Ananilea Nkya (PhD) Profile
Ananilea Nkya (PhD)

@AnanileaN

61,333
Followers
389
Following
308
Media
1,919
Statuses

Human Rights Activist & Trainer on Media and National Development Issues|Tanzania's Woman of Courage Award Recipient 2010|TAMWA Executive Director 2001-2012

Joined March 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
Thank you to my new Twitter followers. Welcome to my page dedicated to advocating for human rights, gender equality, media freedom and citizen-centred development. May God bless us in our continued efforts to build our nation, Tanzania.
34
32
494
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
Mgombea mmoja wa Urais tumemsikia akisema AKISHINDA hatapeleka maendeleo ktk maeneo ambayo wananchi watachagua Wabunge na Madiwani wasio wa chama chake. ๐Ÿ‘‰๐ŸพJe fedha za kuleta maendeleo si za kodi wanayolipa wananchi? ๐Ÿ‘‰๐ŸพJe amesahau Tz ni nchi ya vyama vingi?
287
393
3K
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
Leo Jumanne 03 112020 kwa AMANI nimesimama eneo la MAHAKAMA KUU jijinii Dar nikatokwa chozi nilipomkumbuka J.K. NYERERE alivyotuasa Watanzania kuhusu umuhimu wa VIONGOZI BORA wanaotokana na ridhaa ya wananchi. ๐Ÿ‘‰๐ŸพLeo watu wanajipa uongozi kwa wizi wa kura?
Tweet media one
181
335
3K
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
Leo Jumatatu 02/11/2020 nimesimama๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡kwa AMANI katika ardhi ya nchi yanguTanzania eneo la mtaa wa Samora jijini Dar es Salaam kumkumbuka Baba wa Taifa J.K.NYERERE kwa kukataa nchi yetu kupata viongozi kwa kura feki zilizopigwa nje ya SANDUKU HURU la KURA.
Tweet media one
201
367
3K
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
3 years
Dkt Abbas,Rais Tanzania SSH amesema vyombo vya habari viivyofungiwa vifunguliwe. ๐Ÿ‘‰๐ŸพWewe umeibuka na kusema ni vyombo fulani tu. ๐Ÿ‘‰๐Ÿพ Mbona unakwenda kinyume na maagizo ya Rais? ๐Ÿ‘‰๐ŸพWewe kitaaluma ni mwanahabari kwa nini umeamua kuwa adui wa vyombo vya habari ?
183
234
2K
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
Mkurugenzi wa NEC Dkt Mahera. ๐Ÿ‘‰๐ŸพWatz tunakukumbusha kuwa polisi wanalipwa mishahara kwa kodi za wananchi. ๐Ÿ‘‰๐ŸพMabomu yananunuliwa kwa kodi ya wananchi ๐Ÿ‘‰๐ŸพHuoni kuamuru polisi wapige mabovu wananchi kwenye kampeni unapunguza kura za Rais JPM? @TumeUchaguziTZ
116
297
2K
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
WATANZANIA eee! ๐Ÿ‘‰๐ŸพOndoeni AKILI kwenye MABOKSI ya vyama vyenu muwe HURU kama mimi NISIYE na chama ๐Ÿ‘‰๐ŸพMuweze kuona HATARI inayoinyemelea TZ ๐Ÿ‘‰๐ŸพMAMLAKA ya wananchi YAMEPORWA ๐Ÿ‘‰๐ŸพUshahidi ni NEC kuwapa watu UONGOZI kwa KURA za MABEGI๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‰๐ŸพUuuwi NAILILIA nchi yangu!
Tweet media one
Tweet media two
185
254
2K
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
Watumishi NEC kumbukeni: ๐Ÿ‘‰๐ŸพTz si mali yenu na si mali ya KIONGOZI yeyote aliyeko madarakani, ni mali ya Watz wote. ๐Ÿ‘‰๐ŸพMnaendesha shughuli za uchaguzi kwa niaba ya Watz na si kwa niaba ya KIONGOZI yeyote. ๐Ÿ‘‰๐ŸพMsipotenda HAKI mnawachokoza Watz @TumeUchaguziTZ
74
305
2K
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
20 days
UAMUZI WA MAHAKAMA KUU Tunamshukuru Mungu Mahakama Kuu DSM IMERUHUSU raia wa Tanzania kufungua shauri la kupinga Wizara ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) kusimamia uchaguzi wa wenyeviti wa Vitongoji, vijiji na Mitaa .
Tweet media one
133
436
2K
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
"Hakuna asiye mpinzani Tz..CCM ni mpinzani wa vyama vingine na vyama vingine ni mpinzani wa CCM.asiye mpinzani hajazaliwa..asiye mpinzani ni mtu aliyekufa..upinzani unaleta maendeleo..upinzani unachochea fikra mpya..hivyo maendeleo ni uasi" Askofu Dkt Bagonza
64
218
2K
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
Kama uchaguzi ungefanyika leo Jumapili 06 Septemba 2020 ni mgombea yupi wa Urais ungempa kura yako?
Mmanga (DM)
700
Dkt Magufuli (CCM)
4026
Membe (ACT-Wazalendo)
709
Lissu (CHADEMA)
14133
359
272
2K
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
MAAJABU Tanzania 2020: Kama maneno๐Ÿ‘‡ni yako Mhe Samia Suluhu ukiwa ni mwanamke kiongozi ngazi ya juu Serikali ya CCM basi Watz tujiandae kushuhudia NGUVU ya Mungu 28/10/2020. ๐Ÿ‘‰๐ŸพHaijawahi kutokea Tz mwanamke kutangaza hadharani atashiriki KUPORA umma KURA
Tweet media one
209
300
2K
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
Chombo chochote cha habari Tz ambacho Jumatatu 27072020 hakikutangaza kurejea nchini Tundu Lissu kutoka Ubelgiji kwenye matibabu baada ya kushambuliwa na WASIOJULIKA Septemba 2017 kitakuwa kimeshindwa kutekeleza wajibu wa Kikatiba kwa umma. @Katiba_Tv
Tweet media one
Tweet media two
129
124
2K
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
SOMO KUU Hili sakata la Viti Maalum CHADEMA liwe fundisho kwetu Watz kwamba: ๐Ÿ‘‰๐ŸพWengi walioko kwenye vyama vya siasa vya upinzani kama kilivyo chama tawala, kikubwa wanachopigania ni madaraka na kuchuma fedha na siyo maslahi mapana ya TZ na Watanzania wote.
