NAIROBI JUICE ๐Ÿท Profile Banner
NAIROBI JUICE ๐Ÿท Profile
NAIROBI JUICE ๐Ÿท

@Nairobi_Juicy

12,195
Followers
658
Following
920
Media
22,883
Statuses

Follow for Juicy Gossip Viral Content & Trending News

Nairobi, Kenya
Joined January 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Nairobi_Juicy
NAIROBI JUICE ๐Ÿท
2 years
Boys kutongoza tongoza hovyo kunapoteza heshima yako..
174
60
1K
@Nairobi_Juicy
NAIROBI JUICE ๐Ÿท
2 years
Kuna wanaume ukiwapa namba ndo ushakuwa demu wake..๐Ÿ˜‚
130
51
999
@Nairobi_Juicy
NAIROBI JUICE ๐Ÿท
2 years
Mwanaume asiye na akili ni yule anaye muacha mwanamke wake baada ya kumfumania..
198
55
908
@Nairobi_Juicy
NAIROBI JUICE ๐Ÿท
2 years
Kwaiyo nyie mlioset disappearing messages WhatsApp mnajikutaga akina nani..
68
30
905
@Nairobi_Juicy
NAIROBI JUICE ๐Ÿท
2 years
Kuna wanaume wanatabia za kike sasa yanga ni timu ya kushabikia kweli, alafu unanuna๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
97
53
728
@Nairobi_Juicy
NAIROBI JUICE ๐Ÿท
2 years
Bi mkubwa juzi kaenda TRA kaambiwa mpisheni mzee๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ karudi analalamika ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚..
22
28
627
@Nairobi_Juicy
NAIROBI JUICE ๐Ÿท
2 years
Ila jamani wanaume wa Twitter wana roho za kike khaaaaaa๐Ÿšฎ๐Ÿ˜‚
106
29
579
@Nairobi_Juicy
NAIROBI JUICE ๐Ÿท
2 years
Imagine naenda kuanza chuo na infinix hot 10 lite๐Ÿ˜ฉ๐Ÿคฆ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
107
31
552
@Nairobi_Juicy
NAIROBI JUICE ๐Ÿท
2 years
Hivi wanaume mnawezaje kuwa miminia risasi binadamu wenzenu.๐Ÿ˜”๐Ÿ˜“๐Ÿ’”
95
27
563
@Nairobi_Juicy
NAIROBI JUICE ๐Ÿท
2 years
Kumbe kuna style ya kaa kama Julius yupo kabatini na hamjaniambia..๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
45
30
477
@Nairobi_Juicy
NAIROBI JUICE ๐Ÿท
1 year
Yani mtoto wakiume unaanza kuipromote birthday yako wiki kabla, eti birthday loading halafu unatutumia picha zako inbox tukupost๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”
93
39
478
@Nairobi_Juicy
NAIROBI JUICE ๐Ÿท
2 years
Me nalala ila kuweni makini na wanaume wenye hizi crown athlete nyeusi zilizo pimpiwa..
23
9
437
@Nairobi_Juicy
NAIROBI JUICE ๐Ÿท
2 years
Yani kuna wanavyuo wameletwa na wazazi wao๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ na wanawasubiri๐Ÿ˜‚
40
31
438
@Nairobi_Juicy
NAIROBI JUICE ๐Ÿท
2 years
Tafuta mwanamke wa hadhi yako ili usione kama unachunwa..
32
42
405
@Nairobi_Juicy
NAIROBI JUICE ๐Ÿท
2 years
Nakupenda tena nakupenda sana sana sanaaaa, I do love you so much ๐Ÿ˜‘..
46
22
363
@Nairobi_Juicy
NAIROBI JUICE ๐Ÿท
2 years
Mwanaume ni sauti ya mamlaka bwana๐Ÿ˜Š
35
32
354
@Nairobi_Juicy
NAIROBI JUICE ๐Ÿท
2 years
Mwanaume anatakiwa kumpa mwanamke wake shilling ngap kila mwezi?..
82
18
330
@Nairobi_Juicy
NAIROBI JUICE ๐Ÿท
2 years
Kuna wanaume halafu kuna mwanaume wangu Mimi๐Ÿฅฐ๐Ÿ™..
36
20
326
@Nairobi_Juicy
NAIROBI JUICE ๐Ÿท
1 year
Kilichobaki tutafute hela tuanze kuwahonga hawa wakaka..
58
26
314
@Nairobi_Juicy
NAIROBI JUICE ๐Ÿท
2 years
Hivi na nyie wanaume huwa mnaumizwa na mapenzi kweli๐Ÿค”..
69
21
302
@Nairobi_Juicy
NAIROBI JUICE ๐Ÿท
2 years
Unakuta unaheshimiana na mtu kumbe hakuwai kuongeza booklet ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”..
27
39
301
@Nairobi_Juicy
NAIROBI JUICE ๐Ÿท
2 years
Ukimaliza bando ndo unaanza kupitia picha zako za zamani na meme ulizo screenshot ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
39
30
276
@Nairobi_Juicy
NAIROBI JUICE ๐Ÿท
4 months
Wakaka kwani hamuwezagi kuamka tu kwa amani mkamuacha mtu alale ๐Ÿ˜’
46
33
283
