Filex william Profile Banner
Filex william Profile
Filex william

@filexwilliam1

2,714
Followers
1,848
Following
426
Media
10,588
Statuses

photographer & videographer📸 /BFSUMATZ💊💉 & presenter/ producer 🎙️

Dar es salaam
Joined September 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
@filexwilliam1
Filex william
2 years
BAR zote jijini D, SALAAM zimejaa MASHOGA badala ya MADADA poa! Inaonekana huo mchezo una WATEJA wengi kuliko kitu kingine chochote! TUMELAANIWA siku za mwisho zi karibu 🙇‍♂️
45
27
420
@filexwilliam1
Filex william
2 years
Simwambii Mungu ukubwa wa matatizo yangu, nayaambia matatizo yangu ukubwa wa Mungu…!🙏🏻
25
41
134
@filexwilliam1
Filex william
2 years
Hv kwann ni rahisi mkristo kuolewa na muislam ila ni ngumu muislam kuolewa na mkristo?
17
20
114
@filexwilliam1
Filex william
2 years
Mwanamke mwenye mpenzi mmoja atuongoze katika maombi siku ya leo
11
28
105
@filexwilliam1
Filex william
2 years
Ni nini hasa husababisha usaliti kwenye mahusiano?
18
25
96
@filexwilliam1
Filex william
2 years
Wakati wa kupambania maisha punguza kupambania mapenzi ,tafuta atakaye ridhik na uwezo wa kipato chako ishi naye.,
17
29
86
@filexwilliam1
Filex william
2 years
Usikute huyu majaliwa naye alikuwa abiria 🤔
23
31
85
@filexwilliam1
Filex william
2 years
Watu hubadilika kulingana na muda wanabadilika kwa kufahamu ukweli
14
26
81
@filexwilliam1
Filex william
2 years
Wanawake wa siku hizi wanafikiri kuvaa nusu uchi ndo kupendeza 🚶
19
23
75
@filexwilliam1
Filex william
2 years
Kilicho badilika ni Namba.Maisha yatabadilishwa na fikra chanya katika matendo na kuamini kuwa hakuna jambo lisilo wezekana.Hii ni siri kubwa. Ulevi,Anasa na Uzembe haubadilishwi na namba isipokuwa uamuzi wako. Kalenda imebadilika.Maisha yako utayabadili wewe.Heri ya Mwaka 2023
8
34
82
@filexwilliam1
Filex william
2 years
Tushapigwa Blue Tick sana tu,Tushapiga sim hazipokelewi,Tushaandika Emails ambazo hazijbiwi, Lakini hatukukata Tamaa Ukiamka Asubuhi Unaamka na Nguvu mpya ya Kupambana mpaka kieleweke Usisahau kumtanguliza Mungu 🙏
8
24
71
@filexwilliam1
Filex william
2 years
Unapokuwa kijana ni kipindi ambacho unakuwa unahitaji vitu vingi, furaha, upendo, pesa na hivi vyote vinahitaji uvumilivu kuvipata.......
8
25
74
@filexwilliam1
Filex william
2 years
Upendo ni zile hisia zinazobaki mara baada ya hisia za ngono kuisha...📌
9
16
68
@filexwilliam1
Filex william
2 years
Ni kitu gani cha kuumiza sana alichokuambiya Ex wako
12
20
71
@filexwilliam1
Filex william
2 years
🗣🗣 mwendo ule ule nifollow nikufollow tuongeze followers ☘️🖐
21
28
66
@filexwilliam1
Filex william
2 years
watoto wengi hawana mahusiano mazuri na baba zao, kwa sababu ya kusikiliza ufundi wa mama zao katika kusimulia mabaya ya baba zao, huyajui ya mama'ako kwa sababu baba ako alichagua kuyaficha, kakae chini na baba'ako, mwambie akusimulie machache ya mama'ako, unaweza hata kufa..
