Asanteni sana viongozi na mashabiki wa Simba sports club nimekua nanyi kwa kipindi kirefu na siku zote nawapenda Sana. Ni mda sasa kwenda kutafuta changamoto sehemu nyingine. Daima takumbuka nafasi yangu ndani ya mioyo yenu🙏
#SimbaNguvuamoja
Nipende kuwashukuru mashabiki wa Simba sports Club nimekua sehemu ya familia yenu Kwa vipindi vitano na nusu Leo nimefikia mwisho wa kuwatumikia na kwenda kutafuta changamoto sehemu nyingine🦁🦁🦁
#NguvuMoja
Asanteni tena mashabiki wa Simba Sport Kwa kipindi chote nimeshirikiana nanyi sitosahau nguvu kubwa na mapenzi yenu kwangu daima mtabaki moyoni kwangu🤝. Mpira ni maisha hivo nipo tayari kuwa sehemu ya wananchi na naamini watanipokea vyema🔰
#DaimaMbeleNyumaMwiko