TheChanzo
The Chanzo
2 years
Taasisi/sekta zinazotajwa zaidi kwa rushwa Tanzania 1. Polisi 2. Afya 3. Mahakama 4. TRA Taasisi/sekta zinazotajwa kwa kuwa na uadilifu mkubwa 1. Jeshi 2. Elimu 3. TAKUKURU 4. Ofisi za Wakuu wa Wilaya
Tweet media one
73
128
388
@TheChanzo
The Chanzo
10 months
Jenerali Ulimwengu: Inanichosha kusikia sifa za Rais kila dakika.
14
115
404
@TheChanzo
The Chanzo
2 years
Profesa Shivji: Hakuna mrejesho nilioupata kutokana na barua yangu kwa Rais Samia.
44
136
392
@TheChanzo
The Chanzo
11 months
Vijana wa Siku Hizi ni Zao la Wazee wa Siku Hizi. Tuwe na Akiba ya Maneno Tunapowasimanga Na Richard Mabala Tujaribu kujiuliza maswali haya: wezi wakubwa wa fedha za umma hapa nchini kwetu ni akina nani, wabadhirifu wakubwa ni akina nani? Wanafiki wakubwa ni akina nani?
Tweet media one
35
111
398
@TheChanzo
The Chanzo
1 year
Profesa Assad asisitiza aliondolewa kinyume na Katiba. Mahojiano kamili>
54
114
386
@TheChanzo
The Chanzo
3 years
Kwa kuangalia uwiano wa muda katika hotuba ya jana ya Rais Samia, kwenye vipaumbele alitumia muda mrefu zaidi kuongelea kilimo na uvuvi (dakika 10) lakini pia uwekezaji na biashara nako alitumia muda mrefu kupambanua (dakika 8).
Tweet media one
23
61
386
@TheChanzo
The Chanzo
3 years
Kujenga uzio na kufanya 'landscaping'(kutengeneza garden n.k) nyumba na ofisi ya mkuu wa wilaya Wanging'ombe ya mkoani Njombe imetengewa milioni 360. Fedha hizi zinakaribia jumla ya fedha zote zilizopelewa kwa ajili ya kugharamia elimu ya msingi katika wilaya hiyo, milioni 384.
18
84
386
@TheChanzo
The Chanzo
1 month
Kijana aliyefungwa kwa kuchoma picha ya Rais na kuachiwa baada ya faini, atekwa. Baba yake azungumza: 'Awe amekufa awe mzima mwanangu mimi nimuone'. Ni mlolongo wa matukio ya utekaji wa Watanzania ambao umeendelea kushamiri katika siku za hivi karibuni.
11
150
394
@TheChanzo
The Chanzo
3 years
Freeman Mbowe: 'kitabu kinachoendelea kuandikwa'
6
126
369
@TheChanzo
The Chanzo
3 years
Masaa 24 ya mkasa wa Mbowe na viongozi wengine wa CHADEMA kukamatwa Mwanza
Tweet media one
6
73
369
@TheChanzo
The Chanzo
2 years
Sakata la Kalynda: 'Hawa jamaa wametupiga lakini kwa akili sana', wahanga wa utapeli wa Kalyinda. The Chanzo ilipojaribu kufika katika ofisini za Kalynda ilijibiwa na walinzi wa jengo, "wafanyakazi wa hiyo ofisi hawapo". Fuatilia kisa hiki:
85
93
373
@TheChanzo
The Chanzo
3 years
Ndugai's resignation: a timeline of key events
Tweet media one
19
84
361
@TheChanzo
The Chanzo
2 years
Siri iliyojificha nyuma ya wizi wa 'unga' wa Exhaust za magari Tazama makala nzima>
23
135
359
@TheChanzo
The Chanzo
2 years
Bidhaa zilizouzwa zaidi nje kutoka Tanzania 2022: 1. Dhahabu- Trilioni 6.5 2. Bidhaa za viwandani - Trilioni 3.3 3. Madini mengine - Bilioni 711.8 4. Bidhaa za bustani - Bilioni 668.6 5. Nafaka - Bilioni 663 6. Korosho - 523.8B 7. Tumbaku - 412B 8. Mbegu za mafuta - Bilioni 398
Tweet media one
30
113
352
@TheChanzo
The Chanzo
2 years
Dkt Bashiru: Hata watawala shibe yao, posho zao, raha zao, usalama wao havipo bila wakulima.
69
119
353
@TheChanzo
The Chanzo
3 years
Wakati makusanyo ya mapato katika wilaya ya Kakonko kwa mwaka 2020/21 yalikua ni Milioni 539, ujenzi wa nyumba ya mkuu wa wilaya umetengewa milioni 700. Fedha hizi ni mara tatu ya fedha zinazogharamia elimu kwa shule za msingi Kakonko
15
68
349
@TheChanzo
The Chanzo
3 years
Fedha zilizotengwa kumalizia nyumba ya mkuu wa mkoa Kagera Tshs.838,349,169.44, ni mara mbili ya fedha zilizotengwa kununua vifaa tiba katika mkoa wa Kagera, milioni 397 zimetengwa kwaajili ya vifaa tiba.