9
30
68
@filexwilliam1
Filex william
2 years
Maneno yenye nguvu Duniani ni 1. Asante 2. Nakupenda 3. Nisamehe Jifunze kuishi nayo..
6
21
70
@filexwilliam1
Filex william
2 years
Zawadi nyingine kubwa kwenye maisha ya sasa nikupata mwanamke aliye vuka taama za kimwili na yupo na kwenye tamaa za kupambania maisha 🎶
9
22
67
@filexwilliam1
Filex william
2 years
Dunia ni starehe na starehe bora ni kuwa na mke mwema!......... 🙏
12
27
65
@filexwilliam1
Filex william
2 years
Mwanamke anaamini mume ataanza kufa, kama unabisha mwambie "Hii Nyumba Tuiuze" Utasikia Siku Ukifa Mi Nitaishije na Watoto.? #WANAZI_HQ
8
16
60
@filexwilliam1
Filex william
2 years
Ua zuri huvutia wadudu wengi Be careful....
12
28
62
@filexwilliam1
Filex william
2 years
Wakati nyoka anamdanganya hawa adam alikuwa wapi??? 🤔
19
12
57
@filexwilliam1
Filex william
2 years
🖐 mwendo ule ule nifollow nikufollow tuongeze followers 😤
13
20
63
@filexwilliam1
Filex william
2 years
Samahi kwa kuja inbox kwako bila Ruhusu 🥰 Naoba usevu namba yangu kwa ajili ya Connection ,business , nk mimi naitwa filex wewe unaitwa nani 🥰😂😂😂😂😂
8
21
56
@filexwilliam1
Filex william
2 years
Kuna wakati tunachokitamani si kile tunachokipata na kuna wakati tunachokipata huwa ni zaidi ya kile TULICHOTAMANI...........
6
13
61
@filexwilliam1
Filex william
10 months
Wasiojua maumivu yako hawawezi kuelewa maamuzi yako.
8
32
66
@filexwilliam1
Filex william
2 years
Hivi hizi picha mnazo post za watoto wamelala mnazitoaga wapi 🤔
10
19
61
@filexwilliam1
Filex william
1 year
Kuna starehe inaweza kuwa ya mda mfupi lakini ikaharibu maisha yako yote ☀️
18
24
63
@filexwilliam1
Filex william
2 years
Ukianza kuelewa na kujua kwanini mama yako alikuwa anamuwekea baba yako chakula cha kutosha basi ujue umeshakuwa wewe siyo mtoto tena
12
24
55
@filexwilliam1
Filex william
2 years
Unapokuwa na roho mbaya hakikisha unauwezo wa kuzimudu shida zako
10
19
57
@filexwilliam1
Filex william
9 months
“Hebu fikikiria unalipa mahari kwa kitu ambacho wengine wemekuwa wanakifurahia bure “ Wanaume ?
14
25
60
@filexwilliam1
Filex william
2 years
Muogooe sana mtu ambaye akikosea hakosi mbinu ya kukupakizia makosa yake
7
20
58
@filexwilliam1
Filex william
10 months
Raha ya mahusiano ya mbali mwanaume ndo anatakiwa Awe anaishi Dar 😀
10
30
61
@filexwilliam1
Filex william
2 years
Account 100 zishushe handle 🖐🖐nifollow nikufollow tuongeze followers ✅
24
23
51
@filexwilliam1
Filex william
2 years
Jinsi qatar wanavyo sherehesha kombe na la dunia kabla ya mechi hazijaanza utanatamani nchi yako na wewe iyandae ila ukiwaza tuu Mabehewa ya Reli ya Kisasa(SGR) unaishiwa nguvu 😃
10
18
57
@filexwilliam1
Filex william
2 years
Ogopa sana Mwanaume alie vumilia Matukioo na dharau kutoka kwa mwanamke aliempenda Alafu AKA MOVE ON hakuna Rangi utaacha ona Dada yangu.......⚔️
7
12
53
@filexwilliam1
Filex william
9 months
Kumbuka siku zote kila chozi lazima litafutwa maana hakuna anayejua kesho yake 🖤
3
31
56
@filexwilliam1
Filex william
2 years
Mwanamke anaependa kusali ndo future wife usimuache, mtunze📌 #filexnaphyna 🧎
12
17
51
@filexwilliam1
Filex william
2 years
👉✍️Kumuoa mwanamke aliye telekezwa na mtoto hakutufanyi tuonekane ni wapumbavu. Maana wapumbavu ni wale waliokimbia na kutelekeza damu na kukwepa majukumu wakati mbegu walipanda wao wenyewe. 👇👇
15
20
53
@filexwilliam1
Filex william
8 months
Ukipata mwanamke anaye kuheshimu ,kukusikiliza, avai nusu uchi,atumii pombe,aendeshi na marafiki mshukuru sana Mungu 🪡
8
26
57
@filexwilliam1
Filex william
2 years
Wanawake wengi kwa sasa NGONO imekuwa legalized source yao of Incum!
