KHALIFA Profile
KHALIFA

@KhalifaniBululi

17,151
Followers
2,412
Following
890
Media
114,925
Statuses

Tanga, Tanzania
Joined October 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
@KhalifaniBululi
KHALIFA
6 months
Wakuu Alichonitendea MUNGU ni Kitu Kikubwa sana Siamini Nalia Muda Wote.😭 Nimepata Post Naenda IRINGA Bodaboda sasa Basi.🙌
Tweet media one
285
236
2K
@KhalifaniBululi
KHALIFA
9 months
TRUE STORY...💔 Kuna Dada Kanisimulia Uku Analia 😭 Alikutanaga Na Jamaa Baadae Wakaingia kwenye Mapenzi Jamaa Alimwambia Dada Yeye Ni Mwanajeshi na ni Usalama Wa Taifa Dada Akajua Mume Si Ndio Huyu.. Mapenzi Yakapamba Moto Dada By Professional Ni MD Anafanya Kaz Private Dar..
241
262
975
@KhalifaniBululi
KHALIFA
6 months
Wakali Wa Location Hapa Ni Wapi.🤔
Tweet media one
247
85
912
@KhalifaniBululi
KHALIFA
8 months
Bodaboda Tunapitia Mengi 😭... Huyu Dada Nimembeba Adi Makete Tulikubaliana 45k Nafika Nadai Hela Anasema Sina Kama Vipi Twende Tukamalizane imebidi Niwashe Chopa Niondoke kwa Hasira.
Tweet media one
141
66
744
@KhalifaniBululi
KHALIFA
10 months
Leo Nimepima Aisee Sasa Acha Nifocus na Kilicho Nileta Njombe... Awo Wanawake Nimewaachia Nyie.🤣🤣
Tweet media one
89
58
690
@KhalifaniBululi
KHALIFA
5 months
Nimempeleka Mteja Kwa Pikipiki Njombe to Makete Kanilipa 30k Kwa Mpesa Cash Alikuwa hana Nafika Getho Nacheki Simu Kumbe Muamala Kaludisha kwake.😭
77
75
664
@KhalifaniBululi
KHALIFA
5 months
Jobless Wenzangu GB za Bure izo kuna Ambaye hajapata.🤔
Tweet media one
131
64
661
@KhalifaniBululi
KHALIFA
8 months
Umemuona vizuri huyo Ascaris Lumbricoides Au Nikusaidie Kutafuta Field.🤣🤣
Tweet media one
74
54
651
@KhalifaniBululi
KHALIFA
5 months
Nani Mpaka sasa Hajapokea GB za BURE kwenye Simu yake..... Nifollow @Master_plan88 Alafu ni DM chapu nikuelekeze.💯
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1K
110
585
@KhalifaniBululi
KHALIFA
9 months
TRUE STORY..😭 Mimi Ni Bodaboda Nimeingia Mkataba Wa Kumbeba Jamaa ni Mwalimu daily kumpeleka Kazini Sasa Kuna Siku Uyu Jamaa Nilimkuta Na Demu Sehemu.. Yule Demu Nampata Ni Mteja Wangu Sana Sasa Ile Kuniona Jamaa Akashtuka Baadae Nikamcall Vipii Teacher Unaishi Apo Akasema...