93
95
2K
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
UCHAGUZI Tanzania ๐Ÿ‘‰๐ŸพWakati chama kimoja HAKUNA mgombea alipita bila kupingwa. ๐Ÿ‘‰๐ŸพSasa vyama vingi 2020 Watz tumeshuhudia NEC ikisema baadhi ya wagombea ubunge CCM wameshinda bila kushindanishwa wala kupigiwa kura na wananchi. ๐Ÿ‘‰๐ŸพJe watakuwa wawakilishi wa nani?
113
191
2K
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
HAKI huinua Taifa. Mungu wetu Mtakatifu tunakuomba SIMAMA wewe mwenyewe HAKI itendeke kila hatua ili tarehe 28 mwezi huu wa Oktoba mamilioni ya Watanzania tuweze kuchagua viongozi bora wa kuliongoza Taifa lako hili teule kwa kipindi cha 2020-2025
62
182
1K
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
Tofauti ya Serikali wakati wa Mwalimu Nyerere na sasa: ๐Ÿ‘‰๐ŸพSerikali ya Nyerere Bunge likivunjwa Wizara ziliongozwa na Makatibu Wakuu hadi Bunge lingine lipatikane. ๐Ÿ‘‰๐ŸพZama hizi mpya Bunge likivunjwa Mawaziri wako kazini hadi uchaguzi mwingine. Je ni sawa?
183
142
1K
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
Kazi Kuu ya Serikali duniani kote ni kulinda usalama wa watu wake wote. ๐Ÿ‘‰๐ŸพKatiba ya Jamhuri yetu Ibara 33(2) Rais ni Kiongozi Mkuu wa Serikali. ๐Ÿ‘‰๐ŸพRais wetu Dkt JPM, Watz TUNAKUOMBA Serikali ituondolee hofu ya 'wasiojulikana'. @Katiba_Tv @MagufuliJP
Tweet media one
58
137
1K
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
3 years
Jambo moja la AIBU katika nchi yetu ni kwamba WANASIASA wanapewa heshima na umuhimu mkubwa sana nchini kwetu TZ kuliko taaluma yoyote ile. Siku Watz tutaanza kutambua mchango watu wasio wanasiasa na kuwapa tuzo stahiki nchi itapiga hatua kubwa ya maendeleo
95
158
1K
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
Mwenyekiti Tume ya Taifa Uchaguzi(NEC)Jaji Kaijage, NEC inapotoa maamuzi Rufaa PINGAMIZI za wagombea ubunge na udiwani izingatie haya; ๐Ÿ‘‰๐ŸพNEC isipotenda HAKI ktk kila rufaa itakuwa CHANZO cha kuvuruga AMANI Tz. ๐Ÿ‘‰๐ŸพLawama na LAANA utabeba wewe @TumeUchaguziTZ
54
140
1K
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
8 months
TANESCO mpoo? Waziri wa Nishati upooo. Wananchi tunaandamana Dar leo 24124. Huu hapa ๐Ÿ‘‡ ujumbe wenu kuhusu kukatika umeme . Kukatika umeme kunatufukarisha wananchi. Amkeni tunataka umeme.
Tweet media one
41
303
1K
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
Mkuu IGP Sirro Mzee Butiku ametuasa tuwaambie viongozi UKWELI taifa lipone ๐Ÿ‘‰๐ŸพMwezi wa 1wa kampeni polisi walitenda HAKI hivyo AMANI ikatamalaki Tz na wagombea vyama vyote ๐Ÿ‘‰๐ŸพIGP jiulize kwanini kampeni mwezi 2 WASHINDANI wa CCM WANALALAMIKIA polisi? @tanpol
0
149
1K
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
Tanzania wapo watu wachache JASIRI wa kutetea HAKI za Watanzania. Miongoni mwao wapo waliotambuliwa na kupewa tuzo na na nchi au taasisi za kitaifa na kimataifa. Lakini jasiri wa majasiri ambaye TUZO yake imetolewa na MUNGU mwenyewe yupo hapa๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
Tweet media one
46
172
1K
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
3 years
Watz wengi ni WANAFIKI sana. ๐Ÿ‘‰๐ŸพMiaka 5 iliyopita wengi wakiwemo wasomi wa kiwango cha PhD walikuwa wanasifia maovu ya Serikali na kuwasakama wachache waliosimama kijasiri kukemea maovu hayo. ๐Ÿ‘‰๐ŸพHivi sasa wanafiki wako kimya wakati maovu hayo yakifichuliwa.
76
121
1K
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
3 years
Rais SSH ni mtu wa HAKI. Viashiria ni: ๐Ÿ‘‰๐ŸพTayari amemuondoa DPP Biswalo ambaye amelalakamikiwa kwa ukiukaji mkubwa wa haki hasa kubambika watu kesi ambazo hazina dhamana. ๐Ÿ‘‰๐ŸพAmemsimamisha kazi DC wa Hai Sabaya kupisha uchunguzi wa tuhuma nyingi zinazomkabili.