@Nairobi_Juicy
NAIROBI JUICE ๐Ÿท
9 months
Hivi mbeya hakuna mahandsome au mimi ndo sitembei ๐Ÿค”
96
26
279
@Nairobi_Juicy
NAIROBI JUICE ๐Ÿท
2 years
Nikanunue chapati zangu mie nifunge milango wakija wapige hodi mpk wafe๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.. Saidi ayiiiii๐Ÿคฃ
11
1
256
@Nairobi_Juicy
NAIROBI JUICE ๐Ÿท
2 years
Kumekucha kwenda kujichekesha kwa wateja..๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚
23
18
250
@Nairobi_Juicy
NAIROBI JUICE ๐Ÿท
2 years
Wanaume Mungu awatunze๐Ÿ˜Š
71
28
239
@Nairobi_Juicy
NAIROBI JUICE ๐Ÿท
2 years
Kwani jamani na world cup inaanza lini mbona anahamisha na mabegi๐Ÿ˜…..
12
16
243
@Nairobi_Juicy
NAIROBI JUICE ๐Ÿท
7 months
Sex inazima nyota ya mtu ๐Ÿ˜ฅ
40
23
247
@Nairobi_Juicy
NAIROBI JUICE ๐Ÿท
2 years
Kuna muda inakubidi kuviacha hata vile unavyo vipenda ili maisha yaendelee..
23
27
221
@Nairobi_Juicy
NAIROBI JUICE ๐Ÿท
2 years
Me kila nikiona mtu especially mkaka kavaa jezi ya yanga automatically akili inaniambia ni kibaka huyo.๐Ÿ˜‚
35
20
214
@Nairobi_Juicy
NAIROBI JUICE ๐Ÿท
2 years
Unakuta mtu ana mwandiko mzuri alafu majibu ya uongo ๐Ÿ˜ ..
21
32
205
@Nairobi_Juicy
NAIROBI JUICE ๐Ÿท
2 years
Good morning everyone ๐ŸŒ…๐ŸŒป
44
40
198
@Nairobi_Juicy
NAIROBI JUICE ๐Ÿท
2 years
Jamani mwenye goodnight ambayo hana kazi nayo naiomba..๐Ÿฅบ๐Ÿ˜Œ
38
13
210
@Nairobi_Juicy
NAIROBI JUICE ๐Ÿท
2 years
Jamani me nikija kwako na nikakataa chakula pleaseeeee naomba nilazimishe... that's not me๐Ÿ˜…๐Ÿ™๐Ÿ™
17
15
202
@Nairobi_Juicy
NAIROBI JUICE ๐Ÿท
6 months
Kijana wa miaka 20 anaweza kumuongoza mwanamke wa miaka 40 na akamzidi maarifa ๐Ÿซ 
29
30
219
@Nairobi_Juicy
NAIROBI JUICE ๐Ÿท
2 years
Unamuheshimu mtu vzr kumbe anaonjeshwa maziwa ya nido sabasaba๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ™Œ..
19
11
202
@Nairobi_Juicy
NAIROBI JUICE ๐Ÿท
2 years
Jobless ndo naamka saiz nimevimba macho๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ anyway good morning family..
23
25
197
@Nairobi_Juicy
NAIROBI JUICE ๐Ÿท
2 years
Wanaume wote msio na ndevu good morning Mungu awalinde..โค๏ธ
35
14
202
@Nairobi_Juicy
NAIROBI JUICE ๐Ÿท
2 years
Hii style ya kukaushiwa na bebi ni huku bunju tu au na huko kwenu imefika..
37
23
202
@Nairobi_Juicy
NAIROBI JUICE ๐Ÿท
9 months
Nikishakupigia simu mara mbili bila kupokea na upo online usitegemee ntapokea simu yako hata moja ๐Ÿšฎ
35
32
207
@Nairobi_Juicy
NAIROBI JUICE ๐Ÿท
2 years
Kutokana na sababu maalum sasa nimeamua niwe mchawi..
30
19
191
@Nairobi_Juicy
NAIROBI JUICE ๐Ÿท
2 years
Kuna namn jobless akikupea mimba haitoki hata uruke nayo judo๐Ÿ˜‚ au watakuwa wanazichawia..
26
19
193
@Nairobi_Juicy
NAIROBI JUICE ๐Ÿท
2 years
Good morning my family โค๏ธ๐ŸŒ…
42
36
165
@Nairobi_Juicy
NAIROBI JUICE ๐Ÿท
9 months
Mwanaume akipata pesa anafikiria kuprovide Ila mwanamke akipata pesa anafikiria uhuru..
16
27
195
@Nairobi_Juicy
NAIROBI JUICE ๐Ÿท
2 years
Kama huwezi kusikia sauti ya Mungu basi sikiliza wazazi wako kwa maana Mungu anaishi ndani yao, utafanikiwa..๐Ÿ˜Š
15
35
172
@Nairobi_Juicy
NAIROBI JUICE ๐Ÿท
2 years
Yanga sensa na makazi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
16
14
175
@Nairobi_Juicy
NAIROBI JUICE ๐Ÿท
2 years
Mwenye ananipenda aseme kabisa kabla sijabadilisha mawazo๐Ÿ˜๐Ÿ˜
33
13
169
@Nairobi_Juicy
NAIROBI JUICE ๐Ÿท
2 years
Tafuta hela wasichana wenzio hawalali na kanga..๐Ÿ˜…
18
14
167
@Nairobi_Juicy
NAIROBI JUICE ๐Ÿท
2 years
Kama una wanaume wawili na wote wanapokea simu kwa wakati niazime mmoja shoga angu, wangu yupo site๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
24
17
170