Madenge JR Profile Banner
Madenge JR Profile
Madenge JR

@BChiletse

31,971
Followers
4,905
Following
1,604
Media
40,863
Statuses

A father of two|| Junior & Nickie

Mwanza, Tanzania
Joined December 2014
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Hivi kwanini magari plate number D yamechakaa sana kuliko A! Shida ni nini?? Hii tweet haihusiani na magari
479
229
3K
@BChiletse
Madenge JR
1 year
Humu ndani Roma kamchana kila kiongozi makavu laivu Sikiliza kionjo hap chini 👇👇👇
Tweet media one
137
97
3K
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Kwanza kabisa naitwa Dkt Tale Tale 😂😂😂😂 kizembe hivo
Tweet media one
226
121
3K
@BChiletse
Madenge JR
1 year
Top ten ya movies kali za ku watch mpaka sasa! 1. EXTRACTION 2
Tweet media one
114
251
3K
@BChiletse
Madenge JR
1 year
Top ten ya movies kali ambazo hazisemwi sana ila ni kisanga! 1. KANDAHAR
Tweet media one
109
270
2K
@BChiletse
Madenge JR
1 year
Hivi hii C in C ina maana gani kijeshi wakuu??
Tweet media one
344
74
2K
@BChiletse
Madenge JR
1 year
Hivi haya maji huwa yana maana gani? Kila show lazima afanye hivi
Tweet media one
164
52
2K
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Tufahamiane kidogo! Me: 834 KJ Makutupora OP Kikwete, wewe je?
Tweet media one
495
97
2K
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Braza kapigwa risasi akiwa kwake mpaka kufa
Tweet media one
380
64
2K
@BChiletse
Madenge JR
1 year
Jamaa ana hali mbaya sana hospital, imeripotiwa kuwa ndugu zake tayari wanajiandaa kwa lolote sasa!!
Tweet media one
85
43
2K
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Happy birthday to me!! Asante Mungu kwa huu mwaka mwingine! 😇😇
Tweet media one
232
120
2K
@BChiletse
Madenge JR
1 year
Hii picha ina fundisho kubwa sana! Umemtambua nani hapo?
Tweet media one
81
67
2K
@BChiletse
Madenge JR
1 year
Taarifa zinadai kuwa Sheikh Mansour anaingiza takribani 110M kwa mwezi kutoka youtube, show yake moja anachaji 230M, anamiliki kisiwa chenye thamani ya shilingi 1.8B, ana kituo cha tv na radio na ana nyumba zisizo pungua 11
Tweet media one
99
51
2K
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Huyu jamaa currently anafanya poa sana kuliko ata Mondi
Tweet media one
142
54
2K
@BChiletse
Madenge JR
1 year
Top ten ya wasanii bongo waliosikilizwa sana kwenye mtandao wa spotify kwa mwezi wa sita! Chino kidd aibuka kidedea mbele ya Quavo Shuka na list hapa chini 👇👇
Tweet media one
37
42
2K
@BChiletse
Madenge JR
2 years
TOP 10 YA WAIGIZAJI WAREMBO ZAIDI TANZANIA (BONGO MOVIE) Hii ni listi ni kwa mujibu wa Chama Cha Warembo Tanzania (CHAWATA) 1. BATULI ACTRESS (wakubwa wanafaidi)
Tweet media one
247
70
2K
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Isingekuwa uchawi wa WCB dogo angekuwa mbali sana! 🤔🤔
Tweet media one
100
59
2K
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Namba za mita ya umeme huwa zipo 11! namba za simu ni 10! kama una mchepuko wako, futa zile mbili za mwanzo (mfano 07/06) ziweke mwishoni afu ongezea moja yoyote ile then mu save mchepuko wako Mita namba. Ukitaka kumpigia una edit tu chap.. Huwez kamatwa kamwe
247
113
2K
@BChiletse
Madenge JR
1 year
Top 10 ya wanamziki wakike warembo sana Tanzania 1. MIMI MARS
Tweet media one
159
38
2K
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Hizi nazo za mchongo! Hii kiuhalali kabisa ni ya Konde boy
Tweet media one
99
44
2K
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Hivi wachezaji huwa hawana baba zao?