76
81
1K
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
NEC kumbukeni bila HAKI hakuna AMANI ๐Ÿ‘‰๐ŸพMbona mlitangaza haraka sana wanaume 18 wa CCM mlosema walipita bila kupingwa? ๐Ÿ‘‰๐ŸพKwa nini mnasuasua kutoa uamuzi Rufaa za wagombea wapinzani wa CCM? ๐Ÿ‘‰๐ŸพWamekosea nini au kwa vile baadhi ni wanawake? @TumeUchaguziTZ
33
163
1K
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
Mwaka 2015; ๐Ÿ‘‰๐ŸพWakati MAFURIKO yaliyoonekana upande wa vyama SHINDANI baadhi ya watu wasiofahamu athari za kuzuia mkondo wa demokrasia walidai mafuriko ni ya LOWASA ๐Ÿ‘‰๐ŸพNILISEMA mafuriko zaidi yatakuwepo 2020 kama nchi haitapata KATIBA MPYA ya Warioba๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡.
Tweet media one
Tweet media two
63
98
1K
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
KISHERIA kuzuia WIZI kura 28/10 NEC inatakiwa kupatia kila kituo vitabu 3 vya FOMU za KUTANGAZA MATOKEO ๐Ÿ‘‰๐ŸพFomu Urais ni Na 21A, Ubunge Na 21B na Udiwani Na 21C ๐Ÿ‘‰๐ŸพMsimamizi wakituo LAZIMA kumpatia WAKALA kila chama fomu ya matokea Urais, Ubunge na Udiwani
29
181
1K
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
26 days
KESI: Tumeingia Mahakama Kuu hapa DSM saa 4 asubuhi leo 03/09/2024 kwa ajili ya kuendelea kutoa hoja za kuomba kufungua kesi kutaka Mahakama izuie TAMISEMI kusimamia uchaguzi wa wenyeviti wa Vitongoji,Vijiji na Mitaa 2024. Ni saa 10.21 bado tupo mahakamani.
Tweet media one
57
187
1K
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
Each Tanzanian must stand firm but PEACEFULY to demand fraudulent election held on 28/10/2020 be nullified.Short of that our country shall never have genuinely elected leaders in the future. My heart is bleeding to see this cruel way of rigging๐Ÿ‘‡an election.
Tweet media one
Tweet media two
52
153
1K
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
Duuu. Leo tumemzika mume wa mtoto wa dada yangu. Alipata changamoto ya kupumua wiki iliyopita. Ni kifo kilichotuachia maumivu makubwa kwa sababu marehemu alikuwa bado ni kijana ambaye watoto wake bado ni wadogo. Rest In Peace our son in law Isaack.Uuuuwii!
90
69
1K
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
NEC, KURA za mabegi zimezaa mfumo VUGUVUGU(si chama kimoja si vyama vingi). Hivyo maendeleo ya wananchi ni MAUMIVU sababu mfumo utazaa ๐Ÿ‘‰๐ŸพBunge butu ๐Ÿ‘‰๐ŸพMahakama butu ๐Ÿ‘‰๐ŸพMedia butu ๐Ÿ‘‰๐ŸพNGOs butu ๐Ÿ‘‰๐ŸพVyama vya siasa butu ๐Ÿ‘‰๐ŸพTaasisi za dini butu ๐Ÿ‘‰๐ŸพUmma butu
59
118
1K
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
3 years
Wakati tunakamilisha kusheherekea Pasaka nichukue fursa hii kukushauri Rais SSH hivi; ๐Ÿ‘‰๐ŸพKamwe wakati wa Urais wako usitumie nyumba za ibada kama jukwaa la kusema mambo ya Kiserikali. Epuka kuchanganya ya Mungu na ya Pilato. ๐Ÿ‘‰๐ŸพIbada yako iwe jambo la FARAGHA.
70
111
1K
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
MTANZANIA, Ukipata madaraka usijisahau, Ukajifananisha na MUNGU, Ukawatenda ubaya Watz wenzako. Ukijifananisha na Mungu, Ujuwe Mungu ANAKUSHANGAA. Ni Mungu mwenye NGUVU. Ni Mungu wa HAKI. Kwake ukitenda wema utavuna MEMA. Ukitenda ubaya utavuna MAUMIVU!
40
159
1K
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
3 years
Watanzania tusipoamka usingizini na kuanza kudai Katiba Mpya itakayobadili mifumo ya utawala, fedha za kodi zetu zitaendelea kutafunwa na kikundi kidogo cha watawala miaka nenda rudi na tuendako utafunaji utashika kasi kubwa sana. Tutajuta kweli kweli.
68
156
1K
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
8 months
Maandamano ya amani wananchi kupaza sauti kuhusu utawala mbovu unaofukarisha wananchi. Hapo๐Ÿ‘‡ nikiwa na Mtanzania mwenzangu Saidi Sangula Gilala mwenye ulemavu wa mkono tukiwa tumeshika bango eneo la Magombeni kudai Katiba Mpya kuleta mabadiliko chanya.
Tweet media one
16
248
1K
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
Mkurugenzi NEC Dkt Mahera; ๐Ÿ‘‰๐ŸพLeo15102020 umetangaza vyama vielimishe wanachama wao jinsi ya kupiga kura kuepusha kura ๐Ÿ‘‰๐ŸพJe wapiga kura wasio na vyama wataelimishwa na nani? ๐Ÿ‘‰๐ŸพKwanini NEC isitumie vyombo vya habari kuelimisha yenyewe? @TumeUchaguziTZ
51
182
1K
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
SIKU 8 ZIMEBAKIA UCHAGUZI ๐Ÿ‘‰๐ŸพJe unafuatilia kampeni wagombea wenye NGUVU KISIASA nafasi ya Mkuu Nchi (Rais) Mbunge wako(mtunga sheria)na mfuatilia matumizi kodi yako halmashauri(Diwani)? ๐Ÿ‘‰๐ŸพUnajua KURA yako itaamua wewe uishi maisha ya RAHA au TABU 2025 -2025?