32
72
581
@KhalifaniBululi
KHALIFA
7 months
Mungu Akiamua Kukubariki Anakubaliki Haswa..... Siku 3 Sijaingia Barabaran Kisa Mvua...... Leo Hali Imeamka Shwari Nimepata Wateja Mpaka Siamini na Bado ni Asubuhi.😭
Tweet media one
Tweet media two
50
67
571
@KhalifaniBululi
KHALIFA
5 months
Wanang Leo Tunafunga Usipopata GB za Bure Ndio Basi Tena... Follow Hizi Account @Master_plan88 @Alicejr88 Coment done Nikuelekeze chapu Upate.....🔥
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1K
70
550
@KhalifaniBululi
KHALIFA
7 months
Naendelea Kusema ALIKIBA ndio Msanii Bora Wa Muda Wote na Ndio ICON ya Tanzania.📌
Tweet media one
92
72
532
@KhalifaniBululi
KHALIFA
6 months
Wakuu Sisi Tuliotoka Kwenye Familia za Kuunga Unga Milo Mitatu Tu Kwa Siku Ni Kisanga... Nimetoka Kuongea na Bi Mkubwa Kwenye Simu Namweleza Nimepata POST naende IRINGA Namsikia Analia.😭
35
59
498
@KhalifaniBululi
KHALIFA
8 months
@SamsungMobileTz Nimekaa na Wazee wa Njombe Wanasema Huu ndio mpangilio sahihi.✌️🔥📌 2, 7, 9 6, 1, 4 3, 5, 8 #12JinglesOfSamsung
136
300
449
@KhalifaniBululi
KHALIFA
7 months
Leo Katika Harakati zangu za Bodaboda Kuna Dada Nilikuwa Nimembeba Nampeleka Bank... Katika story za hapa na pale Baadae Akasema Nyie Wanaume Mnaamini Ukishampa Mwanamke pesa Umemaliza Nikasema kwanini... Eti Mme wangu nyumbani Hakaliki Anipi Muda wa kuwa naye Kila Mara....
44
72
469
@KhalifaniBululi
KHALIFA
7 months
Mkuu Simu Yako Inaenda Kuita Na Habari Njema Za Kupata Madili... Ucheleweshaji Umekwisha... POKEA....🤲
23
73
463
@KhalifaniBululi
KHALIFA
7 months
Nimekaa na Wazee Apa Njombe wanasema Kijana... Katika Harakati zako za Kujitafuta Weka Aibu Pembeni... Bora Aibu ya Kutafuta Kuliko Aibu ya Kuomba na Ukanyimwa.📌
21
108
445
@KhalifaniBululi
KHALIFA
8 months
Huu Ni Mwaka Wa 6 nipo Njombe... Nimepima Niko Safe 2024 Sitaki Demu Ntafata Kilicho Nileta.... Awo Wanawake Nimewaachia nyie.🤣
Tweet media one
100
75
409
@KhalifaniBululi
KHALIFA
8 months
Leo Abiria Hakuna Na Hii Mvua Ndio Kabisa Toka Asubuhi Nimepiga 12 Tu.🤔
Tweet media one
Tweet media two
57
47
386
@KhalifaniBululi
KHALIFA
6 months
Wanawake Ni Viumbe Vya Ajabu Sana Miezi 3 Nyuma Kanitumia Massage "Tuachane Siwezi Kuendelea Kudate na Bodaboda".. Leo kasikia Nimepata AJIRA Anapiga Simu Analia Anaomba Msamaha Nashindwa Hata Nimjibu nini.🤔
67
76
399
@KhalifaniBululi
KHALIFA
5 months
Leo Sikukuu ya EID naendelea kutoa GB za Bure.....💯 Hakikisha Umenifollow @Master_plan88 Coment Done nikutumie Dm chapu
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
666
60
387
@KhalifaniBululi
KHALIFA
5 months
Wanangu Kwa Aliyekosa GB za Bure Leo ndio Mara ya Mwisho..... Follow hizi Account @Master_plan88 @Alicejr88 Coment done Nikutumie Chapu dm kwako.....💯
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
771
62
384
@KhalifaniBululi
KHALIFA
6 months
Wakali Wa Location Hapa Ni Wapi.🤔
Tweet media one
61
54
378
@KhalifaniBululi
KHALIFA
7 months
Simu Yako Inaenda Kuita Na Habari Njema Za Kupata Madili... Ucheleweshaji Umekwisha... POKEA....🤲
21
76
378
@KhalifaniBululi
KHALIFA
7 months
Wazee Wa Njombe Wanasema.... Kila Nyumba Inaye Mtu Ambaye Amebarikiwa kukata Mzizi Wa UMASKINI na MANYANYASO kwenye Familia yake.... Nenda Ukawe Nuru Na Baraka Kwa Familia Yako..POKEA...🤲
20
89
376
@KhalifaniBululi
KHALIFA
9 months
TRUE STORY....🚙 Nina Jamaa Angu Tulisoma Wote "O Level" Kyela Day Baadae Tukaachana Mimi Nikaja Njombe Kupiga Mishe zangu yeye Akabaki Kyela Baadae Nikiludi Kyela Kuwapa Hi Skani nakuta Jamaa Ana mabadiliko ya Kimaendeleo sana.... Nikakuta Jamaa Kajenga kanunua...