15
78
349
@TheChanzo
The Chanzo
2 years
Dk Kijo-Bisimba alia na woga wa Watanzania
20
96
348
@TheChanzo
The Chanzo
2 years
Taarifa ya Waziri wa Fedha inaonesha deni la nje la serikali ni Trilioni 47.07. Lakini unafahamu ni nchi gani na taasisi zipi za nje zinazoidai Tanzania? Thread 1.Nchi zinazoidai Tanzania (11.18% ya deni lote)
Tweet media one
116
151
356
@TheChanzo
The Chanzo
4 months
Sheikh Ponda: Hatuwezi kusema kero za muungano zimetatuliwa wakati Tanganyika haipo
7
119
359
@TheChanzo
The Chanzo
1 year
Bidhaa zilizongoza kwa kuingiza mapato makubwa ya kikodi 2022/23: 1.Mafuta- Trilioni 2.77 2.Bia- Bilioni 506 3.Sigara- Bilioni 286 4.Spiriti na Konyagi- Bilioni 273.6 5.Vinywaji baridi- Bilioni 121.7 6.Magari-Bilioni 97.5 7.Sukari- Bilioni 86.8 8.Maji ya chupa- Bilioni 59.3
Tweet media one
55
138
359
@TheChanzo
The Chanzo
2 years
Kima cha chini cha mishahara sekta binafsi kuanzia Januari 1,2023. Sekta zenye kima cha chini cha juu zaidi 1.Sekta ya Nishati Makampuni ya Kimataifa- 592,000 2.Taasisi za fedha- 592,000 3.Huduma za Mawasiliano-500,000 4.Madini wenye leseni za uchimbaji na utafutaji- 500,000
Tweet media one
48
134
346
@TheChanzo
The Chanzo
2 years
Dk Lwaitama: Kwenye katiba ya vyama vingi huwezi kuwa na wakuu wa mikoa, wilaya walioteuliwa.
17
110
343
@TheChanzo
The Chanzo
3 years
Lengai Ole Sabaya: A timeline
Tweet media one
8
81
336
@TheChanzo
The Chanzo
1 year
Sigara na pombe kali vimenigharimu, Watanzania naombeni msaada.
54
147
340
@TheChanzo
The Chanzo
2 years
Mikoa 10 yenye matumizi makubwa ya umeme nchini (2021); 1. Dar es salaam - 2,652.01 GWh 2. Pwani - 597.87 GWh 3. Shinyanga-421.74 GWh 4. Arusha-395.59 GWh 5. Tanga-375.51 GWh 6. Mwanza-325.55 GWh 7. Morogoro-298.50 GWh 8. Dodoma-228.70 GWh 9. Mbeya-226.91 GWh 10. Mara-195.47 GWh
Tweet media one
39
54
335
@TheChanzo
The Chanzo
2 years
Padre Kitima aeleza kwa nini viongozi wa dini hawapendi kuishambulia Serikali: ‘Nchi inaweza isitawalike’
25
109
336
@TheChanzo
The Chanzo
8 months
CHADEMA yahitimisha maandamano yake Dar es Salaam kwa kuahidi maandamano zaidi.
9
88
340
@TheChanzo
The Chanzo
4 months
Profesa Kabudi arudi Mlimani, ajaribu kufafanua kauli yake ya 'kutolewa jalalani'
39
94
336
@TheChanzo
The Chanzo
3 years
Inside the Tanzania's 14 Trillion Standard Gauge Railway
Tweet media one
9
92
330
@TheChanzo
The Chanzo
5 months
Kunambi: Wakurugenzi wa halmashauri wasiwe wanasiasa, wapatikane kwa mchakato wa ajira.
54
92
334
@TheChanzo
The Chanzo
19 days
"Mume wangu amepotea tangu Aprili", Adai alichukuliwa na watu wasiojulikana akiwa nyumbani
4
94
334
@TheChanzo
The Chanzo
4 years
Why are the BBC Swahili's journalist facing criticism online? #thechanzo
33
83
318
@TheChanzo
The Chanzo
3 months
Tozo Kwenye Gesi. Ni Nani Aliyetuloga Watanzania? Fuatilia uchambuzi wote>>>
32
128
327
@TheChanzo
The Chanzo
2 years
The speech that rattled CCM members and leaders.
19
62
318
@TheChanzo
The Chanzo
19 days
ACT-Wazalendo yatahadharisha 'maafa' uchaguzi mkuu 2025 bila mageuzi ndani ya Jeshi la Polisi.
1
88
325
@TheChanzo
The Chanzo
1 year
Nay wa Mitego: Nimechagua kuwa sauti ya Watanzania
9
69
314
@TheChanzo
The Chanzo
3 months
Idris Sultan: Wananchi hatuchagui viongozi, tunachaguliwa. Mahojiano kamili
24
91
325
@TheChanzo
The Chanzo
2 years
Tazama Jenerali Ulimwengu anavyouchambua mfumo wa Urais Tanzania.
15
112
314
@TheChanzo
The Chanzo
3 years
Jaji Mkuu apigia mstari mjadala wa ofisi ya DPP.
22
74
309
@TheChanzo
The Chanzo
2 months
Tanzania na Burundi Zilivyotaka Kuingia Vitani
14
155
314
@TheChanzo
The Chanzo
6 months
Fatma Karume akichangia mada katika mjadala uliondaliwa na @humanrightstz kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani amesema kuwa Tanzania hatuna utawala wa sheria bali kuna watawala wa sheria.
18
113
311
@TheChanzo
The Chanzo
2 years
Noti na sarafu zilizo katika mzunguko Tanzania. Unazo ngapi huko?
Tweet media one
30
42
310
@TheChanzo
The Chanzo
8 months
Mzee wa CHADEMA akalishwa chini akihoji kuhusu wabunge 19 wa viti maalum
19
74
309