28
171
1K
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
20 days
Tumekuwa hapa Mahakama Kuu DSM kuanzia saa 6 mchana tukisubiri kusomewa UAMUZI OMBI letu RAIA kutaka kuruhusiwa kufungua KESI dhidi ya Wizara ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali zaMitaa (TAMISEMI) kusimamia uchaguzi2024. Nisaa 9.39 haijadomwa bado
Tweet media one
36
179
1K
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
Watz tuisimamie NEC tuache KULALAMIKA. ๐Ÿ‘‰๐ŸพNEC siyo MALI ya Rais na chama chake ๐Ÿ‘‰๐ŸพWatz ndio WAAJIRI wa watumishi NEC na WOTE wanaofanya kazi ya NEC ๐Ÿ‘‰๐ŸพTUWAAMBIE NEC ama watende HAKI vinginevyo WAJIUZULU ๐Ÿ‘‰๐ŸพTusiruhusu UCHAMA/WOGA uvuruge AMANI Tz @TumeUchaguziTZ
41
236
1K
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
3 years
Hizo hoja za Spika na Rais kuhusu Serikali ya Jamhuri yetu kukopa au kutokopa fedha kutoka nje ya nchi ni mbinu tu ya kupunguza kishindo cha SAUTI ya wananchi katika kudai #KaatibaMpyayaWenyenchi
77
135
1K
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
Leo Ijumaaa 24072020 ni #77Nyeupe . Ni siku yetu Watanzania wote kuvaa chochote cheupe shati, gauni, kofia, viatu au hata mtandio ikiwa ni ishara ya kuendelea kudai #TumeHuruyaUchaguzi ambayo itasimamia kwa haki uchaguzi ili nchi yetu ipate viongozi bora.
Tweet media one
20
96
1K
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
Mwaka 1964 majeshi TZ yaliapa mbele ya Rais Nyerere kwamba yatashika bunduki kulinda Watz, hivyo kamwe hayataelekeza bunduki kushambulia Watz. ๐Ÿ‘‰๐ŸพKwanini MkurugenziNEC Dkt Mahera anataka polisi wakiuke KIAPOcha jeshikwa wananchi? @TumeUchaguziTZ @tanpol
43
165
1K
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
"Mtu muovu kuliko wote ni yule anayeruhusu muovu kutawala" Askofu Dakta Shoo wa Kanisa la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Kaskazini.
26
97
1K
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
3 years
SABAYA AWE SOMO ๐Ÿ‘‰๐ŸพWatz wanaoteuliwa RC na DC wajifunze kwa Sabaya. ๐Ÿ‘‰๐ŸพWajuwe cheo ni dhamana kinaweza kuwa baraka au laana na majuto kwao ๐Ÿ‘‰๐ŸพRais SSH hakikisha DC na RC wote wa miaka 5 iliyopita waliotenda kama Sabaya sheria inachukua mkondo wake @SuluhuSamia
35
114
1K
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
KIAPO CHA MBUNGE ๐Ÿ‘‰๐ŸพKatiba ya JMT Ibara ya 68 inasema "Kila Mbunge ataapishwa katika Bunge kiapo cha uaminifu kabla hajaanza kushiriki shughuli za Bunge" ๐Ÿ‘‰๐ŸพJe kwanini Spika Ndungai aliapisha Halima Mdee na wenzake 18 nje ya Bunge? ๐Ÿ‘‰๐ŸพJe hii si kuwadharau Watz?
86
56
1K
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
Mwl. Nyerere alituasa kuwa rasilimali kuu kwa maendeleo ya nchi ni Watu, Ardhi, Uongozi Bora na Siasa safi. ๐Ÿ‘‰๐ŸพKwa kuwa Rais ndiye Kiongozi Mkuu nchini kwetu basi ndiye Rasilimali Kuu Namba 1 ktk nchi. ๐Ÿ‘‰๐ŸพJe ni kosa wananchi kuuliza alipo Rais wao?
36
74
1K
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
Leo Ijumaa 31072020 ni #77Nyeupe kudai #TumeHuruyaUchaguzi . Katika kitabu chake My Life My Purpose Mkapa anasema "Kuundwa kwa tume huru ya uchaguzi inayokubalika na vyama vyote vya siasa ndiyo chachu ya kulea na kukuza demokrasia nchini"...1/2 @MariaSTsehai
Tweet media one
Tweet media two
33
92
1K
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
Ni Jumapiili #99Nyeupe kukumbushia NEC kufanya kazi kama #TumeHuruyaUchaguzi . Kwa nini? ๐Ÿ‘‰๐ŸพUchaguz 28/10/2020 ni sawa na siku ya Uhuru wa Tannganyika 09/12/1961. ๐Ÿ‘‰๐ŸพNi siku iliyoandikwa na Mungu mwenyewe hakuna binadamu aliweza kuzuia Watanganyika kupata UHURU
18
132
972
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
Wanawake Tz, WEUSIi na WEUPE wana akili kama wanaume. ๐Ÿ‘‰๐ŸพWanatambua Watz tulikotoka tangu zama za ukoloni wa Mjerumani na Mwingereza ๐Ÿ‘‰๐ŸพWana uwezo kutathmini athari za mfumo mbovu wa utawala kwa maisha yao ๐Ÿ‘‰๐ŸพSikiliza mfano huyu๐Ÿ‘‡ ananyotafsiri AMANI ya Tz.
37
223
976
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
3 years
K. Kaund Rais wa Kwanza wa Zambia, Mungu aitunze roho yake Mbinguni.Uamuzi wake kuachia DEMOKRASIA ichukue mkondo wakati Wazambia walipomkataa kupitia sanduku huru la kura ktk uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi 1992 naye akaheshimu, alitengeneza ZAMBIA ya leo
25
98
966
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
Vyama vikuu vitatu ACT Wazalendo, CCM na CHEDEMA vimeshazindua ILANI za Uchaguzi 2020. ๐Ÿ‘‰๐ŸพKunahitajika mdahalo wagombea Urais vyama hivyo. ๐Ÿ‘‰๐ŸพKila mgombea aulizwe akichaguliwa Serikali yake itachukua miezi mangapi kuwapatia Watz Katiba Mpya ya wananchi?