52
54
356
@KhalifaniBululi
KHALIFA
7 months
Simu Yako Inaenda Kuita Na Habari Njema Za Kupata Madili... Ucheleweshaji Umekwisha... POKEA....🤲
16
56
356
@KhalifaniBululi
KHALIFA
6 months
Kuna Jamaa Nambebaga Kwenye Bodaboda kumpeleka Kazini daily Aliniambia Analipwa 500K Kajenga Na Ana Mke Na Watoto Wawili Anasomesha Bording Hivi Inawezekanaje.🤔
46
54
352
@KhalifaniBululi
KHALIFA
8 months
Mara ya Kwanza Kumiliki Milion 1 Ulikuwa na Umri wa Miaka Mingap.?🤔
97
66
347
@KhalifaniBululi
KHALIFA
5 months
Kama Unaijua Vizuri MBEYA Hapa Ni Wapi.🤔
Tweet media one
112
46
347
@KhalifaniBululi
KHALIFA
5 months
Kama Unaijua Vizuri MBEYA na Viunga Vyake Niambie hapa ni Wapi🤔
Tweet media one
122
50
328
@KhalifaniBululi
KHALIFA
7 months
Vita Ya Kunyamaziana Kwenye Mahusiano Nani Aanze Kumtafuta Mwenzie Inazidi Kuchukua Sura Mpya Siku mpaka Siku.🤣🤣
21
60
311
@KhalifaniBululi
KHALIFA
6 months
Wakuu Leo Niko Busy Sana.🤔
Tweet media one
37
61
307
@KhalifaniBululi
KHALIFA
8 months
Biashara gani niwekeze Milion 1 ili niweze Kupata Milion 10 December.🤔
62
52
289
@KhalifaniBululi
KHALIFA
8 months
Kwenye Mahusiano Vita ya Kunyamaziana nani Amuanze Mwenzie Inazidi Kupamba Moto.🤣🤣
38
61
277
@KhalifaniBululi
KHALIFA
7 months
Ukiwa Kwenye Maombi yako Jitahidi Sana Kumuomba MUNGU Akupe Uwezo Wa Kujihudumia bila Kumtegemea Mtu.🤔
21
68
277
@KhalifaniBululi
KHALIFA
8 months
Nimekaa na Wazee Apa Njombe wanasema Kijana..... Pambana Mpaka Tone la Mwisho Dunia Haina Huruma kwa Mwanaume Asiye na PESA.📌
19
91
275
@KhalifaniBululi
KHALIFA
5 months
Kwa Niaba ya MASHUJAA chapa handle Tuinuke.💯🔥
Tweet media one
66
41
274
@KhalifaniBululi
KHALIFA
7 months
Mi Dr.ipyana Niseme nini.?
