floki Profile Banner
floki Profile
floki

@Ironlix03

5,831
Followers
6,186
Following
943
Media
73,061
Statuses

Legalize it I will advertise it.

Joined October 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Ironlix03
floki
1 year
@itskalu__ mwendo nimeumaliza imani nimeilinda 😂
8
15
420
@Ironlix03
floki
6 months
@Goddie_Ke Brothers just hanging around.
39
5
262
@Ironlix03
floki
1 year
There are two laws in life.... 1) Never give out all the information
16
108
169
@Ironlix03
floki
2 years
@CFC_Janty 💙💙💙
1
0
176
@Ironlix03
floki
7 months
@muli_brian_ Sisi wa M-shwari tuko sawa
8
0
183
@Ironlix03
floki
1 year
Prime days za Rose Muhando shetani alikapitia walaii 😂 that lady could address the devil directly..."Nauliza wewe shetani, umetoa mamlaka wapi?' 😂
18
70
168
@Ironlix03
floki
1 year
Mimi saa hii nikiwin hiyo jackpot ya 200 million napea mamangu 1200 aclear deni za chama, nibuyie mzae mzinga ya captain alafu nipee mpoa wangu mia saba atafute boy mwingine na waanze maisha mpya alafu sasa nitoke hizi streets muone my true colours yenye imefichwa na umaskini 😂
17
75
153
@Ironlix03
floki
1 year
Kudinyiana nayo hukua pure greatness kwanza boy wake akimcall alafu uambiwe unyamaze then unaskiza tu vile kinuthia anapangwa😂
11
91
152
@Ironlix03
floki
1 year
Wakale walisemanga mafuta ni ya kujibaka mkasema hawajui kiswahili 😂
16
81
140
@Ironlix03
floki
1 year
Mtu akikuambia "don't insult my intelligence" anamaanisha nini?🌝
6
81
141
@Ironlix03
floki
1 year
Leo conductor amesahau kunilipisha 30 bob so already budget iko excess by 30😂hii friday kumamaye niko na nyinyi 😂
10
78
145
@Ironlix03
floki
1 year
Hawa watu hujipost daily hunishangaza sana... like unaamka tu unaingia gallery utafute pic yako uweke status kesho hivo hivo 😂 what for now??
9
74
146
@Ironlix03
floki
1 year
Another beautiful Monday morning to remind you love will never pay bills and money will never cheat... know your priorities big boy.
4
61
135
@Ironlix03
floki
8 months
@polo_kimanii Kuna Maasai aliwai chapwa na deputy hadi akaulizwa kwao ni wapi kusema Narok akaambiwa aende class... ninja ilikuwa inakausha mbaya sana
2
4
137
@Ironlix03
floki
1 year
Sijui mbona men hufeel guilty sana when they are not in a position to help a bro... huwa tu unawish ungemsaidia tu but ata wewe huna uwezo
11
83
138
@Ironlix03
floki
1 year
Mtu anakuambia uko na d¡ck ndogo na yeye hana...nini husumbua wanawake lakini??
13
64
133
@Ironlix03
floki
8 months
@polo_kimanii Kuna ile day Kplc walikata stima wakaniambia nitoke nje wasome ati naleta giza😭
3
2
128
@Ironlix03
floki
1 year
Jana nimeambia big wig fulani ani fb akaniuliza twende wapi?😭 walaii ipo siku 😂
18
64
127
@Ironlix03
floki
1 year
Ata kama ni drugs manzee... kijana mdogo unavuta aje sigara shuwally?😭
15
76
124
@Ironlix03
floki
1 year
Kumamaye rubani ameharibika😭wacha sasa nimfulizie apite na yote😂
4
70
126
@Ironlix03
floki
1 year
Kuna day nimewekelea aviator na mia ikaenda hadi 1200 so ikakuwa 120k kuenda kucash out nikaamka😢
14
58
127
@Ironlix03
floki
1 year
Kuna jamaa sijui alipewa gig na illuminati ama ni mmoja wao... ameshinda akipost stuff za illuminati kwa status na kuna kitu inanitempt nislide diyem yake
13
70
112
@Ironlix03
floki
1 year
Lakini mtu unacompare aje haaland na messi?
10
77
118
@Ironlix03
floki
1 year
Mi ningekuwa mkalee ningekuwa naanzisha vita kwa club mkileta mchezo nauma kila mtu maskio kama crocodile 😂
14
74
118
@Ironlix03
floki
10 months
Na kwani mapenzi iliacha kuwatesa? Tumekaa sana bila kuskia mtu amepigwa shoka.
9
54
108
@Ironlix03
floki
1 year
Hakuna warning hupita "usikuwe mjinga"😂ukishaambiwa hiyo just stop what you are thinking of doing 😂
8
60
116
@Ironlix03
floki
1 year
So wewe msichana unakojolea kijana ya wenyewe willingly ati ni squirting😂😂aki women 😂
14
79
117
@Ironlix03
floki
1 year
Lakini mbona ushinde ukitupostia mabangi unavuta huku ?? Si uvute vitu zako na utulie🌝
13
50
108
@Ironlix03
floki
1 year
Unaeza pata ata hii mvua ni Mungu ako mechi alafu mpoa wake ndio anasquirt😂
30
57
112
@Ironlix03
floki
1 year
African families are so disorganized man😂 unapata msichana alafu unataka kumarry then your uncles wanakushow ati huyo mdame ni nyanyako😂
13