71
91
974
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
RUFAA za PINGAMIZI wagombea: ๐Ÿ‘‰๐ŸพJaji Kaijage kwa nini NEC imeamua kutotenda HAKI kwa baadhi ya wagombea vyama vinavyoshindana na CCM? ๐Ÿ‘‰๐ŸพKwa nini NEC haikuweka hadharani majina 15 walioruhusiwa kugombea na sababu za kuwakatalia hao wengine? @TumeUchaguziTZ
45
123
972
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
I salute you Hilda. Kwa kauli hii wewe ni miongoni mwa Watz ambao siyo WASALITI wa nchi yetu. Wewe si miongoni mwa Watz wanaojali MASLAHI yao binafsi na wako tayari kupewa UONGOZI kwa KURA BATILI za begi hivyo kupora MAMLAKA ya Watz kuchagua VIONGOZI wao.
@HildaNewton21
Hilda Newton
4 years
Sifahamu chochote kuhusu orodha ya majina ya Wabunge wa Viti Maalum kupitia Chadema inayosemakana kuwa imepelekwa Tume hata hivyo hata kama kweli jina langu lipo siwezi kwenda kuapishwa kuwa Mbunge maana binafsi siwezi kushiriki mchakato wa kuhalalisha haramu kuwa halali.
450
288
4K
23
70
952
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
Kati ya viongozi wa dini waliokuta Kongamano la Amani la Viongozi wa dini lililofanyika Dar ni kiongozi huyu๐Ÿ‘‡pekee ndiye katika hotuba yake alieleza kwamba chimbuko la AMANI ni HAKI na USAWA. ๐Ÿ‘‰๐ŸพKwanini viongozi wakiwepo wa dini wanaogopa kutamka HAKI?
Tweet media one
48
120
955
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
DHAMBI Wanadamu tunatenda dhambi kwa kujua au kutokujuwa. Lakini kama wewe ni kiongozi katika harakati za ukombozi wa mamilioni ya watu ni muhimu ujuwe kuwa KUWASALITI watu hao kwa sababu yoyote ile, ni DHAMBI ambayo ITAKUTAFUNA maisha yako yote.
26
82
944
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
3 years
KAUNDA SOMO ๐Ÿ‘‰๐ŸพUchaguzi wa vyama vingi ulipofanyika Zambia1992 Kaunda hakupata ridhaa ya Wazambia kuwa Rais wa nchi hiyo ๐Ÿ‘‰๐ŸพIngawa alikuwa na uwezo KUIBA USHINDI hakufanya hivyo ๐Ÿ‘‰๐ŸพAliheshimu DEMOKRASIA na MAMLAKA ya Wazambia kuchagua mtu waliyemtaka awe Rais.
Tweet media one
26
83
914
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
IGP Sirro umesikia polisi wako kituo cha Sirari๐Ÿ‘‡wanachokifanya kwa raia? ๐Ÿ‘‰๐ŸพJe polisi hawajui kwamba kisheria Tz ni nchi ya vyama vingi vya siasa? ๐Ÿ‘‰๐ŸพJe polisi hawajui vyama vingi vinachochea maendeleo ya Watz kwa kuwezesha nchi kupata Viongozi Bora? @tanpol
@HecheJohn
John Heche
4 years
Kituo cha polisi Sirari kinatumika kama kambi ya kutesa watu wa Chadema. Leo ni siku ya saba mkt wetu wa kata ya Sirari, Gibiche Maswi na Thomas Nyamiguri wanashikiliwa kituoni bila kupelekwa mahakamani. Wamekua wakishinikizwa kujiunga ccm lasivyo wabambikiwe kesi.
96
192
2K
17
124
920
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
10 days
Kikundi kidogo cha wanasiasa wanaotawala nchi wajuwe kwamba nchi siyo mali yao binafsi bali ni mali ya Watanzania wote.Hivyo wanapaswa kuheshimu Katiba kama waliyoapa. Muhimu zaidi waepuke kulewa madaraka maana ulevi wa madaraka ni adui wa amani katika nchi.
35
259
980
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
2 years
Awiii TOZO zinatuumiza sana wananchi jamani: ๐Ÿ‘‰๐ŸพJioni hii nilikuwa na shs 60, 350.23 kwenye simu yangu. ๐Ÿ‘‰๐ŸพNikatoa kupia wakala shs 40,000.00 ๐Ÿ‘‰๐ŸพKwenye simu yangu balance ni 9,401.23 ๐Ÿ‘‰๐ŸพJumla ya Fee (Tozo?)zote 3 za kwa muamala huu shs 10,949. ๐Ÿ‘‰๐ŸพDu! Je Tutafika?
147
122
898
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
Mzee Butiku ametuasa Watz tuwambie UKWELI viongozi NCHI IPONE ๐Ÿ‘‰๐ŸพNEC mmeonyesha UDHAIFU ktk kushughulikia kwa WAKATI Rufaa za MAPINGAMIZI ๐Ÿ‘‰๐ŸพKama NEC mmechua wiki 2+ kuamua Mapingamizi itachukua siku ngapi KUTANGAZA MATOKEO KURA nchi nzima? @TumeUchaguziTZ
31
113
885
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
3 years
Wanawake hawa๐Ÿ‘‡iko siku watajuta kuingia iasa kwa lengo la kuchuma pesa. Maana mtu ukiwa duniani, kama utaingia kwenye siasa kwa lengo la kutafuta utajiri na madaraka na si kupigania maslahi mapana ya wananchi walio wengi ni lazima itafika mahali utaaibika.
Tweet media one
65
81
867
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
2 years
Nimefurahia demokrasia ya uchaguzi Kenya 2022 ๐Ÿ‘‰๐ŸพNitafurahi zaidi endapo Odinga๐Ÿ‘‡ ATASHINDA sababu maisha yake yote ya SIASA amepigania kuwepo MIFUMO ya kujenga demokrasia imara. ๐Ÿ‘‰๐ŸพKatiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi Kenya ni MATUNDA ya HARAKATI alizoongoza.