Tweet media one
80
57
258
@KhalifaniBululi
KHALIFA
10 months
Andaeni Namba Za Simu Network ya Betpawa ikikaa poah Naanza Kuwagawia Pesa.... Hakikisha Umenifollow kwanza ili iwe lahisi Kuona Handle yako. 🔥
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
214
64
258
@KhalifaniBululi
KHALIFA
8 months
Wazee Wa Njombe Kwa Tabu Sana Tumepata Lunch.🤔
Tweet media one
37
44
259
@KhalifaniBululi
KHALIFA
5 months
DM zimejaa Shukrani shukrani broo Wanangu Nataka Kila Mtu Apate GB za Bure.🤔
122
43
259
@KhalifaniBululi
KHALIFA
8 months
Akili Yangu Imegoma Kabisa Kubaki Njombe Niko Njiani Naenda home KYELA.📌🔥💯
Tweet media one
14
40
257
@KhalifaniBululi
KHALIFA
6 months
Simu Yako Inaenda Kuita Na Habari Njema Za Kupata Madili... Ucheleweshaji Umekwisha... POKEA....🤲
21
74
248
@KhalifaniBululi
KHALIFA
6 months
TRUE STORY.....🤔 Kuna Jamaa Tunaishi Mtaa Mmoja Ni Dereva Wa Daladala Mke Wake ni Mama Wa nyumbani tu.... Sasa Jamaa Anarafiki Ake Alikuwa Anafanya kazi sehemu baadae wakamstopisha kazi ilibidi Chakula Awe Anakuja kula home Kwa Jamaa.... Kama Kawaida Jamaa Asubuhi Anawahi...
26
53
246
@KhalifaniBululi
KHALIFA
7 months
Leo Ndo Nimeamini Wanawake Wana Dharau Kuna Dada Nilimbeba kwenye Boda Eti Kaka Mi Heri Niolewe Na Bodaboda lakini Sio Mwalimu Wala Polisi Nikamuuliza kwanini Eti Hawana Hela Awo.🤔 Nikamuuliza Unafikili Tunapenda Kuwa Bodaboda Maisha Tu Magumu Hii Kazi risk sana.
20
54
239
@KhalifaniBululi
KHALIFA
6 months
TRUE STORY.....💔 Kuna Jamaa Ni Daktari Kaja Kijiweni Katusimulia Anasema Alikuwa na Mke Na Mtoto Mmoja ikafika Time Akaenda Kusoma Kujiendeleza DAR Familia yake Akaiacha Njombe Likizo Alikuwa Analudi Kuicheki...... Sasa Kamaliza Chuo Analudi Home Anakuta Mke ni Mjamzito...
28
49
239
@KhalifaniBululi
KHALIFA
6 months
Nikikumbuka Tu Serikali Imenipa Ajira Naanza Kulia Gafla.😭
30
49
237
@KhalifaniBululi
KHALIFA
10 months
Kumekucha Jana Usiku Nilitoa Ahadi Kuwa Asubuh Lazima Niendelee Kutoa PESA..... Nataka kila mtu Apate Huu Mgao Nyie Ni Ndugu Zangu Siwezi Kuwaacha..... Hakikisha #Umenifollow kwanza ili iwe lahisi Kuona Handle yako Nikianza Kugawa Pesa.
Tweet media one
158
49
226
@KhalifaniBululi
KHALIFA
8 months
Wazee Wa Njombe Wanasema.. Haijalishi Hali Ya Maisha Uliyonayo Amka Kila Asubuhi Na Umshukuru MUNGU Bado Unaishi.....🤲
21
73
223
@KhalifaniBululi
KHALIFA
6 months
Wakuu Nikianza Kazi IRINGA cha Kwanza Nachukua Mkopo NMB nanunua GARI Kwenye Hili Sitaki Ushauri Kila Mtu na Kipaumbele chake Tusipangiane Maisha.🤣
25
60
226
@KhalifaniBululi
KHALIFA
6 months
Dada Kama Una Miaka 30 Na Bado Hujaolewa Mpaka sasa Ebu quote Picha Yako Tuone Shida Iko wapi.🤣🤣
19