60
110
@Ironlix03
floki
1 year
Lakini hawa watu wa ambulance huchachisha...tumetulia tu kwa jam mtu anaanza kutupigia kelele
8
68
111
@Ironlix03
floki
1 year
Kila mtu hii app sasa anauza mayai na smokie...ukiamua kupromote kila mtu utakula mayai kama 132 in one day 😂
8
74
111
@Ironlix03
floki
1 year
Streets are full of bumpy roads lakini siezi cross mzebra.
4
68
113
@Ironlix03
floki
1 year
Tukiwa high school kuna jamaa aliendanga kuchoma dorm kaa ameficha sura na hoodie ndio cctv zisimnase. Jamaa akienda mission hanging line ikamtoa hoodie kimakosa sasa ninja akaamua kuangalia kama camera imemuona na hivo ndivyo alinaswa😂 the legend he was haku abort mission 😂😂
8
48
106
@Ironlix03
floki
8 months
Huko IG na facebook ni RIP tu na gone too soon huku watu wanataka Kipchoge akaandikishe statement huko Kiambu road 😂 I love this app.
13
41
110
@Ironlix03
floki
1 year
Sasa kama 2005 alikuwa thegi already sasa form 4 alimaliza lini?😂 Ile story ya kumalizia form 2 ni kama inaanza kumake sense 😂
4
57
107
@Ironlix03
floki
1 year
Naonanga heri unikate kate na panga ama ata power saw kuliko unipige kofi😂
11
68
107
@Ironlix03
floki
1 year
Lakini wakadinali hutupima...who tf humbao akiwatch horror?😂
14
62
103
@Ironlix03
floki
1 year
Kama hutaki kukuliwa dem usikuwe na dem😂 that's the only way 😂 maybe wakukule sasa😂
11
63
101
@Ironlix03
floki
11 months
Hii wiki if everything goes as planned naeza potea from thursday😂 anyway tujenge nchi kwanza😂
14
59
101
@Ironlix03
floki
1 year
Ati wakikuyu waliekewa matako kwa tumbo😂
15
63
97
@Ironlix03
floki
1 year
Ati kama inches ni before kumbao basi sura ni before make up 😂
9
64
103
@Ironlix03
floki
1 year
Username yako iko na meaning ama uliunda tu acc fwaa😂kama hii yangu sasa Ironlix ukireplace iron na its chemical symbol Fe inakuwe Felix 😂
17
68
104
@Ironlix03
floki
1 year
Today marks exactly 3 years since a girl told me she loves me 🥹
13
62
107
@Ironlix03
floki
11 months
Sasa jam ya kuingia tao usiku ni ya watu wanaenda wapi?😂
14
58
100
@Ironlix03
floki
1 year
The 'F' in Turkana stands for food.
11
63
103
@Ironlix03
floki
1 year
Sasa mbona waimport magari yenye speed inafika 180 alafu wakuambie usipitishe 80?? Si wapige order yenye maximum ni 80 ama waunde zao 😂
6
54
96
@Ironlix03
floki
1 year
Utapata kuna mtu anadinywa saa hii apewe mimba azae fan wa Chelsea... disgusting 😭
11
60
101
@Ironlix03
floki
1 year
Niliacha kutrust watu hii kenya day nilipata concert ya wakadinali iko na VIP na regular sections😂 Man si I thought we are all thugs here????😂
17
52
97
@Ironlix03
floki
1 year
Elon anafaa kuleta nots mtu akiku unfollow juu watu wengine ni maumbwa sana😞
13
44
102
@Ironlix03
floki
1 year
Uchoyo ya Rashford na ujinga ya Onana will be the end of man u😂
10
50
94
@Ironlix03
floki
1 year
Tecno itaniulia marafiki 😂ya huyu imezima akicheza aviator na ilikuwa imefika 6😭
5
58
98
@Ironlix03
floki
10 months
Kuna cool kids wanacheza football hapa nimejaribu kuenda kuwajoin nikaskia wanaongea kizungu 😂 there's no way nitacheza nikiongea kizungu as if niko Carrington
10
61
100
@Ironlix03
floki
1 year
Huyu ananicheka nimeachwa badala ajihurumie juu mpoa wake hukuwa exactly my type na ata kuna day alisemanga alikuwa amenicrushia kitambo😂😂
10
51
98
@Ironlix03
floki
11 months
Hii weather inadai blunts mbili tu mwili itulie😂
5
55
96
@Ironlix03
floki
1 year
Unaendanga kupost ati sijui nini thread alafu mafala wanajaa hapo ati we wait 😂 sasa tukiwait sisi wote nani atapost sasa?
8
58
100
@Ironlix03
floki
1 year
Leo nimetuma pesa nikakatwa 105 ya transaction saa hii naskia nikiumwa na kisogo😭
4
68
95
@Ironlix03
floki
1 year
Ilikuwa niamke nijitume nikakumbuka natafutia salasya mshahara😭wacha tu nitaamka kesho
5
58
96
@Ironlix03
floki
1 year
Btw sijawai ona mtu anatumia mandrax😂
9
58
90
@Ironlix03
floki
1 year
Wacha siasa na you can't date a broke guy...wee tuambie unauza ngapi😂hatuwezi kosa mia mbili 😂
7
55
92
@Ironlix03
floki
1 year
Unaonanga mtu ameshikilia simu yake tao inabidi uconfirm kama bado uko na yako😂
7
64
94
@Ironlix03
floki
1 year
Na kwani huyu kijana anaitwa d'von anakuwanga speaker wa hii app?😂kijana kila space ako tu kuongea nonsense na kila story inamhusu😂
8
59
91