Tweet media one
55
80
871
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
8 months
Hapa mimi Ananilea Nkya sina chama, nikiandamana huku nikiwa nimebeba bango lenye ujumbe "Tunadai Katiba Mpya" "We demand New Constitution". Wito wangu wa Watz wote tupiganie kwa vitendo taifa letu. HOJA za kitaifa tusikubali kubanwa na maboski ya vyama.
50
187
889
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
Kama kweli huyu anayezungumza ni Mkurugenzi wa Uchaguzi NEC, Polisi mjue Watz tunasema UKWELI kwamba NEC kupendelea CCM ndo kutakuwa chanzo Namba1 kuvuruga AMANI Tz kuhusiana na uchaguzi 2020. Sikiliza๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ @tanpol
@kigogo2014
Kigogo Media
4 years
Huyu ndiye mkurugenzi wa sasa wa @TumeUchaguziTZ hii ndiyo mentality yake na mambo ya CCM sijui ilani etc Msije sema hamjamsikia au hamkuambiwa yaani!!
302
299
2K
64
151
867
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
5 months
Ukitaka kujuwa kwa nini Muungano Tanganyila na Zanzibar una mgogoro sikiliza hio video hapa๐Ÿ‘Ž
45
279
866
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
8 months
Maandamano ndo shamra shamra zimeanza katika kituo cha Magomeni. Tanzania Hoyee. Ninamshukuru Mungu aliyenipa Afya njema ya kuweza kushiriki kazi hii MUHUMU ya ukombozi ya nchi yetu. Tanzania hoyee.
25
202
855
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
Kauli MUHIMU ya mwana CCM Mzee Butiku Uchaguzi 2020 "๐Ÿ‘‰๐ŸพWawezeshaji mchakato wa uchaguzi uwe Polisi uwe Jeshi uwe Usalama waTaifa uwe NANI. ๐Ÿ‘‰๐ŸพWapeni Watz uhuru wapige kura kwa Uhuru na kwa heshima ๐Ÿ‘‰๐ŸพYaishe yote tuliyotenda siku za nyuma nchi ni ya wananchi"
15
104
842
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
Kuna taarifa mgombea ubunge/udiwani anapochukua fomu NEC ๐Ÿ‘‰๐Ÿพ Hakuna mahali NEC inarekodi kitambulisho chake, simu, chama cha siasa anachotoka na anwani anapoishi. ๐Ÿ‘‰๐ŸพKwa nini NEC ijidhalilishe maana hakuna Serikali yoyote duniani isiyoweka kumbukumbu?
38
87
828
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
Ni muhimu sote tufahamu ktk uchaguzi huru usio na rushwa, wapiga kura wengi Tz hawamchagui mtu kwa kigezo cha jinsi yake; mwanamke/mwanaume bali kwa kumwamini mgombea kutokana na ujasiri wake kutetea haki, usalama na maendeleo ya Watz wote @MariaSTsehai
Tweet media one
28
50
806
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
Watz MAMILIONI tunaotaabika kwa hofu na umaskini ๐Ÿ‘‰๐Ÿพ Uchaguzi 2020 AGENDA yetu KATIBA MPYA ya wananchi ambayo Rasimu yake IPO TAYARI ๐Ÿ‘‰๐ŸพPiga SPANA muhonga fedha, nguo, watoa vitisho n.k kukulaghai KURA YAKO ๐Ÿ‘‰๐ŸพMaana KURAYAKO ni silaha yako kupata Katiba Mpya
0
96
791
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
Mtawanyamazisha wengi, mtawatesa wengi, mtawanunua wengi, mtawatisha wengi, mtawapoteza wengi, ..mtawaua wengi! Lengo...kusafisha taswira yenu iliyochafuka machoni pa watu wa Mungu..lakini..hamtaweza kupata amani hadi...kutenda haki"Askofu Mwamakula.
9
72
795
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
1 year
Dkt Nshallah kuamua auwawe kwa KUPINGA mkataba wa Bandari alitabiri Nyerere kwenye moja ya nukuu zake "Siku inakuja ambayo watu watachagua kifo kuliko fedheha na nawahurumia Watanzania watakaoiona siku hiyo! Na ole wao watakaoifanya siku hiyo isiepukike .."
Tweet media one
34
192
807
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
Mungu ibariki Tanzania. Watanzania tunakushukuru wewe Mungu Mtakatifu kwa kutulelea na kumlinda mama huyu๐Ÿ‘‡ ambaye utendaji wake wa kazi ya Urais kwa siku chache tu tangu aapishwe kushika nafasi hiyo unaonyesha anafahamu vema maana ya URAIS wa nchi.
Tweet media one
26
54
765
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
Zama hizi za demokrasia ya vyama vingi vya siasa, kwa jinsi watawala wetu mbali mbali wanavyovunja Katiba inabidi kama Taifa tujiulize; ๐Ÿ‘‰๐ŸพJe kuna sababu gani Taifa letu tuendelee kutumia VITABU VITAKATIFU kuwaapisha watawala huku wakisema watailinda Katiba?