49
223
@KhalifaniBululi
KHALIFA
7 months
Wazee Wa Njombe Wanasema.... Kila Nyumba Inaye Mtu Ambaye Amebarikiwa kukata Mzizi Wa UMASKINI na MANYANYASO kwenye Familia yake.... Nenda Ukawe Nuru Na Baraka Kwa Familia Yako..POKEA...🤲
29
76
217
@KhalifaniBululi
KHALIFA
6 months
Wakali Wa Location Hapa Ni Wapi.🤔
Tweet media one
71
45
212
@KhalifaniBululi
KHALIFA
5 months
Mama yako Anaweza Kukuambia Mabaya ya Baba Ako lakini Kamwe Baba ako Hawezi kukuambia Mabaya ya Mama ako.📌
25
72
218
@KhalifaniBululi
KHALIFA
5 months
Leo Asikose Mtu Tunamalizia Kwa Walio kosa GB za BURE...... Follow hizi Account @Master_plan88 @Alicejr88 @Njamasi__ Coment #done then ni DM nikuelekeze Upate chapu..📌
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
447
44
212
@KhalifaniBululi
KHALIFA
7 months
Wazee Wa Njombe wanasema... Kabla Hujaenda Kwenye Mishemishe Jiweke Mikononi Mwa Mwenyezi MUNGU Utabarikiwa Uingiapo na Utokapo......🤲
21
73
211
@KhalifaniBululi
KHALIFA
8 months
Nimekaa na Wazee Apa Njombe wanasema Kijana... Mtu Uliyejuana Nae siku 7 zilizo pita Anaweza kuwa Bora Kuliko Kenge Uliyefahamiana nae Miaka 10 Iliyopita... Muda Usikupumbaze.📌
19
83
210
@KhalifaniBululi
KHALIFA
8 months
Njombe Kuna Mzee Anauza ASALI Na Bei zake Kaweka Yeye Muda Wote Hayupo... Kaandika Chukua Asali Hela Acha Mezani... Sasa Jichanganye Jifanye Kichwa Ngumu Useme Hajaniona.🤣
22
47
209
@KhalifaniBululi
KHALIFA
5 months
Simu yako Inaenda Kuita na Habari Njema Ucheleweshaji Umekwisha.... Pokea....🤲
33
61
216
@KhalifaniBululi
KHALIFA
8 months
Mara Nyingi Ndugu Wa Upande Wa Baba Wanakuaga Wadwanzi Sana.
40
58
213
@KhalifaniBululi
KHALIFA
8 months
Shida Ni Kwamba Tunapiga Goti kwa MUNGU huku tukiwa na Mategemeo yetu Kichwani.🤔
18
74
206
@KhalifaniBululi
KHALIFA
5 months
Kupata Mafanikio Sehemu Uliyozaliwa Ni Ngumu Sana Watu Wanaokujua ndio Wanaokuuwa.📌
23
63
209
@KhalifaniBululi
KHALIFA
6 months
Mwananchi Gonga Like Kwa Mudathiri.💚💚🔥
Tweet media one
3
9
206
@KhalifaniBululi
KHALIFA
10 months
Muda Wa Mgao Umefika Sina Muda Wa Kupoteza..... Hizi Hela Lazima Tule Wote Nyie Ni Ndugu zangu sana.... Weka Namba Kwa Usahihi Watu 200 Wa Kwanza Wanaenda Kucheka ..... Hakikisha #Umenifollow kwanza ili iwe lahisi Kuona Handle yako
Tweet media one
235
56
195
@KhalifaniBululi
KHALIFA
7 months
Simu Yako Inaenda Kuita Na Habari Njema Za Kupata Madili... Ucheleweshaji Umekwisha... POKEA....🤲
27
65
203
@KhalifaniBululi
KHALIFA
7 months
Hawa Tunao Waita Baba Mdogo/Mjomba/Shangazi.... Ni Ndugu zetu Wakati Ndugu zao Wakiwa Hai.... Wazazi Wetu Wakishatangulia Mbele ya Haki Basi Unaweza Usiwaone Tena Machoni Mwako Wala Simu zao Aziiti.