Tweet media one
129
57
2K
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Kama una wallpaper kali nisaidie aisee! hii imenichosa sasa
Tweet media one
350
88
2K
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Mashangazi wote peponi, hawa viumbe wanajali jamani
96
71
2K
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Kama kijana unaetafuta michongo make sure una NIDA na CHETI CHA KUZALIWA na vyote viwe na majina sawa!!
49
74
2K
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Huyu jamaa ana kipaji cha kuchekesha kweli au ni upepo tu?? Kila basi la mkoani humkosi
Tweet media one
105
52
1K
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Hivi huyu mwamba wa kaskazini ameshindwa kukaa na mdogo wake kweli amchane aache undezi
Tweet media one
59
68
1K
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Naombeni kazi serikalini! na huyu ndo mimi
Tweet media one
70
32
1K
@BChiletse
Madenge JR
1 year
Shati la Chid alompatia Mwana FA ashutie video! Maisha yanabadilika aisee!!
Tweet media one
54
40
1K
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Usitongoze kila mwanamke ambaye utazoeana nae, sometimes tunapoteza washauri wazuri wa kike kisa mihemko yetu!!
102
129
1K
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Kwa hili bifu linaloendelea kati ya Sallam na Mondi! Kipara akiungana na konde boy, WCB itakufa mazima
Tweet media one
31
45
1K
@BChiletse
Madenge JR
1 year
Hakimi mfikirie huyu mtoto, ataishije jamani? Mgawie mkeo ata robo
Tweet media one
180
29
1K
@BChiletse
Madenge JR
1 year
Sema nguvu inayotumika kumtoa jamaa kwenye ramani ni kubwa mno
Tweet media one
54
51
1K
@BChiletse
Madenge JR
1 year
Movies 10 kali zenye wizi wa kutumia silaha! Anza nazo asubuhi hii Shuka na uzi 👇👇
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
43
284
1K
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Appreciation tweet kwa huyu mwamba! Tulipata aisee
Tweet media one
24
93
1K
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Sijawahi kuwaelewa hawa majamaa! ni wapuuzi sana
Tweet media one
190
60
1K
@BChiletse
Madenge JR
1 year
Top ten ya series kali zilizojaa mkono mwanzo mwisho Shuka na uzi kwenye comments
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
53
158
1K
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Ungekuwa wewe ungejibuje hapo??
Tweet media one
204
76
1K
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Mungu akuepushe na adhabu ya kifo! Rest easy Balozi
Tweet media one
67
87
1K
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Ulimsoma huyu bi mdada mwaka gani??
Tweet media one
212
65
1K
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Kuitoa pisi kwenye sofa/kiti ilipofikia kuipeleka kwa bed haijawahi kuwa rahisi aisee!
152
64
1K
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Hivi kwa hapa bongo mchambuzi wa ukweli kwa upande wa mpira ni yupi? nataka nianze kumfuatilia
243
49
1K
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Ukitaka uishi maisha marefu ya siyo na stress OA DEMU BONGE
92
83
1K
@BChiletse
Madenge JR
2 years
To the world you’re a mother but to our family you’re the world! Happy first mother’s day you @YourFrenchFry 😍
19
42
1K
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Maviatu sijui kawa shoga kweli? unaanzaje kusapoti upuuzi lakini
39
31
1K
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Maisha baada ya chuo hayajawahi kuwa rahisi
67
94
1K
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Ivi kwanini sisi wanaume tukitaka kununua parachichi moja tu la kula lazima tuminye minye yale mengine ambayo hatuyanunui! Just why?? Siongelei maparachichi ya uyole!
126
72
1K
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Mchomvu bana! 😂😂😂 Video ipo hapo chini 👇
Tweet media one
142
47
1K
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Hiki kidude kinaitwaje kwa kingereza??