41
55
774
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
3 years
KATIBA HITAJI KUU ๐Ÿ‘‰๐ŸพKatiba yaTZ ni waraka wa MUAFAKA wa Watz kisheria,kisiasa na kiutawala juu ya namna wanavyotaka nchi yao IONGOZWE ๐Ÿ‘‰๐ŸพKatiba bora ni MSINGI imara wa maendeleo endelevu ๐Ÿ‘‰๐ŸพRaisSSH bila Katiba bora hutaweza kujenga uchumi IMARA TZ @SuluhuSamia
23
137
753
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
Mkurugenzi Tume ya Taifa ya Uchaguzi Dkt Charles Mahera, Mzee Butiku ametuasa tuwaambie viongozi UKWELI taifa LIPONE. ๐Ÿ‘‰๐ŸพWewe ni REFA Mkuu ktk uchaguzi huu. ๐Ÿ‘‰๐Ÿพ Inakuwaje unazungumza๐Ÿ‘‡kama mgombea wa chama fulani? ๐Ÿ‘‰๐ŸพWatz tukuelewe vipi? @TumeUchaguziTZ
@JamiiForums
Jamii Forums
4 years
MKURUGENZI WA UCHAGUZI NEC: WATANZANIA WANATAKA BARABARA, HAWATAKI BLAH! BLAH! > Dkt. Charles Mahera amesema, watanzania wanataka Afya iliyoimarika, miradi ya umeme na viongozi watakaolinda madini na sio watakaopeleka madini kwa wageni nje Soma #JFSiasa
496
96
715
77
150
764
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
Kwa haya maigizo ya wanasiasa ambayo Watanzania tunayashuhudia tangu uchafuzi wa kura batili za mabegi 28102020 ni dhahiri ๐Ÿ‘‰๐Ÿพ2025 huenda idadi ya WAPIGA KURA ikapungua kwa kiasi ambacho hakijawahi kutokea ktk historia yaJMT labda kama Katiba Mpya itaandikwa
68
49
768
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
Rais wa 6 TZ Mhe.Samia. ๐Ÿ‘‰๐ŸพUlitafuta fursa ya UONGOZI wa umma baada ya KUKERWA na jinsi mawaziri walivyokuwa WANADANGANYA wananchi. ๐Ÿ‘‰๐Ÿพ Serikali yako ikitenda HAKI na kuepuka UONGO na WIZI ikiwa ni pamoja na wizi wa KURA, utatunukiwa tuzo adimu duniani.
28
73
756
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
The key job of Government is to ensure security of it's people. ๐Ÿ‘‰๐ŸพThe Constitution of the URT says President is the Head of the Govt. ๐Ÿ‘‰๐ŸพWe Tanzanians appeal to you Dr JPM to ensure the Govt relieves people from fear of the so called 'wasiojulikana'
Tweet media one
33
112
762
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
Tume ya UCHAGUZI tambua UONGOZI BORA ni RASILIMALI ya kuchochea MAENDELEO ya Watz wote ๐Ÿ‘‰๐ŸพUongozi Bora unapatikana kwa KUSHINDANISHA wagombea na SERA ๐Ÿ‘‰๐ŸพTume au YEYOTE kuzuia ushindani RUANGWA au POPOTE ni KUKWAMISHA maendeleo Tz 2020รท25 @TumeUchaguziTZ
17
82
742
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
1 year
USHAURI Mhe Rais @SuluhuSamia hilisuala la mkataba tata bandari,KUKAMATA wananchi WEMA na kuwafungulia KESI za mchongo uchochezi,uhaini n.k kamwe haitaweza kuwa SULUHU badala yake ni kama kuongeza MOTO juu ya moto na WEWE ndiye utaonekana ni TATIZO.Sikiliza๐Ÿ‘‡
58
292
746
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
Jambo moja ni dhahiri. Tuendako iko siku Dkt Mahera na Jaji Kaijaje watumishi waandamizi wa NEC watajutia kupora Mamlaka ya mamilioni ya Watz 2020 kuchagua viongozi wao kupitia sanduku huru la kura. Siku hiyo watakuwa peke yao na watajuwa Mungu adhihakiwi.
Tweet media one
42
72
738
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
Kamati ya maadili NEC ni PASUA kichwa sababu: ๐Ÿ‘‰๐ŸพImepewa RUNGU kuamua ADHABU ๐Ÿ‘‰๐ŸพWajumbe wake ni wawakilishi wa vyama vinavyoshiriki uchaguzi ๐Ÿ‘‰๐ŸพHivyo vyama visivyo na nguvu vinaweza kula NJAMA kutoa adhabu KUDHOOFISHA kampeni chama chenye nguvu @TumeUchaguziTZ
15
77
731
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
Mhe Rais wa JMT Samia Suluhu Hassan.Hongera.MUNGU akutangulie utuongoze tuipateTZ Mpya 2021-25.Zingatia: ๐Ÿ‘‰๐ŸพTZ ni Mali ya Wtzwote,si mali ya chama chochote au kikundi fulani cha watu. ๐Ÿ‘‰๐ŸพSerikali yako ihakikishe UHURU, HAKI na DEMOCRASIA ya kweli itatamalaki TZ
17
69
731
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
Bibi Titi alikuwa mwanamke kiongozi shupavu aliyejitoa hadi utawala wa wakoloni mweupe dhidi weusi wengi ukakoma . ๐Ÿ‘‰๐ŸพJe ktk zama hizi za ukoloni mpya kikundi kidogo cha weusi kutawala umma wa watu weusi kwa mbinu zile za wakoloni Wazungu,TZ wapo kinaTiti leo?
Tweet media one
72
73
719
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
Uchaguzi utakaoipatia Tz viongozi Bora watakaowajibika kikamilifu kuhakikisha usalama na ustawi wa watu wote 2020 -2025 unahitaji ๐Ÿ‘‰๐Ÿผ #TumeHuruyaUchaguzi ๐Ÿ‘‰๐Ÿผ #VyomboHuruvyaHabari ๐Ÿ‘‰๐Ÿผ #VyomboHuruvyaDola ๐Ÿ‘‰๐Ÿผ #WapigaKuraHuru ๐Ÿ‘‰๐Ÿผ #WatzKuachaWoganaRushwa @MariaSTsehai
Tweet media one
26
71
718
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
3 years
Kuna kijana mmoja aliwahi kuniambia kwamba fedha nyingi na rasilimali nyingine za umma kama magari ya kifahari ambazo wanasiasa wenye madaraka Serikalini wananufaika nazo zinawafanya kudhani kwamba TZ ni mali yao binafsi. ๐Ÿ‘‰๐ŸพJe wewe unakubaliana na hoja hii?