21
68
201
@KhalifaniBululi
KHALIFA
5 months
Watu Wanazidi Kuinjoy..... Hakikisha Umenifollow @Master_plan88 then n Dm nikuelekeze chapu
Tweet media one
326
24
201
@KhalifaniBululi
KHALIFA
7 months
Wazee Wa Njombe wanasema... Kabla Hujaenda Kwenye Mishemishe Jiweke Mikononi Mwa Mwenyezi Mungu Utabarikiwa Uingiapo na Utokapo.....🤲
15
55
203
@KhalifaniBululi
KHALIFA
7 months
KING Kwa Tanzania Hakuna Anayemfikia Kama Yupo Mtaje..👇
Tweet media one
25
31
199
@KhalifaniBululi
KHALIFA
9 months
Sema Rapcha Kwenye Love Story Anauwa Sana Ngoma Kali... Video Kwenye Coment.
Tweet media one
14
21
194
@KhalifaniBululi
KHALIFA
5 months
Kila Nyumba inaye mtu Aliyebarikiwa kukata Mzizi Wa UMASKINI na MANYANYASO nenda Ukawe Baraka kwenye Familia yako...... Pokea.....🤲
24
78
201
@KhalifaniBululi
KHALIFA
10 months
Kama Kawaida Niliwaahidi Ntatoa Hela Kanji Kajaa kwenye Mfumo.... Andaeni Namba Za Simu. ✌️ Hakikisha #Umenifollow kwanza ili iwe lahisi Kuona Handle yako Nikianza Kugawa Pesa
Tweet media one
Tweet media two
115
50
192
@KhalifaniBululi
KHALIFA
5 months
Unasoma Miaka 5 MD unakuja kupata 800k-900 Kwa Mwezi.. Walimu ndio Huzuni...😭 Mbunge sometimes ni fom 4 Failure Tu Anakunjua M13🤔
31
56
195
@KhalifaniBululi
KHALIFA
5 months
Ushuhuda ni Mwingi huku DM.. Kama bado hujapata GB za Bure Coment apo chini #BADO Hakikisha Umenifollow @Master_plan88
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
454
31
196
@KhalifaniBululi
KHALIFA
7 months
Nilimtongoza Demu Alisema Ana Mtu Wake Wanapendana Sana Nikamuacha leo.... Anasema Uko Wapi Nataka Nipajue Kwako.... Hivi Viumbe Changamoto.🤔
15
41
196
@KhalifaniBululi
KHALIFA
10 months
Wanangu Nertwok Ishatulia Hela Nimetoa.... Nataka Nitume Kwa Watu 200 Wa mwanzo....Andika Namba yako kwa Usahihi....✔️ Hakikisha Umenifollow kwanza ili iwe lahisi Kuona Handle yako. Kuna ODDS za Kibeba Zinakuja Wazee Wa Njombe wanasema UTAJIRI hauhitaji mtu Muoga.📌
Tweet media one
203
54
187
@KhalifaniBululi
KHALIFA
7 months
Kila Nyumba Inaye Mtu Ambaye Amebarikiwa kukata Mzizi Wa UMASKINI na MANYANYASO kwenye Familia yake.... Nenda Ukawe Nuru Na Baraka Kwa Familia Yako..POKEA...🤲
24
71
193
@KhalifaniBululi
KHALIFA
5 months
Leo Naendelea Kutoa GB za BURE Ambaye Hajapata... Follow hizi Account @Master_plan88 @Alicejr88 Coment #Done Nikutumie chapu DM
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
272
40
191
@KhalifaniBululi
KHALIFA
9 months
#BOOM Andaeni Namba Za Simu Niwape Ya SUPU... Hakikisha #Umenifollow kwanza ili iwe lahisi Kuona Handle yako Nikianza Kugawa Maokoto
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
87
57
185
@KhalifaniBululi
KHALIFA
5 months
Kuishi Maisha Yenye Furaha Yasikufanye Usahau IBADA. 📌
35
82
188
@KhalifaniBululi
KHALIFA
5 months