Tweet media one
211
25
1K
@BChiletse
Madenge JR
1 year
Top 10 ya movies kali za kivita ambazo hutojutia kuzicheki mara mbili mbili Shuka na uzi
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
61
217
1K
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Huyu jamaa kaupania huu mwaka! 🙌
Tweet media one
38
25
1K
@BChiletse
Madenge JR
1 year
Top 10 ya movies ambazo ni kali toka mwanzo mpaka mwisho! HAZICHOSHI KUANGALIA Shuka na uzi mpwa
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
56
134
1K
@BChiletse
Madenge JR
1 year
Umeikubali kolabo gani hapa? 1. Jux ft Quavo 2. Ali kiba ft Marioo
Tweet media one
Tweet media two
105
44
1K
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Huyu mwamba kapotelea wapi?? 😂
Tweet media one
91
33
993
@BChiletse
Madenge JR
1 year
Jamaa alianza vizuri sana mpaka Mondi akaogopa, Hivi yuko wapi saizi
Tweet media one
57
38
1K
@BChiletse
Madenge JR
1 year
Manara kashafanya yake! Fei kayakanyaga Video iko hapo chini 👇👇
Tweet media one
31
30
1K
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Unahisi jamaa nini kimemfelisha? make kama ni kipaji anacho aisee!!
Tweet media one
189
52
978
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Kuwa na ndoto siyo kosa! Shusha ndinga unayo wish one day uwe nayo! Me: 👇
Tweet media one
273
31
974
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Hakuna kazi rahisi sana kama kuitongoza pisi for the first time ikiwa haina hela!
46
57
960
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Ukubwa ni pamoja na kutambua kuwa siyo kila rafiki yako ata support mishe/harakati zako eti kwa sababu tu mnafahamiana!
36
104
931
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Ukitaka mambo yako yanyooke na uzidi pata baraka tele "OA MSUKUMA" hawa viumbe wana neema
73
63
920
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Kwa ninavyo wafahamu wa-push wenzetu especially wale wa Simiyu, Leo wote watakuwa live @eastafricatv cc @rollymsouth
Tweet media one
28
66
932
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Afu nife masikini wakati wazee wangu na uncle zangu pesa ipo kwa BOT(Bank of Twitter) @rollymsouth @kipepe123 @YourFrenchFry @funjojr
Tweet media one
31
29
914
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Kama ni kweli ipo na umeiona,kiume tu bila kujali umri, naomba unitumie DM
86
37
896
@BChiletse
Madenge JR
2 years
😂😂! mi pia nasimamia na Konde boy
Tweet media one
53
37
931
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Hivi vidude huwa mnavitoaje aisee! Anyone?
Tweet media one
240
45
905
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Utafiti uliofanywa 2020-2022 umeonesha kuwa marafiki wa mtandaoni wamekuwa na mchango mkubwa sana kwenye maisha yetu kuliko wale tulionao mtaani kwetu!! Kuna ukweli hapa??
94
102
892
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Hivi ni kweli hatuwezi wapeleka kibo na mawenzi(Kilimanjaro) wakafanye utalii wa ndani moja kwa moja through Morogoro road bila kupitia Kigoma-Uvinza?? Siongelei utalii hapa
100
38
896
@BChiletse
Madenge JR
11 months
Hivi hii herufu "T" kwenye haya madude huwa ina maanisha nini?
Tweet media one
197
65
889
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Ukitaka kupata best wife oa nesi
117
37
883
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Jina la hii movie? kwa anaekumbuka
Tweet media one
100
54
879
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Shusha picha ya ndinga kali unayoikubali tuione! 👇
Tweet media one
184
56
880
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Ipo siku mchizi wako wa karibu kabisa(Blood) utamwona maeneo fulani na utataka kumshitua umpe ata hi tu, ila atakupotezea kama hakuoni vile! Usi mind bob, kuna mazingira huwa inatubidi tufanye hivo ili tusipoteze vibarua vyetu
36
82
854
@BChiletse
Madenge JR
1 year
Top 10 ya movies/series kali ambazo kamwe hutojutia kupoteza muda wako kuziangalia, humu ndani ni kisanga Shuka na uzi 👇👇
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
47
129
862
@BChiletse
Madenge JR
1 year
Wachezaji watano wanaotabiriwa kufanya makubwa zaidi Msimu huu wa 2023/2024 5. Mainoo (Manchester United
Tweet media one
27
14
863
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Kuuliza si ujinga, Huyu nyoka kwenye jero ana maanisha nini???