91
108
717
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
3 years
Leo dunia imeadhimisha siku ya HAKI za binadamu. Zama zake baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere๐Ÿ‘‡alionya kwamba Afrika kwa sasa ndilo bara linaloongoza kwa kuwa na viongozi wa Serikali madikteta wanaovunja haki za binadamu.
17
135
684
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
2 years
๐Ÿ™Œ Matokeo ya URAIS nchini Kenya yakitangazwa, endapo wapigania DEMOKRASIA Raila na Martha watakuwa wameshinda KIHALALI; ๐Ÿ‘‰๐Ÿพ nitawaomba Watz wenzangu humu Jamhuri ya Twitter mnichangie niweze kwenda Nairobi kushuhudia sherehe za kuapishwa kwao๐Ÿ™Œ๐Ÿ™๐Ÿ™
111
54
691
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
3 years
Rais wetu Samia Suluhu Hassan. Nakusalimu kwa jina la JMT. Tafadhali itikia: "Kazi nzuri ya wananchi kukosoa Serikali iendelee". Tunakumbusha kuwa: ๐Ÿ‘‰๐ŸพSerikali inayovunja Katiba haifai kuongoza. ๐Ÿ‘‰๐ŸพMfano Wabunge 19 wasio na chama ni uvunjifu wa Katiba ya JMT.
31
98
678
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
UCHAGUZI 2020 ๐Ÿ‘‰๐ŸพJe kwanini polisi hawajakamata watumishi wote NEC kutokana na kupatatikana kwa KURA zilizopigwa kabla ya uchaguzi? ๐Ÿ‘‰๐ŸพNi kwanini @tanpol ifumbie macho KOSA KUBWA dhidi ya Jamhuri yetu? ๐Ÿ‘‰๐Ÿพ Je NEC wako juu ya sheria? @TumeUchaguziTZ
37
120
686
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
3 years
RAIS MWAMINIFU RaisSSH huenda ni mtu mwaminifu maana hadi sasa ametudhihirishia yuko tofauti na wasio waminifu kwahaya: ๐Ÿ‘‰๐ŸพAnaheshimu Utu na Uhuru wa watu ๐Ÿ‘‰๐ŸพHaogopi vyombo vya habari na wananchi kuikosoaSerikali ๐Ÿ‘‰๐ŸพHafoki, anajieleza. ๐Ÿ‘‰๐ŸพUongozi wakeshirikishi
54
64
681
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
3 years
Kama nchi yetu ina MAGAIDI, ni kwa nini viongozi wa ngazi za juu wa Serikali watumie kodi ya wananchi kwa safari za kwenda kutafuta wawekezaji na watalii ili hali hakuna mtalii au mwekezaji atakayekuwa tayari kuja TZ kupata madhara yanayotokana na UGAIDI?
43
98
678
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
UCHAGUZI 2020 umeacha swali hili. ๐Ÿ‘‰๐ŸพJe kulikuwa na sababu gani Serikali kutumia Sh.350 bilioni KODI ya wananchi KUGHARAMIA uchaguzi ulioishia watu kujipa USHINDI kwa KURA HARAMU๐Ÿ‘‡hivyo KUPORA wananchi MAMLAKA ya kuchagua VIONGOZI BORA miongoni mwa wagombea?
Tweet media one
44
86
667
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
3 years
Spika Ndungai unapaswa kufahamu kwamba: ๐Ÿ‘‰๐Ÿพ Kwa kuvunja Katiba uliyoapa kuilinda eti ili wanawake 19 waliopoteza sifa za Ubunge Kikatiba waendelee kuwa wabunge watafune kodi ya Watanzania maana yake UMELEWA madaraka kiasi cha kudharau JMT na Watz wote.
31
67
656
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
Leo Ijumaa 17072020 ni #77Nyeupe . Popote ulipo iwe shambani, ofisini, barabarani, sokoni, nyumbani n.k vaa nyeupe ishara ya kudai #TumeHuruyaUchaguzi na kuachiwa huru Sheikh Issa Ponda vile naye madai yake imo #TumeHuruyaUchaguzi @UshirikiTZ @Katiba_Tv
Tweet media one
20
53
665
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
4 years
Leo Jumapili 02082020 ni #88Nyeupe . Pote utakapokuwa vaa cheupe ishara ya kudai #TumeHuruyaUchaguzi kuhakikisha uchaguzi huru ili nchi ipate viongozi bora mfano WABUNGE wenye UJASIRI wa KUISIMAMIA Serikali kutumia KODI inayokusanya kuleta maendeleo ya wote
Tweet media one
15
77
657
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
2 months
MAWAKILI wa Tanganyika mkimchagua Adv Boniface Mwabukusi mtakuwa mmechagua Rais mwenye sifa zinazohitajika zama hizi kuhakikishaTLS inasimamia haki na heshima ya mawakiliI wote nchini na inatekeleza kikamilifu wajibu wake kwa Serikali,Mahakama na wananchi.
Tweet media one
23
199
671
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
3 years
Maswali Rais SSH ๐Ÿ‘‰๐ŸพMtu anayefaa kuwa RC anatakiwa awe na sifa gani? ๐Ÿ‘‰๐ŸพJe CCM haina angalao wanawake 15 wenye sifa hizo? ๐Ÿ‘‰๐ŸพJe kwanini TZ imeridhia kutekeleza mpango wa dunia wa maendeleo endelevu -SDGs wakati Serikali haitaki usawa wa jinsia ktk uongozi?
97
45
641
@AnanileaN
Ananilea Nkya (PhD)
11 months
Ni tarehe 09 Novemba 2023. Baadhi ya wananchi walitumia haki yao ya kikatiba kupaza sauti kuhusu mkataba wa hovyo wa bandari IGA kati ya Serikali ya Tanzania na Emirati ya Dubai, Katiba Mpya na haki ya ardhi kwa Wamasai. Soma ujumbe hapa.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
58
154
659