Halotel wanatoa shida MB zao Chache sio kama Voda na Tigo.. Hakikisha Umenifollow @Master_plan88 then ni DM nikuelekeze chapu
Tweet media one
255
24
185
@KhalifaniBululi
KHALIFA
10 months
Qmmke Kitu BOOM.... Wanangu Kesho Asubuhi Nawabless 10k Watu 200 Wa Mwanzo.... Hakikisha #Umenifollow ili Iwe lahisi Kuona Handle yako.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
114
43
182
@KhalifaniBululi
KHALIFA
7 months
Wazee Wa Njombe wanasema... Tunamshukuru MUNGU si Kwasababu Ametupa Vingi Vya Kuonekana Bali Ametupa Kibali Cha Kusonga Mbele na Kuiona Siku Mpya.....🤲
28
77
186
@KhalifaniBululi
KHALIFA
7 months
Nimekaa na Wazee Apa Njombe wanasema Kijana..... Wakati Mwingine Kufa kwa Mahusiano ndio Kufufuka Kwa Mafanikio,Sometimes Penzi Likifa Usilie Lie yawezekana ndio Lilikuwa linazuia Usifanikiwe hadi leo.📌
15
68
185
@KhalifaniBululi
KHALIFA
6 months
Wakali Wa Location Hapa ni Wapi.🤔
Tweet media one
57
34
182
@KhalifaniBululi
KHALIFA
6 months
Kuna Jamaa angu ni Mwalimu Kachukua Mkopo kama M7 Sijui Kadanganyika vipii Hela Alibetia Muda Wote Analia Hata Nje Hatoki.🤔
24
44
185
@KhalifaniBululi
KHALIFA
1 year
If you're active follow me,I will follow you back immediate
75
50
163
@KhalifaniBululi
KHALIFA
5 months
Mwambie Mwanamke Wako najua unataka nitimize ndoto zako lakin nina Mwanamke nyumbani Ambaye alitimiza ndoto zangu natakiwa kwanza nitimize ndoto zake kabla sijatimiza zako.📌
12
57
177
@KhalifaniBululi
KHALIFA
6 months
Wazee Wa Njombe Wanasema.... Haijalishi Hali ya Maisha Uliyonayo Amka Kila Asubuhi Na Umshukuru MUNGU Bado Unaishi......🤲
19
78
178
@KhalifaniBululi
KHALIFA
6 months
Wazee Wa Njombe wanasema Kabla Hujaenda Kwenye Mishemishe Jiweke Mikononi Mwa Mwenyezi Mungu Utabarikiwa Uingiapo na Utokapo.
18
75
176
@KhalifaniBululi
KHALIFA
5 months
Wakuu Kila Mtu Atapata Bundle Nivumilieni nipo Nakula. 🤣
Tweet media one
79
21
173
@KhalifaniBululi
KHALIFA
7 months
Kuishi Maisha Yenye Furaha Yasikufanye Usahau IBADA. 📌
16
70
173
@KhalifaniBululi
KHALIFA
1 year
Let gain together massively
81
50
143
@KhalifaniBululi
KHALIFA
8 months
Bajeti Ishakamilika Acha Niende Kijiweni Kwa Wazee Wa Njombe Nikapige Madebe stendi.🤣🤣
Tweet media one
27
41
173
@KhalifaniBululi
KHALIFA
5 months
Vita ya Kunyamaziana Kwenye Mahusiano Nani Aanze Kumtafuta Mwenzie inazidi Kwenda kasi sana Siku mpaka siku.🤣🤣
24
34
178
@KhalifaniBululi
KHALIFA
6 months
Coment ziwe Fupi Fupi.🤔
Tweet media one
41
31
172
@KhalifaniBululi
KHALIFA
5 months
Wazee Wa Njombe Wanasema.... Haijalishi hali ya maisha uliyonayo Amka kila Asubuhi na Umshukuru MUNGU bado Unaishi......🤲
19
75
172
@KhalifaniBululi
KHALIFA
7 months
Wazee Wa Njombe Wanasema... Haijalishi Hali Ya Maisha Uliyonayo Amka Kila Asubuhi Na Umshukuru MUNGU Bado Unaishi.......🤲
18
69
163