7
20
54
@filexwilliam1
Filex william
11 months
Tafuta moyo ambao utakupenda wakati mbaya zaidi, na mikono ambayo itakushikilia ukiwa dhaifu.🤲
7
26
53
@filexwilliam1
Filex william
2 years
Mtengeneze mpenzi wako kuwa mtu sahihi kwako dunia haiwezi kupa mtu aliyekamilika kwenye kila kitu 🙅
6
18
48
@filexwilliam1
Filex william
2 years
Tuongee serious kidogo kwanini Vijana Hamtaki kuoa..?🤔
20
13
52
@filexwilliam1
Filex william
9 months
Ujinga na tamaa ndio vinatutia ukaskini 🖤
10
29
52
@filexwilliam1
Filex william
2 years
Anapokwambia "nnachotaka kutoka kwako ni, Care(kujali), attention(umakini) support(msaada), na honesty(uamimifu) Brother chukua kila herufi ya kwanza, utapata C.A.S.H...
14
25
54
@filexwilliam1
Filex william
2 years
Kwanini unamsaliti mpenzi wako ?
21
11
52
@filexwilliam1
Filex william
2 years
Siku yako imeendaje?
11
16
47
@filexwilliam1
Filex william
2 years
Wakati wewe umebeba mimba na una mpango wa kuitoa.. Mwenzako hana kizazi, na anakaribia kuikosa ndoa…🚶
6
17
50
@filexwilliam1
Filex william
2 years
Tumshukuru Mungu kwa siku nyingine🙏
9
16
46
@filexwilliam1
Filex william
2 years
Tuzo ya Rafiki Bora 2022 inaenda kwa… 🥇🏆🏅
12
18
48
@filexwilliam1
Filex william
2 years
kwa gharama yoyote epuka kutembea na mke / Mume wa mtu 🚶
11
17
46
@filexwilliam1
Filex william
2 years
Ukipata nafasi ya kuumiza mwanamke muumize kuna wanaume wanalia huku kisa hawa viumbe #filexnaphyna ✌️
5
14
49
@filexwilliam1
Filex william
1 year
Kuna wakati mambo yanakuwa magumu Sana. Maumivu yanakuwa Makali Sana, kiasi kwamba kitu Pekee Unachoweza kusema Ni Asante Mungu 💔
15
24
54
@filexwilliam1
Filex william
10 months
Moyo ni mdogo kuliko mwili Lakini moyo unaendesha mwili .. ni Sawa Na Sex ni kitu kidogo kwenye mahusiano lakini yana endesha Mahusiano ya Watu........🧏‍♂️
9
30
53
@filexwilliam1
Filex william
2 years
Usichunguze kitu ambacho hauwezi kukiacha 🙏
10
16
46
@filexwilliam1
Filex william
2 years
Leo amekutafuta au nikuache na maisha yako ?
11
15
45
@filexwilliam1
Filex william
2 years
shushen handle tupate followers wengii 🔥🔥✌️
17
18
44