Tweet media one
123
51
851
@BChiletse
Madenge JR
1 year
Nyimbo gani kati ya hizi imefanya poa sana kimataifa ? A or B
Tweet media one
Tweet media two
159
58
826
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Hivi ile sauti ya bwakila EFM huwa ni ya huyu jamaa???
Tweet media one
52
49
811
@BChiletse
Madenge JR
2 years
One day nitajitolea kumsomesha mtoto wa mtu kuanzia O-LEVEL mpaka UNIVERSITY kama alivyofanya mtoto wa watu kwangu mimi! It's not easy but i pledge to try.. 🙏
36
80
797
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Seriously??
Tweet media one
139
49
807
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Happy 3 months birthday to me!
Tweet media one
64
21
788
@BChiletse
Madenge JR
1 year
Hii ndo sababu ya Chris Brown kuzinguana na Usher Raymond usiku wa birthday party yake #UZI
Tweet media one
28
12
813
@BChiletse
Madenge JR
11 months
Watoto wa 2000 hawashindwi kukwambia ni Ronaldo, Unamfahamu huyu mwamba??
Tweet media one
127
24
815
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Mtu ana degree kabisa kutoka chuo kinachotambulika nchini, anaomba kazi ya sensa anakosa kisa hana connection, it's so sad and painful
55
67
759
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Huyu Jamaa linapokuja suala la video zinazobeba uhalisia hana mpinzani! 🙌
Tweet media one
26
47
783
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Shusha handle, retweet na follow likes tuinuane..
187
115
754
@BChiletse
Madenge JR
2 years
If you happen to see this tweet, take a brief moment and pray for your Mom to be safe wherever she is... Good morning fam @YourFrenchFry
17
25
773
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Shusha handle, chapa retweet tukuze account
215
109
729
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Hivi ni kweli mkoani Kagera kuna milima mirefu na matikiti safi kabisa kuliko mkoani kilimajaro?? 🤔🤔🤔
70
30
765
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Hivi kwanini ukisha wafikisha wazungu Mawenzi huwa madawili hawapendi tuwachungulie aisee??
20
44
743
@BChiletse
Madenge JR
2 years
One day utamiliki nyumba, utakuwa na ndinga yako, utafurahia life na familia yako!! Sikwambii uitikie AMEN, amka ukaendelee na ulipoishia jana anko
39
92
726
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Hii video imejaa unyama sana! Appreciation tweet kwa Mondi
Tweet media one
23
47
746
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Kigoma ndo mkoa pekee ambao watu wake huvimbiana swala la kuwahi kufika kigoma mjini
63
73
717
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Nyimbo gani kwenye playlist yako huwezi iruka, nipite nayo pia
220
44
730
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Jijengee utaratibu wa kuandika pembeni mipango unayokuwa nayo kipindi umefulia, Huwa ni mizuri sana!!
45
79
702
@BChiletse
Madenge JR
1 year
Tumalize utata sasa, Kati ya Loui na Mmakonde nani katoboa kimataifa???
Tweet media one
Tweet media two
46
17
733
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Nauli ya Mwanza to Dar kwa ndege ni bei gani?? anyone please
65
21
717
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Mwenye wallpaper kali basi anisaidie! hii imeisha vibe!! anyone please
Tweet media one
141
29
724
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Mwenye wallpaper kali basi anisaidie, hii imechuja tayari
Tweet media one
133
43
725
@BChiletse
Madenge JR
2 years
Nyimbo moja ya Bahati Bukuku unaweza toka nayo Mbezi mwisho mpaka Bunju bila kuisha
73
47
706
@BChiletse
Madenge JR
1 year
Sijaelewa, yaani anakula au?
Tweet media one
68
40
711